SIMULIZI MPYA: JINI MAHABA, By Ankojay

  Рет қаралды 53,396

Ankojay Simulizi

Ankojay Simulizi

Күн бұрын

Mauaji ya kutisha yamekuwa yakitokea kwa watu kupoteza maisha katika mazingira ya kutatanisha. Kila aliyekufa vipimo vilionesha ameuawa na sumu ya kali ya nyoka ambaye anapatikana chini ya bahari na sumu yake huenda kwa haraka kukimbilia moyoni.

Пікірлер: 184
@amimaawazi6643
@amimaawazi6643 Жыл бұрын
Nimewai leo naombeni laiki
@winfridakombe7366
@winfridakombe7366 6 ай бұрын
Nilichokuja Kugundua Ally mbetu ni mnoma sana kwenye Simulizi za Mikasa ni 🔥🔥🔥akutane Sasa na Sauti ya @anko Jay ni fireeeee burn congratulations lovers
@aminah9557
@aminah9557 Жыл бұрын
Haya kaka J jini mahaba kafanya nini tena😢😢😢 acha nikae mkao wa kula hapa
@shreemwanakombo6794
@shreemwanakombo6794 Ай бұрын
Kaka ally mbetu pongezi sana kwa simulizi zako bro Ankojay barikiwa sana mwamba na sauti zako ❤❤
@salmakim557
@salmakim557 Жыл бұрын
Kwa hakika Dr Ambe hana show mbovu mali yake safi tena moto alafu sasa Anko Jay kiboko yao,natamani kuiskia hiyo sauti ya mahaba, weee kosa uchekwe
@sophiahassan-kn7ov
@sophiahassan-kn7ov Жыл бұрын
Haya Anko j jini mahaba tena 😊twende nalo
@zuenahz5514
@zuenahz5514 Жыл бұрын
Aweeeeeeeeeee sijachelewa hasaaaaaaaaaa big up anko Jay
@uwimanaantoinette6417
@uwimanaantoinette6417 Жыл бұрын
Ally mbetu yupo vizuri sana ukichanganya na msimuliaji uuuuwiii hongereni 🥰🥰
@OmariNyota
@OmariNyota Жыл бұрын
I can't wait for the part 2, it took so long time 😢😢😢😢 AnkoJay Wakati Gani video ya JINI MAHABA inatoka JAMANI!! Anko⁉️⁉️ We can't wait!!
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
Mwandishi hajaitolea part 02
@OmariNyota
@OmariNyota Жыл бұрын
I hope mwandishi Hawezi kufanya yale wanayofanya Felix mwenda kwa sababu tunangoja sana simulizi ya Jini wa baharini Jani AnkoJay we for Waiting 3 years ago, Na inasikitisha sana nini sehemu ya Kipindi cha mwisho cha msimu wa 1 Jani ni nzuri sana Yani basi tu Sasa Anko Ni nini kilimpata kaka yetu Felix. Tell him we waiting for season 2 and we miss him so much ❤❤❤ from 🇫🇮🇨🇩🇧🇮
@dalilaamiri
@dalilaamiri Жыл бұрын
Thanks 😊 Ankojay ❤❤
@sonko-c6h
@sonko-c6h Ай бұрын
Yaan we 🔥🔥🔥🔥🔥
@nadrasalum6039
@nadrasalum6039 Жыл бұрын
🤔🤔naiwazia jini mahaba cjuw itakavyo noga kichizi naisubir mda ufiki nitenge masikio yangu anko j hunaga mbambamba 🥰❤❤❤
@slicemarwa
@slicemarwa Жыл бұрын
I like how you change tones of each character ...👏👏👏hongera sana
@Winniequinepretty-wm7rr
@Winniequinepretty-wm7rr Жыл бұрын
Thanks anko jay
@fatmamohammed1030
@fatmamohammed1030 4 ай бұрын
Dah yaaan hadi raha sijawah sikiza kitu bomba kama hiki
@7031thedon
@7031thedon Жыл бұрын
🤔🤔hiiii simulizi nzuri pamoja anko jay
@JescaMateseko
@JescaMateseko 5 ай бұрын
Anko jay please tunaomba mwenderezo
@MariamShusho
@MariamShusho 6 ай бұрын
Asante sana ankojay nakupenda sana mungu akulinde
@ruthwaithera2650
@ruthwaithera2650 Жыл бұрын
Leo tumeachwa hunging...hii nyoka alafu?
