SIMULIZI DK. ULIMBOKA ALIVYOTEKWA, KUG'OLEWA MENO NA KUCHA; "NILIPIGWA MPAKA NIKAWA SISIKII MAUMIVU"

  Рет қаралды 187,813

DAY 2 NEWS

DAY 2 NEWS

Күн бұрын

Пікірлер: 636
@nindymuruga4798
@nindymuruga4798 11 күн бұрын
Najiuliza hivi hawa watekaji hua wafikili wao hawatakufa😢😢😢😢pole sana bro
@boazambokile2587
@boazambokile2587 5 күн бұрын
naona wataishi milele
@SAYFANMUSSA
@SAYFANMUSSA 4 күн бұрын
Watu wapo kazini
@MagnusBugingo
@MagnusBugingo 10 күн бұрын
Very potential man olimboka SEMA MUNGU atawajibu Kila mmoja Kwa wakat wake
@WagulimbaOGonline
@WagulimbaOGonline 10 күн бұрын
Sijui unaamgalia video hii mwaka gani lakini jua kwamba mimi pia niliwahi kuitazama video hii mwaka 2024 kwasasa sijui kama nipo hai au nimekufa Kila la kheri kwako msoma coment god bless you
@LuckyTemu
@LuckyTemu 9 күн бұрын
Bless you too 🙏
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 11 күн бұрын
Siasa kuna UNAFIKI MWINGI SANA wakiwa kwetu kuomba kura utahisi ni watu wa Mungu wacha Mungu kweli kweli lakini ni hatari kwa afya
@benjaminsanare-ug6ge
@benjaminsanare-ug6ge 8 күн бұрын
Mambo ya kutekanatekana ni ushamba wa zamani❤❤
@amransaid6018
@amransaid6018 6 күн бұрын
Hao ndio ccm na chama lao utadhani kana kwamba wataishi hapa milele
@stevensoso7506
@stevensoso7506 11 күн бұрын
Nkikumbuka naumia sana maisha hayaendi ivo
@mwanjinzara8009
@mwanjinzara8009 9 күн бұрын
Nitariiii sana kumbe utekaji ulikuwepo tangu enzi hzo pole sana doctor mungu akufanyie wepesi
@HassaniUlenge-j5j
@HassaniUlenge-j5j 7 күн бұрын
Unajua katika ulimwengu huu kuna watu wanafikiri wao wataishi milele kumbe la! kila mtu atalala mauti haijarishi una mamlaka makubwa
@AloyceKalombo
@AloyceKalombo 11 күн бұрын
mung pekee ndio hakim wa mwisho kwa huu ubaya aliofanyiwa dactar olimboka
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 11 күн бұрын
Hii nchi mm sjui kwel lisu alipgwa Risas na mahali alipopgwa Kuna cctv kamera,Raisi bado hatujapata majibu yoyote juu ya matatzo haya yanayotukabili watanzania
@pinieliedward5992
@pinieliedward5992 11 күн бұрын
Kweli ndio maana chadema roho inawauma tena mhudumu wa afya ambaye angewatibu hata wao
@gracemima5234
@gracemima5234 11 күн бұрын
Yote hii ni madaraka. Kikwete Mungu atamuona. Na bado anaendelea kuitawala Tanzania kwa nguvu kwa kuweka kwenye madaraka watu anao wapenda
@ChikuHamisi-o8p
@ChikuHamisi-o8p 5 күн бұрын
Mungu mkubwa nyinyi namungu km hajapanga ufe hata binadanu hawezi fanya chochote 😢jina la bwana libarikikuwe🎉
@WilliamKivugo
@WilliamKivugo 11 күн бұрын
Pale ambapo binadamu wamedhamilia lao na mungu hajaridhia litokee
@ThomasMmary-r7w
@ThomasMmary-r7w 10 күн бұрын
Daaah 😢so sad
@asiasuleman8750
@asiasuleman8750 11 күн бұрын
Mhhh kz tunayo tz
@abdulhusseinmuhammedahmed5946
@abdulhusseinmuhammedahmed5946 11 күн бұрын
