FUSE X FILES: UNDANI wa SYRIA! Ushindi wa 6 kati ya 7 kwa Netanyahu

  Рет қаралды 16,303

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 275
@Khatib-iv9pb
@Khatib-iv9pb 22 сағат бұрын
Mashallah!!! Dah!! Dj SMA you're gifted mashallah, Allah akuzidishie ufahamu, fact and logic
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 11 сағат бұрын
Mashaallah
@MessBaba-ms2ww
@MessBaba-ms2ww Күн бұрын
Nakubali Scott ritter wa Tanzania
@hamadiselemani8665
@hamadiselemani8665 19 сағат бұрын
Aisee Makala Imeshiba Sanaaa, Nimejifunza Mengi Sana Ambayo Nilikua Siyajui Mwanzoni, BIG UP DJ SMA
@mfupakhamis9751
@mfupakhamis9751 23 сағат бұрын
Mashalaah uko zaidi ya ukweli kulingana hadiths na nots. Mtume (saw) kasema kweli. Ufalme wa Mungu usimame. Amini
@HusseinAli-g9w
@HusseinAli-g9w Күн бұрын
Mkali wa fact❤❤ bigup sana smaa👏👏🇹🇿
@HudheifaAthman
@HudheifaAthman 23 сағат бұрын
Brother Allah akuhifadhi waelimishe wasiojua uhalisia wa mambo
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 21 сағат бұрын
Hakika
@hamsikrasheedi1796
@hamsikrasheedi1796 21 сағат бұрын
mashaallah Mungu akubarik sanaaa djsma kwa elimu unayo tupa kaka ❤✊🏽
@Nurse-Suhaila
@Nurse-Suhaila 22 сағат бұрын
Subhanallah i don't get it how a dj can be knowledgeable like this especially in deen
@nkeshimanayuda1115
@nkeshimanayuda1115 18 сағат бұрын
Kadiri unavyotoa makala unazidi kunipa maarifa zaidi. Hongera sana Sma Mungu aendelee kukutunza.
@anordgerison8639
@anordgerison8639 Күн бұрын
DJ SMA nakukubali sana ❤❤❤❤
@LittleLion-Tours-Safari
@LittleLion-Tours-Safari 21 сағат бұрын
Facts and Logic ❤❤ & 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 23 сағат бұрын
Mungu akupe maisha marefu kaka tunakuelewa
@GeorgeElias-p5o
@GeorgeElias-p5o 23 сағат бұрын
Tumia akili yako fatilia elewa mambo.. hizi chambuzi za kishabiki zitakupoteza watu wanachambua mambo kwa maslahi yao na malengo fulani
@mrishoally55
@mrishoally55 21 сағат бұрын
⁠@@GeorgeElias-p5o usinge comments ili kuto dumisha hayo maslahi unayo zungumzia wewe, na ushamba umekuzidi.
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 20 сағат бұрын
Wew kumbe pimbi ​@@GeorgeElias-p5o
@augustinomathan4385
@augustinomathan4385 20 сағат бұрын
Kwani mwanzilishi wa Jihad war ni nani mchambuzi tusaidie
@Awatee
@Awatee 17 сағат бұрын
​@@GeorgeElias-p5oTafuta chanal yak uchambue acha ujuaji wakati elimu huna kubishana tuu kusoma aah hebu tuliza fuvu lako weye kutwa malalamiko ushabiki kwani nani kakuita hapa usitafute mambo usio kua na elimu nayo ukiona humpendi tafuta chanal yak uchambue sio malalamiko
@frankthobias-ux7lj
@frankthobias-ux7lj 13 сағат бұрын
Dj sma kwa fact & logic upo vizuri sana
@HasanKisome
@HasanKisome 17 сағат бұрын
Aisee Wewe Ni Next level 👏👏
@HamadJuma-kj5td
@HamadJuma-kj5td Күн бұрын
Nakubali sana fact zako bg up
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 21 сағат бұрын
Dj Sma Mchambuzi wangu bora Dj Sma Ningetamani ufanye kazi Crown Media Big up kaka utafika mbali
@ajsmainde5138
@ajsmainde5138 2 сағат бұрын
kwenye sns moja, unapata klauni midia ngapi.....?😅
@Mahene-w1l
@Mahene-w1l Сағат бұрын
Mbona Ameshafik mbali unataka mbali Gani Tena
@HawaBakari-u6q
@HawaBakari-u6q 21 сағат бұрын
Nakubali kaka by idriss msakanoti
@brianbaltazar6198
@brianbaltazar6198 23 сағат бұрын
Hongera sana @ dj smaa
@Brunoh90Tv
@Brunoh90Tv Күн бұрын
Nondo kali sana hiz👏👏🔥🔥🔥🔥
@JustinSunzu
@JustinSunzu 8 сағат бұрын
Thank You so much Sma, You’re Best .
