Mungu ni Mwema na Inshallah Mwenyezi Mungu Mtukufu Atuwezeshe kupata USHINDI siku ya mchezo wetu. Mungu ibariki Simba Sc, Mungu ibariki Tanzania. ❤
@Mira-V-n414 күн бұрын
Mungu ibariki simba sc Tujaalie Tupate Ushindi Angola inshaAllah
@agripinaapolinary136215 күн бұрын
Mungu azidi kuwatunza wachezaji wetu pamoja na benchi la ufundi Semaji letu Ahmed Ally,muwe na AFYA njema Ili jumapili tupate ushindi mnono AMINA ❤❤❤
@GIFTEDANDTALENTED-v1p14 күн бұрын
Mungu ibariki Simba Sports Club
@JoshuaStephano-h1b14 күн бұрын
Naipenda Simba milele
@RukiaIssa-p1j14 күн бұрын
Tutashinda kwa uwezo wa Allah ❤❤ Tutaweka historia
@ISSAissa-r3b14 күн бұрын
All the Best simba sc...! Inshallah
@AlvinHomestore15 күн бұрын
Nguvu mojaa🎉🎉
@SamwelOtieno-ky3nh14 күн бұрын
Mungu ibariki simba yetu tuibuke washindi
@HermanjrGidonijr13 күн бұрын
💪 simba nguvu mmoja 🦁
@FrankJoseph-x9j15 күн бұрын
Mungu anasikia maombi yetu tutashinda kwani nanguvi ya Mungu amin
@mohammedkidody561815 күн бұрын
Nakubali semaji la ubaya ubwela❤🎉
@sagaotz15 күн бұрын
Nawatakia kila la kheri katika mechi yenu dhidi ya Bravo
@DavidSamo-bz3jb14 күн бұрын
Semaji unaongea maneno ya pointi sana Tunapenda mtu mkweli kama wewe tunaamini mpila wa miguu una matokeo matatu tuu kushinda kusale au kupoteza Mungu ni mwema tutapata ushindi❤❤❤
@IsackVedasta15 күн бұрын
INSHALLAH ❤️🦁🇹🇿🔥
@JohaiveniIshengoma15 күн бұрын
Simba ii ni balaaa🎉
@Godfrey-gj2tt15 күн бұрын
Nguvu Moja ❤
@EdmundBoniface15 күн бұрын
NGUVU MOYAAAAAAAA SIMBAAA
@StevenKwavava15 күн бұрын
❤❤❤ Simba ñguvu moja
@TomasiklistophaMwinuka15 күн бұрын
Mungu wabariki wote walio safiri kwenda Angola hasa wachezaji wawe naafya njema kuelekea mchezo wajumapili Simba nguvu moja
@kamazimamuganyizi693215 күн бұрын
Ushindi kwa kwenda mbele nyuma mwiko Simba nguvu mojaaaa
@MzeeBabu-s6y14 күн бұрын
mungu iba liki Simba yangu
@WendeMposola15 күн бұрын
Where is Tobias Sebastian? Simba nguvu moja naipenda milele kila la kheri Mungu awasaidie mpate ushindi
@EdmundBoniface15 күн бұрын
SIMBA NGUVU MOYAAAAA
@MatiasBroo-z7b15 күн бұрын
Mungu isaidie simba yangu ipate ushindi mkubwa
@JumaHamisi-q7s15 күн бұрын
Kila la kher mnyama. Kwenda kukipiga na bravos j pl
@westonyjob174715 күн бұрын
Simba nguvu moja ushindi ni lazima tyuu
@StevenKwavava15 күн бұрын
Simba Nguvumoja❤❤simba
@IsaacPhilemon-b2e14 күн бұрын
Kalabaka yuko wapi,kijana tunamuelewa sana. Semaji kama semaji tunakupenda sana wanasimba.❤❤❤. Naimani tutashinda ugenini.
@RebeccaMwita-f7l14 күн бұрын
MUNGU Awasaidie mrudi na ushindi mnono hayo ndo MAOMBI yangu Simba NGUVU Moja Kwa jina la YESU mshinde
@NakupaNgumbu15 күн бұрын
Simba nguvu moja
@HassaniMaina14 күн бұрын
mungu ijalie tim yangu yasimba ipate ushindi
@SetMohamed-i9y15 күн бұрын
Simba taifa kubwa tutashinda inshallah.
@kamuchidyblez213614 күн бұрын
Alhamudulilah naamn tutapata matokeo mazuri Allah akbar #simba4lifee
@AllyOmoro14 күн бұрын
Huna baya semaji Simba nguvu moja
@DreyzOfficial-w7p14 күн бұрын
Mbn hiyo jezi Kali sana asee
@emmadora784814 күн бұрын
Mungu awapiganie wanajeshi wetu ,mkijituma ushindi tunae
@JoanithaJeremia14 күн бұрын
Nalitakia ushind chama langu la Simba katika kuukamilisha ubaya ubwela Kwa Simba yetu lazima bravo's wacheme
@buramohamedi517414 күн бұрын
Simbanguvumoja 🤲🤝🙏
@EdmundBoniface15 күн бұрын
Ngv moja
@WilleSaitabau14 күн бұрын
Mungu awasaidie mpate 3 nguvu moja
@AlvinHomestore15 күн бұрын
Point 3 muhimu!