Madaktari wasimtibu unaonaje,walikuwa wagonjwa wengine walipigwa na majambazi waliwaacha
@wisdomfolks
@wisdomfolks 11 күн бұрын
Move ile ile character tofauti imtosha sasa ccm hii sio nchi yenu wenyewe trh 23 tukutane wananchi wanaoipenda inchi yao
@controlTheoryChamps
@controlTheoryChamps 10 күн бұрын
It's time ya kuitoa CCM
@jumasalum2677
@jumasalum2677 10 күн бұрын
​@@controlTheoryChamps uitoe Kwa Nini Sasa ulitaka ifanye nini wange mlinda Mpaka safari zake zote sawa sawa tyu Hilo nisomo tosha
@storytime1204
@storytime1204 9 күн бұрын
​@@jumasalum2677sasa wamlinde na wawo ndio walikua watekaji?😅 tunataka kuona watu wengine wakitawala kwakweli
@mrsmumewangu4907
@mrsmumewangu4907 4 күн бұрын
​@@jumasalum2677mjinga Sana ww angekufa babaako mzazi ungethubutu kuongea pumba hio choko we
@rehemambilinyi9452
@rehemambilinyi9452 11 күн бұрын
Taarifa imenyooka na inaeleweka hongereni sana Day2News
@sanaf8367
@sanaf8367 11 күн бұрын
Huo uchunguzi mbona hakuna majibu yoyote mpaka leo viongozi washenzi sana wanasema mengine na kutenda mengine.
@IlhamKhalid-mt3jp
@IlhamKhalid-mt3jp 11 күн бұрын
Magufuli ameondoka naoo
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 11 күн бұрын
Uo uchunguzi ndio nani atakamatwa? au unataka mtu aitwae uchunguzi unaendelea ndio akamatweee????.....
@ibrahmuya3528
@ibrahmuya3528 10 күн бұрын
​@@IlhamKhalid-mt3jpsasa hapo magufuri anahusika nini wakati ilikuwa ni utawala wa jakaya
@storytime1204
@storytime1204 9 күн бұрын
​@@deniccgabriel6153andika tena maana sijaelewa
@carenraymond7500
@carenraymond7500 11 күн бұрын
Ukipata nafasi ya wew kua salama na familia yako mshukuru Mungu tu sahv mambo ni mengi mno
@bwagizoselemani8434
@bwagizoselemani8434 11 күн бұрын
Kwel kaka
@IlhamKhalid-mt3jp
@IlhamKhalid-mt3jp 11 күн бұрын
Hatari sana
@FabiDthree-ro1ms
@FabiDthree-ro1ms 10 күн бұрын
Kwa tanzania yetu ndo hpo hvy dar 😢
@VioletMwaifunga
@VioletMwaifunga 10 күн бұрын
😢😢
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn 9 күн бұрын
Wakati wengine wanateswa na kuuwawa ukakaa kimya kisa wew uko salama na familia yako uovu utakufuata tu na hautakuwa na wakumkimbilia think twice
@dunstunnchimbi7994
@dunstunnchimbi7994 8 күн бұрын
Kuanzia leo tarehe 21 September 2024. Naanza rasmi kuwa mwanachama leo. Asanteni sana. Ila hii nchi basi tu. 😢😢😢
@NixonJohnson-r4m
@NixonJohnson-r4m 11 күн бұрын
Mzee wa mboga hukumu inamsubiri ya huyu mtu ... mtashinda duniani kila kitu ila ukilala tu ukiwa peke yako itakukuta hii
@esterkalinga-zu9ve
@esterkalinga-zu9ve 11 күн бұрын
Duh! 😭😭😭 Ee Mungu simama na sisi watoto wako😢
@jombilozoo
@jombilozoo 11 күн бұрын
Makala Ina taarifa madhubuti, hongera sana Mhariri
@ActiveMedia-j9y
@ActiveMedia-j9y 11 күн бұрын
NYUMBA ZIMEJENGWA ILA HAKUJA ANAEISHI KWA WASOMALI UNUNIO IYO
@PhilipoLeonard-q5w
@PhilipoLeonard-q5w 11 күн бұрын