@shukranlugo3918
@shukranlugo3918 Күн бұрын
FUSE🔥🔥🔥🔥
@abdullahmapesa
@abdullahmapesa Күн бұрын
⭐⭐⭐⭐⭐ the genius DJ sma
@zakazakazi-fn6zy
@zakazakazi-fn6zy 23 сағат бұрын
Nakukubali sana mkali akili nyingi sanaa mkuu.
@maniamba.tz_
@maniamba.tz_ Күн бұрын
Nakuelewa sana Kaka
@AmirIddi-y6e
@AmirIddi-y6e 21 сағат бұрын
Dj sma nmefurahi sana nmekuckia
@KassimuTitu-nu6jn
@KassimuTitu-nu6jn Күн бұрын
Kujitafuta ni muhimu kaka sisi tunaelewa kazi yako kaka
@erickpetter5740
@erickpetter5740 21 сағат бұрын
Umetisha kaka
@donaldsydney8574
@donaldsydney8574 22 сағат бұрын
Yan we bro ni Genius
@VictorBandah-fj2ut
@VictorBandah-fj2ut 22 сағат бұрын
Keep up bro ...
@maulidomar9578
@maulidomar9578 12 сағат бұрын
Maa Shaa Allah ❤ such amizing peace of research
@ChachaRichard-h1e
@ChachaRichard-h1e Күн бұрын
Pamoja sanaaa boy
@Visionofeagle9689
@Visionofeagle9689 Күн бұрын
Cheers ✊️ 💪 🎉
@SAYMOEKARIM
@SAYMOEKARIM 22 сағат бұрын
Dj smaa 🧠👑 tulikusubili kinoma 🥇 MUNGU AWE NA WEWE ✊🏾
@bishweko
@bishweko 23 сағат бұрын
Umenifanya natetemeka Kwa uwogo Dj Sma ulivyo wachambua Kwa Hadithi Majina yao. Kweli Kwa kutumia majina ya Abuu. Wameteka nyoyo za wengi kuamini kuwa ni watu wema. Allah atunusulu na fitna zao .
@jumakassim8718
@jumakassim8718 22 сағат бұрын
Ameen yaaraby
@tchombakarimdjuma3845
@tchombakarimdjuma3845 9 сағат бұрын
Big up sana brother Alllah awe Nawe always
@saidmohammed7220
@saidmohammed7220 39 минут бұрын
I like your analysis, you doing good job
@jerryndondole1965
@jerryndondole1965 21 сағат бұрын
Kaka kweli ume inspire wengi
@SIEGFRIEDMTEI
@SIEGFRIEDMTEI 22 сағат бұрын
Nimeipenda sana smaa inafikirisha sana ndg zangu
@zuumlondwa9518
@zuumlondwa9518 4 сағат бұрын
Mashallah aiseeh adi kiarabu unapiga mungu akuweke
@JohnLemanya
@JohnLemanya 11 сағат бұрын
kaka hbr mimi naitwa john lemanya leo umenikosha sana umepiga nondo za hatali huo niukweli mtupu anae bisha anitafute nimuongezee nondo zengine
@taraagire6176
@taraagire6176 17 сағат бұрын
Me 2 scott ritta says the mambo vile iko
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 23 сағат бұрын
Sanaa kaka
@JustinSunzu
@JustinSunzu 7 сағат бұрын
Dunia inaenda ukingoni ,haya yalitabiriwa , Soma kitabu ca Yesaya 17:1 hadi 2 . Isaiah 17:1-2 .
@khamisshee803
@khamisshee803 Күн бұрын
Waalekum musalam warahmatullah wabarakatu AKA BACHUCHU MOMBASA 001 🇰🇪+254🇰🇪
@IsmailJafary-ir8cv
@IsmailJafary-ir8cv 20 сағат бұрын
Dahh we ni hatari kabisa nimekuelewa sana sana bro wape vitu wasioelewa dunia ikoje make mijitu inashangilia ujinga hayaoni mbele kabisa Allah ataleta kher na ataitetea Al aqsa na kaaba inshaallah☝️☝️☝️
@JumaMwanga-xd9gy
@JumaMwanga-xd9gy 23 сағат бұрын
Masafii w kibongo Pia Wnapenda kujiita buu.. Fulan😢..
