#UNAIKUMBUKAHII

  Рет қаралды 639,561

Simba SC Tanzania

Simba SC Tanzania

Күн бұрын

Пікірлер: 354
@johannesnyabara2527
@johannesnyabara2527 9 ай бұрын
Hatufanyi vizuri sana kwenye ligi ila inapokuja suala la kimataifa Simba is another level❤❤❤
@amanifredrick4256
@amanifredrick4256 9 ай бұрын
Kiukweli mechi hii ilinipa burudani sana, kila mchezaji alijituma sana. Natumai mechi ya kesho tutapata burudani la namna hii...Simba FOREVER
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 9 ай бұрын
Na kwelii tuliipata
@GeraldChawala
@GeraldChawala 7 ай бұрын
Unasema kweli wewe
@FaridaSandali-q9b
@FaridaSandali-q9b 3 ай бұрын
Nikweli
@MaisaMaseke
@MaisaMaseke 2 ай бұрын
shingapi
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 9 ай бұрын
Alaf huwa anatokea mpumbavu mmoja anajisahaulisha makubwq aliyowahi kuyafanya na anayoyafanya simba..Mwamba wa lusaka❤
@brightonchedego8100
@brightonchedego8100 9 ай бұрын
Unforgettable match. Mungu ibariki Simba ushindi wa namna hii uwe ni muendelezo maana ndio maisha tuliyoyazoea. #NGUVU_MOJA
@shaffihsiraji3141
@shaffihsiraji3141 9 ай бұрын
Simba vs Nkana Unforgtable
@arjunaking5595
@arjunaking5595 9 ай бұрын
The Greatest of All Time in Tanzania, G.O.A.T CCC CHAMAAAAA ❤
@amaniomar1755
@amaniomar1755 9 ай бұрын
How many trophies do you have compared to Young Africans SC
@HospiaceMata
@HospiaceMata 5 ай бұрын
It is true that chama is best one in Tanzania premier league till this moment
@azizimuhibu7771
@azizimuhibu7771 9 ай бұрын
MASHA ALLAH, hii siku nilifurahi Sana wachezaji walijitoa Sana,,in Sha Allah itatokea kama hii kesho pale lupaso,, amiiyn amiiyn amiiyn
@christinabwai8065
@christinabwai8065 8 ай бұрын
Jmn naomb tuwafanyie hivi hivi hawa waarabu wakij simb nguvu moj ❤❤❤❤❤
@hajisadikiabdallah6686
@hajisadikiabdallah6686 8 ай бұрын
Mwiko uwo mzee
@judithgodfrey8207
@judithgodfrey8207 8 ай бұрын
Amen
@iamstivin.
@iamstivin. 9 ай бұрын
naangalia tena leo tarehe 18.03.2024😊😊😊
@MachiyOchu
@MachiyOchu 2 ай бұрын
Naipenda sana simba kila mwezi naaangalia izi marudio
@jamessamwel9456
@jamessamwel9456 9 ай бұрын
Ukiangalia video 5 tuuu za kimataifa za chama utajua kwann yanga Pacome wanatamani kumfanansha na chama, Mi ni yanga ila chama ni next level
@bushbabytz
@bushbabytz 9 ай бұрын
wewe sio yanga kolo maandazi wewe, yanga hatuna mambulula kama wewe, kwa jinsi ulovyoandika tu comment yako we ni kolo na pacome anakuuma sana nyoko we
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 9 ай бұрын
Chama alishaset level yake ndo inawatesa😅😅
@Rehmathathman23
@Rehmathathman23 9 ай бұрын
Aniii kiukwelii nakumbuka tuliwekeana hela na mme wangu kama Simba ikitoboa kwenye hii mechi kwa kila goli moja 10000 aaah wee nilijipatia 50000 hivihivi kimasihala😂❤💪🦁em fanyeni tena iwe kweli maan nmeshaambiw kesho hatutoboi tukitoboa napewa 30000❤❤❤🦁🦁🦁💪
@ndamaboy2243
@ndamaboy2243 9 ай бұрын
Kanout Kesho atafunga sana, kilichomkuta kibeku na ungo kitamkuta kila lakheri Simba🔥🔥🔥
@musicbilali
@musicbilali 5 ай бұрын
We will miss him so much, great player he has done everything
@salimmalaka256
@salimmalaka256 9 ай бұрын
SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@SperatusThomas
@SperatusThomas Ай бұрын
Of course you're emotion, are true, international we are unstoppable Simba sports club 🎉
@ManaJuma-m7w
@ManaJuma-m7w 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤wana simba
@fatumasophu5855
@fatumasophu5855 9 ай бұрын
Haaaaaa nimemuona pape Osman sakhooo❤❤❤❤him
@RehemaJohni
@RehemaJohni 4 ай бұрын
Napenda sana marudio yasimba
@basiliofabian2163
@basiliofabian2163 3 ай бұрын
😢
@JaysixNewzentertainment
@JaysixNewzentertainment 18 күн бұрын
the best Zambia man from mwabawalusaka
@agnesswai7174
@agnesswai7174 8 күн бұрын
It was fire❤Simbaa hoyeeee👌😊
@AgnesAgneschakila-fv7cf
@AgnesAgneschakila-fv7cf 6 ай бұрын
Naipenda simba yangu sihami
@badimfinanga
@badimfinanga 4 ай бұрын
MWAKA huu utahama TU!!!chamaaa,dubeeeeee,balekeeee,kiiiiiiiiii,pakomeeeeeee,zengeliiiiiiiiiiiiiii,mzizeeeeeeeeee,msondaaaaaa,mudaiiiiiiii, bado TU huogopi!!!!!!
