Kombora la Balistiki kutoka Yemen lapiga Israel

  Рет қаралды 15,855

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 278
@ShabannamadLada-vz1hg
@ShabannamadLada-vz1hg 2 күн бұрын
Safi sna yemen
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata Күн бұрын
Saf Yemeni lakini tizama gaza panavyo chapika Kila siku wa uwawa zaidi ya 300
@user-to6up4hg2w
@user-to6up4hg2w Күн бұрын
.​@@OnesmoEphrata...so what
@mohamedaley5632
@mohamedaley5632 Күн бұрын
Allahu akbar walilahil hamdu
@MulaAlkar
@MulaAlkar 2 күн бұрын
Mh anae onewa anaishi kwa amani anae onea haishi kwa amani sijawahi kusikia waiziraili kuishi kwa amani
@SelemaniIssah-p2g
@SelemaniIssah-p2g 2 күн бұрын
Kwa yale mauaji waliyoyafanya gaza hawatopata mpaka dunia hiishe
@jumakassim8718
@jumakassim8718 2 күн бұрын
​@@SelemaniIssah-p2gSwadakta
@allahisone6386
@allahisone6386 2 күн бұрын
​@@SelemaniIssah-p2g sure
@hajijuma8661
@hajijuma8661 2 күн бұрын
Nikweli
@mussammanga7791
@mussammanga7791 2 күн бұрын
Ataishi kwa Amani vipi wakati anadhulumu ardhi za watu na kuwaangamiza wenye ardhi yao, hataishi kwa Amani hadi kiama.
@Sarah-e1o9k
@Sarah-e1o9k 2 күн бұрын
Respect Yemen piga hao wavunja makanisa mbwa hao
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 2 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@ShanyDaud
@ShanyDaud 2 күн бұрын
Uwenda Yemen itachakaa au Lebanon au Iran Ila nacho Amini Israeli aiwezi Kuja kuishi kwa Amani mbaya sana kupigana na watu wanaoamini kifo sio mwisho wa maisha mungu ni mkubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 2 күн бұрын
Saudi akiruhusu mpaka wake utumiwe na wahuthi.israel itakuwa haipo kwnye uso wa dunia.
@tekashisixtynin9threewithd727
@tekashisixtynin9threewithd727 2 күн бұрын
@@hamadsheni8997kwan wakati wanatumia wa syria walifika wap na walifanikiwa nini
@ShanyDaud
@ShanyDaud 2 күн бұрын
@@hamadsheni8997 shida Saudi ni kama Taifa la magharibi mbaka Kuna mda naisi kwenye quruan yao Ile Ayah ya Muislam ndugu yake ni muislam wwmekuwa awaungi mkono juhudi za wenzao kabsaa
@hanifa9153
@hanifa9153 2 күн бұрын
Kama mungu ni mkubwa vipi uamini kufa ni mwisho wakuishi😅
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 2 күн бұрын
Fanya kazi yemen
@MirajiWaziri-hl2hc
@MirajiWaziri-hl2hc 2 күн бұрын
Hongera sana yemen mungu aendelee kuwapa nguvu inshaalah
@Godfreyolekidongo
@Godfreyolekidongo 20 сағат бұрын
vita ya hawajamaa wamashariki yakati hapana kiliasiku twawasikia waotu hadi tumechoka Sasa mmmh😥😢😢
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk 2 күн бұрын
Safi sana yemeni mungu yupo pamoja nanyi
@humphreymwihambi4330
@humphreymwihambi4330 2 күн бұрын
Msiwadanganye wenzenu wakipelekewa moto muanze kusema Israel katili.
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk 2 күн бұрын
@humphreymwihambi4330 chief acha uduanzi gaza watu wanakufa bila hatia leo kajitokeza mtetezi unaazashobo kwani yeye hajui anacho kifanya mpk ameamua kashajua kitachotokea kwake hovyo acha shobo chief
@barakamwimbi
@barakamwimbi 2 күн бұрын
@@HajiKlein-so1rk hahahaaa Yemen ni Bora kuliko Iran? kiko wapi kiherehere chao?
@AhmadaHassan-gy5uj
@AhmadaHassan-gy5uj 2 күн бұрын
​@@barakamwimbikwani Israel amemfanya nini Iran?
@barakamwimbi
@barakamwimbi 2 күн бұрын
@@AhmadaHassan-gy5uj hufatilii taarifa za vita?
