Sns mmenifanya niamke usiku san kuwatch hii interview baada ya kuona post yako instagram now nime appreciate san huyu jamaa nilitaman sana oneday aingie kwenye hiyo studio now lengo limetimia good job san bro
@joycegervas75942 жыл бұрын
Wasanii wa Tanzania wanatakiwa wajifunze kwa kupitia hii video...hongera zao sana
@joycekisamo48962 жыл бұрын
Wow! This young man is very smart and so talented...atafika mbali sana; sky isn't the limit for him 👏🏽 👏🏽 👏🏽 Yaani imebidi ni pose video ni Google Don Jazzy...Wow! His net value is $100 Million, whaaaat!!???!! Jamal you are smart, talented na una nyota inayo ng'aa SANA! 👍🏽 🙏🏽
@zanzibarboyzanzibar5092 жыл бұрын
🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@samniza17632 жыл бұрын
I am following him straight away, such a genius guy. We need more youth of this kind.
@mkaapwekekariakoo64172 жыл бұрын
Safi sana. Nafurahi kuona walau anajitahidi kujifunza lugha zaidi. Japo lugha kubwa yake ni upendo na furaha ... Nice one
@kijonalusay2 жыл бұрын
Good Luck and All the Best fam we Happy for You zidi kuipeperusha bendera ya Zanzibar na Tanzania kwa Ujumla
@moseshandsam18652 жыл бұрын
Super talented keep doing the great work broooo tunaona kazi zenu sana kutoka pande hizi 🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧
@rjb312 жыл бұрын
This Guy's charming Kills every drop of talk 💰💰💰💰
@2116-n2 жыл бұрын
Very true, na unatamani kuendelea kumsikiliza
@Kiulaini2 жыл бұрын
Sky please mtafute huyu jamaa Ally jape ufanye nae interview the guy is something else mashallah ana kipaji kukubwa sana
@atumbwilo82772 жыл бұрын
Management ya SNS asante kwa kufanya vipaji kama hivi tuvijue Tanzania tumebarikiwa sana
@aromaofzanzibar2 жыл бұрын
Ahsante sana brother Sky kwa kumleta Jamaal nimejifunza mengi sana
@missdija49592 жыл бұрын
Smart minded👏🏽🙌🏽🔥 Sijachoka kusikiliza hii interview hata kidogo. Hongera SNS, Hongera Jamal
@officialarafa65112 жыл бұрын
Wazenji tujuwane 😍😍😍one love
@ashurahatibu50692 жыл бұрын
Ili iweje
@sassboy93602 жыл бұрын
Jamal is best na yupo juu sana ila Ali jape is more than the best mtafute utuletee
@husnawright35542 жыл бұрын
Keep doing what you doing man!! 👌 watching you from USA 🇺🇸.
@abdul-hafidhothman9310 Жыл бұрын
Hi husna🎉
@mahmoudaziz47172 жыл бұрын
Jamaa yuko juu saii. Big up jamal love from nungwi.
@eyabdimaha36982 жыл бұрын
Hongera sana Allah akufanyie wepesi kwenye kazi yako na akuhifadhi pia ufike mbali insha'Allah
@PesaMadafu2 жыл бұрын
Trusting the process ❤ I loved it
@PAPAZAMIRHAHAYA2 жыл бұрын
Nice sanaa... God Bless Don Jazzy
@axmedcumar61962 жыл бұрын
Daaah safi sana yaani Dogo Jamal una madini kama yoteeee blessings
@lambickmanda91252 жыл бұрын
Napenda sana ihii interview
@lodvee1717 Жыл бұрын
I wish you all the best genius Jamal, Sky bro keep it exceptional🙏
@Theunitedeastafrica2 жыл бұрын
Hongera zao sana. Hard work pays 🙋🏾♂️
@muujux90092 жыл бұрын
So nice jamall more fire
@kingnass45522 жыл бұрын
Good story amazing
@ezeedi8712 жыл бұрын
Panachakujifunza kutoka kwa Don Jazzy legend kafanya kitu pw Sana as Africans i respect him
@m___ck7992 жыл бұрын
Such a nice guy...! Pia najiulizaga mbona wasanii wetu hawatangazi Zanzibar kabisa and its a beautiful 🏝 !??
@alexandrucarmen31852 жыл бұрын
Hawalipwi dear
@Qqambaa2 жыл бұрын
Ndoto yngu nikufika Zanzibar siku moja InshaAllah
@abuumunyrelbatwaawy74904 ай бұрын
Karibu sana, zanzibar hakuna matata
@shadiahshadiahshadiahshadi40602 жыл бұрын
Allah abaraliki
@Abbakhan. Жыл бұрын
Aise mimi naapreciate sana hii kauli yake "najipeleka mwenyewe" ni kitu cha msingi sana katika maisha usisubiri kupelekwa kwenye mambo yako yafate kwa mafanikio yako mwenyewe..