@minahmtaki7119
@minahmtaki7119 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@elizabethlucky8200
@elizabethlucky8200 Жыл бұрын
Maajabu haya
@suzanachambo4206
@suzanachambo4206 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤ngoja tuone
@monicahnjoroge3038
@monicahnjoroge3038 10 ай бұрын
Aki asante kwa kazi,kweli next iko wapi.
@mwapendosultan887
@mwapendosultan887 Жыл бұрын
Mambo ayoo jini mahaba
@AlineNizigiyimana-wq2qc
@AlineNizigiyimana-wq2qc 5 ай бұрын
Jamani tunaomba muendelezo wahii simulizi jamani
@christineenoi5117
@christineenoi5117 10 ай бұрын
Big up anko jay kwa usimulizi wako
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Duuu,makubwa na mazito mimba ya jini,kiruuuuu
@MaryamHamisi-m8v
@MaryamHamisi-m8v 11 ай бұрын
Nainjoy simulz nikiwa gulf❤
@winifridatairo6660
@winifridatairo6660 Жыл бұрын
Hajawahi kuniangusha huyu mtu,,, 😘😘
@MwanajumaMasudi-w5f
@MwanajumaMasudi-w5f 4 ай бұрын
Jamani part 2 jjj
@SheilaApondi-dn5lh
@SheilaApondi-dn5lh 2 ай бұрын
Mbona hamleti part 2
@leilathomas7868
@leilathomas7868 10 ай бұрын
When is party 2 coming
@MaryamKhamis-w9s
@MaryamKhamis-w9s 10 ай бұрын
Leo nimeisikiliza tena hii simuliz lakin part two mpaka leo haipo ally mbetu tuletee mwendelezo please
@HalimaKibwana-c4t
@HalimaKibwana-c4t 11 ай бұрын
Weee uncle Jay unampango gani na part2 ya hii simulizi jaman☹️
@MwajumaSaid-u7z
@MwajumaSaid-u7z 6 ай бұрын
Muendelezo
@AlineNizigiyimana-wq2qc
@AlineNizigiyimana-wq2qc 8 ай бұрын
Hii yapili ilikosa kabisa
@MacrinaSalama
@MacrinaSalama 10 ай бұрын
Mimefika❤❤
@mwari-wamburu
@mwari-wamburu 9 ай бұрын
Bado part 2 haiko
@rinahhajj9569
@rinahhajj9569 Жыл бұрын
Mbona hakuna part 2
@Sss-b9w6f
@Sss-b9w6f Жыл бұрын
❤❤❤❤❤😂😂😢😢😢
@MrashiHamoud
@MrashiHamoud Жыл бұрын
Simulizi ya jini mahaba haijatoka mbona muda
@mercykhalayi
@mercykhalayi Жыл бұрын
Jaman anko J mbona haiongei ama naona vbya Mimi 😂
@lovenessmsangi3366
@lovenessmsangi3366 Жыл бұрын
🤎
@qaltumsaid3095
@qaltumsaid3095 7 ай бұрын
Wale wa kuchelewa kuangalia huku tukisoma comment tujuane Kwa like ili tuende sawa 😊😊
@MariamChilango
@MariamChilango 6 ай бұрын
L
@laweluagustino6703
@laweluagustino6703 Жыл бұрын
Part 2 ndo hamna au uyo mwandish anazingua bhn😂😂😂
@halimaally8285
@halimaally8285 Жыл бұрын
Asante anko j
@TinaMacha
@TinaMacha Жыл бұрын
❤❤
@groveyagroya1280
@groveyagroya1280 Жыл бұрын
Please mwendelezo
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 Жыл бұрын
Asante anko jay kwa simulizi nzuri nayenye mafunzo amakweli usiwai puuza ndoto zako atuepushe na viumbe hivi vyaajabu # majini
@ZuenaMakame
@ZuenaMakame Жыл бұрын
🎧
@FadhilMohamed-d5i
@FadhilMohamed-d5i Жыл бұрын