@mansooranam831
@mansooranam831 2 күн бұрын
Well done 👍👍
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj 2 күн бұрын
Taqbeer Allahu Akbr
@AbdallahNassor-p2n
@AbdallahNassor-p2n 2 күн бұрын
Allah akbar
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 2 күн бұрын
Allah yupo kwa basha wake
@JoshuaLouis-ye7ky
@JoshuaLouis-ye7ky 2 күн бұрын
SNS with brother sky media pekee inayo chamber bila ushabiki,nawafatilia sana.keep it up.
@SadaHasimu
@SadaHasimu 2 күн бұрын
Wauwaji wakubwa ACHA wauliwe TU Mungu awajaliye kila kheri wapiganaji wote wanaotetea Gaza na parestina inauma sana huyu Netanyau paka shume anaruhusu jishi lake kuuwa watoto na watu wasiyokuwa na khatiya malipo yapo TU one day yes inshaallah🤲🤲🤲
@tekashisixtynin9threewithd727
@tekashisixtynin9threewithd727 2 күн бұрын
Asa hamas si waliutaka walikamata wanajeshi ama nn hao ndo chanzo wenyewe wangeteka wanajeshi apo sawa
@barakamwimbi
@barakamwimbi 2 күн бұрын
tulieni Vita wanaanzisha wao wakipigwa NETA Anaonekana mbaya. tulieni akijibu muanze kumpa laana
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 2 күн бұрын
One day yes Huth watakutana nachooo
@fadhilngalanda7520
@fadhilngalanda7520 2 күн бұрын
​@@tekashisixtynin9threewithd727vitu kama hujuwi ni bora ukae kimya Muanzilishi wa Hamas alikuwa kipofu na Israel walimuua tena hakuwa hata anaugomvi nao lakin basi bora nikuache
@AmeDude-x2b
@AmeDude-x2b 2 күн бұрын
Taifa la mungu linauwa watoto gaza ww mpumbavu kweli
@tekashisixtynin9threewithd727
@tekashisixtynin9threewithd727 2 күн бұрын
Kwa iyo hao walikamata wanajeshi tuseme hamas 😂😂😂
@gotfriedmwesiga4234
@gotfriedmwesiga4234 2 күн бұрын
Aliyeanzisha vita ni nani? Walishasmbiwa waachie Mateka hawataki.Hamna unaweza kuvumilia upuuzi huo hata sisi Idd Amini alipovamia Tanzania akaua watu tuliingia vitani
@barakamwimbi
@barakamwimbi 2 күн бұрын
kizuri vita wanaanzisha wao na wanapigik wao adi waombee pooo
@Williamstozzo
@Williamstozzo 2 күн бұрын
Hamas ni watoto
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 2 күн бұрын
Magaidi ndiyo wanao ruhusiwa kuua watu 😂😂😂😂😂 eti 😂🤣
@kaya.o5483
@kaya.o5483 Күн бұрын
huyo ni uongoooo😂😂 tunaona limefika na limeharibu na kujeruhi watu😂😂😂 kuna Tina ya hofu???? sky acha uchawa#sky bundala#
@RamadhanYusuph-xi3rh
@RamadhanYusuph-xi3rh 12 сағат бұрын
Kwani tunajua wao ni mungu dunia awakufi wana shagaza kwani wao wanamwili wa chuma
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 2 күн бұрын
Yemen poleeni sana! Nawaonea huruma sana
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 2 күн бұрын
Yemen akuna cha kupoteza brother washapigana vita nyingi waisrael ndo wataka kwa mashaka
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 2 күн бұрын
@hajjiomary2383 Israel yeye ni mtu wa vita tangu tumboni mwa mama yake! Kama ujui istoria kajifunze!
@williamsimusanga6605
@williamsimusanga6605 2 күн бұрын
Hakuna ujualo wewe mwenyewe kasome vizuri ndo uje utoe comment hapa, chakwanza unahitaji kujua Israeli ni nani na maana yake nini?​@@stephanosospeter1709
@SalimMohamedFaraj
@SalimMohamedFaraj 2 күн бұрын
Kamuonee huruma mamako kwanza aliekuzaa kwa uchungu
@barakamwimbi
@barakamwimbi 2 күн бұрын
@@SalimMohamedFaraj mama yake kaja vipi apa? nidhamu muhimu kijana unaona unaumia kuongelea mataifa ambae hatutokuja kukanyag wala hawatuji ndo ulete story za wazazi
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 Күн бұрын
Nabado sana
@nelsonmrutu371
@nelsonmrutu371 2 күн бұрын
Niko pale nimekaa na popcorn zangu .pindi Israel atakapoanza kujibu mapigo😊
@muhamedmsomally4175
@muhamedmsomally4175 2 күн бұрын
Jhhhhhhhhhh😅😅😅😅😅😅😅 Israel yasema MTU akimahambulia atamshambulia mara 7 ila wahouth Wana waogopa Hata mara moja haiwezekan mana akipiga anapigwa
@GeraldElias-s7j
@GeraldElias-s7j 2 күн бұрын
​@@muhamedmsomally4175hata herzbollah mlisema ivo ivo mtokeo yake kila mtu anajua kilichowakuta 😂😂😂
@barakamwimbi
@barakamwimbi 2 күн бұрын
@@muhamedmsomally4175 tulia Iran yuko wapi?