@billskeez92
@billskeez92 Күн бұрын
Kweli Dj smaa ulikua umetutenga aise anyway ivi umerudi yote heri ❤
@thabitngangila8562
@thabitngangila8562 16 сағат бұрын
Dah nimemisi sana smaa
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 20 сағат бұрын
I feel so sorry for Syria
@HeisBonii
@HeisBonii Күн бұрын
Oya tulimisss hii kitu mno🎉
@hatibumohamedi3471
@hatibumohamedi3471 Күн бұрын
Houth ni watu hatari sana wana hoffu kubwa na usaliti ni mdogo sana allah atajaalia kheri sana
@SM-fu1yv
@SM-fu1yv 22 сағат бұрын
Mungu atunusuru Africa viongozi wetu wajitafadhari
@HassanRamadhanPashua
@HassanRamadhanPashua Күн бұрын
Ww mwamba nakukubali sana
@doubleymkuu4267
@doubleymkuu4267 2 сағат бұрын
Nilivimis Sana hivi vitu
@RashidBusanya
@RashidBusanya 16 сағат бұрын
Jamaa unajua sana kuchambua kuliko mtu yoyote Tanzania
@losocarsoundsystem1133
@losocarsoundsystem1133 12 сағат бұрын
So Good Bro..
@Solomonnize
@Solomonnize 13 сағат бұрын
Daaaaaa noumaaaaa,🔥
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 22 сағат бұрын
Leo wamejidhihirisha wenyew, hakuna Muisilam anawez kuchoma Moto Kaburi la Binaadam mwenzke tena Musilamu- wao wamefanya hvo kwny Kaburi la Baba yke Assad
@husseinhemedi9314
@husseinhemedi9314 Күн бұрын
Wale tulio anza na FUSE tunakuelewa mzee FUSE ndo imeizaa GPS na media nyingine nying kuanza kuongelea vita big up SNS SKY na FUSE
@ce-08
@ce-08 12 сағат бұрын
Sio kweli Mimi ni mdau sana wa FUSE ni kweli FUSE ni bora lakini Kuna media zingine pia mfano Radio One Arusha kunamtangazaji anaitwa Alex Kuna IBM channel, Kuna yuhoma zipo nyingi sema zingine hazina wafuasi wengi na wengine wameanza kabla ya FUSE ingia KZbin utamuona
@dorahbenard1837
@dorahbenard1837 15 сағат бұрын
Ok ,nazidi kuelewa mambo , asantee dj sma endelea kutupa ufahamu zaidi juu ya haya mambo ya duniani .
@SM-fu1yv
@SM-fu1yv 22 сағат бұрын
Dj smaa unafikiri marekani wata weza kuangushwa maana wanafujo sana duniani
@emmanuelmwandu.3126
@emmanuelmwandu.3126 12 сағат бұрын
Big up brother.
@karimmunis8302
@karimmunis8302 15 сағат бұрын
Hapa kwenye kununuliws kwa maafisa wa jeshi la hasadi ndo fitina iliyomuondoa hasadi na sio kweli eti ni uwezo wa hilo kundi
@HassanRamadhanPashua
@HassanRamadhanPashua 22 сағат бұрын
Neema mpaka ikutoke ndio uijue watajua umuhimu wa Assad
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 16 сағат бұрын
Kaka upo vizuri
@ibnujumanne4054
@ibnujumanne4054 4 сағат бұрын
Our bro Smaa tuweletee rawi ya hadithi hii tufaidike zaidi bro
@BUGAZANZIBAR
@BUGAZANZIBAR Күн бұрын
duh ! kaka ww ni noma
@malikihusseinmbaga
@malikihusseinmbaga 2 сағат бұрын
Nduguyangu naskiya umeikosha nafsi yangu kwa unavyo nichambuliya habari nakuaminiya
@disanatv4485
@disanatv4485 2 сағат бұрын
Natamani hata watu wawe washauri wa Raisi, MUNGU wape hawa watu kibari machoni pa Raisi, Naona Tanzania ya kutisha.#DJ SMA🙏🙏🔥🔥
@KaijageKaishozi
@KaijageKaishozi 22 сағат бұрын
Kweli smaa yupo sahihi fuse ndio imezaa vitu na vipindi vyote vya tunavyo viona hadi sehemu nyingine., nakumbuka wakati wanaanza na kina jimmy na sky asee awajamaa watu wabadi sana, kwenye haya maswala🎉🎉🎉, ebu cheki vichwa vilivyo ongezeka mwamba Masubi, na Henry,. japo kuna mda wanakuwa na mapenzi lakini wapo smart sana, hongereni sana, Sky na wenzio.