Mi nasoma tu comment NIMESHINDWA Niandike nn
@nindymuruga4798
@nindymuruga4798 11 күн бұрын
Ila mambo haya yameanza zamani tanzania hii😢😢😢
@veronicanabina3380
@veronicanabina3380 8 күн бұрын
Tena na watu wasiojulikana, mtu agitated haki za watu yuko hatarini, tena mtu anasema ni mambo ya kawaida hata inchi zingine yanatokea kweli Kuna utu hapo kwelii,
@hawasaid7151
@hawasaid7151 7 күн бұрын
Ni mjinga gani huyo aliyesema ni mambo ya kawaida😢​@@veronicanabina3380
@lamerckmsuya5513
@lamerckmsuya5513 5 күн бұрын
Dahaaa!!uyo baba aliteseka sana kwakweli,lkn jipe moyo baba kuna peponi na jehanamu
@Jamesmwakisambwe
@Jamesmwakisambwe 11 күн бұрын
Katika maisha yangu nakuwa makini sana na mtu anaecheka wakati wote akiigiza kuwa mwema bora mtu anaekuwa serious wakati wote sababu utajua mdivyo alivyo na utajua jinsi ya kuishi nae, tanzania nakupenda kwa moyo woye
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 11 күн бұрын
Kweli❤❤
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 11 күн бұрын
kabisa marafiki wanafiki
@asnathmwaipopo6877
@asnathmwaipopo6877 10 күн бұрын
😢😢kweli kabisa aisee MUNGU atusaidie sana maana hatuwajui kwa macho haya ya nyama. Atupe macho ya rohon 🙏🙏
@muhammadmpahi338
@muhammadmpahi338 11 күн бұрын
Tangu litokee tukio la ulimboka sijawahi tena kusikia madaktari wanatishia kugoma. Yani kimiyaaaaa
@khaalidcheo5383
@khaalidcheo5383 11 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@ramsojimmykelly3379
@ramsojimmykelly3379 11 күн бұрын
Alooo....ila na wao walisababisha watu wengi kufariki
@jumasaid6073
@jumasaid6073 10 күн бұрын
Maslahi yao yaliboreshwa, ndio maana mgomo uliisha, Ulimboka alitolewa kafara ili madaktari wa wapate maslah stahiki !!
@BensonMpete
@BensonMpete 9 күн бұрын
Iv ulimboka aliendaga wapi
@husseinhkitambi1701
@husseinhkitambi1701 9 күн бұрын
Yupo kwao kibangu ​@@BensonMpete
@gracemima5234
@gracemima5234 11 күн бұрын
Watu walikuwa wanakufa tu hata bila mugomo. Hospital zilikuwa hazina dawa wala vyombo vya kuwapima wagonjwa. Wenyewe na familia zawo wakiuguwa wanaenda India kwa fedha za wananchi. Viongozi wetu tunao wapigia makofi na sifa nyingi ni hatari sana. Bado vizazi vyawo vinaendelea kututawala
@qaseemayoub6758
@qaseemayoub6758 9 күн бұрын
Nasikitika sana Watu kukosa utu Ewe mungu jaalia moyo wangu hivi hivi usifanye ukawa mgumu kias cha kuweza kuua...Ewe mungu niongoze😭😭😭😭
@lirastanley390
@lirastanley390 7 күн бұрын
MUNGU wetu ni mmoja na kila nafsi itaonja umauti...km kuna hukumu kweli ya Mungu basi tu iwepo na itoe haki kwa wote.Aisee
@saimonmbwambo8426
@saimonmbwambo8426 10 күн бұрын
Nimegundua kuwa hii Chanel ya habari iko vzr mno
@abuuahmad3238
@abuuahmad3238 Күн бұрын
Unyama wa TZ deep State. ..shadow govt ya Tanzania...wahisikaji wa kuteka, kutesa na kuua...maraisi hawahusiki hivyo lakini wanawajinika....
