Na wewe unaweza, fanya fanikiwa kwa jina la Yesu kristo. Amen Amen. 🇸🇪🇸🇪🇹🇿🇹🇿❤❤
@noelmarapachi18083 ай бұрын
Aminaaa🙏🙏
@JumaRick-o1e4 ай бұрын
Wow nafurahia sana kuona Tz tuna vijana wenye uwezo wa kufikili mambo makubwa kama haya
@josephdimosso63804 ай бұрын
Cyo Tz Bob, sahau
@yesunialamayakiama.90134 ай бұрын
😂Umeandika nini sasa!@@josephdimosso6380
@elioimer84233 ай бұрын
Waafrica kwa sababu wanazozijua wenyewe hawa wapi vijana nafasi au uwezo wa kuviendeleza vipaji vyao. Kuna vijana wengi sana wenyewe uwezo Kama wa huyu kijana lakini unaweza tu kufanikiwa kwa kutumia resources Zao wenyewe ambayo si rahisi kwa wengi. Mungu ambarikii afanikiwe.
@kingnyamafutv86464 ай бұрын
MUNGU akubariki MTANZANIA mwenzetu 🙌
@Is-hakaRuweikh-k9s3 ай бұрын
Mi kwanza namshukur Allah kutujaalia talent kama uy ila jengine zaid nnalomuomba kakangu mvumbuzi ni kwamba awe ana wanafunxi wake wa kuendeleza vpaj kwan maisha hayaaminiki mara paa leo upo kesho kifo mungu akulinde na watu wabaya na akupe maisha marefu na afya njema inshaallah xaxa ww unakipaj elimu yetu ya Tanzania hatutaki ipotee bure jarubu kuwafundisha na wengine ili kusud ikifika mda watanzania walio wenge ni TALENTED chanzo kiwe ni wewe inshaallah!!
@kamuchidyblez21363 ай бұрын
Daaaa story nzuri sanaa jamaaa ametoaa madinii ya mabilion watu wenye uelewa wamefaidika pakubwa sanaa respect sana
@absm80842 ай бұрын
Huyu jamaa ni genius❤❤❤
@silverman69304 ай бұрын
Very exceptional dude … I have enjoyed listening to you guys … highly intellectual 🧐
@teacherd4 ай бұрын
Jamaa anajua saana.. Mungu akutangulie kaka ufike malengo yako
@MshewaMshewa4 ай бұрын
Saana aisee💪 duh!
@bituoruray89852 ай бұрын
Some people are woow...gifted...big up bro
@bonifacewanyonyi35554 ай бұрын
Hongera pro hauna kipuri mungu akupeleke mpali
@OctaKagimboАй бұрын
Waaao it's good brother
@samwelsanga53394 ай бұрын
Genius&talented 👏
@ndegeboe78834 ай бұрын
Aisee huyu jamaa🙌🙌
@mnyampaa_kisasa4 ай бұрын
🙌🙌🙌jamaa yupo vzr tajiri huyo tayari
@DaudiMazengoMasterDTEM4 ай бұрын
Hongera kijana upo smart
@peterjustin1237Ай бұрын
Bro Leonard shayo keep it up🏁
@mbondelotv83804 ай бұрын
Habari njema,! Mungu abajibu maombi .............naamini ipo siku tutajitegemea
@tumainielmaruwa31484 ай бұрын
Tz tungeondoa siasa hili taifa lingekuwa mbali sana. Sidhani kama mtanielewa
@ZeProDJay4 ай бұрын
Vijana wa TikTok hawawezi kukuelewa man 😅
@fahadfaraj64744 ай бұрын
@@ZeProDJayvile visichana vinavyolowesha Madela nA kukata viuno
@Sirtbreaker4 ай бұрын
Nakuelewa sana
@jesuslover5073 ай бұрын
Safi kabisa. Nimejifunza mengi sana hapo
@zistykecc4 ай бұрын
Story za huyu jamaa hazichoshi, very intelligent guy🙌
@Shafikimanga74 ай бұрын
Shida ilikuwa kujitambua na kutokukata tamaa. Kila fani Kuna watu kila sehemu walitapakazwa na wapo wengine wengi bado hatujawafahamu. Hongera kwa kuthubutu
@mwebrannia4 ай бұрын
Kwenye swala la reusable rockets, Elon Musk alisema siku moja aliwauliza engineers wake kwamba “ukiona begi la hela limefunguka linadondoka toka angani na hela zinamwagika, utaliacha lipotee?” engineers wakasema wasingeacha lipotee, ndo akawaambia kwasababu rockets 🚀 ni expensive basi “tufikirie ni namna gani tunaweza tengeneza rockets ambazo zitakua reusable” that’s when the idea of reusable rockets came up.