@AminaAli-w3s
@AminaAli-w3s 9 ай бұрын
Simba ❤❤❤
@Mumlion2624
@Mumlion2624 3 ай бұрын
Wallah hii simba natamn irudi tena
@RamadhanHassani-t2h
@RamadhanHassani-t2h 28 күн бұрын
naipenda simba mpabas❤
@ItonzileBwagidi
@ItonzileBwagidi 9 ай бұрын
All the Best Champ✊️
@FatumaNdubaa
@FatumaNdubaa 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤ simbaa
@ELIAMICHAEL46
@ELIAMICHAEL46 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤simbaaa nguvuuu mojaaaaaa
@OberthMhone
@OberthMhone 9 ай бұрын
❤❤❤❤❤ simba nguvu moja
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 9 ай бұрын
Mkali wa muda wote kweny ligi yetu Mwamba wa lusaka❤
@AsmaaBakali
@AsmaaBakali 3 күн бұрын
Sita sita❤❤❤❤
@LivardoMgenge
@LivardoMgenge 5 ай бұрын
Mi livardo mgenge kama mwana simba kusema kweli nainjoy sana juu yaa taarifa ninazo zipataa
@SgMamigos
@SgMamigos 9 ай бұрын
Naipenda simba
@abdillahmchia8557
@abdillahmchia8557 9 ай бұрын
Siyo mbaya ila karibia tunakuzika kwa presha
@marthamnyenyelwa6095
@marthamnyenyelwa6095 9 ай бұрын
Wanao rudia marudio tujuane kwanza 😅😅😅
@Officialrockzompa
@Officialrockzompa 8 ай бұрын
😂😂
@stizzo-vc7gw
@stizzo-vc7gw 6 ай бұрын
2:19 hay
@happyraphaelsanga6019
@happyraphaelsanga6019 6 ай бұрын
Mamboo
@Officialrockzompa
@Officialrockzompa 6 ай бұрын
@@happyraphaelsanga6019 poah niambie
@yusuphitambu3405
@yusuphitambu3405 6 ай бұрын
😂😂😂acha turudie tu hazitokei kwa kila timu hizi khabar
@gervasenoki
@gervasenoki Ай бұрын
Naipenda Sana Simba yangu
@marwawilliam3648
@marwawilliam3648 9 ай бұрын
HATTRICK Chama❤
@PeterEliza-i5j
@PeterEliza-i5j 13 күн бұрын
Moja ya mech nzuri sn ubaya ubwelaaaa mhuuuu
@AshaMwamba-v2o
@AshaMwamba-v2o 9 ай бұрын
Nimefurahiii adinazimiaaaa❤❤❤❤❤❤
@MotorcycleSupport-gz1qp
@MotorcycleSupport-gz1qp 6 ай бұрын
Nimerudia tena leo tarehe 24.5.2024
@FatmaHamis-o5r
@FatmaHamis-o5r 5 ай бұрын
Simba is the university of football
@MachiyOchu
@MachiyOchu 3 ай бұрын
Ilove canout
@AbubakarAbdalla-e9s
@AbubakarAbdalla-e9s 5 күн бұрын
Simba oyeeeee
@johnasoketch255
@johnasoketch255 9 ай бұрын