Pamoja saana Ankojay ww hatar nlikua naboeka waa lete utamu sasa
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 Жыл бұрын
Sijachelewa sanaaa asante anko jay acha nikae mkao wakula nijue kilicho jiri
@mishelygodlisten1171
@mishelygodlisten1171 Жыл бұрын
Nisem tyuuu ule ukwel anko bhn n vile unahadithia wewe tyuuu lkn isingekua n ww ata sitak mm simuliz za ivi kabis
@ashaabdalla924
@ashaabdalla924 Жыл бұрын
Vote hivo sina ila marijan ninazo 😂 anko J shukran jazira ❤❤❤
@JawahirMadar
@JawahirMadar Жыл бұрын
Huyo mkeo mwehu asie jitambua mkufu aliambiwa asimpe mtu mwingine napia mimba ataficha hadi lini
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Ufahamu sijui umefanywaje
@halimaally8285
@halimaally8285 Жыл бұрын
Tuongezee nyingine za majini na kichawi
@winifridatairo6660
@winifridatairo6660 Жыл бұрын
😂😂😂😂 Duuhhh!! Tutakuwa wanga mwishowe. 🏃🏃🏃
@estellinhoezekiel2565
@estellinhoezekiel2565 6 ай бұрын
San sn za majin ndo ziwe nying 😂
@ZinaTanzani
@ZinaTanzani Жыл бұрын
Anko Jay kitu cha jini mahaba ni funzo kubwaa
@ZainabuYahya-fu1zc
@ZainabuYahya-fu1zc Жыл бұрын
2naxubil2
@mercyelijah7449
@mercyelijah7449 Жыл бұрын
Jameni part two vpi
@MwajumaHamissi-jg3dp
@MwajumaHamissi-jg3dp Жыл бұрын
Mambo ni moto jamani eeeeh
@AyshaAwadh-e6b
@AyshaAwadh-e6b Жыл бұрын
Part 2mjomba iwapi
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
Mwandishi hajaandika bado
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
​@@ankojay_haaaa,sasa si tutasahau tulipoishia wajameni?
@EvaristSanga-xn1dp
@EvaristSanga-xn1dp Жыл бұрын
Watatu leo thank anko❤
@shaklamwai7868
@shaklamwai7868 Жыл бұрын
❤❤❤❤
@ZulfaSalumu-x2j
@ZulfaSalumu-x2j Жыл бұрын
❤❤
@julienemugoli976
@julienemugoli976 Жыл бұрын
❤❤❤Iyi simulizi ni baba Lao
@faidhatambwe6290
@faidhatambwe6290 Жыл бұрын
Leo nmekuwa wa 87 😂 ksho nakuwa wa kwaza mungu akipenda
@shamilakalinga437
@shamilakalinga437 Жыл бұрын
ladies and gentlemen are you ready 😅😅
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 Жыл бұрын
Very ready🤣😂
@OmariNyota
@OmariNyota 11 ай бұрын
I hope mwandishi Hawezi kufanya yale wanayofanya Felix mwenda kwa sababu tunangoja sana simulizi ya Jini wa baharini Jani AnkoJay we for Waiting 3 years ago, Na inasikitisha sana nini sehemu ya Kipindi cha mwisho cha msimu wa 1 Jani ni nzuri sana Yani basi tu Sasa Anko Ni nini kilimpata kaka yetu Felix. Tell him we waiting for season 2 and we miss him so much ❤❤❤ from 🇫🇮🇨🇩🇧🇮
@EsterJohn-t5z
@EsterJohn-t5z 9 ай бұрын
anko jay sorry ivi hii jini mahaba part 02 inatoka lini..?
@ikissygonta8817
@ikissygonta8817 Жыл бұрын
Anko simulizi ya focas imeishia wapi sehemu ya tatu hakuna ?
