Hata Walio Katika Mfungo Wa Ramadhani, Mnaweza Kuisikiliza Hii Simulizi Ya Selina, Sababu Haina Matusi Wala Lugha Mbaya Hata Kidogo, Iko Safi Mwanzo Mwisho
@zenasalum3107 Жыл бұрын
Ahsnt Anko jey maan nilishaanza kuogopa nisijenikabtilisha swaumu yangu😂😂😂😂
@bashirushabani6726 Жыл бұрын
Tunashkur Anko jay kwa kutambua hilo
@sadakimwaki9791 Жыл бұрын
Ahsante kwa kututhamini ktk kipindi hiki, anko jay
@عهُد-ب6ظ Жыл бұрын
Sawa anko maana lazima tuitangulize hofu ya ALLAH kwanza
Asante sana ankojey kwa simulizi nzuri yenye mafunzo nimejifunza 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪
@mwanaally4972 Жыл бұрын
Anko j wetu huna jughajghai unatisha xaan✌️🔥🔥🥰🙏
@bashirushabani6726 Жыл бұрын
🔥🔥🔥 anko jay pamoja San
@RaifaMbarouk-wx1kq10 ай бұрын
Haaaaaa kumbe anko jay unajuwa kuimba
@AshaKache-nr5fz4 ай бұрын
Unkoo jay naomba like yako nilianza kuskiza simlizi toka 2020 lakin sijai comment napenda san kazi zako unkoo mob love ❤
@fatimejamal16869 ай бұрын
Anko Jay, una sauti ngapi?? Mbona sikusomi🤣🤣ila nakuelewa Sana mtu wangu, unanifanya naepuka mingi 🌹🌹🌹love your work
@aminaomarimaidi Жыл бұрын
Kabisa mama Selina Mapenzi hayalazimishwi 😊
@fatimafoaani2263 Жыл бұрын
Asante sana anko Jay tuko pamoja mungu akubariki sana moyoni mwakwo
@ankojay_ Жыл бұрын
Ahsante sana
@zenahasan760321 күн бұрын
Nime. Wahii. AKO. WEWE. NI. MZURI. SAAAANA. BONGE. LA. BWANA. MWEEEE🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤😂😂AMORE. MIOOOÒ😘😘🥰 NLINK. HAPOO. KIDOGO🎉
@AishaAljadidi4 ай бұрын
Amjambo umu ndani jamani❤❤
@yvonneirakiza3990 Жыл бұрын
Uuh jaman anko simlizi zako zina mafunzo mungu akubariki jaman
@girukwishakaclaudine5374 Жыл бұрын
Yan Anko asante 😂🤣🙏
@user-vl1ts1eh8s3 ай бұрын
Ok ❤❤❤
@aminaomarimaidi Жыл бұрын
Pamoja Anko 💥😅😂😂
@divineissa29395 ай бұрын
And thank you for great work u do every day.
@fatimafoaani2263 Жыл бұрын
Ukweli usemwe sauti yako anko Jay yaniuwa jamani sauti mbona sielewi ivyo nzuri jamani mpenzi mungu akubariki sana tena sana my Wangu mpendwa
@ankojay_ Жыл бұрын
Ahsante sana.. nashukuru kwa kupenda kazi zangu
@racheluwda65529 ай бұрын
Kazi safi san Ankojay ❤❤❤😊😊
@Winniequinepretty-wm7rr Жыл бұрын
Asante sana anko jay Kwa simulizi nzuri
@mwapendosultan887 Жыл бұрын
Selina kafanyaje acha tusikilize Kwanza 😊
@FatmaHassankhamisi5 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@FatumaNasibu-cl2yn3 ай бұрын
Tuletee milele part 3 please
@emmaonalloh5515 Жыл бұрын
Anko umesema atupumziki❤
@Pretty22750 Жыл бұрын
Jmn mapenziii haya duh mpaka unabadilisha kz jmn kijana wangu John ila jipambanie my lovely son John pamoja Anko natumai mwishowe nitapata mkwe atakae nipenda na kuniheshimu eee ubarikiwe tena zaidi
@user-jr8jg2lz7r6 ай бұрын
Waaaoh na mm nimewahii 1:13
@aminaomarimaidi Жыл бұрын
Anko napenda pia simulizi zako Ubarikiwe pia❤
@hassinafati3512 Жыл бұрын
Anko jay shukrani kwa simlizi zenye mafuzo 😍❤️❤️
@christophermwatebela4667 Жыл бұрын
Always on top anko jay😊😊😊
@ankojay_ Жыл бұрын
Ahsante sana
@user-gu9xx1hn7s2 ай бұрын
Ankoj unavyo taka hyo mitaa ya kigoma kama diwani hiv😅 by the way huna kaz mbovu🎉 salute 🫡 anko
@zuhuranadahhinda1366 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣John atawamgusha watu wa dar 😁💗
@dalilaamiri Жыл бұрын
Asantee ank jay kwa simlz nzur 🥰🥰
@ankojay_ Жыл бұрын
Ahsante kwa kuwa pamoja nam 🙏 Mungu akubariki
@christophermwatebela4667 Жыл бұрын
Always on top
@Adonai810 Жыл бұрын
INCREDIBLE STORY ANKO JAY 👏👏🔥🔥🔥👏👏
@divineissa29395 ай бұрын
Hello anko j, we’re waiting binti Lisa for tree day now
@yalalakashindi4594 Жыл бұрын
Kweli anko sauti yako ni nzuri sana nimehipenda
@shadyasalum192 Жыл бұрын
Ankojay ana mbamba🤣🤣🤣 vitu juu ya vitu jamani tunainjoi tuu LISSA MWALLA yupo kimyaa na jamani 🥰🥰
@ankojay_ Жыл бұрын
Baada Ya Hii inakuja Ya Lissa Mwalla
@christophermwatebela4667 Жыл бұрын
Nakuambia😂😂😂
@florenceakothotieno3673 Жыл бұрын
@@ankojay_ 😂😂😂mwala tena,umenikumbusha mwala wa kenya😂😂😂vtuko
@ShemsaMushi-uk3lr Жыл бұрын
@@ankojay_ Mwalla na mfungo huu ni hatareeee!!
@shadyasalum192 Жыл бұрын
@@ankojay_ Sawa anko jay tunaisubili hiyoo ya lissa mwalla🥰🥰🥰
@ziadamtebwa3712 Жыл бұрын
Kwa kweli nizuri sana lna mafunzo asante Anko j
@maryammaryam5503 Жыл бұрын
Ank jay me nataka nije kukutembelea unaishi mkoa gani😅😅
@Estersaimon-pp9ln Жыл бұрын
Najifunza vingi sana smix mubarikiwe
@MsChocoFlava Жыл бұрын
How i love this man 🥰😞🥰
@marynyamvula5896 Жыл бұрын
Wee wadau hehe wetunaijoi nakuhsifusza Asante sana
@SamsonCharles-pl7zk Жыл бұрын
Anko hi unatosha unastori nzuli sana mngu akupe maisha marefu tuzidi kuijoi
@tinershayo6191 Жыл бұрын
Sauti unayo bro
@hamidabaliyanga258412 күн бұрын
Asante sana Ankojay ❤❤
@nindymuruga4798 Жыл бұрын
Ivi naomba kukuuliza kwani lazima kuwe na hiyo sauti ya music nyuma ya sauti yako.kwakweli inanikwaza nafikili ingekua sauti yako tu ninge enjoy zaidi
@hdhjdh7755 ай бұрын
❤❤ Asante Anko wetu
@jabuali5739 Жыл бұрын
Atleast nimewahi leo😊
@Nina1234-fh9pi28 күн бұрын
Samahan jamani anko Tunaomba utupe muendelezo wa samira
@lucykarii6860 Жыл бұрын
John john nime kuita mara gapi class 7 leo form 2😂😂😂 maisha yana itaji ivyo
@alisalim2145 Жыл бұрын
Yan huy ank jay nataman kumuona kwl anavy jisifia🙄😘
Anko j nikitaka kushea n mm story yang ya maisha nafanyaje
@jabuali5739 Жыл бұрын
Anko jiamini una gd sound ila ikifika part ya kuimba 😂😂😂jmn tuache tuburudike with the gd story
@ankojay_ Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 Dah
@jabuali5739 Жыл бұрын
Ila thanks 4 da gd story zenye mafunzo
@mwanajumamohammed4356 Жыл бұрын
😁😁😁😁
@hopesamson8140 Жыл бұрын
Sasa kamckilize anko J kwny simuliz ya MY SUZAN kaimba wimbo wa My love by west life😂😂utachekaw
@عهُد-ب6ظ Жыл бұрын
Waaoow anko jay kudos ngoja nije nikusikilize maana nimemiss mnoo vitu hivi vinavyo niondolea hofu ya kazi ya mwarabu na kunifanya ni maintain my own smile big up anko jay may ALLAH bless you and take of you always
@christophermwatebela4667 Жыл бұрын
Kama kujua ankali anajua bhna😂😂😂😂
@ankojay_ Жыл бұрын
😂😂😂😂
@ankojay_ Жыл бұрын
Ur welcomeee 🤭
@عهُد-ب6ظ Жыл бұрын
@@christophermwatebela4667 Sure
@عهُد-ب6ظ Жыл бұрын
@@ankojay_ Thank you in advance
@yusufuheri6524 Жыл бұрын
Asante sana my brother from another mother
@ankojay_ Жыл бұрын
Thanks for watching
@user-cb7tb8rj5w2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@zenahasan760321 күн бұрын
Nimewahi. Wadau. Kigoma. Kwetu. Tunamkaribisha. Jon
@groveyagroya1280 Жыл бұрын
Leo kidogo nimewahi hahaha
@ankojay_ Жыл бұрын
Safi 👏👏👏
@sabinamasangwa293 Жыл бұрын
Anko syo utani umejaliwa sauti asee daah also simulizi nzuri sanaa
@swabrarashidi1082 Жыл бұрын
Anko kwa kujisifia tu ujambo na sijawai kusikia unamsifiya wifi yetu kama Felix mwenda anavyo msifiya mkewe
@FericianMisanga-go8wm Жыл бұрын
Anko jay kafanya yake🧐🧐🧐
@fatimafoaani2263 Жыл бұрын
Anko Jay naomba niulize kama umeowa
@aminaomarimaidi Жыл бұрын
Machebe Ndege hutua kwenye mti aupendao
@TauhidaSaid-k7q Жыл бұрын
thnks anko j krbu zanzibar
@joykatakana1099 Жыл бұрын
Sasa culiwapenda mwenyewe ww jumanne😂😂😂
@dhuhasaid636 Жыл бұрын
Akii ako j asante ila huwa nacheka kwenye sauti ya uzee unawezaa ank😂
@ankojay_ Жыл бұрын
😅😅😅 Ahsante sana
@Pretty22750 Жыл бұрын
😂😂😂ww wasema mzee tu hujui ananiuaga wkt anaongea km mlinzi
@saumukambi8562 Жыл бұрын
Ank l wewe wanga wakuache upite kwa nafasi tupe rahaa tucheze zaidi na masinki Big up sanaaaaaa❤
Wanaume wengi wanakuwa na hofu kuwatongoza wadada watanashati Sijui kwa sababu gani🤔
@abdulkibakarim1709 Жыл бұрын
Anko Jay please naomba utuwekee Ile simulizi yako ya Sikumuua Mimi, please naomba tuletee Hiyo, SIKUMUUA MIMI
@Emmymichael-hd5ik Жыл бұрын
Thanx you ❤
@Zizzah2707 Жыл бұрын
Kwan anko jay naruhusiwa kukupenda na uhandsome wako 😂😂😂
@ankojay_ Жыл бұрын
😂😂😂😂
@Zizzah2707 Жыл бұрын
@@ankojay_ niruhus bas Ila ntakuwa kama Katrina 😉😉😉😂
@ritaisaya1424 Жыл бұрын
Wapili leo
@sadikituji-rd5od Жыл бұрын
Sawa
@aminaomarimaidi Жыл бұрын
Asante Anko
@TauhidaSaid-k7q Жыл бұрын
anko j akicheka t mi hoi 😂😂😂
@aminaomary1885 Жыл бұрын
Jmn muendelezo saida jmn mpk nw kmy
@mwanaally4972 Жыл бұрын
Aaaah anko part 2 lin xx jaman mbona unatukatisha utamu😂😂😂
@ankojay_ Жыл бұрын
Mzigo upo nimeuachia
@nurafedrick378 Жыл бұрын
Mm sipendi mtu muongo john hata nusary hujasoma lkn unasema umeishia form two sijawai kuona mtu kituko kama john unaachaa biashara yako halafu unafuata kuandikwa tena salary kidogo kisa mwanamke. Sijui kama huyo dada atAkukubalia mana nayy anagundu akaogee majii yabahari kutoa toa nukis apate ndoa.mana amekamilika lkn sijui kasoro ninn
@Grace-xh6zq Жыл бұрын
❤❤❤
@AishaAisha-yz3ns Жыл бұрын
❤
@Amenah-ll5ys Жыл бұрын
😍😍😍😍😍😍😍😍
@saraasatenisanasimlizimixc9232 Жыл бұрын
Asate sana ako j
@AishaAisha-yz3ns Жыл бұрын
Anko jei punguza kujisifia bas wengine tutaaza kupenda bure😂