@HammyJey
@HammyJey 2 күн бұрын
Kwan washajibu mara ngap hao israel??? 😅 Tena juzi wamesaidiwa na USA na UK Kwa kuishambulia Yemen lkn Cha ajabu bdo Yemen inawasha moto tu makafiri wanajiita mataifa makubwa super power wanajumuika kupigana na watu wanaowaita wagambo
@barakamwimbi
@barakamwimbi 2 күн бұрын
@@HammyJey Nchi ngapi ambazo zinajibamiza mpak sasa? nchi zote zinakuja znapigwa vizuri tu na wanatulia kwa muhuni subiri magaidi lazima mkubali na mtii amri 😁😁😁😁
@AliHemed-t1y
@AliHemed-t1y 2 күн бұрын
Saf sana
@Mumewangu
@Mumewangu 2 күн бұрын
Hakika Yemeni amechukuwa nafasi ya utetezi wa wapalestina. Alafu amekuwa baba wa wapalestina anakwambia mpaka muondoke katika ardhi ya wapalestina mtetezi wa wanyonge siku zote yupo pamoja na mungu
@gotfriedmwesiga4234
@gotfriedmwesiga4234 2 күн бұрын
Hamna Mungu anayeelekeza watu kuuana
@abuuaisha6110
@abuuaisha6110 2 күн бұрын
​@@gotfriedmwesiga4234 Mungu ameweka sheria ukiua na wewe uwuawe, huo ndio uadilifu Israel wameua umati wa watu wacha nawao waonje mauti
@Williamstozzo
@Williamstozzo 2 күн бұрын
Alikuwepo nasrallah ,,,mtetezii
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 2 күн бұрын
😂😂😂😂😂 Wanajaribu kutafuta sifa Watapelekewa moto 🔥 Yemen 😂😂😂 We ngoja tu
@BarakaKusalula
@BarakaKusalula 2 күн бұрын
Zamu yao Ngoma Netanyahu apone vizuri Utasikia pray for Yemen😢😢
@paulmsele3696
@paulmsele3696 18 сағат бұрын
Wataishi maisha haya ya hofu mpaka lini
@zumemooha6504
@zumemooha6504 2 күн бұрын
WAIZREAL WAONGO HAWAKAMATI Kombora
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 2 күн бұрын
SHALOM ISRAEL 🇮🇱 ❤ MUNGU AWAPE NGUVU MLIPE KISASI KWA GAZABU YA MUNGU, AMEEEEN
@Awatee
@Awatee 2 күн бұрын
😂😂😂😂Mwenyezi Mungu daima haungi mkono kwa madhwalim
@hitngwasutv971
@hitngwasutv971 2 күн бұрын
😅😅😅😅 sasa wao kirakombora wao wananasatu 😅😅😅 uongo imezidi😅😅
@msukumamnywamaziwa2785
@msukumamnywamaziwa2785 2 күн бұрын
Safi sanaaaa yemen
@AllyNzisabira
@AllyNzisabira Күн бұрын
😂😂😂😂hawa Yemen wanakiti chao mbinguni yaani wameshapatia jinsi ya kupenyeza mabomu daah
@feisalkhamis9445
@feisalkhamis9445 2 күн бұрын
Kipande cha kombora hakiripuki hilo 😂😂😂😂ni kombora kamili
@redydasca8846
@redydasca8846 2 күн бұрын
Kombora gani ilo ambalo moto wake ni kama moto wa mti wa mbaazi 😝🤪😂😃
@johannesssamsonambogo4125
@johannesssamsonambogo4125 2 күн бұрын
Ujawai kuona bomb linalipuka wewe kama na mke wako umsaidie kupika ayo mambo uyajui
@redydasca8846
@redydasca8846 2 күн бұрын
@@johannesssamsonambogo4125 bombe gani ilo 😃😂🤪😝 angalia vizuri hakuna moto wowote pale ni kama kipande cha bombe ambacho kilianguka Ingekuwa israel inapigwa kweli sasa hivi nyumba za kule zingekuwa kama zile za gaza maana anapigwa kutoka kila sehemu au israel pangekuwa hapakaliki 😝🤪😂😃
@iddikibwana9185
@iddikibwana9185 2 күн бұрын
Hakika watu wa Yemen wana upendo mkubwa kwa watu wa Gaza safii sanaaaa
