Naona pande zote kunatatizo la umimi. Na zaidi wanaume kukwepa majukumu Yao. Hivyo Sonoma kuwapata zaidi na kupelekea kujinyonga kuliko wanawake.
@Aclmedia05 Жыл бұрын
Umeonaa,,, umimi umetawala sana ndio maana siku hizi mahusiano yamekuwa changamoto sana, wengi tamaa inatupoteza
@Aclmedia05 Жыл бұрын
Wanasaikolojia inawapasa kuandaa semina mbalimbali japo kwa uchache ili kuelimisha jamii hasa wanaume ili kuondokana na janga hili. Kila kukicha tunasikia wanaume wanajinyonga kwa sababu ya sonona.