@ShafiiAbdalla-o2i4 ай бұрын
Mungu akusaidie kaka ufike mbali
@dfixmoblab4 ай бұрын
1pc
@DeodatusMaliti4 ай бұрын
Vizuri sana! Watu walifikiri mtasema Elon Musk ni jini anajigeuza paka usiku, wakati mwingine chura, kumbe la ni binadamu wa kawaida tu mwenye determination na uthubutu mkubwa na asiyeridhika na vitu vidogo vidogo kama walivyo akina yakhe.
@kelvinmboya58464 ай бұрын
Bro sky mpe kazi jamaa awe anatupa maujuzi yuko sawa . Big up kwake
@johnsimon83883 ай бұрын
Impressive, nimependa hii
@AhmedHamed-r5i3 ай бұрын
Imekaa poa sana
@thrillingpoint21324 ай бұрын
Tanzania tunaweza kufika huku endapo tutaamua kuipa elimu kipaumbele cha kwanza. Ila tukiendelea na vizazi hivi vya singeli tukubali tutaendelea kuwa watumwa sana. Just imagine video kama hizi zinazomuinspire mtu kujifunza hazitrend kabisa, ila ingekuwa ni connection ingeshatapakaa nchi nzima. We have to be serious Tanzanians dunia inaushindani mkubwa sana kwenye kujitengenezea brighter powerful future.
@fidelfidel-jz4iw4 ай бұрын
Nafurahi Sanaa ndio maana manasema sio binadamu wakawaida aligundua mambo yaliyofichwa na usiri mkubwa na dunia nzima inamuheshimu Sanaa lakini alizaliwa Africa kusini hawezi chochote yeye anapeleka ulaya Australia Canada USA.
@venancefredrick5494 ай бұрын
Katika kitabu chake (Elon Musk): mwezi oktoba, mwaka 2001 alielekea Moscow, Urusi wakiwa watatu kama timu yaani Musk, Cantrell, na Adeo Ressi ambao ni rafikize wa chuo walichukua safari ya ndege pamoja; na Ressi akiwa kama akimuongoza Musk. Lakini wakiwa na bajeti ya U.S.$ 20M wakitegemea kununua roketi (ICBMs-Intercontinental Ballistic Missiles) tatu na kukuta hawawezi kununua kwasababu moja iligharimu U.S. $8 Million ambapo wangeweza kupata mbili tu, nayo ikawa sababu pia ya kuahirisha kununua ICBMs kwa Mrusi pia dharau za kumuita kijana mdogo kwa sababu alikuwa mdogo kweli kiumri akiwa na miaka 30
@Fgldesigns4 ай бұрын
Sasa hapo dharau iko wapi wakati alikuwa kijana mdogo kweli... na watu wa huko kuita hivyo ni kawaida hata haikuwa dharau bali ni ukweli wenyewe...
@Cr7fanspage73 ай бұрын
Naomba jina la icho kitabu
@UpeoMinistryofMedia3 ай бұрын
Kubwa ni hilo la bajeti, hata Mimi nmesoma biography mbili za Elon Musk na kukuta kikwazo kikubwa ni gharama. Mwamba akaona yeye aje atumie mbinu mbadala kushusha gharama za safari za anga tofauti na ilivyokua kabla
@CamilasJohnАй бұрын
Mbona hujajibiwa@@Cr7fanspage7
@edsonlunyiliko6643 ай бұрын
Ngugu yetu anajua sana sana. Tumuombee.🙏
@lirastanley3903 ай бұрын
PhD inakaribia kaka...hlf muda mfupi ufanye maajabu yako tuyakague ili tukuoe uprofesa tena sio kwa kubahatisha...