@emmanuelmchaki29382 жыл бұрын
kaz nzuri sky 🔥🔥🔥
@peninashungu66332 жыл бұрын
Anaongea vizuri Sana nimependa anajieleza kiutamu unapenda kumsikiliza kila wakati
@mwanajumaomahundumla65042 жыл бұрын
Mcheshi Mashallah Mungu akutimizie malengo yako
@abrashizorashid1172 жыл бұрын
Kazi safi
@ladyt14712 жыл бұрын
Hongeŕeni sana
@donomar68762 жыл бұрын
Sharp Mind... Akili Kubwa
@mweusiasili83452 жыл бұрын
Nice interview
@benjaminkangolo20172 жыл бұрын
Good job 👍
@ghatichacha8372 жыл бұрын
Proudly 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@rashidyussuf96332 жыл бұрын
Nice sana jamal na sky
@yassersahin66392 жыл бұрын
Keep shine Jamal ❤
@sumajux45302 жыл бұрын
Big point kua kila kitu anachukua muda kujipatia knowledge
@rede_nalisis_tz2 жыл бұрын
I know this Guy, Jamaa anajitahidi snaa
@aminanamoyo832 жыл бұрын
Keep going Jamal w👍👌❤
@rahmambugi19502 жыл бұрын
Hongera sana mungu aendee kukupa mwangaza
@tafutampenzi16532 жыл бұрын
Moja kati interview nzuri sana
@sharifahabsi50042 жыл бұрын
Mashaallah 👏👏
@MellanieKay2 жыл бұрын
Inspiring 🎉
@Eddo-es7zs2 жыл бұрын
Sky una roho nzuri sana, unawafikia hadi watu tusiotarajia
@moseshandsam18652 жыл бұрын
Nice job ✅✅✅✅✅
@fortunathabarabara84712 жыл бұрын
Hongera brother nimeenjoy
@Kibaadvocate2 жыл бұрын
Jamaaaa katisha sana
@mosesmahinya96542 жыл бұрын
Jamaal yuko vizur sana
@2116-n2 жыл бұрын
20:59🤣🤣🤣, wenge la pesa @sns
@bonemwaminifu39352 жыл бұрын
Tisha sana
@beatricemwakalinga41402 жыл бұрын
This time nikija Zanzibar i wish to meet him ni kijana mwenye tarent kubwa
@KSACTV2 жыл бұрын
sky interview nzuri sana
@michaelramadhan9466 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@augustinenjagi62552 жыл бұрын
Mob love from Kenya this guy is so inspiring wow mind blowing and that point about Don Jazzy epic!!
@bonemwaminifu39352 жыл бұрын
Sky legend
@stellah38442 жыл бұрын
💞💞🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@nizobeatz902 жыл бұрын
ongera mzee wangu jamal
@yellabenard88812 жыл бұрын
Akiri mingi chief ......
@rosemahenge90712 жыл бұрын
Kumbe wazanzibar asili yao ni wacheshi nimeligundua hili sasa ukisikiliza interview za Zuchu huchoki kusikiliza na leo nimemsikiliza Jamal sijachoka kusikiliza interview haiboi jamaa yupo humble ahsante sana SnS kwa kutuletea Jamal 🥰🥰
@kitewithkhamis60352 жыл бұрын
Hahaha!
@ashurahatibu50692 жыл бұрын
Jaribu kwenda kuishi nao utawajua vzr
@rosemahenge90712 жыл бұрын
@@ashurahatibu5069 wakoje tena jamani mbona unanikatisha tamaa
@esterlove84892 жыл бұрын
Mbna wazanzanzibari wako poa sana
@esterlove84892 жыл бұрын
Sisi tupo zanzibar tunaishi nao
@habibhamza97662 жыл бұрын
Nimependa hii interview kufanywa na Sky mwenyewe
@peninashungu66332 жыл бұрын
Naisi Hao waliokufata sio wcb ungeonana na daimond angekupa ata rengeeeeeeeee
Mbona ww rafiki yako alivyo chukuwa video ya Badest wa j combat crew hakumpa credit badest akawa na trendi yy na alifikya hatuwa hata hakusema kama ulaya alienda na wenzake huko kufanya kazi and baada ya kuondoka j combat py video ilikuwa ina enda aki postiwa baddest ww una sema Nick ndo alofanya kama una juwa kumpa credit bas ww na rafiki yako Nick akipostiwa museme nani alo fanya ili apate credit mwenzenu
@King_Of_Everything2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👊
@hailinhelen46752 жыл бұрын
Jamani watanzania na kizungu wanachokesha
@felipoaugustino17142 жыл бұрын
Siasa ya ujamaa na kujitegemea na waliotutangaziya wakawapeleka wtt wao ulaya ili waje kututawala
@sahimm47672 жыл бұрын
Sio cha kwetu ndio maana, na kujifunza sio vibaya sababu kipo duniani,hata na wakenya pia hawakijui kiswahili wanaongea km watoto kwa hiyo hakuna cha kubezana
@rosemahenge90712 жыл бұрын
🤣🤣kwa sababu ni lugha ya walevi ndiyo mana unaona anakosea sisi watanzania hiyo lugha tuliachia walevi
@simiyurobert61442 жыл бұрын
Ongea Kiswahili bro una yayusha..kingeraza jifunze nyumbani kwanzo
@sahimm47672 жыл бұрын
Pakufanyia exerm ndio kama hapo,ili kuimprove acha wifu wa kujifunza bro
@mariamnuru99392 жыл бұрын
Simiyu wewe wajua kuongea english ukiwa nyumbani
@mamachris68112 жыл бұрын
😀 hivyo hivyo Anafanya zoezi 😀
@mamachris68112 жыл бұрын
@@sahimm4767 wifu 😀
@rosemahenge90712 жыл бұрын
Hahaha nimesikia twenty four seven ila mimi nimempenda yupo humble
@aishaswab24132 жыл бұрын
Inauma pale unapo mtafuta mwafrica mwenzako akufanyie kazi na yeye ako busy kumtafuta foreigners ..na baadae wanateta ati we Africans we don't support our our.wake up guys wakeup.