Watanzania ujinga sisi huku ulaya tunaokaa kwenye magorofa hatuyapendi unakaa kwenye jengo moja na watu mia kidogo wengine wachafu wangine makelele jengeni tu nyumba zenu za kawaida
@MamuMichael5 күн бұрын
Yaani umeongea sipendi hayo majengo sasa kaa na wawest ukipita kwenye corridor kunanuka mavyakula ni shida 😂
@twalibmavumba5 күн бұрын
Hatari sana alafu ukiwaona nje ni smart hatari @@MamuMichael
@twalibmavumba5 күн бұрын
Wazungu bhana
@RphaelMwambenja-g2g5 күн бұрын
Kichaaa uyu
@geoufo28585 күн бұрын
Tangu aanze kusema mbovu Hadi Leo IPO
@saleemsuleiman22205 күн бұрын
MWIJAKU HAZIKO SAWA😂😂😂😂😂
@ImaniMsafi5 күн бұрын
Achaushamba wemwijaku Gariyasimba nikama ndenge ❤
@msouthqualitymabati46575 күн бұрын
Ayo magari ni bei rahisi sana kwa uchumi wa kati
@Brunotarimo105 күн бұрын
Nakubaliana na DC Kaongea Ukweli Gari za Mwambino ni mbovu
@stephenmsanzu98505 күн бұрын
Wewe nenda ununue hiyo mbovu
@Brunotarimo105 күн бұрын
@@stephenmsanzu9850 Njoo Nikununulie
@sulleymernmannarah79303 күн бұрын
Kwhyo ww ushayapelek
@SalumClaxton5 күн бұрын
Hya njoon n mm nipew like zang leo
@ibrahimgamba80535 күн бұрын
SNS ninyi ni taasisi kubwa, sometimes kuweni na utaratibu mzuri wa kuteletea taarifa zenye mantiki. Hatukatai kutuhabarisha lakini chagueni content nzuri sio kama hizi ambazo tunajua vyema kwamba ni kick tu.
@RamazaniMulongeca4 күн бұрын
Bro, usinisemehe😂 Napenda contents za #MWIJAKU NA #BALEVO ndomana naipenda sana #SNS
@MatandiMatandi5 күн бұрын
Wewe kila ukiongea marekani.Kwani marekani umeona kama peponi au acha ushoga.
🤣🤣🤣 mwijaku bwana et break zinapiga kelele pruuuu!
@donnatasooya5 күн бұрын
Mwijaku acha loho mbaya
@Husseinmwanakombo0255 күн бұрын
Lile alphard Lake bovu halioni
@evodiusantony21155 күн бұрын
Nikama mwanamke uyu
@countymusic-ur9tf5 күн бұрын
Anawaaibisha watu wenye uwalaza
@AgustinoJoseph-jq7or5 күн бұрын
Msimpe uyu shoga mda cz hana jipya zaid ya kusema wanaume mwenzake ww unayo iyo mbovu
@maase20235 күн бұрын
Huyu mwijaku rolls royce kawahi kuendesha wapi?? Magari yake ni suzuki na labda premio tu sasa ukampe rolls royce si ataligonga huyu
@RasheedIssa-v6r5 күн бұрын
@@maase2023 juzi juzi tuu tumepishana darajani kavaa suti alafu anaendesha kile kibata vuzii I mean toyoooo
@maase20235 күн бұрын
@RasheedIssa-v6r 😄😄😄😄😄😄😄😄😄
@IddiKhamis-u6c5 күн бұрын
Wewe ni mtu wa maslahi tu.
@InocentMathias-o8vКүн бұрын
Acha ushamba wewe mambo yawatu fata yako mshamba wewe wenimshambaaaaaaaaaaaaaa unaishu achakufata mambo ya watu
@FredrickMatiku-xf2uk5 күн бұрын
Ila huyuuuu baba mwijakuuu ni mjinga eti ndio mke na watoto wanamuangalia anamkazania demu yamni eti tako hauna ata kitovu usionyeshe demu anasema analo tako huyu baba ni mjinga sana anakazana unalo tako lakini dogo tako dogooo