@StewartYembi15 күн бұрын
Nawatakia kila laheri timu yangu pendwa Simba sport club
@GatsonGweso14 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@MbajaLucas-h5d14 күн бұрын
Pole na safali mungu amubaliki
@FidinNyoni-p8m14 күн бұрын
Simba nguvu moja ❤❤
@SteveTegemea-fj6de14 күн бұрын
MUNGU Ibariki Simba......
@JamesAron-e8n13 күн бұрын
Mungu atusaidie tupate ushindi nguvu moja
@amanileonard225514 күн бұрын
Mmmh sawa hapa naona hata kama ni sababu za kiufundi lakin huwezi kuacha specific subsitution yaan mkwala na Nouma
@EGM-TZ15 күн бұрын
From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Guys pambaneni kutetea Nembo/ Logo na Brand ya Ubaya Ubwela🎉🎉Enjoy Muziki Mzuri kutoka EGM
@GeofreyChamwali-n1m15 күн бұрын
Nguvu moja
@shakilakasilo928615 күн бұрын
Namuomba Allah awajalie afya njema wachezaji wote pamoja na viongozi ili mapambano yawe na matokeo mazuri
@Mariah-r1o14 күн бұрын
👑👑👑👑👑🦁
@ezekielmajura716115 күн бұрын
Ubaya ubwela
@LatifaMapunda-e5l14 күн бұрын
Allah awatangulie kila jambo
@JuliusLasisa7 күн бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@MahaSaeed-hf3gs13 күн бұрын
Mungu ni mwema ubaya ubwelaa
@AgostinoKiringo15 күн бұрын
Nimefurah kusikia barua yupo kikosini
@isayatimoth186715 күн бұрын
Ubaya ubwela mpaka Angola
@mavinyajosia15 күн бұрын
UBAYA UBWELA
@IreneEmmannuel14 күн бұрын
Mungu awe pamoja nanyi tunawaombea
@yusuphitambu340515 күн бұрын
Ni Sagrada Esperanca hio semaji
@KulwaSamwel-de5hi14 күн бұрын
Semaji huko vizuri unaongea umetulia achana yule dogo wa uto 🔥🔥🔥
@HermanjrGidonijr13 күн бұрын
Mnyama TBT | Wachezaji wetu wakicheza kufuahia usindi baada ya kuifunga Sc Vila ya Uganda magoli 3-0 katika fainali ya blabu bingwa Afrika mashariki na kati mwaka 1991 kwenye uwanja wa Taifa (sasa Uhuru)
@wasemavyotv773614 күн бұрын
Unyamaaa
@BenedictMsafiri15 күн бұрын
Simba ni ubaya ubwela,yoyote aje tuna ua,,yaani nilazima wapinzani wetu watambue kwann kauli yetu ni ubaya ubewelaaaa.wakikutana na mnyama wapigwe ndio wanajua kumbe ubaya ubwela ndio huu!!!!
@AmosiAlly14 күн бұрын
Ubaya ubwela Simba 4life
@MethodkifokaMethodkifoka14 күн бұрын
Hakuna cha mpango kazi wa mwalimu, wee sema viwango vibovu
@danieldm9213 күн бұрын
Hivi ni kwa nn uwanja huo uliitwa November 11? Mwenye kulijua hilo anijuze jmn.
@AntonyAndrew-p5q14 күн бұрын
Pambaneni ndugu zangu
@MarthaChuwa-q6b15 күн бұрын
Komaeni tushinde mapema
@WAZIRIMKETEGHE14 күн бұрын
Simba inacheza lini?
@AboubakarySuje15 күн бұрын
Kila mech kwetu fainal ubaya ubwela
@ClassicUsed-jg6ri15 күн бұрын
Huyo ni mkenya
@SamCharlie-i9b14 күн бұрын
Ubaya ubwela ndani ya Angola
@GoodluckHaule-p7h15 күн бұрын
ubaya ubwela
@laurentmyeule85915 күн бұрын
Kila la kher chama langu
@BoniventureRiwa-fs2py15 күн бұрын
Ubaya Ubwela
@Jofumaster314 күн бұрын
Mbona itakuwa ningum maxwez leo 😮du tuta tobowa kwer kesho muombe ufanye mazowez saa tatu zauko jamni tutu umbuka 😢
@SalimRamsei-ok9el14 күн бұрын
Sawa nasisi tutamtandika apo apo kwao
@DeoKanda-i1x14 күн бұрын
kak unatisha pg kz?
@SokoineMtuka14 күн бұрын
Kilalakheri mnyama
@godwinkapaya14 күн бұрын
Kocha amkumbuahe che Fondo awe na umakini akifanya hivyo Simba anabeba point 3
Eeh haò Rs berkane hawashikiki kabisa, moja ya timu ambazo zimeshafuzu hatua ya robo fainali Tujitahidi simba tuongoze kundi ili kuweza kupata faida ya kuanzia ugenini na pia kuepuka timu kama hizi. Simba nguvu moja.
@EzekielJelad14 күн бұрын
Ubaya jumapili iwe. Ukweli
@EdmundBoniface15 күн бұрын
Ngv moyaa
@DeoMbambitz15 күн бұрын
Ubaya ubwera
@SaidiSaji-q2l14 күн бұрын
Uyo mayele mjue ni mnafik nyie. Mnajua mnamkela yanga kumbe katumwa na yanga msipo shida msitafte mchaw nani