Simba yetu ingekuwa inacheza hivi kila mechi tungechukua makombe yote na benchikha ila kwa huzuni kubwa nikuwa hatutafika 1/4 labda baleke arudi simba si kwa fred (nipo kenya na simba ni mimi mimi ni simba🇰🇪🇹🇿🇰🇪🇹🇿💪💪)
@ManpeloJ4
@ManpeloJ4 9 ай бұрын
Tumeenda robo tena kibabe zaid
@ZaynabMsury
@ZaynabMsury 7 ай бұрын
❤naangali leo 9.5.2024 baad ya kumpelekea pumzi ya Moto azam
@AncleNipe
@AncleNipe Ай бұрын
Tuko pamoja sana
@gervasdenis7286
@gervasdenis7286 9 ай бұрын
Hii ndo simba halisi inavotakiwa kucheza ❤❤❤
@abdillahmchia8557
@abdillahmchia8557 9 ай бұрын
Simba ni kikundi cha walevi wangekuwa wazima wasingeacha wachezaj wazur na kusajili wakina fred midevu
@PendoJoram
@PendoJoram 2 ай бұрын
Nafulahi sana kwa simba Ile so pwa ilikuwa yamoto
@OmarKombo-q3b
@OmarKombo-q3b Ай бұрын
2tamkumbuka sana mwamba huyu wanasimba
@CharlesWanyeche-er6rw
@CharlesWanyeche-er6rw Ай бұрын
Furaha yake ilikuwa simba huko kaenda kupoteana tu
@JudithFabian-h4k
@JudithFabian-h4k 2 ай бұрын
Simba nguvu moja
@LivinusJM
@LivinusJM 7 ай бұрын
simba yangu naipenda mnoo
@GordianStephen
@GordianStephen 3 ай бұрын
Thanks much kanoute❤
@KennyMusenga
@KennyMusenga 4 ай бұрын
Shupa❤❤❤❤❤❤mwayaya
@kilination3666
@kilination3666 5 ай бұрын
1:02 1:03 😊😊😊😊 1:12
@NaomyWamama
@NaomyWamama 3 ай бұрын
Kiukweli hii simba ilikuwa ni moto sana
@khadijahemed
@khadijahemed 5 ай бұрын
Simba yangu😅❤❤❤❤❤
@MussakasimKayanda
@MussakasimKayanda 9 ай бұрын
🦁🦁🦁🙏🙏
@AllyKagoma
@AllyKagoma 3 ай бұрын
Saw
@BravoFilimoni
@BravoFilimoni 4 ай бұрын
Simba noma
@JeremihamashakaMashaka
@JeremihamashakaMashaka 7 ай бұрын
Ni kweli
@jeremiahmbise2133
@jeremiahmbise2133 21 күн бұрын
Nimerudia tena leo tar 21/11/2024
@AlfaKanasa-zv9fo
@AlfaKanasa-zv9fo 6 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤Nguvu moia
@kbpius2291
@kbpius2291 Ай бұрын
Bahati ayub, pamoja sana
@cheche020
@cheche020 3 ай бұрын
Dangerrr
@LatifahMuhammed-ub9uj
@LatifahMuhammed-ub9uj 6 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@husseinbachwa8372
@husseinbachwa8372 18 күн бұрын
Kweli Mwamba wa Lusaka utakumbuka zaidi hapa kwenye kumbuka zetu..
