Naaaaaam!! Ni asbh tulivu napata chai huku nasikiliza saut ya mwanaume yenye mamlaka ikipenya vilivyo kweny ngoma za masikio yangu ikiwa inanipa burudan ya chuma kipyaa Wito kutoka Kuzimu mambo ya Smix hayo shukran director tuko pamoja 🤝mwanzo mwisho
@SabrinaAlimas2 ай бұрын
@@MYME-u5d jamaniii🤣🙌🙌🙌🙌 au basii
@MYME-u5d2 ай бұрын
umeanza nn?😆😆😆
@lonakirao52752 ай бұрын
Mashallah yani hapa mwendo niwa kasi hakuna kulala kabisa 😘😘 kitu baada yakitu aisee D'oen umetuweza this time ❤❤❤ shukran kwa kitu kipya Wana simulizi mix
@mariamali89112 ай бұрын
Nyiieeeeee kujeni huku kumechangamka balaa
@nusratbintabdullah57132 ай бұрын
D'OEN wetu huyooo asnte sna akuna kupoa sai kpyaaa bado sijamaliza ya cavin luka woooo🎉🎉🎉🎉
@MwanaMpole-mo5di2 ай бұрын
Tumesikiza wito boss
@zenaathumani81442 ай бұрын
Nimefika na mimi asante sana D'oen kwa simulizi hii bomba kweli kweli 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿
@EmmyBen-x6m2 ай бұрын
Nyie🎉🎉🎉🎉🎉 njooni huku na Leo nimekuwa WA kwanza🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@MaryMary-kq3nh2 ай бұрын
Asante sana simulizi mix tunaona kitu kipia❤❤❤
@swabrinamwaka24372 ай бұрын
Nimefika❤
@maseleenaesleen81492 ай бұрын
Kitu kipya jamani haya tujue Josphne alirudi vipi kulipiza kisasi kwa N001❤❤❤
@raayMahmid2 ай бұрын
Asante sana ❤❤❤
@emmanuelmwatujobe84502 ай бұрын
chuma mpyaaa
@SabrinaAlimas2 ай бұрын
Hatimaeeeee🔥🔥 nilivokua nasubiria hiyo saa 4 ifike jamanii🔥🥰🥰 asante oen
@hadiaali55172 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@bintimrope2 ай бұрын
🎉🎉🎉❤❤❤
@FatumaJumanne-p4d2 ай бұрын
❤❤❤
@nurafedrick3782 ай бұрын
Yani huyu dada angevunjwaa pingili tuuu mana sasa amerudi kuua watu eti malkia wakuzimu. Mtoto wamama ako hapo mpenda sket kama gusugusu .norbert mapenzi kama chakula lkn kazi yake anaijua fina mnafikiria huyoo mtamuua?akifaa tuu simulizi itasimama huyo ndo kylaa mtoto wamama anaejiamni
@msafirimwenetombwe88192 ай бұрын
Jamani Mbona Fast Ivi Nimefikiria Nimeway Kumbe Nimechelewa Basi Chukueni Maua Yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Namimi Nitajitaidi Niwe Wa Kwanza
@AnnaMelikion2 ай бұрын
😂😂😂😂😂 imefunguka saaa ngapi hii😢 sikuwa na Taarifa kabisa
@MYME-u5d2 ай бұрын
😂😂😂😂 Na mbingun utachelewa kufunguliwa
@AnnaMelikion2 ай бұрын
@@MYME-u5d 😂😂😂😂 Wewe Ndio utachelewa dear.maana wa kwanza atakuwa wa mwisho
@MYME-u5d2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@juliusmalunde96362 ай бұрын
Tupo pamoja
@aminah95572 ай бұрын
Moto mwingine huu hapa
@mhabimina40232 ай бұрын
🔥🔥🔥👌
@hasnajuma55672 ай бұрын
Leopard qeen kauwasha moto
@hawasaid52862 ай бұрын
Mabina ni tajiri mmoja Mwanza alikufa kwa kupigwa na wananchi wenye hasira baada ya kuensdeleza mauaji bila hatia na alikua nacheo kwenye ccm
@MYME-u5d2 ай бұрын
Huyu malkia kutoka kuzimu kiboko yqke ni noorbart wengn hawamuwez ngoja tukaone moto utakaowaka hapo mambo yanazid kunoga
@ZawadiMuhammad2 ай бұрын
Jaman tuwe tunawasikiliz wawume zetu tu ache umbea mwenzet amesa mbaratika na bomu💣 fuzo ilo😂😂😂😂🎉🎉🎉