@bigowillythomaskayanda77634 ай бұрын
Aisee yaani mambo yakivurugika hapa kwa Earth, msitegemee uhai sehemu nyingine, sahauni kabisa hilo swala. 😂😂😂😂😂😂😂
@ndinzeissa47784 ай бұрын
Dongo au big usijitangaze hpa kwani watu wabaya kakimya siku zote maliza kwanz halafu waone.wpo ambao haku ppendi ila mimi nimependa sana gen az uko vizuri sana pambana ila jifiche kwanza uku.ukiwasiliana na kmpuni zako hizo nakuombea ufike mbali zaidi ya max mimi.nasema amina
@paschalfausitine71084 ай бұрын
Watanzania wanavipaji sema. Serikari imewatenga sana naishauri serikari kuwawekea mazingira mazuri kufufuwa vipaji
@conganyoyo31954 ай бұрын
😂😂😂😂SIRIKAL inawaza USHURU😅😅😅😅TRRA
@mancholotrasco83504 ай бұрын
Serikali ipo bsy na machawa na wasiojielewa serikali ya hovyo
@killy_hoffman26984 ай бұрын
kwan ulitaka serikali ifanye nn kwa mfano?😂😂
@bonifasiemanueli214 ай бұрын
Selikali yetu haina shida, shida ni uchumi wetu endelea kuiombea Selikali yetu, Mungu aibaliki ikue kiuchumi,
@GodfreyOsward4 ай бұрын
@@bonifasiemanueli21 Tunaomba sana, Ila tunashangaa kwa nini vitu kuleta uchumi wa haraka havibembelezi. Hoja imeanza na NALA na huyo wa setilite. Kwa nini vitu vyenye potential vinawekewa mizengwe ndani? . Mfano kwenye usafirishaji wa mzigo na viwanda. Ipo app ya wa TZ inaitwa skyline and logistics. Imesajiliwa nchi 193 kutoa huduma, kwenye maji, anga, nchi kavu. Swali je serikali yetu inawatimiaje kuhakikisha fedha ya Kigeni inakuja tunayolilia kila siku?. Wakiama nchi ndio tunajitokeza kusema vijana wanapepwrusha bendera yetu?. Ni cha kutanguliza kuleta utajiri ndani au kuacha wachukuwe wengine?. Lazima tutambue kwamba Mungu Alisha tujibu maombi yetu. Mfumo kama huo wa kampuni ya RADELIFAME na Huo wa NALA. Unaweza kukusanya nusu au bajeti ya nchi yetu kwa mwaka. Kama ukifanya kazi iliyokusudiwa. Kufikia hapo kunaitaji uwekezaji hasa wa sever ya kutoa huduma angalau watu milioni 100 kwa dakika.
@thrillingpoint21324 ай бұрын
Plz dj waeza nisaidia tittle ya huo wimbo mwishoni nimeupenda
@alfredgahutu14504 ай бұрын
GOOD NIMETOKA NA KITU🙏🔥🔥
@mfupakhamis97514 ай бұрын
Wale wanaosema kiswahili hakifundishiki sayansi wamepitwa na wakati lzma silibasi ziwapate watu kama Hawa.
@MshewaMshewa4 ай бұрын
Swala la muda tuu kaka dah🫵 haya bwana🤝 The science 🔭 iko vyema ndan yako aisee
@sicac333 ай бұрын
Mafankio ambayo Space X imeyapata kwa mda mchache ni makubwa kuliko NASA, japo NASA have been in the game for so long. It's true, jamaa yuko sahihi. Nlikuwa na fatlia Elon wakat anahangaika na trials zake ku fail kila saa mpaka zilvyotua salama on the right coordinates.