@betricemainoya4176
@betricemainoya4176 8 күн бұрын
Ila tz waiga sana kesi kama hii inafaa iende hage mahakama za kimatsifa huyo rais wa wakati huo ashtakiwe kwa unyanyasaji hanatofAuti na Charles teyla
@JoshuaSalimu
@JoshuaSalimu 11 күн бұрын
HALAFU MPK LEO WATU WANAIMBA ETI TUMEFUNGA NDOA NA CCM KWELI. TANZANIA MANYUMBU
@ibrahimconte601
@ibrahimconte601 9 күн бұрын
Walijua atakufa kwa maumivu makali waliomuachia kumbe mungu ni mwingi wa huruma.
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 8 күн бұрын
Hawakutaka kumuuwa yaani huyu walitaka awe sampo
@DavidSemu-gu6wp
@DavidSemu-gu6wp 11 күн бұрын
Dah! Hili jambo lime nime nikumbusha mbali ila watekaji!! si lakuchekesha ila samahani tu 😂 😂 yaani doctror mna mn'goa meno mnajifanya nyie madentist, kwani alikuwa na matatizo gani ya kinywa??! Na toka pale yule doctor wa wenyewe sijui alikimbilia wapi haja sikika eti walimtoa meno amekuwa cobra?! Eeeh!
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 11 күн бұрын
😂😂😂😂 umenichekesha kama mazuri ati cobra 😢😢😢😢
@gracegrace6510
@gracegrace6510 11 күн бұрын
Dk wangu huyu jamani alinifanyia clinic ya mwanangu wa kwanza
@IshakaIssa-h4w
@IshakaIssa-h4w 11 күн бұрын
Daa Yan hat mim nishaanz kuogop Kam daktr kafanyw hivi je mim ,Mungu tusaidie watanzania tulipofikia sio pazur
@nancyg8664
@nancyg8664 11 күн бұрын
ila Mungu uwa anawalipa vibaya hawa watu ndo unakuta wanapata ajali mbaya wanakufa au wanatenguliwa serikalini yan sisi tunawaurumia kumbe ni malipo ya uovu waliaoawahi kuwafanyia watu.
@ayubuiddi8563
@ayubuiddi8563 11 күн бұрын
pole kaka yangu mwenyezi mungu akufanyiye wepesi inshallah utapona
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 11 күн бұрын
Alisha pona ameamanchi
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 11 күн бұрын
​@@sharifabahar9905hivi yupo Nchi gani?😢 2012 nakumbuka nilichangia pesa Kwa ajili ya matibabu yake.
@yussbreezy918
@yussbreezy918 9 күн бұрын
Huyo kitambo enzi za Kikwete
@Tanzaniayangu1
@Tanzaniayangu1 6 күн бұрын
​@@sharifabahar9905duh
@amelugatz5192
@amelugatz5192 10 күн бұрын
Wakati unaangalia hii, chukulia tu huyu ni katika wale wachache waliobahatika kupona. Wapo wengi ambao hawakubahatika kupona. Jaribu kufikiria ni wangapi hawakupona. Hii dunia muogope sana mtu, mungu yupo, lakini ogopa kwanza binaadamu maana mungu yuko mbali.