@elibarikideemay3562
@elibarikideemay3562 9 ай бұрын
Lover chamaa❤❤❤❤
@insightsecure2819
@insightsecure2819 4 ай бұрын
daaa jamani kesho tungepata burudani kama hìi ingependeza sana
@AminaLibisa
@AminaLibisa 9 ай бұрын
Wanakumbushwa utopolo kama sisi tuliwafunga saba na hakuna alio zimia Wala kupata pressure 😂😂😂
@FadhiliKasapila
@FadhiliKasapila 2 ай бұрын
This is simba
@JumaRajabu-gg7ib
@JumaRajabu-gg7ib 6 ай бұрын
Tuliyaa
@iddiramadhan
@iddiramadhan 9 ай бұрын
This is 🦁💪
@RichardJakson
@RichardJakson 9 ай бұрын
Tuombe tumfanye mtu hiv give❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ 2:32
@MendradWandelage
@MendradWandelage 8 ай бұрын
Yeah chama mwamb😊
@fredyfrancis8011
@fredyfrancis8011 4 ай бұрын
Huyo kipa Mohamed kamara ,na simba imemsajili mussa kamara
@mtawaahmad7994
@mtawaahmad7994 5 ай бұрын
Leo baada ya Chama kuanza rasmi mazoezi akiwa na jezi ya wananchi nimeona nifatilie ufundi wa huyu kiumbe😅
@MwanaidShabani-ty3zu
@MwanaidShabani-ty3zu 4 ай бұрын
Tupo weng kumbe😂
@aimanankya7405
@aimanankya7405 5 ай бұрын
Simbaaa
@Mdundotv-jk7hj
@Mdundotv-jk7hj 9 ай бұрын
❤❤
@castoriarogatus3675
@castoriarogatus3675 9 ай бұрын
yan tutaongea lakin ukweli ni kwamba Simba ni timu kubwa Tanzania naiangalia tena 12/3/2024 haichoshi aiboi
@AliyuBashiru-zv6mt
@AliyuBashiru-zv6mt 8 ай бұрын
Mungu asimame nasi kwenye mechi ya Leo
@arbinuwamahoro7370
@arbinuwamahoro7370 9 ай бұрын
Mnyama mkari wa mwitun❤🎉❤🎉
@GibsonMwapongo
@GibsonMwapongo 6 ай бұрын
Simba tamu wewe
@mocrowntz
@mocrowntz 7 ай бұрын
Daaaaaaaah!
@PendoJoram
@PendoJoram 2 ай бұрын
Chama atakumbukwa daima kwa Liyoyafanya simba
@harunichugu7698
@harunichugu7698 5 ай бұрын
Inakumbusha mbali sana
@nurdinmbumi2488
@nurdinmbumi2488 2 ай бұрын
Ivi chama akiangalia hizi crip halii kweli maana kaenda kuipoteza furaha yake bila sababu
@HusseinMoshi-t2t
@HusseinMoshi-t2t 2 ай бұрын
Ambao tumerudia hii kwaajili ya camara ❤ gonga like
@rajabukayagwa8222
@rajabukayagwa8222 2 ай бұрын
Usisahau kipa Ali kuwa CAMALA AMBAYE TUNAYE LEO JE TRH 19 SIO MTIHANI
@MobigoMobigo-b8d
@MobigoMobigo-b8d 3 ай бұрын
Tupo weng😂😂😂😂
@frankmganda2424
@frankmganda2424 9 ай бұрын
Kweli chama hapa bongo bado sana
@joycemisalaba4954
@joycemisalaba4954 3 ай бұрын
Siuuuuuùuuuuu
@VinletTanzania
@VinletTanzania 3 ай бұрын
Namkubali sana
@haldonharry2039
@haldonharry2039 8 ай бұрын
Hii cku watu walifanya sana mapenz
@fardamwamlma6147
@fardamwamlma6147 8 ай бұрын
😂😂😂😂
@valentinanyambi
@valentinanyambi 27 күн бұрын
😂😂😂 but why
@bokoshomtalisi8196
@bokoshomtalisi8196 6 ай бұрын
Chama Kwa. Nini mwakahuu. AU. Fanyi. Vizuri
@Charles-cd6nf
@Charles-cd6nf 8 ай бұрын
Simba hiihatutasahu ilikua
@AllyAmanzi-y8i
@AllyAmanzi-y8i 5 ай бұрын
Jaman Triple C Anajua kweli
@FrancisCheyo-y1g
@FrancisCheyo-y1g 9 ай бұрын
NaikumbuKa sanaaaaaa
@bokoshomtalisi8196
@bokoshomtalisi8196 6 ай бұрын
Naku penda. Simba. Sana
@MeriMari-ol3ii
@MeriMari-ol3ii 9 ай бұрын
❤❤❤❤
@SaidAlawi-m6x
@SaidAlawi-m6x 9 ай бұрын
Amiin
@MoMatiko-f6b
@MoMatiko-f6b Ай бұрын
chama mbaka sasa namkubali sana
#LIVE: UPANGAJI WA DROO YA SIMBA UNIVERSITY BONANZA | SIMBA SC VS CS SFAXIEN
1:15:10
Highlights | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | NBCPL - 30/12/2022
24:15
UCHAMBUZI SAKATA LA FEISAL SALUM, JE, ANAKWENDA SIMBA AU HAENDI?
14:01