SIMULIZI MPYA - X - PART 01

  Рет қаралды 58,169

Ankojay Simulizi

Ankojay Simulizi

Күн бұрын

Пікірлер: 258
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
Part 02 Bonyeza Hapa kzbin.info/www/bejne/oorcgZeGfMaSlZIsi=l6GRnq3vQeRSUng7
@Rayfortunatus_0
@Rayfortunatus_0 4 ай бұрын
TUNAO IRUDIA X TUJUANE APA MAANA SO SIMULIZI NI BONGE LA MOVIE 🔥🔥🔥🔥🔥❤
@NasraAlly-u6b
@NasraAlly-u6b Жыл бұрын
Leo msipo nipa like nitalia sana ila anko j unajua sana mpaka unaboa khaaaa simulizi nzuri sana
@RehemaGodlistern
@RehemaGodlistern Жыл бұрын
Jamn jamn jamn anko Jay nipe mauwa yang jmn wakwanza leo nimewahiiii san sana♥️♥️♥️
@AishaNanzua
@AishaNanzua Жыл бұрын
Ndipo kuingia jamani mko poa nyote like 2 tu mami nifurahi😊❤❤
@auntmakochela4202
@auntmakochela4202 2 ай бұрын
Nilichelewa wapi kuitazama hii jmn 😢 ndio mambo napenda haya kwa sasa🎉🎉🎉
@AnithaeliasyAnithacharlesy
@AnithaeliasyAnithacharlesy Жыл бұрын
Hi guys leo nimekuwa wa mwisho 🙆 like zangu basi❤❤❤❤🙏😅
@ndayisabaneema9514
@ndayisabaneema9514 Жыл бұрын
Hello wapendwa wote pamoja na anko jy leo nami nimewahi na nataka like zenu
@lightnesshassan6222
@lightnesshassan6222 Жыл бұрын
😂😂😂jmn
@HafidhMakami
@HafidhMakami Жыл бұрын
Thanks for good story and some more time with you
@rizmwMwriz-mf2cu
@rizmwMwriz-mf2cu Жыл бұрын
Ongera kwa kuwahi Neema ila icho kipini cha pua kimekupenddeza daa
@ndayisabaneema9514
@ndayisabaneema9514 Жыл бұрын
Asante kipenzi
@PendofandekengaPendo
@PendofandekengaPendo Жыл бұрын
Good for further brother has gellman
@girukwishakaclaudine5374
@girukwishakaclaudine5374 Жыл бұрын
Hi duguzangu? Leo wa 1 naomba like Zen ata 5 Ahsante Ankojay acha ni 🪑🎧 jameni 🌹
@saumunyadzua
@saumunyadzua Жыл бұрын
Si like tu hata maua twaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@girukwishakaclaudine5374
@girukwishakaclaudine5374 Жыл бұрын
😂😅
@OmanOmz-qg5lj
@OmanOmz-qg5lj Жыл бұрын
Kwanza leo weweeeeeeeeeeeee nipeni lakii zangu jaman❤❤❤
@reachelchemtai2604
@reachelchemtai2604 Жыл бұрын
Asente Sana ANKO JAY. Mungu Hana watu wake wenye akili za mungu
@nadrasalum6039
@nadrasalum6039 Жыл бұрын
Wow mzigo umefika 😊 polen uliochelewa 😅 munatuungwa na waraabu maana.asant ankoj na mwandishi wetu eddazaria g.msulwa❤❤❤❤
@AishaNanzua
@AishaNanzua Жыл бұрын
kazi kwanza mpenzi sahii ndipo kushika simu
@EddazariaMsulwa
@EddazariaMsulwa Жыл бұрын
Thanks
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 Жыл бұрын
Anko bana from anapigana ngumi kama jetlee to anapigana kama anko jay waah🤣🤣🤣🤣🤣
@albertyustasi9103
@albertyustasi9103 Жыл бұрын
😂😂
@zenahasan7603
@zenahasan7603 3 ай бұрын
WADAU. WANGU. NDOOKWANZA. NAIGIA. MMMM. NILIKUWANA. VIPORO. VINGI. MAANAKILAUNAO. ONJA. NI. STORI. TAMU. AKO. JAI. WEEEE. HATARI. TUENDELEEEEE🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤🇮🇹🇹🇿🔥🔥
@patriciakyalo3454
@patriciakyalo3454 Жыл бұрын
Marshall 🎉 nmemiss sauti yako wewe ankol jay siku mbili bila wewe
@mura-xu9jy
@mura-xu9jy Жыл бұрын
Oyooo😊 ankojay walisha part 2
@victoriaedfonss727
@victoriaedfonss727 Жыл бұрын