@ce-08
@ce-08 12 сағат бұрын
Hakuna mtu ambae Hana upande wote wanapande zao maana na wao ni binadamu lazma wawe na hyo Hali sema tu linapokuja swala la uchambuzi inatakiwa tuangalie Kaz c mapenzi ya upande wako
@fikiriamisi8052
@fikiriamisi8052 20 сағат бұрын
Great fact.
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Күн бұрын
Tusikilize ukweli huu...na sio tunakalilishwa uongo
@SaidiChande-p4l
@SaidiChande-p4l 11 сағат бұрын
Nakubali
@SM-fu1yv
@SM-fu1yv 22 сағат бұрын
Ashad ata jipumzikia na family yake acha hawa waliobaki wauane wenyewe kwa wenyewe
@abdullahmapesa
@abdullahmapesa Күн бұрын
44:46 daaah sma wallah wewe nakupa maua 🎉 yako kbs umeshaga maliza kweli 🤭🤭🤭🤭
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 23 сағат бұрын
Hivi Vikundi vya kigaidi vimeanzishwa na wamerikani kwa lengo lao kubwa kuuchafua Uislamu na waweze kupata vibali vya kuvamia inchi za Kiislamu
@omondiowino7875
@omondiowino7875 22 сағат бұрын
Hivi Muhammad alitoka Marekani..?
@Awatee
@Awatee 16 сағат бұрын
​@@omondiowino7875Acha ufisadi kwani Muhammad alianzisha ugaidi?
@Pedeshee01
@Pedeshee01 12 сағат бұрын
Mimi ni muislam ila upumbavu mwengine tunawasingizia tu,kama usaliti tunautaka wenyewe,cha muhimu kwa usaliti wa kwanza ni waarabu wa pili ni waafrica.
@maryamkhamfar4029
@maryamkhamfar4029 18 сағат бұрын
DjSmaa umesema kweli, FUSE imezaa vingi sana hata GPS imetoka a na FUSE
@ilhamAboubakar
@ilhamAboubakar 8 сағат бұрын
Unajitahidi kwa uchambuzi nakupongeza kwa hilo ila nakuhusia epuka kutafsiri hadith ao aya za quruan tukufu utakua unauzalilisha uislam nakuutia kasoro nahali yakua uislam umekamilika huna mapungufu .yoyote hujafikia level yakuchambua Hadith ao aya ya quruan tukufu kwanza hadith yenyewe hukutowa reference zake namalengo yake huyajuwi na hicho kitamba cheusi kilitumiwa na mtume na vile vile cheupe hiyo ilmu sio level zako kwakumaliza huyo alie ondolewa kweny utawala ni mshia huyo ni kafiri zaidi kuliko mchristo wala naswara na haswa ukizingatia alikua nafaida gani na waislam nasisi waislam ni dini ya amani hatuwachukiyi wachristo wala manaswara bali twapigana na yule anae tupiga vita natwajenga uaduwi na yule ambae anae tufanyia uaduwi (Albaqara aya 190 -195 quruan)
@jumaciza461
@jumaciza461 15 сағат бұрын
Tulikuwa tunakumbuka hiyi yakujifanana. Wewe pekeyako kwenye mike. Yote haya Mawahabi ndio wanayaleta. Kwanini hamuyasemi wambieni street Mawahabi aceni kupindisha maneno dj sma sema ukweli pls
@basilintabw7037
@basilintabw7037 18 сағат бұрын
Good job brother, una madini haswa madini yamesheheni uh uhalisia kuntu
@AllyNdikumana-m7w
@AllyNdikumana-m7w 17 сағат бұрын
MASHA ALLAH
@AliyKijangwa
@AliyKijangwa 16 сағат бұрын
Mungu akubariki xna umetufungua xna akili asieelewa abak na ubishi wake
@AmaniRashidi-i9b
@AmaniRashidi-i9b Күн бұрын
😂 wasapot fuse wana potea hawaonekan😊
@nzeyimanaadidja7684
@nzeyimanaadidja7684 15 сағат бұрын
DJ sma 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@GorbyWilliam
@GorbyWilliam 23 сағат бұрын
Dj sma heat the point don't go around the bush unazunguka sana .