@johansenbashange2628
@johansenbashange2628 4 күн бұрын
Serikali ndiye mtuhumiwa namba moja mara zote mtu anapotoweka! Unless itambulike vinginevyo
@AmisamauridNgagada
@AmisamauridNgagada 11 күн бұрын
Sisi sote ni Watanzania lakn wengine wanaishi kama mbwa Koko why lakn serikali ijichinguze Kwa hili
@ngwalesma3681
@ngwalesma3681 5 күн бұрын
Imagine huyu na yeye angeenda hospitali halafu madaktari wamegoma
@Stefan-bf1dc
@Stefan-bf1dc 8 күн бұрын
Kuna watu wanafanya vitu kama sio binadamu. Mambo kama haya yanasikitisha sana kutokea kwenye nchi yetu tunayoihubiri kuwa ni nchi ya amani
@AshelyMbegu
@AshelyMbegu 11 күн бұрын
Toka kitambo haya mambo ila suluu to much
@nancyg8664
@nancyg8664 11 күн бұрын
nachokiona sasa hvi bora umevuguvugu yan upo kama haupo ili kujiepusha na haya yote
@tataLil-i3v
@tataLil-i3v 3 күн бұрын
Wadogo zangu mlozaliwa elfu mbili naa,its the true this story ❤❤
@aud548
@aud548 11 күн бұрын
This will follow Mzee wa Msoga to the grave🤲
@MjuniLaulian
@MjuniLaulian Күн бұрын
Ulimboka lissu dativa Wana mungu na anamakusudi nao wasimuche mungu wetu
@omarry-x1z
@omarry-x1z 6 күн бұрын
Dah hongereni sana brother yani mnatoa ukweri mtupu hamuachi hata chembe napenda sana kufatiria hii chaneli
@JamesKirita
@JamesKirita 11 күн бұрын
Kumbee nimeelewa danganya hii yazaman ndiyooo hiii yasasa hivii
@AdolfJosephmassawe
@AdolfJosephmassawe 11 күн бұрын
Tanzania AKUNA AMANI daahh ni kama Atuna Raisi kabisa ila MUNGU yupo
@ashurakodd1589
@ashurakodd1589 11 күн бұрын
Shetani zeni u lakini kwa uwezo Mungu alipona na mkaumbuka halafu mnasema nchi ya amani na kufikuza watumisi
@zepinashatibu5149
@zepinashatibu5149 Күн бұрын
Kichwa cha habali siyo kizur miaka mingapi iliyo pita unaandika siku kumi zimepita mtu asipo tazama vizur anapata mshangao mwingine tena katekwa kumbe past wahusika ni hao viongozi kama ney wa mitego alivyo waimba
@ChikuHamisi-o8p
@ChikuHamisi-o8p 5 күн бұрын
Mmmmh😢swali langu ni bado huyo anaejieleza bado yupo hai?😢
@husseinmasha3712
@husseinmasha3712 Күн бұрын
Lakini kitu kikubwa kinachonishangaza binafsi ni kwamba watu wote waliotekwa, waliouwawa, walioumizwa, walionusurika kufa ni wale waliokuwa na migogoro na serikali, na baadhi ya interview zao zilihusisha ukosoaji wa serikali sasa hii ni aibu kubwa kwa viongozi wa serikali na serikali kwa ujumla kwamba hawajui wajibu wao kwa jamii ila wanawajibikia matumbo yao 😢
@DavidChengula-g5v
@DavidChengula-g5v 11 күн бұрын
Daaaaa pole sanakaka 😢😢😢😢😢😢😢😢
@AhmediKilingamoyo
@AhmediKilingamoyo 2 күн бұрын
Haya maishayaduniatu woote tutayaacha tutaendakukutana namolawetu
@BenLeeBl
@BenLeeBl 6 күн бұрын
Jeshi linatumia vibaya sanaaa..na je hao watekaji wakwapi
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 5 күн бұрын
Toka enzi za kikwete ni uchunguzi kufanyika na haijawah tokea chochote ni maneno ya siasa
@MandoliiMoshi
@MandoliiMoshi 3 күн бұрын
sasa losu akizungumza kuhusu kutekwa nyinyi mnamtukana kuwa hana sera ila kumbukei lisu yuko sahihi lazima chadema wapazee sauti ili kupinga hii hali ya utekaji kuisha mana kuishi n haki ya kila mtz ko wanachi acheni kuwaponda chadema
@dreahmed2336
@dreahmed2336 11 күн бұрын
Mwanzoni niliona channel imetumia wakati vizuri kupitisha taarfa ambazo zimepitwa na wakati ili kupata watazamaji, lakini baadae nikagundua kulikua kuna umuhimu wa aina yake kujikumbusha tukio hili. Hongera sana muandhishi na msimulizi, Mungu azibariki kazi zenu na awaepushe na changamoto katika kazi zenu.
@mwambaimara1950
@mwambaimara1950 11 күн бұрын
Hata kama mtu ana makosa kweli anastahili hayao mateso? Kutoka kwa mwanadamu mwenzio? Mngempiga risasi afe mara moja , lakini kwa mateso hayo...mungu anawaona hadi leo!! Ukatili wa hali ya juu sana kung'oa meno na kucha!!
@tataLil-i3v
@tataLil-i3v 3 күн бұрын
Haki haipatikani kiurahisi, Tanzania 🇹🇿 tuache uwoga
@samirizi01
@samirizi01 10 күн бұрын
AISEE HII INCHI KUMBE KUNA MAJAMBAZI SUGU YA SERIKALI MATUKIO HAYA NI YA MDA MREFU SANA HIMEPATA JIBU MPAKA HAPO KUMBE SERIKALI YA CCM NDY WAHUSIKA WA HAYA MAUAJI USHAHIDI SI KAMA HUU SASA BADO TUTAFUTE NINI TENA😂😂😂😂😂😂😂
@FabiDthree-ro1ms
@FabiDthree-ro1ms 10 күн бұрын
Mbona yapo meng ayo matukio tanzania ni janamu na cyo nchi
@sir-dmwaye1891
@sir-dmwaye1891 3 күн бұрын
Daah watu wanapitia magumu ewe Mungu Niepushe na haya pia mjalie afya na uzima
@AmandablancaavitMassawe
@AmandablancaavitMassawe 11 күн бұрын
Kwani mlikumnasubiri hii mijitu tumbo ccm ikubali
@TonyMasterog
@TonyMasterog 11 күн бұрын
😢😢😢 Hao watekaji wauwawe mara moja jaman wachomwe moto mamae zao
@HanceMagazi
@HanceMagazi 9 күн бұрын
Hi ya kitambo 2010
@AbiaWilliam-s1s
@AbiaWilliam-s1s 6 күн бұрын
Ila mungu yupo ajalala kabisa anaona ad yaliyo sirini 😢😢😢😢naumia kuona mambo Kama aya yakiendelea kwenye taifa Mungu baba uliye mbinguni tenda Jambo kwa watu wanao teak na kuwa marafki Zeru
@priscusaugust7251
@priscusaugust7251 2 күн бұрын
Kikwete nae mungu akimchukua ni motoni moja kwa moja
@engmattminja3567
@engmattminja3567 Күн бұрын
Nyie watu ni majasiri sana..taarifa imenyooka sana
@godfreyjulius5132
@godfreyjulius5132 8 күн бұрын
Hakuna binadamnafiki kama Kikwete
@Myright888
@Myright888 5 күн бұрын
Na bado hakuna aliyewahi kukamatwa!! Na mambo haya yanaendelea hadi sasa Na sasa wanaua kabisa. Ulimboka bado anayonafasi kuishtaki serikali kimataifa.
@husseinmboje1449
@husseinmboje1449 11 күн бұрын
daah jaman yan mungu atawapa zawadi zenu
@labancharles8453
@labancharles8453 11 күн бұрын
MUNGU ndo mlinzi wa kweli
@sudyslaa8278
@sudyslaa8278 11 күн бұрын
Kweli Serikali hazihusiki maana watu wa usalama sio wa Serikali basi sawa.
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 11 күн бұрын
Sio watu waserikali ni chadema na kujiteka na kujiuwa wenyewe 😢😢😢😢
@SadaUsantu-cn3yx
@SadaUsantu-cn3yx 9 күн бұрын
Na police mtazidi kufa masikini na rahana zenu.
@emmanuelsitayo1977
@emmanuelsitayo1977 11 күн бұрын
Hii imekuwa ndiyo mila ya serikali ya nchi hii.
@veronicanabina3380
@veronicanabina3380 8 күн бұрын
Yaani hili gazeti nilikuwa nalipenda kwa habari zake za ukweli na badaye likafugiwa ila watu mungu anawaona
@ndakichuwa7618
@ndakichuwa7618 9 күн бұрын
Naamini Mungu yupo na anona ila anawapa muda ili kujirudi,fanyeni toba na kuacha matendo ya kikatili na uonevu
@TeuMuhale
@TeuMuhale 11 күн бұрын
Kumbe uchunguzi wakina ulishaanza kitambo😂😂😂😂
@alibachirofficial3939
@alibachirofficial3939 11 күн бұрын
Bro unacheka?😢
@JeniferMsele
@JeniferMsele 3 күн бұрын
Ila hii Serikali jaman Mungu atusaidie
@farajaMezza-qn4be
@farajaMezza-qn4be 9 күн бұрын
Ila Mungu anampenda sana huyu Dk. Kwa kipigo hiko na bado yupo hai??? Kweli Mungu anaishi!