Like zangu jomon nimewah Leo Anko J,😜🔥🔥
@elradjabubosingwa5026
@elradjabubosingwa5026 Жыл бұрын
Anko jy unatowavizuri ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@PatricalBeti
@PatricalBeti Жыл бұрын
My Crasmate na X ni bonge la Simulizi nimeipenda Mmnoo!!!naongea kwa kumaanisha!!Hongera m2nzi na Msimuliaji nikimaanisha ni Anko Jay 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤💕💕💕💕💕💕
@DullahMbavu
@DullahMbavu Жыл бұрын
We Anko Jay ww unapenda sifa ww ety anapigina kama anko Jay 😅😅😅😅😅 ❤❤❤ Sana
@zenahasan7603
@zenahasan7603 3 ай бұрын
Tuko. Pamoja. Akojei❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇹🇿🇮🇹
@KhadijaKajoli-wm5rc
@KhadijaKajoli-wm5rc Жыл бұрын
Jamani habari Leo Nami nime wayi
@MadinaRashid-v5n
@MadinaRashid-v5n Жыл бұрын
❤❤❤❤❤ simulizi zimeninogea mpaka kuangalia tv nimesahau jaman
@aminakassim7486
@aminakassim7486 Жыл бұрын
Mi pia nshaacha
@TatyntihebuwayoUmmulawi
@TatyntihebuwayoUmmulawi Жыл бұрын
pacha
@yonathankyando5078
@yonathankyando5078 Жыл бұрын
simulizi safi Kabsa utupe nyingi kutoka kwa eddy maana ni mtunzi na nusu
@alinaswemuziya876
@alinaswemuziya876 Жыл бұрын
Wow ❤❤❤❤
@sophiahassan-kn7ov
@sophiahassan-kn7ov Жыл бұрын
Mmmh kumbe kuna kibao kipya ,😂😂😂asante Anko j nimechelewa but twende nalooo😊
@albertyustasi9103
@albertyustasi9103 Жыл бұрын
Soph mimi nimechelewa ndio naianza kuisikiliza
@WwEe-qc7tc
@WwEe-qc7tc Жыл бұрын
DUUH KUMBE TAMU HIVIII ANKO JAY NA MWANDISHI POKEENI MAUA🥀🥀🌹🌹💐💐🌷🌷🌻🌻🌼🌼💮🌸🌸🏵️🏵️🌺🌺 YENU KWA KAZI NZURI ISIYO KERA ILA RAHA TUU NA MAFUNZO KEM KEM MASHEMEJI AMA WATU WENYE DHARAU WAPETWE NA MSHANGAO NA AIBU ISIO NA MWISHO ILI HESHIMA IDUMU KWANI KAPUKU PIA ANAYAKE MAKUBWA WASIO YAWEZA WENYE KUJIDAI KUWA WAPO NAZO ETI KUWA MPUNGA KWAO NDIO KULIKO NA KIWANDA ILA KUMBE HOLA
@Alya-np7gm
@Alya-np7gm Жыл бұрын
Jmn hata 3 like naomben😊
@aminanuranassor660
@aminanuranassor660 Жыл бұрын
Very stor so much ❤❤
@FatmahIbrahimu
@FatmahIbrahimu Жыл бұрын
Amazing story ❤❤❤❤❤tenkc anco jay
@JosephLeonard-lc1xi
@JosephLeonard-lc1xi 3 ай бұрын
hii simulizi final n ngap
@GraceMunisi
@GraceMunisi Ай бұрын
Anko nimeacha kusikiliza simuliz la binti Raya Maan nimekuta ukitoa sifa ya simuliz ya X😂😂😂😂❤
@Swaumu-f4i
@Swaumu-f4i Жыл бұрын
🌷🌹♥️💖❤️❤️❤️🌷 nzuri sana anko jey ❤❤❤❤
@KemmyPrince-m6h
@KemmyPrince-m6h Жыл бұрын
Wa 200 Leo nipeni like zang 😅😅😅😅😅
@MasikaPacheli
@MasikaPacheli Жыл бұрын
Ankoj we nikiboko wewe umezaliwa na nini wewe mimi siku moja ningejitoa kunu nuwa mafuta ya jenereta shida ni Niko mbali sana na ishi Uganda ila wewe kiboko ❤ nakuamini mno
@ZurainaUmar
@ZurainaUmar 4 ай бұрын
Anko am listening from Kenya but utuletee Na sin jamani
@AdmiringGrazingCows-im1kh
@AdmiringGrazingCows-im1kh 10 ай бұрын
Ankojey hongera saaaana simulizi x kwani sijuwi nikupongeze aje ❤
@سميةالشرياني
@سميةالشرياني 8 ай бұрын
Napenda simuliz zako anko jay love ❤
@dianandabirorere6365
@dianandabirorere6365 Жыл бұрын
Jaman Wa mwisho leo🙆Ila asante Anko j🙏❤❤❤
@fatimafoaani2263
@fatimafoaani2263 Жыл бұрын
