Wanasema uvumilivu ula mbivu chioma kamvumilia davido kwa matukio kibao ya kumcheat lakini hakujali 🙌🙌🙌 Leo hii kaenda kuwa mke halali kwenye familia yenye ma billions ya pesa, Ki ukweli I am so happy for her
@idinado-wk3lx5 күн бұрын
Ataingekuwa wewe lazima uwe mtulivu davido anautajili mkubwa sana yeye mpaka wazazi wake, Sasa dunia ya Sasa dada zetu awezi iyacha hii bahati pia ni Star
@user-wd2bc7bf5x5 күн бұрын
unafikir kila mwanamke anapenda kurukaruka na kila mwanaume? pole kun wengine hawafat mali ni vile tu wameumbwa kutokuruka ruka @@idinado-wk3lx
@michelinemapendo66525 күн бұрын
Kabisaaaa🙌😩🙌
@Sonia_abass5 күн бұрын
🎉🎉🎉
@agwalubifaridah70795 күн бұрын
Sio kama kina zuhura kila week wanaenda wakirudi.😂
@Aishatheboss1174 күн бұрын
Chioma anaroho ya subrah sana ❤
@VexMaizoOfficial5 күн бұрын
🧭🤳 ningependa kumuona Diamond Platnumz Comosava, na kubless arusi ya jamaa Devido Kutoka Msumbiji 🇲🇿 Mozambique PEMBA Carioca
@khamisikhamisi72255 күн бұрын
❤ to somuch daved
@mugalujoseph12205 күн бұрын
Awa ndio wasani sio wakina diamond
@javandaudi55535 күн бұрын
Acha ushoga.
@sponsor78825 күн бұрын
Well said
@patriciacarlo72364 күн бұрын
I can't wait ❤❤❤
@shabansalum18485 күн бұрын
Pesa zinatafutwa..hakuna anaezaliwa nazo mondi anatafuta..
@sponsor78825 күн бұрын
Diamond masikini mwenzetu
@jenipheraron35664 күн бұрын
,😂
@homeandaway28114 күн бұрын
Hawa si walishaoana kitamaduni? Kabla hata mtoto wao wa kwanza kufariki, ila nakumbuka ilikuwa kimyakimya, pia kabla ya kumzika mtoto wao inasemekana walifunga ndoa ya kimyakimya ili mtoto aweze kuzikwa upande wa baba. Labda wanafanya kubariki ndoa na kufanya reception? Kila la kheri kwao.
@yasminoluoch1694 күн бұрын
Sai nafanya white wedding sai
@rukiaiddyyahaya95065 күн бұрын
Angekua na tabia kama ya zuchu kuvunja tv saiv tungemsahau
@hopechidera4 күн бұрын
😂😂😂
@Brunotarimo105 күн бұрын
Mtangazaji pendwa fredrick bundala kutoka paiplain nairobi
@monicacyprian91374 күн бұрын
Why anafunga ndoa j4 sio siku nzuri 😢😢
@Sonia_abass4 күн бұрын
Kwako
@sarahkeivaly33513 күн бұрын
Kivipi?
@LameckZakaria-qg9vv5 күн бұрын
Hapendi shobo kwa wajinga
@user-it6zi7zw8y5 күн бұрын
mbona wasani wetu wa tz awapo hapo au awana pesa 😂😂😂😂
@michelinemapendo66525 күн бұрын
Wasabi wa Tazania wanapesa za Amazon 😂😂😂😂😂 kheeeee wanazioder ku amazon 😂😂😂
@michelinemapendo66525 күн бұрын
Mondi Na zuchu itakuwandowano😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-qq6mv6vh3e3 күн бұрын
😂😂😂
@kilimanjarostarlounge5 күн бұрын
ametisha arusi ya mabilionea mbona diamond hajamualika au sio bilionea haha
@faidhamyovela1795 күн бұрын
Billionea wap ww hana hata private jet ataenda na air tanzania 😂😂😂😂
@d255tv5 күн бұрын
@@faidhamyovela179East Africa kuna billionare mmoja anayetambulika duniani Mo dewji peke yake tangu mwaka 2013/14 hadi leo hii, ukisikia mtu anamiliki $1bl ww endelea na shughuli zako, mana dunia nzima wapo kama 2800+ kwenye 8+bilion population.. OGOPAAAA.. b$ hata huyo mzee adeleke ni tajiri lakini huwa anachea $700-800ml.. OGA billion dollar achana nayo tafuta maisha yako tu..😂😂😂😂