MWIJAKU amtuma INSPECTOR HAROUN kwenda kumshusha DIAMOND ''Nendeni mkanishushie MWAMBINO anakopi''

  Рет қаралды 17,328

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

#mwijaku

Пікірлер: 54
@imma_billy
@imma_billy Жыл бұрын
Eeeh kila siku Diamond!!!
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا Жыл бұрын
Hiyo ngoma itakuwa kali sanaa
@mkamajames2786
@mkamajames2786 Жыл бұрын
Kr mamae kaisha kula vitu mwijaku anamzingua tu apo aloo mwijaku anasema eti vijana wangu wakate kr mkubwa kuliko uyo mtu wakigoma😁😁
@yasinazam116
@yasinazam116 Жыл бұрын
Mwijaku ameanza kazi mapema Kura zinazokuja Atapata Hela kibao Mjanja sana
@saidimafu9524
@saidimafu9524 Жыл бұрын
Jamaa liongo mbaka linachefua anatunga uwongo unao fanana nakwel
@R10_Rajab
@R10_Rajab Жыл бұрын
Waandishi wa habari wa Tanganyika bhana yaani kweli kazi na habari hamuna yaani kibaaaaao mumekwenda kupoteza muda wenu kumsikiliza huyo mbulula kazi mdomo dah poleni sana
@jeverinopembe7945
@jeverinopembe7945 Жыл бұрын
Inspector Haroun anajua kuongea sana
@karimshabani4186
@karimshabani4186 Жыл бұрын
Acabangi mwejaku Wewe
@gabrielayubu3417
@gabrielayubu3417 Жыл бұрын
K R mura naona haelewi anataman wamalize akapige pegi
@youngyiz6320
@youngyiz6320 Жыл бұрын
Ndo mziki saiv sema uku bongo bado hatujazoea😥
@kobajumakuziwa9976
@kobajumakuziwa9976 Жыл бұрын
Huyu kwenye muziki kaanzia lini bongo movies vipi tena ama kweli nchi hii kuna mambo
@alphadreammedia
@alphadreammedia Жыл бұрын
Daaaaa anawazimu mwijaku
@buthaynaamani792
@buthaynaamani792 Жыл бұрын
Wewe mwijaku mti wenye matunda hupgwa namawe kama yote hata uongee maneno yauongo sisi kamamashabik wa diamond platnumz chibu dangote huwezi kumshusha hatauongee vipi mond my number one Tanzania nzima hakuna msanii mwenye lebo yenye mafanikio kama WCB wasaf mwijaku angalia watu wanavo gonga like nyingi hapochini ujuwe simba anakubalika kiasi gani.
@FakihiAlly-kb7ss
@FakihiAlly-kb7ss Жыл бұрын
Kr ashakula bangi nyingi anaona poa tu
@official_dicksonmunga
@official_dicksonmunga Жыл бұрын
Eti angeweza kuita ma NYUMBU 🤣🤣🤣 unataka vita na Bongo movies
@swimmermoddy3263
@swimmermoddy3263 Жыл бұрын
Juzi tu umesema inspector Haroun na Nature sponsor asiwekeze kwao leo wawapamba mnafik mkubwa
@geomangi6123
@geomangi6123 Жыл бұрын
hili mwijaku limerogwa
@emazjassam2452
@emazjassam2452 Жыл бұрын
Na ww upo serious na mwijaku... Hujui hiyo ni strategy anayo tumia kufanya marketting... don't take him serious yupo kazini
@utunyaafunntengo4774
@utunyaafunntengo4774 Жыл бұрын
Ila kr hapo kama hayupo ivii. Anawaza umalize halaka aende akavute bangi
@graceanyungu2774
@graceanyungu2774 Жыл бұрын
Mwsija wewe mjinga tu sana kuliko ata mbwa
@nelsonjonathan7660
@nelsonjonathan7660 Жыл бұрын
Hivi kumbe mwijaku ni chizi😂😂
@saidimafu9524
@saidimafu9524 Жыл бұрын
Babu kanifurahisha sana kakutana chizi
@utunyaafunntengo4774
@utunyaafunntengo4774 Жыл бұрын
Kr jamani anatia huruma
@miltonmachage2462
@miltonmachage2462 Жыл бұрын
Hao shv hawatoboi ndugu cz mzk umebadilika
@nicholausmbilinyi3587
@nicholausmbilinyi3587 Жыл бұрын
watu hawapendi kuwaambia ukweli
@hamissemohammed9442
@hamissemohammed9442 Жыл бұрын
Yan huyo kr hayupo apo kabisa
@nadrahassan5241
@nadrahassan5241 Жыл бұрын
Warudi warundi kabisa 🙏
@svt3
@svt3 Жыл бұрын
Nadra Hassan: hawa wazee hawawezi mtoa Diamond, mziki wa style zao zilisha isha zamani za kale, siku hizi mziki ni biashara ya hali ya juu ambayo hawa wakongwe hawawezani nayo kabisa