@ndayisabaneema9514
@ndayisabaneema9514 Жыл бұрын
Shukran Anko jy asante kwakutufurahisha mala kwamala Allah Akuongozee kwenye kipaji chako
@Syviahalex
@Syviahalex Жыл бұрын
Jini mahaba amefanya nn tena
@halimahaji3856
@halimahaji3856 Жыл бұрын
Anko jay mwenyewe ❤
@fatimafoaani2263
@fatimafoaani2263 Жыл бұрын
Asante sana anko Jay kwa kazi nzuri sana mungu akubariki sana congratulations 👏👏👏👍 good job i love you too much 💞 anko Jay mapesa ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@AishaAlabri-t1z
@AishaAlabri-t1z Жыл бұрын
❤❤❤❤❤ thank you for your lovely store anko jay ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@binthassan9191
@binthassan9191 Жыл бұрын
Haya jini mahaba kaingia mjini 😂😂 Ahsante Anko jay kwa kigongo kipya cha JINI MAHABA ...wacha nienjoy zangu mie 😊😊😊😊
@EmmanuelcharlesEmmanuel
@EmmanuelcharlesEmmanuel Жыл бұрын
Jaman jaman mbona imentisha mm nmechumbia itanibidi nianze taratbu mana hapa
@Salma-zi6hn
@Salma-zi6hn Жыл бұрын
👌 👏
@SalmaLovely-d2l
@SalmaLovely-d2l Жыл бұрын
Salma mashauzii weee
@LindaRobson-qn1br
@LindaRobson-qn1br Жыл бұрын
❤❤💖💖💖💖💖 thanks anko
@angelantinda1009
@angelantinda1009 Жыл бұрын
Jamniiii anko j mwambie Norway afanye jamboo. Miss Abby part 3
@rizmwMwriz-mf2cu
@rizmwMwriz-mf2cu Жыл бұрын
Hahaha kali iyo patamu apo🤣🤣🤣🖐
@RakaPk
@RakaPk 7 ай бұрын
Asante Ako jay wetu mungu akubaliki sana ❤❤🎉🎉
@JuniorMpoma
@JuniorMpoma 3 күн бұрын
Umeamsha ndoto zaNgu za kuwa mwandishi. ahsanteeeeee!!!!!❤❤😊😊
@fatumajumanne5961
@fatumajumanne5961 Жыл бұрын
❤❤❤
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 Жыл бұрын
Ali mbetu tunaomba mwendelezo jamani waoooh thanks anko jay❤❤❤❤
@MariamPastory
@MariamPastory Жыл бұрын
Asante kwa simulizi nzuri
@mwanasiti83sete63
@mwanasiti83sete63 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@VivianMfinanga
@VivianMfinanga Жыл бұрын
Wa Kwanza leo anko j fanya mpango wa hiyo zawaid
@shanisalum211
@shanisalum211 Жыл бұрын
Naomba tuongee private please, nimezpenda san simliz zako
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 Жыл бұрын
Simulizi nzuri sana, na msimulizji ana saut nzuri, alafu anapatia kubadilisha sauti ,tena anasimulia kwa utulivu sana na kueleweka .
@GraceShansila-f1f
@GraceShansila-f1f Жыл бұрын
🙏❤️❤️
@dalilaamiri
@dalilaamiri Жыл бұрын
Thanks 😊 Ankojay ❤❤
@fetreshazKhamisi
@fetreshazKhamisi 5 күн бұрын
Ahasante sana Anko jay 🇴🇲
@soniblessed7815
@soniblessed7815 Жыл бұрын
Thank you for this
@tabiasalum3381
@tabiasalum3381 Жыл бұрын
Asante simuriz zuri sana❤❤
@bakarifatuma5004
@bakarifatuma5004 Жыл бұрын
Asante simuriz zuri sana❤️❤️❤️❤️🥰🥰
@aumuelly2909
@aumuelly2909 Жыл бұрын
Nimewahiwa6❤❤❤❤😂😂😂😊
@Lorryap
@Lorryap Жыл бұрын
My name 😭😂😂😂
@OmariNyota
@OmariNyota Жыл бұрын
Next episode!!❤❤❤ Ankojay❤❤
@judith2977
@judith2977 6 ай бұрын
Tamu sana ila bado sijaona part 2 na nimegonja sana
@IbrahimTwalib
@IbrahimTwalib Ай бұрын
anko jày tupe simulizi zakutisha sanaaaa yani ziwe ameizinnnnn
@magdalenasinkamba
@magdalenasinkamba Жыл бұрын
Nice anko 🥰👍
SIMULIZI FUPI: NIACHE NILIE, By Anko Jay
3:13:44
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 47 М.
SIMULIZI YA KUSISIMUA: JAMAA ALIPATA DEMU MAKABURINI USIKU.
2:30:01
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 86 М.
Как мы играем в игры 😂
00:20
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,1 МЛН
Win This Dodgeball Game or DIE…
00:36
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 36 МЛН
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 9 МЛН
SIMULIZI MPYA - SURA YA MTU, ROHO YA SHETANI - SIMULIZI YA KUSISIMUA
3:00:56
REYANA - SIMULIZI MPYA
3:03:32
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 39 М.
SARAPHINA - SIMULIZI MPYA
2:41:00
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 113 М.
Как мы играем в игры 😂
00:20
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,1 МЛН