dah, meena motivational speaker aisee, vibe kweli. one love from kenya
@aloycemasele72365 жыл бұрын
Sura za usafi lkn si wasafi! Ooh point meena
@davidcurtis85565 жыл бұрын
Napenda kuona wadada kama hivi wanapendana wanapambana na kupeana support kama hv safi safi sana sio.
@aksantedeborah79135 жыл бұрын
Meena ka mimi ati anasema Sana 😂😁😂 nakuwaga ka yeye when I talk alot najisemaga naongeaga ka kasuku kusema saana aise🤣
@elijohofficial1049
ila frida karembo na macho yake ❤❤🥰🥰
@rahelmakala54405 жыл бұрын
Ahahahahaha nimecheka sana eti samahani naongea sana mmmmmm we meena ally nomaaaaa
@henrypatrick73124 жыл бұрын
1st time nilikutana na frida studio za wanene and man this chix is straight, sio wakung'ata ng'ata kucha, pia nilijifunza kitu kwake, wherever u ar fifi big up and keepon pulling up.
@lemonadesoldier13775 жыл бұрын
Mi binafsi meena nimekuelewa nilitamni uwepo katika hiyo interview wewe ni binti wa kipekee Sana Tofauti na Mabinti wengi katika entertainment industry. Wengi wakifika hapa wanajisahau kuwa wao ni WANAWAKE Bado. Pia na appreciate kazi yako dada na wewe Ndio wife material
@francothadey89324 жыл бұрын
Mena daah so beautiful your words
@Goodluck_G84 жыл бұрын
Frida very humble girl
@rahimukakozi15742 жыл бұрын
Meena zidi ya mausiano umefunguka vyema apo naisi umefungua masikio ya wengi zaidii,
@arafakiloli7494 жыл бұрын
Ohoooòo! jamoon jamoon nawapenda hawa wa dada..😘😘😘😘😘
@faiswalisuleiman86125 жыл бұрын
Dada asante sana maneno mazuli sana yakujenga mtu au kijana ambae anawaza mafanikio
@nasraabdallah8503 жыл бұрын
Dah nema unaongea sana🤣🤣🤣ila nawapenda sn wote pamoja na frida 💕💕👌👌😘
@fubanjenjele5215 жыл бұрын
Wadada ninaowaelewa
@damasabas85 жыл бұрын
Sema meena me namkubali mpka kesho asee
@lilianjerome41925 жыл бұрын
frida anataka kuongea km Zama 😍
@julianagolden43595 жыл бұрын
Hii ni interview kubwa na Nzurii sana yaani Dah sijui nisemeje Creez to me your are the best This is my best interview kwakweli Big kwa kuamua kuwaweka pamoja Meena na FIFi imekua interview nzuri sana
@yasserabubakar61675 жыл бұрын
Nimejifunza kitu kipya kwa hii interview
@faizsaleh37095 жыл бұрын
Mbn huyu minna ally mm nampenda xn sjui kwa uongeaji wke au sjui uzanzibar .... Ila dar