Asante sana kaka yetu anko Jay mapesa 4 a wonderful story mungu akubariki sana twashukuru sana ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@TatyntihebuwayoUmmulawi
@TatyntihebuwayoUmmulawi Жыл бұрын
tu me manque anko jay je t'aime ❤ et surtout j'aime votre voix,burundi tunakupata 100%turagukunda cane
@ingabiredorcas4663
@ingabiredorcas4663 Жыл бұрын
Izondimi zose wanditse😂😂😂
@TatyntihebuwayoUmmulawi
@TatyntihebuwayoUmmulawi Жыл бұрын
Hewe iyi voive yuyu mu anko iramara nukuri
@albertyustasi9103
@albertyustasi9103 Жыл бұрын
UNKLE jey kiukweli simulizi zimenifanya hata tv msikilizaji sitathami niwapo safarini nasililiza sana simulizi aise pongezi Kwa kazi nzuri na kimuziki kinanogesha hatari sana😂😂
@Mariam1818-n7s
@Mariam1818-n7s 10 ай бұрын
Nilikuwa wapi jamani mbna tamu sanaaa ❤❤❤❤❤😮😊
@RehemMosh-io9bt
@RehemMosh-io9bt 6 ай бұрын
Me nawapenda Sana pia najifunza mengi Sana
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 Жыл бұрын
asante sana my brother from another mother
@chantalmavandu4950
@chantalmavandu4950 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤ moto sherehe ni watu na mashabiki kila kona
@khadijamohd5741
@khadijamohd5741 11 ай бұрын
Hongera anko j kwa kusifiwa kwa kiarabu
@mwapendosultan887
@mwapendosultan887 Жыл бұрын
❤❤mambo ayo sijachelewa
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 Жыл бұрын
Anko jaya umwnikosha sana kwa hii simulizi uwe unatuletea hizi ama zakichawi mm binafsi nimechoka na chombezo🤣🤣
@christopherernest2316
@christopherernest2316 Жыл бұрын
Kumbe tupo wengi tunaozipenda😂😂😂, chukua maua yako🎉🎉🎉🎉
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 Жыл бұрын
@@christopherernest2316 asante😘😘
@ZabibuHassan-ci5vz
@ZabibuHassan-ci5vz Жыл бұрын
Chonde chonde halahala dear ex😂😂😂haya ex ana yap tena jmn😊😊
@pascalinaerasto9501
@pascalinaerasto9501 Жыл бұрын
Hapa tulishafikiria dear ex kumbe x jasusi kukalili huko jamani
@ZabibuHassan-ci5vz
@ZabibuHassan-ci5vz Жыл бұрын
@@pascalinaerasto9501 🤣🤣🤣banaae tulivyokua na chuki na ma ex wetu
@pascalinaerasto9501
@pascalinaerasto9501 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@JumaAlexandr
@JumaAlexandr Жыл бұрын
❤❤❤❤❤ na kukubar sana
@mwanajumamohammed4356
@mwanajumamohammed4356 Жыл бұрын
Kama movie jamani tamu sana simulizi
@BintiMpili-m8z
@BintiMpili-m8z 18 күн бұрын
Anko j jamani unajuwa sana yani mh siwezi sikiliza saiti ya mwengine mana sauti zao sio tam jamani
@Feyzabintihussenibihusse-fq1kg
@Feyzabintihussenibihusse-fq1kg Жыл бұрын
Heeeeeh❤
@MadinaRashid-v5n
@MadinaRashid-v5n Жыл бұрын
Hongera sana anko j unatuburudisha na kutufundisha sana
@NkengurutseNeilla
@NkengurutseNeilla 9 ай бұрын
Asant Anko Jay ubarikiwe🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@rehemanifasha5524
@rehemanifasha5524 Жыл бұрын
Jamn ankojay kwakujipa misifa ss jmn ila tuna kuku bali san asant sn kwa kutupa burudani🎉😊😊😊
@SalimaEdwin
@SalimaEdwin 9 ай бұрын
Aya ndio naiaza sawa simulizi yetu
@MwanaidyRamadhan-d2v
@MwanaidyRamadhan-d2v Жыл бұрын
❤❤❤❤ jamon nakupenda bure.