@dogodogo595
@dogodogo595 2 күн бұрын
Du! Hawa wavaa misuli hawaogopi mashoga kabisa! 😂😂
@phestostanley4019
@phestostanley4019 2 күн бұрын
Tutapray for Yemen soon
@hamisisalum6116
@hamisisalum6116 2 күн бұрын
Kombora limefika target maana limefika bila kuzuiwa
@HABIBUJUMAALI
@HABIBUJUMAALI 2 күн бұрын
Thaad!! Ya kuzuia highpasonic missile iko wapy
@AbdallahSumbinyo-ln9qi
@AbdallahSumbinyo-ln9qi 2 күн бұрын
Ni mifumo ya mchongo mchongo tu wanatuaminisha ujinga na propaganda zào😅😅😅
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 2 күн бұрын
Sasa ninyi kila siku mnakebehi 😂😂😂😂, Hezbollah Hamas wako wapi 😂😂😂😂
@AbdallahSumbinyo-ln9qi
@AbdallahSumbinyo-ln9qi 2 күн бұрын
@zebedayokatamaduni9676 kumbe hufatilii ndgu😅😅😅two weeks ago hamas wameuwa wanajeshi 24 wa Israel na huwezi pata taarifa hizo BBC Wala CNN,kuhusu Hezbollah wapo coz vita vimesitishwa ,ukitaka kujua kama wapo ngoja waanze Tena kurushiana makombora 😂😂😂ogopa sana kupigana na mtu anaeamini kuwa kifo sio mwisho wa maisha! Sasa mayahudi wao wanajua kuua mtu au kufa umeshindwa vita😅😅
@AbdallahSumbinyo-ln9qi
@AbdallahSumbinyo-ln9qi 2 күн бұрын
@@zebedayokatamaduni9676 alokwambia kuwa hamas au Hezbollah wameisha ni nani?? Hivi unafatilia kweli au mpaka uhadithiwe??😂😂😂ogopa sana kupigana vita na watu wanaoamini kuwa kufa sio mwisho wa maisha😅😅ila mayahudi wao wanaamini ukifa au ukiuwa ndo umeshinda vita au umeshindwa vita! Hamas au Hezbollah ni aidia na aidia huwa haifi dada yangu! Utakuwa watu woote ila kizazi kijacho kinaendeleza vita
@AbdallahSumbinyo-ln9qi
@AbdallahSumbinyo-ln9qi 2 күн бұрын
@@zebedayokatamaduni9676 sorry nilijua ni zubeda kumbe zebedayo very sorry my brother 🙏🙏🙏🙏
@AhmedAhmed-gf1rd
@AhmedAhmed-gf1rd 2 күн бұрын
YEMENI NI MASHUJAA TANGU MIAKA MINGI ILIOPITA NA WASHAPIGANA NA MAJESHI MENGI TU NA WAKASHINDA
@Karimchembela
@Karimchembela 2 күн бұрын
Hawafi hao wanaumia tu 😂😂😂😂
@HusseinHassan-p7g
@HusseinHassan-p7g 2 күн бұрын
Ndio zao ao mayahudi wao uwa awafi na awajeruhiwi wawadangane wasioelewa nawasiojielewa
@hassanmaulid2166
@hassanmaulid2166 2 күн бұрын
Utaifa ulisha ondolewa kwa hivi walichaguliwa kwa manabii na mitume lakini waliwakataa na wengine wakawaua soma vitabu vitakatifu hasa quran ndio yenye ukweli wote juu ya tabia zao
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 2 күн бұрын
Quran yenyewe hata hauijui😂😂😂
@hassanmaulid2166
@hassanmaulid2166 2 күн бұрын
@zebedayokatamaduni9676 wewe uijuae yasemaje
@AbasiShabani-lw2fd
@AbasiShabani-lw2fd 2 күн бұрын
Iron dome Iko wazi mno alafu kombora halijapigwa waache uongo
@hassanabdallah3202
@hassanabdallah3202 2 күн бұрын
Israel kila siku wanapigwa wanasema wamezuia 😂😂😂😂😂 semeni ukweli bwana
@ImanSaid-q4i
@ImanSaid-q4i 2 күн бұрын
Hahaha mashoga mavi debe😂😂😂
@paschalcharles3617
@paschalcharles3617 2 күн бұрын
Kombora limetua kwenye LENGO KABISA halafu hawa wazayuni wanasema eti wamelizuia 😂 hakuna WATU waongo DUNIA hii kama wazayuni na washirika wake
@HusseinMohammed-s3j
@HusseinMohammed-s3j 2 күн бұрын
Tatizo yemen wanapeleka moja moja mimi nataka wapeke km mvua halafu tuangalie itakuaje
@AmaniMathod
@AmaniMathod 2 күн бұрын
HAPO WAHOUTH WANA WASAIDIA PALESTINE HAWA WATU SIWA MCHEZO
@lexq-sm6lq
@lexq-sm6lq 2 күн бұрын
kama namuona dj SMA aki kenua😂😂 na hivi kafanana na BALTHAZAR😂😂😂 Uta sikia nilisha connect dots kitambo sana, iron dome hamna kituuu
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 2 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@MaishanaDavid-ej1ic
@MaishanaDavid-ej1ic 21 сағат бұрын
Mtakuja kuwaonea huruma Hao wayemen
@XaveryBillings-w1t
@XaveryBillings-w1t 2 күн бұрын
tunajua tu atakayeshindwa hii battle na kuanza kuomba msaada umoja wa mataifa kiufupi hapa atanatafutwa iran
@Ismailjafary-s1q
@Ismailjafary-s1q 2 күн бұрын
Mpaka kiama kisimame israel isipate amani na watu wake wote hata qur an ishatwambia ni waoga mno na wataish kwa mashaka watamani kufa kama wanamwamini mwenyez Mungu
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 2 күн бұрын
Umechanganyikiwa nani mwogo😂😂😂😂
@nizarrama225
@nizarrama225 2 күн бұрын
Wazayuni hawatoishi kwa amani mpaka dunia iumbwe tena maana haki ya mtu haidhulumiki mbele ya "MUNGU"!
@barakamwimbi
@barakamwimbi 2 күн бұрын
na wao wanajua mpaka kiama wao ni vita ndoman wapo active ukigusa wanalipiza
@raymrash
@raymrash 2 күн бұрын
😂😂😂
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze 10 сағат бұрын
Hao wamevunja nyumba za Ibadan kibao misikiti makanisa mashenzi wacha wahoth awape dozi
@pascofp145
@pascofp145 2 күн бұрын
Israel nikama yule jamaa wa sisu hata afanyaje haumii yani makombora yanawapiga ila utasikia majeraaa madogo
@shakeuabuu8851
@shakeuabuu8851 2 күн бұрын
Wanawatia sana jamba jamba ujue waarabu kavu sana aisee safi sana mda wote cheche hawapoi makafiri wale
@MikelSitoe
@MikelSitoe 2 күн бұрын
kupigana vita na wavuvi ni hatari Sana, nzayuni ajipange Tena hawa watu sio wa Iran 😂😂😂😂😂😂
@Ibrahim-d3q
@Ibrahim-d3q 2 күн бұрын
Tunajua hawafi hao 😂😂 sasa imefika wakati muache propaganda dunia lishajua wanauwawa wengi tu!
@daslamonline4665
@daslamonline4665 2 күн бұрын
Hata wao hawanywi maji.
@Saum-o1w
@Saum-o1w 2 күн бұрын
Yaan mpka waseme😅
@HusseinMohammed-s3j
@HusseinMohammed-s3j 2 күн бұрын
Israel Hawana mifumo ya aanga yyte waliokuanayo kumbe makomnora yalikua hayajapelekwa tu
@hassanmlawa-o6s
@hassanmlawa-o6s 2 күн бұрын
Labda waomdoe mifumo ya thad ndio watapumzka kdogo la sivyo watu kila siku watajarbu makombora yao mapya kuangalia ufanisi wa thad
@thadeomwaulambo
@thadeomwaulambo 2 күн бұрын
Yemen get ready for the Comeback
@classicwaisala6677
@classicwaisala6677 2 күн бұрын
Comeback vs comeback ..
@mudighurayra
@mudighurayra 2 күн бұрын
Mwaka wa 30 marekani ana deal na wa huthi na mbaka leo wapo
@MuraniSalim
@MuraniSalim 2 күн бұрын
Unyama
@GeorgeElias-p5o
@GeorgeElias-p5o 2 күн бұрын
Kilio kwa Yemen kinafatia
@TeophilBuilding
@TeophilBuilding 2 күн бұрын
Unatombwa akili shahawa za shoga ww
@babuloliondo74
@babuloliondo74 2 күн бұрын
Mbona awaoyeshi waongo wamepigwa nyambavu onyesha ushaidi acheni usanii
@AliSuleiman-h3k
@AliSuleiman-h3k 2 күн бұрын
Huundiomwisho WA israil Iran unangoja Nini Bado hatujalipiza kisasi au unawaachia wanao wazidi kumchakaza
@muhamedmsomally4175
@muhamedmsomally4175 2 күн бұрын
Balestic hata ulizuoe bado lipo kwenye target marekani natengeneze mfumo mwengine aipe tena Israel mana hoi
@Hebrew-n1q
@Hebrew-n1q 2 күн бұрын
Safari hii yemen wameyakanyaga Tutaipiga hadi wajue Mungu wa israel ndiye aliyeigawanya bahari ya sham kupitia nabii Musa
@MkubwaMakame-e4j
@MkubwaMakame-e4j 2 күн бұрын
Kiazi we
@Hebrew-n1q
@Hebrew-n1q 2 күн бұрын
@MkubwaMakame-e4j hakuna unacho kijua tulia hivyohivyo na ujinga wako
@MrishoMindu-zq7mz
@MrishoMindu-zq7mz 2 күн бұрын
Mungu wa Israel. Katika hao wa Mungu waisrael je nawewe wamekuhesabu? Na wewe ni muisrael? Tafakuri ujinga uliyo kujaa kichwani kwanza. Ukishapata jibu lete hoja na sio vihoja. Lkn nakushauri toka shamba huko akili inadumaa ina fanana na miche ya karanga.
@Hebrew-n1q
@Hebrew-n1q 2 күн бұрын
@@MrishoMindu-zq7mz hakuna watu wenye akili mgando duniani kama vitukuu wa mdi
@AzizaShaik-v8o
@AzizaShaik-v8o 2 күн бұрын
Maliza mashogo hao
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 Күн бұрын
Hii nchi hawafagi watu hata lipigwe bomu gani mmh
@KassimKhalaid
@KassimKhalaid 2 күн бұрын
na bado
@FredWabwire-w3q
@FredWabwire-w3q 2 күн бұрын
Wahuthi sikuzao zinahesabikatu watakiona motohapombele
@ابوذر-د8ك
@ابوذر-د8ك 2 күн бұрын
Kwani huo mfumo wao waulinzi wa anga umesinzia au
@allymwilu8089
@allymwilu8089 2 күн бұрын
Hawa bwana wao kila kombola wamelukamata tu hata kama wamepugwa ndo kuonesha umwamba au😂😂😂
@tekashisixtynin9threewithd727
@tekashisixtynin9threewithd727 2 күн бұрын
Toa taarifa zako wamepigwa wajakamata na tupe uthibitisho😂😂😂
@nassorshaaban7295
@nassorshaaban7295 2 күн бұрын
Km Risasi tu zikifyatuliwa huwa wanapata Madhara Leo kombora la Balistic lisiwauwe.!?basi watakuwa na bahati sana
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 2 күн бұрын
Watu wa haki za binadamu wapo kimya ,mahakama ya kiharifu ipo kimya Yemen Ikianza kuchakazwa mtaskia watu wakibweka 😂😂😂
@shakeuabuu8851
@shakeuabuu8851 2 күн бұрын
Wahouthi
@JamalKanani
@JamalKanani 2 күн бұрын
Mfirqne mfirane tu na nyinyi muonje uchungu
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 2 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@BarakaKusalula
@BarakaKusalula 2 күн бұрын
Soon utasikia pray for Yemen people 😂😂😂
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 2 күн бұрын
Wewe kwakili yako unaona marekani ana kila kitu kumbe kuna vitu vya maana zaidi yeye hana na urusi juzi kzindua kombora lingine linaitwa sijui laitwa orisheyk hakuna mwenye nalo hilo na hakuna mfumo wa ulinzi duniani wenye uwezo wa kulizuiya kombora hilo amelitumia ukrein haizidi mara mbili
@asiaswalehe
@asiaswalehe 2 күн бұрын
Allah akbar
@kakore_jr
@kakore_jr 2 күн бұрын
Magaidi
@nightwolf7577
@nightwolf7577 2 күн бұрын
Halafu hawa mbwa waongo sana wanasema vipande wakati kombora zima lile limeanguka na kuripuka
@BenjaNetanyahu
@BenjaNetanyahu 2 күн бұрын
Mimi sisemi! maana kuna watu mandonga humu, wakipigwa, =wamepiga, wakipiga! comment hadi mtandao unasumbua, na jinsi wanavozaama kama kunguni😂 hadi wamesababisha mabadiliko ya tabia inchi, dar peke yake inakula miti 600,000 kwa siku, ndio mji unaongoza kwa vibandiko na majuba wengi.
@AbelCharles-co6qb
@AbelCharles-co6qb 2 күн бұрын
Nyie wafuasi wa magaidi....hiv hvi mnavyoisifu ndio hv hv mtatakiwa kuwauliza kwann walifanya hv pind Mu israel atakapo amua kulipa kikmilif
@rashidhussein-cq2si
@rashidhussein-cq2si 2 күн бұрын
Waizrael wa uongo hawajambo,wakipiga wao wanajua wakipigwa wao wanajeruhiwa mara yamepiga kusiko nawatu uongo mtupu
@muhamedmsomally4175
@muhamedmsomally4175 2 күн бұрын
Leo Baada ya kutoweza kuzuia mashambulizi ya wahouth Kwa makombora yaliyo kua hayashikiki netanyahu ameamua kutangaza kusitisha vita Gaza Israel maji yashingo Mana wanajifanya miungu Israel dah pole yao
@leilaomary6349
@leilaomary6349 2 күн бұрын
Washangiliaji shangilieni tena shangilieni sana ila........
@zanzibarbikelife9815
@zanzibarbikelife9815 2 күн бұрын
We shoga sio
@GeraldElias-s7j
@GeraldElias-s7j 2 күн бұрын
Acha washangilie tukianza kuwajibu hatutaki huruma 😂😂😂
@GoodluckMichael-f2p
@GoodluckMichael-f2p 2 күн бұрын
Najuta kuza liwa Africa
@leoncesimbayao7
@leoncesimbayao7 2 күн бұрын
karibu morogoro
@wadantz123
@wadantz123 2 күн бұрын
😂😂😂Aya nenda congo apo karibu ukaombe uraia
@anny19988
@anny19988 2 күн бұрын
Hawa wahothis wapelekwe Kongo wakamalize kazi kwani Tchisekedi anakwama wapi😂😂😂😂
@SalumSanaa-oc8cw
@SalumSanaa-oc8cw 2 күн бұрын
Tuseme ukweli hakuna mfumo wwte wa ulinzi unaweza kutunguwa kombora la hypersonic wee speed ya march10 kwel ukaitunguwe jamani hgata iyo s 500 ya russia haiwezi zuia kwa sababu kikawaida kinachokuja huwa speed kubwa sana mfano hiyo oreshnik uitumie kuzuia oreshnik nyenziwe huwezi izuia kwa sababu kombora lina change uwezo likiwa safarini kombora la speed tano ya sauti likifika hatuwa fulani linatembea mpka speed 8 ss hili la kutunguwa halijaanza ata safari apo ndo shughuli by the way israel chuma kimetuwa msitudanganye😂
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 2 күн бұрын
Wamba hawachoki
@MaurusMpinga
@MaurusMpinga 2 күн бұрын
Tuwe mashaidi baadae
@FaustineRichard-kk5xt
@FaustineRichard-kk5xt 2 күн бұрын
Kabisa kabisa.
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 2 күн бұрын
​@@FaustineRichard-kk5xtmbona mnalia wayahudi wa kibosho
@somymoivanlukumay4198
@somymoivanlukumay4198 2 күн бұрын
Acha kwanza waentelee kujichanga mda siyo mrefu tutawapa majibu ya maana na wasianze kusema watoto na wanawake wanauwawa wajipange pia na kuwa tete maana,tunafungasha Mzigo 😂Tutawashushia tuu muda siyo mwingi😅;MUNGU wa KWELI wa Israeli Ibariki israeli Milele🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 2 күн бұрын
Wapuuzi makombora yote yamefikia shabaha na malengo yametimia vizuri sema mnadanngaywa na mayahudi kwanza wao israel na bwana wake marekani hawana kombora la hypersonic kwa hiyo hata tecnolojia yake ya kuzuiwa na mifumo ya ulinzi ni ngumu kwao
@GeraldElias-s7j
@GeraldElias-s7j 2 күн бұрын
Ivi kunakitu ambacho iran anacho marekan hana mbona unachekesha 😂😂😂
@barakamwimbi
@barakamwimbi 2 күн бұрын
@@GeraldElias-s7j mtu anaenda kupata habari kutoka kwa Mawaidha ya Dini yake huyo atakuw na kipi cha kukwambia?