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 Жыл бұрын
Bwijaku sometimes dishi linayumba
@mkamajames2786
@mkamajames2786 Жыл бұрын
Afu kwani lazima wawe na ma bodyguard dah
@patrickmukundichalamila3038
@patrickmukundichalamila3038 Жыл бұрын
Hili jamaa linajua jitafutia mlo hatariiiiiiii, Kutoka kwa Alikiba, Harmonize na Diamond Sasa mama Samia,waziri Makamba tuambie kituo wapi?? Hapo limejitetea ili kusawazisha akina Kr wasimpe za kinkaaaa😂😂
@patrickmukundichalamila3038
@patrickmukundichalamila3038 Жыл бұрын
Hili jamaa linajua jitafutia mlo hatariiiiiiii, Kutoka kwa Alikiba, Harmonize na Diamond Sasa mama Samia,waziri Makamba tuambie kituo wapi?? Hapo limejitetea ili kusawazisha akina Kr wasimpe za kinkaaaa😂😂 za wanaumeeee eeeeeeh. Haya baba mjini jua kaliii
@dadyjo_
@dadyjo_ Жыл бұрын
Mboyoyo hyu
@saidimafu9524
@saidimafu9524 Жыл бұрын
K R kabakia kimya
@karimshabani4186
@karimshabani4186 Жыл бұрын
Acaunafiki
@nelsondaniel1131
@nelsondaniel1131 Жыл бұрын
Mwijaku kibwengo kama vibwengo wengine pumbavu zako akili amnazo ww.
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌️.
@meyou-zz8mj
@meyou-zz8mj Жыл бұрын
Babu ndio ulimwengu wa sasa huo...ma old skul kazi zinaongea....babu leo kapaiakana na machawa
@saidimega9615
@saidimega9615 Жыл бұрын
Uyu jamaa mpumbavu sanaa
@kisalaTV
@kisalaTV Жыл бұрын
Baba rinaroho chafu hili wivu. Na mwambino😏
@stephanompola5629
@stephanompola5629 Жыл бұрын
Kutafuta sifaaa tu kwa serikali kufifia tu
@elogeruhimbasa6719
@elogeruhimbasa6719 Жыл бұрын
Diamond Ana kopi wnaAllsha tasni yamziki wa bongo fleva
@ibrahdedonny4073
@ibrahdedonny4073 Жыл бұрын
Umekielewa chenye umeandika
@ramadhanijumakishai7783
@ramadhanijumakishai7783 Жыл бұрын
Mpuzi ww unamaliza bando bule tu
@meshakinelisoni1176
@meshakinelisoni1176 Жыл бұрын
.hehehehe
@makamekhalfan5968
@makamekhalfan5968 Жыл бұрын
anatafut cheo serikalin
@carinamatt1031
@carinamatt1031 Жыл бұрын
Nani ampe labda ashikishwe ukuta
@athumanimhanga2053
@athumanimhanga2053 Жыл бұрын
Mwijaku mzalilishaji sanaaaa😂😂😂😂😂😂😂
@georgesikazwe5914
@georgesikazwe5914 Жыл бұрын
Sifa t mjinga hyu muha
@rajabubaseloma3356
@rajabubaseloma3356 Жыл бұрын
Eti manyumbu
@deathrow8004
@deathrow8004 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@jajomc6445
@jajomc6445 Жыл бұрын
Wimbo mpya wa Singeli unatamba kwa sasa kzbin.info/www/bejne/q4aWl5lpgr18fg
@patrickmukundichalamila3038
@patrickmukundichalamila3038 Жыл бұрын
Hili jamaa linajua jitafutia mlo hatariiiiiiii, Kutoka kwa Alikiba, Harmonize na Diamond Sasa mama Samia,waziri Makamba tuambie kituo wapi?? Hapo limejitetea ili kusawazisha akina Kr wasimpe za kinkaaaa😂😂
GB 64 AMFOKEA KAYOKO KWA HASIRA, TUMEFUNGWA KWASABABU YAKE
12:26
Ngwale Sports HD
Рет қаралды 5 М.
KENYA KILA MTU FISADI, GACHAGUA APEWE HAKI KUJITETEA | UCHAMBUZI
20:56
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 10 МЛН
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 49 МЛН
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 82 МЛН
ZUCHU AKIZIPOKEA TUZO ZA MPENZI WAKE DIAMOND ALIZOSHINDA USIKU WA TMA
8:42
A Day at Johari Rotana Hotel Dar es Salaam Tanzania
9:52
EssKayworld
Рет қаралды 7 М.
PROF KABUDI ASHANGAZA WENGI KWA HOTUBA YAKE
37:31
Ngasa Tv
Рет қаралды 190 М.
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 10 МЛН