@NanahBrown
@NanahBrown Жыл бұрын
Sametime hii saut nikiisikilza na nikija kutizama sura Yako nakuona mbali sana😂 ila chukua maua Yako 💐anko jay kiroho safi
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
Ahsante sana 🙏
@bettywayera8501
@bettywayera8501 Жыл бұрын
​@@ankojay_ wacha nisikilize kwanza ndio nikupe like zangu..naona ni tamu sana.
@sirajiyasini536
@sirajiyasini536 Жыл бұрын
Anko j hiki kigongo x tamu sana ❤❤❤
@GharshanLila
@GharshanLila Жыл бұрын
Hii story nlishawah kuisoma kitaaambo iliandikwa na eddyzaria msulwa nlikua mdau sana wa sroty zake na leo naiskiliza tena nkiichanganya na sauti tamu ya anko Jay Big up sana❤❤❤❤❤
@NeemaMtega
@NeemaMtega Жыл бұрын
Umeisoma wapi?
@khadijahamina8457
@khadijahamina8457 Жыл бұрын
😂😂😂
@KemmyPrince-m6h
@KemmyPrince-m6h Жыл бұрын
Ata mm nilisoma
@roseshijedi8744
@roseshijedi8744 Жыл бұрын
Simulizi mzuri sana
@NzenfalumeNfalume
@NzenfalumeNfalume 9 ай бұрын
assante ankoo jay Kwa mambo yako
@rachypsalms2869
@rachypsalms2869 Жыл бұрын
Wow interesting 😍😍😍😍keep up Ankojay
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
Thanks a lot 😊
@GharshanLila
@GharshanLila Жыл бұрын
Wa kuwahi tupo❤❤
@MwajumaHassani-ud2lb
@MwajumaHassani-ud2lb 6 ай бұрын
Nzuriiiii❤🎉 iiii itanisaulisha lisaa😂😂😂😂 maan naipend Binti lisaaaa😢
@GeofreySolomon-lp7xl
@GeofreySolomon-lp7xl Жыл бұрын
Jamaniii😂😂😂❤❤🎉🎉🎉 kwa ajili ya anko jay
@Salma-zi6hn
@Salma-zi6hn Жыл бұрын
Nakupenda sn uncle mungu akubariki sn
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg Жыл бұрын
Alhamdhullilah. Leo nimeipata hii simulizi kwa sauti.hongera kwa mtunzi na msimulizi na wanafamilia wa Anco.j simulizi.kudoos nyote❤❤
@zuenahz5514
@zuenahz5514 Жыл бұрын
We anko Jay umepigana ngumi na Nani nimecheka wallah 😂😂😂😂😂😂😂Anko Jay kwa kujisifu ni hatari 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@ashaabdalla924
@ashaabdalla924 Жыл бұрын
AnkoJ kwakujitia kwenye simulizi ndio mwenyewe😂😂😂
@RoseMbuya-cn5dg
@RoseMbuya-cn5dg 10 ай бұрын
Wapinzi🎉🎉 WA harusi Wana pendeza🎉🎉
@aminarama1633
@aminarama1633 Жыл бұрын
Waow , MashaALLALH
@christopherernest2316
@christopherernest2316 Жыл бұрын
Hizi simulizi za kipelelezi na za kichawi nazipendaga mno😂😂😂😂, hongera ankojey
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 Жыл бұрын
😂😂😂ww na mm hisia zetu kumbe sawa..me pia nazipenda mno..ila mungu atusaidie tusiwe wachawi tuwe Wapelelezi.