@mamakendrick7538
@mamakendrick7538 2 күн бұрын
Kitu cha uchunguzi wa kina hapo mwisho😅
@AhmediKilingamoyo
@AhmediKilingamoyo 2 күн бұрын
Polesana dr ulimboke
@beatricesamwel6136
@beatricesamwel6136 7 күн бұрын
Na huyo anaefanya hivyo ni binadamu aliyezaliwa na mwanamke😢😢
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 11 күн бұрын
Hapa moja kwa moja aliehusina ni msoga
@enocksitta6350
@enocksitta6350 11 күн бұрын
Aisee, watakuja kulipwa na wao Mungu yupo daima uwezi mfanyia mwenzako hvyo
@FabiDthree-ro1ms
@FabiDthree-ro1ms 10 күн бұрын
Ndo tumebisha hcho tu ila kiukweli hch tusipo pambana sisi wenyewe akuna atakae kuja kutugomboa uku mtegemea mungu mungu ana mengi il tupambane sisi
@KuruthumBilali
@KuruthumBilali 8 күн бұрын
Amin
@justinemwinuka5068
@justinemwinuka5068 9 күн бұрын
Pole sana mungu mungu akuponye bro watu wanazania wao wamilele mambo hua yanabadilika kama nyakat
@rehemasaimon4932
@rehemasaimon4932 3 күн бұрын
Natamani kuandika ila we Uogopi😢
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 11 күн бұрын
Yani laana kumhao mungu awalaani
@fredyleonardmaths2546
@fredyleonardmaths2546 9 күн бұрын
Mungu ataenda kuitetea Tanzania.Ndani ya haya maumivu naona NURU kwa Tanzania,Mungu anaenda kuibadilisha serikali hii Amini msiamini,CCM imefika mwisho.
@husseinhkitambi1701
@husseinhkitambi1701 9 күн бұрын
Ila huyu alisababisha kifo cha rafiki yangu kisa mgomo alio uandaa mimi niliona safi tu kufanyiwa hivyoo maana maafa yaliotokea kwenye ule Mgomo acha tu
@jonasizack6712
@jonasizack6712 11 күн бұрын
Dah aisee watu Tuna roho mnaya vbaya mno
@happinesstesha7061
@happinesstesha7061 2 күн бұрын
Pole sana kaka hao watu walikua wakatili mno
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 8 күн бұрын
Pole sana tena sana zaidi yasana mungu wangu jehova yesu
@BakarIdi-qc8yf
@BakarIdi-qc8yf Күн бұрын
😢😢😢😢😢 naona kama tunafikia pabaya
@almaarifonlinetv
@almaarifonlinetv 11 күн бұрын
Majuzi nilijaribu kuangalia mtandaoni nione Daktari yupo wapi siku hizi lakini sikuona update yoyote inayomhusu jamaa.
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 11 күн бұрын
Sijui Yuko wapi
Cutting Edge | Protection Fee
24:21
SABC News
Рет қаралды 44 М.
How To Get Married:   #short
00:22
Jin and Hattie
Рет қаралды 22 МЛН
iPhone or Chocolate??
00:16
Hungry FAM
Рет қаралды 40 МЛН
Top U.S. & World Headlines - September 25, 2024
10:41
Democracy Now!
Рет қаралды 168 М.
SADTU holds 10th National Congress
2:13:10
SABC News
Рет қаралды 9 М.
KI im Krieg: Was in Israel und der Ukraine passiert I auslandsjournal frontlines
28:48
How To Get Married:   #short
00:22
Jin and Hattie
Рет қаралды 22 МЛН