@IsackDogani-d5q3 ай бұрын
Kwa Tanzania vigum sana kwasababu tuko bithe sana na ufugaji bia ukirusha ndege utakiona cha moto nafikili kila mtu pambana na kile unacho kiweza
@JaphetJairos-n4l4 ай бұрын
Serikal imejaa machizi yote watawaonaje watu kama hawa
@dentomedicalresourceslimit46024 ай бұрын
I like it
@hashimuliloto801729 күн бұрын
Utakua TAJIRI baadae 💪🏻💪🏻
@OchoaRealestate2 ай бұрын
Huyu jamaa ni noma
@Gesunte-mn3qn4 ай бұрын
Elon musk hongera kwa uthubutu mkubwa uliofanya kwa hakika anastahili pongezi 🎉
@drsamsonkibona37111 күн бұрын
Ndege kadhaa za kimataifa nilizopanda toka Africa to Europe, na Uk to USA AU S Africa to New york ZInaelea umbali wa futi 39,000 hadi 45,000 sawa na km 15 toka usawa wa bahari. Hongereni kwa kipindi kizuri, na kwa bahati yetu tz tumekuwa na mtaalam wa kujenga Roket.
@OscarJaston-qk2di4 ай бұрын
Serikali iwe inatenga fungu kwenye bajeti yake kwa ajili y watu wenye vipaji kama hawa mwisho wa siku tunaweza jikuta Tz na ss tunauza technologia
@josephwilliam58134 ай бұрын
😂😂😂 serikali imeshatenga fungu kuwatunza wake WA viongozi wastaafu iyo PESA ya wabunifu hakuna labda kina Steve Nyerere 😂😂😂you
@deogratiusyudatadei56584 ай бұрын
Serikali ya tz kazi yake kuzururisha tu wasani na kununua magoli wanakazi nyingine😂😂😂
@IsackDogani-d5q3 ай бұрын
Tanzania Jamani hatuwezi mambo mengi yana ongezeka kuna kodi nyingi kama ukilusha nilazima ufike upigiwe mahesabu itakaa mdagani
@dicksonvalence23923 ай бұрын
Niliyapenda sana ila hesabu nilipenda
@christophermwatendela95004 ай бұрын
Natamani serikali ingewezesha sana watu kama Hawa
@vibetz99914 ай бұрын
Nipo kwenye mwezi hapa now,,, Mimi nilifika kwa siku 2
@muhammadmbaraka45154 ай бұрын
Hhahhhha bange so nzuri
@drsamsonkibona37111 күн бұрын
au Satellite Mungu amfikishe mbali.
@danielmogena20633 ай бұрын
Elon musk God he is with him he will be the superior scientist in the world congratulion mwana
@Brilliant-k2k3 ай бұрын
But he doesn't believe in God
@gazzatz95642 ай бұрын
Mwana ana AKILI sana kama mim dah! noum
@Bryyo1214 ай бұрын
Tuleteee Wengine wengi kama hawa tupate Elimu
@fidelfidel-jz4iw4 ай бұрын
Kaka wewe jitahidi kutengeneza satellite ya ugunduzi WA madini utapiga pesa ndefu maana Africa kila kukicha wanagundua madini juzi wamegundua nchi ya Mali dhahabu itakayo badili maisha Yao hebu Anglia.
@Burner_Acc4 ай бұрын
Dhahabu Ipo kila Kona duniani. Gold is common but rare in abundance. Elewa hapo
@Nedjadist4 ай бұрын
Sikuongeza maarifa yoyote hapa. Yote anayozungumza yapo kwenye public domain.
Nimechekaaaa!!! Ila kweli mimi mwenyewe sielewi chochote hapo
@kilogreek40504 ай бұрын
ASANTE MUNGU KWA KUTUBALIKI KIJANA KAMA HUYU TANZANIA 🇹🇿 ♥️
@zebedayokatamaduni96764 ай бұрын
Watanzania wenye akili kubwa tunao wengi sana yaani siasa ndiyo inayo tukwamisha
@abdulsaid45794 ай бұрын
warusi waliiangusha ile space station yao y wakti ule (MIR)
@pharesmitarya48924 ай бұрын
Nashauri Viongozi wetu kama kweli wana nia nzuri na nchi yetu wawaangalie watu kama hawa ,badala ya kuwa bize na wasanii wasiona faida yoyote kwa nchi
@eliasaNgahehwa-l2f4 ай бұрын
Alifika kweli
@njeyaduniatv4 ай бұрын
AFRICA TUKIACHA ROHO MBAYA TUNAFIKA MBALI SANA.
@CivilEngineeringWorks-d7b4 ай бұрын
Hongera our scientific Serekali haikuoni ila wako watakaona ulicho nacho alafu baadae watakuita kijana wetu ila je Kama Taifa limejipanga vipi kwa vipsjo kama hivi ambavyo wenzetu ni mtaji
@mutatashanny1Ай бұрын
Urusi walimkatalia sababu za msingi ziko wazi,unachukuaje tecchnolojia ya mwingine kibwege hivyo ili ukakopi na kunufaisha yako,wapumbavu wa western media wanaamini kila wanacho habarishwa,eti Marekani ndiyo nchi ya kwanza Mwenda mwezini!!!!
@zenahussein22424 ай бұрын
Kuna shekhe anaitwa rocket ni mtanzania. Umenikumbusha habari zake 😂😂
@mbuyaelyaoni62664 ай бұрын
Safi sana kaka
@orafaomary26053 ай бұрын
Hiyo jingo ambayo ipo mwisho wa interview ni ya SNS nimeikubali na kanyimbo kazuri
@frevastram253 ай бұрын
laaaaaaaaa jamaa anajua aise
@AhmedHamed-r5i3 ай бұрын
Hatariiii!
@richardmoses74704 ай бұрын
Ongeleeni Microsoft outage iliyotokea ijumaa, mnaweza kunicheki mkitaka kujua hii huduma ya microsoft azure ni nini.
@abduljuma78074 ай бұрын
Kaka kama hujui kwa sisi tulivyo wachache wa kufikiri tubaki kukutangaza Mwisho utachukuliwa kupelekwa Marekani utatumiwa tu au ukiwa umewazidi watakuuwa wakisha kunyonya au ubaki kwao shidayetu ni pesa sio maendeleo wala nchi hatuna uchungu na nchi yetu
@emmanuelpastory48964 ай бұрын
Jamaa yuko poa
@lovenessvisent94084 ай бұрын
Daa weee jamaa unaakili kama mimi
@wisemaliva53764 ай бұрын
Mambo vipi nawewe unaujuzi wa kutengeneza kitugani
@kassebo3 күн бұрын
Physics iheshimiwee
@agaijoel7794 ай бұрын
Naomba mawasiliano ya huyu jamaa
@vayeen3 ай бұрын
Who is this guy?
@mashairiyamachinga23794 ай бұрын
Huyu ana madini sana
@dullah-f7p4 ай бұрын
jamaa anajua kuliko ally masubi
@AzizihFarijala4 ай бұрын
Tunaomba muendelezo Zaid au part two ya mazungumzo
@mohamedmarijani4 ай бұрын
Namuomba mama amtafutie watu wa kumshika mkono.
@GodfreyOsward4 ай бұрын
@@mohamedmarijani Watu wengine nani, sema serikali yake. Kuna wengi ambao serikali inatakiwa kufanya haraka.
@thomassedondi73893 ай бұрын
bro hii kitu inahitaji episods aisee
@alexsafar25054 ай бұрын
Noma
@paulhema57134 ай бұрын
Sure kabisa..ifike muda serikali yetu ijitambue , itenge bajet kwa ajili ya vijana wenye ideas,ili kuwasapoort ...ili tuwezenjitegemea kwenye technologia yetu wenyewe kama china na Korea
@RaphaelBeatus4 ай бұрын
Nchi yetu bado kumbuken ni pesa nying zatumika apo wakat kuna uitaji wa madawa mahospitl
@NickolausKaraita3 ай бұрын
Awweee
@jeanclaudeakili23724 ай бұрын
Elon musk nimtu kaida kama ninyi Bro! Ivyo vifurushi(pesa) anajivunia, izo ni gold pamoja na Diamond baba yake na babu yake wameiba SouthAfrica… izokabila zawazungu wametuibiya saaaaaaaana ndicho kinachoniuma sana kama mu Afrika…
@24Dailylife-Channel4 ай бұрын
Kwa hio kabla Leon musk kulikuwa hakuna network? Acha kuwasifia wazungu
@dismasdonathmunishi39873 ай бұрын
Wachaga mnakuja juu
@AgustaZaile3 ай бұрын
Msituloge tu
@eleven-in5qw4 ай бұрын
Jamaa anaitwa nani mtandaoni
@LeonardShayo20004 ай бұрын
shayoleo
@liseprimaryschool25964 ай бұрын
@@LeonardShayo2000mtandao upi, kaka nimekutafuta muda sana
@amanijampion30454 ай бұрын
Nasikia Russia walijitoa kwenye mradi wa ISS? Nini sababu?
@kelvinpius-ne9rz4 ай бұрын
si mtu wa kawaida😮😮😮
@AbduliAbdulisaidi4 ай бұрын
Huy jamaa bd hajatutoa hm yt tunaomb umualike ten please tujifunz zaid mmb y anga
@Africanzigianeth-dt1il4 ай бұрын
Leo sky anahojiwa😂
@NusratyAlly4 ай бұрын
🎉🎉
@IssaKefa4 ай бұрын
Verygood 6:48
@dostovan51425 күн бұрын
Hawa hawa magenius ndo unakuta ndo wapinga kiristo
@Aziz-p6s4 ай бұрын
Kazi ni kuchambua tu sisi tunaweza nini hapa duniani.
@missp18144 ай бұрын
Sky kuna mtu anaweka maudhui yako anaitwa musicsite and media....unajua?
@kevicristian27384 ай бұрын
Hahahahaha. Unamripoti sasa😂
@LukawisehusseinAli4 ай бұрын
Oya kerebisheni sauti
@richardrobert22034 ай бұрын
Mtu hatar maana yake ni nn?? Kwa hiyo umeshatoa Siri Yako ulifanyaje mpaka ukaunda hicho ulichokufanya,,unacheka Cheka TU mjinga wewe,,, badala kutunza Siri na zode zake,,umerubunika na vidola kadhaaa
@pendosailo19894 ай бұрын
Elon ni myahudi huyo...
@medadisamson84404 ай бұрын
Machine learning, AI engineering, mechatronics ni taaluma ambazo zingeleta mapinduzi makubwa ya kiteknolojia. Pity😢 African leaders are too blind to think, je hivi vimehusishwa vipi kwenye DIRA 2050? am just asking
@GodfreyOsward4 ай бұрын
Hawa hatuwabani wafikiria ndio maana wako hivyo. Tukiwapa madaraka tunawafanya wana sesere. Kila wanakokwenda tunawaimbia nyimbo. Hata na wenzentu huko duniani wanatujua raia tunapenda nini kwa viongozi wetu.
@GodfreyOsward4 ай бұрын
Fursa iliyopo kwenye vipaji vya watu wetu. Unafanana na Wilson alivyotukuta tunachezea almasi. sisi tumezamia kusikiliza mwanasiasa gani kahama chama. Wenzentu huko duniani wanatafuta ujuzi na bunifu za kuzidi kutawala dunia.
@Nedjadist4 ай бұрын
Watu wenyewe ni Mrundi wa Wizara ya Fedha! Kwi kwi kwi....
@GodfreyOsward4 ай бұрын
@@medadisamson8440 Wanaweza kuyaingiza kwenye DIRA, ila mashaka yangu yanaweza kuwekwa ki juu juu tu. Ili wanatakiwa kuwaita hao wahusika wakatoa fikra zao kwenye DIRA. Wengi wao wana makampuni na wengine hawana.Na wengine wako vyuo vikuu. Ujio wa technically hizi ni fursa isiyo mfano na ya utajiri wa haraka. Ukifanya hesabu ya haraka App ya skyline and logistics ya Tanzania. Ikitimiza lengo lake la kutoa huduma nchi 193. Kila sekunde nchi itapata dollar au pesa ya kigeni. Sina hakika Taifa letu tunakimbia kiasi gani?. Kukimbizana na mambo kama hayo yanatakiwa kuwa sehemu ya uzalendo. Bandari ya dar baadhi yetu tumeonja huduma.