@ZenaidaDaniel-r9d
@ZenaidaDaniel-r9d 4 ай бұрын
​@@femidayahaya4882😂😂 mnapenda uchawi😂😂
@CharlotteBuchumi-rf7fb
@CharlotteBuchumi-rf7fb Жыл бұрын
❤🎉 iko vizuri sana nimeipenda
@DalinaSamweli-ji3fc
@DalinaSamweli-ji3fc Жыл бұрын
Hello guys love you always anko jay thanks and God bless you
@FatmahIbrahimu
@FatmahIbrahimu Жыл бұрын
Nishamaliza aiseeeee 😊
@AminaAbdallah-c6y
@AminaAbdallah-c6y Жыл бұрын
Nice from oman
@dashuushu6883
@dashuushu6883 Жыл бұрын
Kupuyanga nimecheka jamani kahaaaa
@OmanOmz-qg5lj
@OmanOmz-qg5lj Жыл бұрын
Nimewai leo weweeeeeeeeeeee nli happy 😘😘😘
@violetmulya
@violetmulya Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤ from 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦
@FadhilunMohamed-je8en
@FadhilunMohamed-je8en Жыл бұрын
Asante kaka nilikuwa nakusubiri
@victoriangasa
@victoriangasa Жыл бұрын
Ahsanteee sana Anko J kwa simulizi ❤❤❤🎉🎉🎉
@SalmaSalma-cb2pl
@SalmaSalma-cb2pl Жыл бұрын
Nzur sana
@azzahawadh3183
@azzahawadh3183 Жыл бұрын
Anko jay kwa kweli upo juu❤❤❤
@rizmwMwriz-mf2cu
@rizmwMwriz-mf2cu Жыл бұрын
Eèeh asante Anko J kwa smlz tamu yenye msisimuko
@ChristinaPaulinous-d5l
@ChristinaPaulinous-d5l Жыл бұрын
Nmefka Kwa wakati anko. J simulizi
@MariaMa-n5b
@MariaMa-n5b Жыл бұрын
Hii ngoma ni kali
@Arafahajiamour
@Arafahajiamour Жыл бұрын
❤anko jay unanikosh saut yako jomon ❤❤❤❤❤
@anjelinandambuki-fi4ip
@anjelinandambuki-fi4ip Жыл бұрын
Kwa kumi❤❤❤
@ROSEROBERTROBART
@ROSEROBERTROBART Жыл бұрын
Here we a🔥🔥🔥🔥🔥
@MacrinaSalama
@MacrinaSalama Жыл бұрын
Nimefika wadau
@GraceBakari-wo8ly
@GraceBakari-wo8ly Жыл бұрын
Asnte anko jay
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Kasimulizi katamu sana,❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉 kwa mwandishi na msimulizi
@EddazariaMsulwa
@EddazariaMsulwa Жыл бұрын
Shukranu
@shukururamadhan6721
@shukururamadhan6721 Жыл бұрын
asnte saana anko jay wetu kwa kuzidi kutufurahisha❤
@mwajabumuya5914
@mwajabumuya5914 Жыл бұрын
Ankojay unatisha huna mpinza asante sanaa kwa story nzuri🙏🙏
@NawMi121-lj8cf
@NawMi121-lj8cf Жыл бұрын
Woow Bona tuna kumiss sana😂😂😂😂😂 Anko Jay mapesa 😂😂😂
@MrsRamso
@MrsRamso Жыл бұрын
Asant sana Anko j ❤❤❤
@hdhjdh775
@hdhjdh775 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤ Asante San
@yusrambodze3804
@yusrambodze3804 Жыл бұрын
Woooiii yaan kwa nilivyokua nimeipania alafu nimechelewa😢
SIMULIZI YA UJASUSI - X - PART 02
3:00:00
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 39 М.
TRUE LOVE (UPENDO WA KWELI); SIMULIZI FUPI YA MAPENZI
3:14:27
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 89 М.
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
MKE WA BABA EP 4
13:06
JUMAJICHO
Рет қаралды 81
ME AND YOU  ( MIMI NA WEWE) : PART 1 SIMULIZI YA SAUTI.
3:47:50
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 10 М.
SINGLE AGAIN - SIMULIZI MPYA
2:50:02
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 43 М.
ARTIST part 1: part 2 inapatikana ndani ya simulizi mix .... https://youtu.be/-22LqGYC5Os
5:45:10
NERIA: SIMULIZI FUPI
3:07:59
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 120 М.
NILIVYOSAFIRI NA JINI KUTOA DAR MPAKA MOSHI
1:50:01
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 245 М.
THIS LOVE PART 1 : SIMULIZI YA SAUTI
3:01:35
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 22 М.
MALI YA MAREHEMU
3:25:48
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 30 М.
SASHA - [ PART 01 ]
3:00:01
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 47 М.
SIMULIZI MPYA - MUUZA KUKU
3:30:14
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 100 М.
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН