Simba nguvu moja. Hii mechi kwa Bravo ni Do or die. Piga ua kwa vyote vyote vile. kwa figisu kwa kufungiwa lazima watataka kushinda na Waangola kwa figisu wapo vyema kwa hivyo wanasimba lazima tutambue hilo. Hiyo mechi ni zaidi ya fainali tujipange. Bravo kwa kiasi kikubwa watakuja na mchezo wa matumizi ya nguvu kwenye mchezo wa Juma pili wachezaji wetiu na benchi la ufundi wawe tayari kwa vita hiyo ya nguvu mwanzo mwisho. Simba wawe makini sana na figisu za nje ya uwanja hasa kwenye vyakula na maji na kuekewa hali ya yewa ya bandia.
@Visionaria_HD15 күн бұрын
unantisha
@MrishoMindu-zq7mz15 күн бұрын
Angola Weupe sana na sio watu wafujo kihivyo. Angola wenye vitu vya hovyo ni Timu zao za Majeshi tu.
@PakatJames15 күн бұрын
@Visionaria_HD wanasema ukienda kuwinda fisi basi jiandae na vita vya simba ndio unamueza fisi .
@JaphethShallo-m7c15 күн бұрын
Wakwanza leo kumuangalia semaji like zenu kumi tyu❤❤❤❤❤❤❤❤😂
@mtangofilms15 күн бұрын
Haya bwana
@PendoJoram14 күн бұрын
❤❤❤❤ nakubali Wana simbAaaaaaaaaaa
@saidsalum254614 күн бұрын
Mechi ya Angola ni muhimu sana simba kushinda. simba itashinda naitakuwa nyepesi inshaallah
@AlbinusRomanus15 күн бұрын
Simbaaaaaa nguvu mojaaaaaa😂😂😂😂😂😂had rahaaaaa
@yugemasanza100815 күн бұрын
Semajiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
@JohnJustine-g8u15 күн бұрын
❤ sinba
@HamisNyanda15 күн бұрын
Ubaya ubwela semaji la kafu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Veronica-z6b4t15 күн бұрын
Semajiiii la africa
@MagrethMushi-r2u15 күн бұрын
Hatubabaiki na like zisizo na maana tuna msemaji bombastic
@Raymondgudulax15 күн бұрын
Ubaya ubwera ❤❤❤❤❤
@HassaniMaina15 күн бұрын
Simba nguvu moja
@anthonymilinga869615 күн бұрын
Uko sahihi sana, hii mechi itakuwa ngumu sana maana Bravo anataka ashinde hii mechi ili ajiweke kwenye nafasi. Bravo akitufunga tutakuwa kwenye wakati mgumu sana kuelekea robo fainali. Piga uwa garagaza simba inatakiwa kushinda au kutoa Sara hii mechi.
@ChistinaJosepha15 күн бұрын
❤
@bigirumanalululouise454015 күн бұрын
Simba❤❤❤
@AthumaniMohamed-t4g15 күн бұрын
Hahahahahahahaha😂😂😂😂😂 uwiiiiiiiii semaji kamasemaji sishida zao nyuma mwiko
@Bumutz-po2df15 күн бұрын
Semaji letu la Nchi 🇹🇿 Mungu akujalie afya njema 🎉🎉🎉🎉
@OctavianOctavianHermani15 күн бұрын
Me wakwa karibuni wanasimba
@AmosMayila-yx9dg14 күн бұрын
❤❤❤❤🎉🎉
@NeemaJuma-t4g15 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@Veronica-z6b4t15 күн бұрын
Nampenda sana semaji bas tu
@MgazaMhina15 күн бұрын
😂😂😂😂calculator inapata tabu haijui inatafuta nini
@allymwashambwa592014 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉semaji kama semaji
@FazzilaMussa15 күн бұрын
Kila laheli chama langu lasimba❤❤❤❤❤
@isaiahmakenzi924315 күн бұрын
😂😂😂🙌🏽🙌🏽 kwamba calculator inachanganyikiwa
@emmanuelmayunga151814 күн бұрын
😂😂
@emmanuelmohammed129415 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂dah! Ila semaji
@Josephtibu-l9e15 күн бұрын
UBAYA UBWELA😂😂😂🎉🎉
@MarioMdegela14 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ahmadmasoud135015 күн бұрын
Ubaya ubwela❤❤❤❤mnyama
@geofreykalokola652515 күн бұрын
Kicheko Cha tobiiiiiii😂😂😂😂
@abdulmadebari231314 күн бұрын
aiseee
@MwamvuaHamad-b2e14 күн бұрын
Mmesikia kikosi cha semaji namba 11 anakaa zubeda 😂😂😂
@EGM-TZ15 күн бұрын
From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Guys 🎉🎉 Enjoy Muziki Mzuri kutoka EGM
@FatmaHamad-g6s15 күн бұрын
Lakishukuru nishaolewa la sivo semaji kingeumana😂😂bc kuna mtu atamuonyesha mkewe hii...kiukwel semaji tunakupenda wana simba
@twalbuhaji15 күн бұрын
Vinja ndoa mahari tunalipa mashabiki wenzako
@CikeTanzania15 күн бұрын
😂😂😂😂 ungefanyajeeee.
@KhamisAliKhamis-rz8mo14 күн бұрын
Amekuja kukutana na msemaji mwenzake, tofauti ni protocol
@Salimramsey-x8u15 күн бұрын
Okay
@ManaseJubilate-kk2gz14 күн бұрын
Hapo kwny calculator hapo duh😂
@MadeeNauka15 күн бұрын
Nguvu moja
@FuadRuwehy15 күн бұрын
Semaji unawakela😂😂😂
@FestonSengo15 күн бұрын
Semaji unatisha saaanaaaa
@ashaaliameir227115 күн бұрын
Ila Ahmed 😂😂😂😂😂
@Gima-ft7qv15 күн бұрын
Jamani Kuna chuma nyingine ya daxicano song jina NAPONA utaenjoy
@CharlesFadelis-te5fp15 күн бұрын
Anapanga kikos vizur sab amesahau
@nathanaelchezalikatundu886913 күн бұрын
Subtract siyo substract semaji 😄😄😄😄
@mobrighttz19315 күн бұрын
Semaji
@dinajohn909114 күн бұрын
Tunahtaj kujua sajl zetu kimya sana hatuelew au dirisha hili tim haisajl?
@MzeeBabu-s6y15 күн бұрын
Yaa hau koseagi semaji letu dumu sana nawene tuu waku one wafu lai
@KolbiniaNchimbi15 күн бұрын
Semaji anaongea kwa nidham kubwa sana anatumia ujuzi wake vyema kila raherii
@HunchoMkaka15 күн бұрын
Semajii kavaaa kijamhuri😂😂😂😂😂
@MagrethCostantine15 күн бұрын
Wakele semaji wetu wa caf umedamshi saaana
@Pius-i5x15 күн бұрын
Ahmed ally muwe mnapatia pesa hizo za golly la mama
@sylvestermgewalyamoja789215 күн бұрын
Brother unajua kusema hadi unakera kakaaa
@MARACKMESHACK15 күн бұрын
Ubaya ubweraaaaaa
@SojaWaBrazil15 күн бұрын
Simba mnafuzu ira sisi yanga kutobowa mhh naona sawa na ngamia kupita kwenye tundu ra shindano maana ibenge anamisifa😂😂😂
@عزيزه-ر1ه15 күн бұрын
😂😂😂😂🎉
@JosephuKabago15 күн бұрын
Maana yaubaya ubwera ndouu xx ainakupoa iyo😂😂😂
@chidimsafi127914 күн бұрын
Nyumaa mwiko mechi 4 pointi 4 kamaa miguu ya stuli
@RajiMichael15 күн бұрын
❤❤❤😂😂❤❤❤
@yusuphHatibu-jy6kv15 күн бұрын
Kaka wakati nanunua hilo shati pale kwa anko Henry nlikuepo kaka
@NicksonMfikwa-l2g15 күн бұрын
Ubaya ubwelaaaaà
@JacksonMabeyo15 күн бұрын
😂😂😂😂😂ety nilikuwa wapi ila Ahmed Ally
@MgazaMhina15 күн бұрын
Kaka shaba usimuone vilee 😂😂😂
@NazilisalumukadeweleNazilisalu15 күн бұрын
Akuna mwana simba asiyee kuwa na furahaaa😂😂😂😂😂😂😂😂 kubwa zidi ya ubaya ubwela 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@nimechoka372215 күн бұрын
Kaz
@radiologykrrh14 күн бұрын
Hapo kwenye hesabu ni balaa hahahahahha
@chomztheone655115 күн бұрын
Hiyo kikos sasa😂😂
@dawayao283715 күн бұрын
😂😂😂
@ammyulediuledi597715 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@dawayao283715 күн бұрын
semaji usimalize maneno mambo huwa yanageuka hutaamini 😢