@AbdillahMnubi-vx8qx
@AbdillahMnubi-vx8qx 21 сағат бұрын
DJ asma endelea kujifunza kiarabu maana ukijifunza lunga ya kiarabu na uka ijuwa hakika uta kutana na mambo mengi sana hata ambayo hukuwahi kuya juwa ila nakupongeza sana
@popiya2368
@popiya2368 17 сағат бұрын
Je Mungu atakubali watu waendelee kuteseka mpk lini
@joshuamwanaharakari9849
@joshuamwanaharakari9849 Сағат бұрын
Mpaka pale atakapo amua yeye
@innoxbnkahwa671
@innoxbnkahwa671 22 сағат бұрын
ukiisha ingizwa Hadith za mtume na jirani hapo umeharibi kbs uchambuzi na wengine watakuja na summary kuwa ukipigana na Israel unapigana na Mungu. hakuna wa kushinda Israel. Sasa hapo ni mambo ya Imani
@Lky589
@Lky589 18 сағат бұрын
Uje na fact t tutakuelewa, Israeli gani hiyo?? Hii ya wazungu NETANYAHU ambayo siku ya ushoga duniani inafanyika Israeli? Au Israeli gani.
@Awatee
@Awatee 16 сағат бұрын
Kwani Mungu ana taifa 1 weye lako la nani tuliza mshono Mungu hana walevi na wavuta sigara Mawalii wa Mwenyezi Mungu wale walio muamini na kumcha
@danielmasolwa
@danielmasolwa 15 сағат бұрын
Hebu tuambie hyo siku ya ushoga imeazimishwa israel ipi au iran kuna israel stupid​@@Lky589
@SalumObed
@SalumObed 13 сағат бұрын
Pia fahamu hata wakristo israel ni wachache ambao ni asilimia 1 wakat waislam asilimia 18
@WebsonMwamnyasi
@WebsonMwamnyasi 3 сағат бұрын
Kweli kabisa mr
@joely58
@joely58 Күн бұрын
🎉
@amansilayo6618
@amansilayo6618 21 сағат бұрын
Dj smaa sasa hao wakristu wanavyo zidi kupungua hujaendelea mwisho wake utaku ni nn?wata rejea au waislamu watakalia hayo maeneo ?
@safeniubwa3588
@safeniubwa3588 23 сағат бұрын
Kazi ipo ,inakatisha tamaa sana
@jumaali4893
@jumaali4893 23 сағат бұрын
33:48 apo nimeparudia rudia sanaaa kuangalia
@sheriffshatterz
@sheriffshatterz 14 сағат бұрын
Dialectic: when two conflicting things are both true at the same time
@fadhilngalanda7520
@fadhilngalanda7520 20 сағат бұрын
Yaan DJ SMAA kuhusu mambo ya migogoro ya kivita au mapigano Kwa EAST AFRICA wewe ndio number one hakuna mwingine Kuhusu sheria Hedry na mambo ya Makombola Ally ila kuhusu vita DJ Smaa wewe simuoni wa kukufananisha nae
@fauziaalmaamry8360
@fauziaalmaamry8360 3 сағат бұрын
Uchungu saaana
@fauziaalmaamry8360
@fauziaalmaamry8360 3 сағат бұрын
Tumeisha fika akheir dunia dj sma kila kitu allah kasema kwenye quraan ila cc warabu wametoka kwenye line yao uchugu sana tena sana
@fauziaalmaamry8360
@fauziaalmaamry8360 3 сағат бұрын
Kweli kabisa nakupa bogezi dj sma wewe unajuwa kweli
@fauziaalmaamry8360
@fauziaalmaamry8360 3 сағат бұрын
Huwezi kutowa habari izi isipokuwa umefaham dini yako yako islaam imesema hatuwezi kuwa salama cc warabu ila tufate mila yao mayahud wanafanya haramu sana tumefika fasi mbaya sana .
@alijuma8009
@alijuma8009 Күн бұрын
Hegel nimesoma philosophy zake kidogo nilipo soma African historiograhy SUZA
@AbdallaSikukuu
@AbdallaSikukuu 23 сағат бұрын
Yuko pamoja kaka
@halidijuma1884
@halidijuma1884 13 сағат бұрын
Mawahabi ni Shida, hii nayo watakataa,,ni watumishi wawa YAHUD
@SamsonEzekiel-or9xc
@SamsonEzekiel-or9xc 20 сағат бұрын
Calm on
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 22 сағат бұрын
DJ ASMAA TOBOZA TU HIZI MAMBO ZOTE NI UISLAMU NDIO WAPIGWA VITA
Как Я Брата ОБМАНУЛ (смешное видео, прикол, юмор, поржать)
00:59
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 18 МЛН
Новости дня | 13 декабря - утренний выпуск
11:46
Euronews по-русски
Рет қаралды 6 М.
Lada Aura - полный разбор на компоненты.
43:47
Клубный сервис
Рет қаралды 240 М.
جنگ جهانی اول "دقیقا" چرا اتفاق افتاد؟
33:20
Were Israel’s Actions in the Gaza War Justified? Eylon Levy vs. Mehdi Hasan
1:06:50