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 2 күн бұрын
Sawa mthibitishaji mkuu wa serikali ya Yemen malengo yamefikiwa 😂😂😂😂
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 2 күн бұрын
Ili usiwe mjinga jifunze kufuatilia mwenye mambo usisubiri kuambia kwa sababu ukiambia ndio kama hv huamini sasa ili kujiongezea maarifa wewe mwenyewe fuatilia ama waliulize unaojua wanjua kufuatilia Hypersonic anayo iran na urusi hakuna mwingine mwenye nayo marekani hana hiyo tecnolojia
@emmadora7848
@emmadora7848 2 күн бұрын
Piganeni tu atakayepigwa vzr atatulia
@wadantz123
@wadantz123 2 күн бұрын
😂😂😂😂ww khaaa
@emmadora7848
@emmadora7848 2 күн бұрын
@wadantz123 Sasa tuwafanyaje ndugu ,si wameamua kupigana ,acha wapigane ,akipigwa Mmoja kisasawa watatulia ,saa hii wanapapasana tu
@bonifacekomba7060
@bonifacekomba7060 2 күн бұрын
Msije sema pray for yemen
@paschalcharles3617
@paschalcharles3617 2 күн бұрын
Hivi wazayuni kuna Siku watakuja waishi Kwa amani kweli 😂
@emmadora7848
@emmadora7848 2 күн бұрын
Wana amani kukushinda wewe 😂😂😂 ,Sasa wao na watu wa Gaza ,Yemen , Syria nk nani ana amani?
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 2 күн бұрын
​@@emmadora7848mkundu wako
@aliijumanne8293
@aliijumanne8293 2 күн бұрын
Kwani THAAD inafanya nini 😅😅😅... Juu iron dome tulimaliza kazi yake kitambo 😅😅😅
@lexq-sm6lq
@lexq-sm6lq 2 күн бұрын
THAAD ni ya mchongo mchongo kumbee😭🤣
@FxL_47
@FxL_47 2 күн бұрын
HAMNA KITU hao ni uongo tu ndio wanajua
@FxL_47
@FxL_47 2 күн бұрын
@lexq-sm6lq waongo sana hawa
@omondiowino7875
@omondiowino7875 2 күн бұрын
Naona kuna watu wanawaita Wahouthi mashujaa... ndivyo walivyowasifia Hezbollah...hivi karibuni mayowe yatakuwa mengi ..."free Yemen"...😂😂
@SalumSanaa-oc8cw
@SalumSanaa-oc8cw 2 күн бұрын
Nyie umiieni Ivo ivo kidg kdg msife lkn cha moto mtakiona kuna hali ikifika utatamani kufa icho ndo tunachokitaka apo izrael ongezeni mahandaki panya nyie houthi ndo wanaume wa kweli huwezi kumuacha mwana ateseke
@GeraldElias-s7j
@GeraldElias-s7j 2 күн бұрын
Hata herzbollah mlisema ivo ivo ngoja wakianza kuwashambulia hatutaki huruma 😂😂😂😂
@barakamwimbi
@barakamwimbi 2 күн бұрын
@@GeraldElias-s7j hahahaa wacha wajipige kifua Iran kapoa inawadangany wengin eti anawashik mkono
@shukranmsukwa
@shukranmsukwa 2 күн бұрын
Yemen tupo hapa israel huwa haijib chap chap lakn ikijibu nikilio tu wasifikil wameshinda jibu 😂
@zainulabidiendhulfikar7398
@zainulabidiendhulfikar7398 2 күн бұрын
Kila siku majeraha ni watu kupata hofu tuu mbn uongo mwingi
@nassoroshakiru7094
@nassoroshakiru7094 2 күн бұрын
Yemen inaichakaza saana Israel kila siku watu wanapata taabu niviletu vyombo vya magharibi haviripoti 😅
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
Why muslims are so adored? | Joe rogan & Eleanor Kerrigan
4:52
JRE Canyon
Рет қаралды 214 М.
Hass gegen Juden: Was ist Antisemitismus?
26:56
MrWissen2go
Рет қаралды 120 М.
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН