Thank you Burundi for standing for the truth and justice
@28EddyNdayishimiye89Күн бұрын
As a proud Burundian 🇧🇮 I'll stand with my president
@inogelapixelsКүн бұрын
Brother sky you have a unique style of story telling
@MasterTuloКүн бұрын
Mm nashaur kagame awekewe vikwazo vya kiuchumi atanyooka tu
@ThisboyisgreatThisboyisg-in4gxКүн бұрын
Haiwezekani mana naona big Brothers wana shiliki Rwanda 🇷🇼 na m23 ,napia wana shiliki congo 🇨🇩 ili mlad wafaidike wawo huku wa Africa tuwuwane wenyewe wenye faida ni wao
@MasterTuloКүн бұрын
@@ThisboyisgreatThisboyisg-in4gx kama kweli wanashiriki itakuwa ni ngumu sasa
@vincej927523 сағат бұрын
I agree with you 💯 %
@CharlesLukogo-v6c22 сағат бұрын
Nous kurie Burundi ❤❤ najibu nikiwa fizi !
@jacksonhafashimana3603Күн бұрын
Merci Mon president Evariste Ndayishimiye🇨🇩
@salimramadhani74023 сағат бұрын
Asante Viva Congo 🇨🇩 Viva Burundi 🇧🇮 ❤❤❤💪💪💪
@estherchou2899Күн бұрын
Shuja wa Amani bravo Ndayishimiye, eeeh Mungu ilinde Burundi proud of you President 👏🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@ramadhaniilali611422 сағат бұрын
Shuja anauwa watu na njaa
@estherchou289919 сағат бұрын
@ramadhaniilali6114 ulisikia nani amekufa nanjaa?
@BeatriceBizimana-tu7wp18 сағат бұрын
@ramadhaniilali6114 kwani kagame njo mnategemeya atakuka kumaliza iyo njaa? Ndayishimiy shuja wa amani kwasababu ameleta amani ndani ya inchi
@ramadhaniilali611410 сағат бұрын
@@BeatriceBizimana-tu7wp bila shaka akil yako aijakaa sawa
@vincej927523 сағат бұрын
Ni vizuri kusimama kwa haki na ukweli. Innocent citizen suffer because of these wars.
@chambalafrankdaniel397Күн бұрын
Safi Sana huyu ndo mwanaume anaeongea ukweli bila kuogopa
@shebbylove3140Күн бұрын
As Burundian I will stand with my president no matter what
@bienvenukichambaomar5067Күн бұрын
🎉🎉🎉🇨🇩 tuko na nyinyi ndugu zetu warundi
@MuhimpunduGrace-y1r13 сағат бұрын
Sns mutufanyiye riccap pls jamani kama kunamwingine anahitaji riccap agonge like
@kayagoAziza-z2cКүн бұрын
Rahisi Wangu ❤❤🇧🇮🇧🇮🙏🏽🙏🏽
@Evangelical_VoiceTV1Күн бұрын
Comédien 😂😂
@IbrahimAmaniAl-HusaynКүн бұрын
Raisi Evalist songa mbele
@Evangelical_VoiceTV1Күн бұрын
@@IbrahimAmaniAl-Husayn comédien😂😂
@IbrahimAmaniAl-HusaynКүн бұрын
@@Evangelical_VoiceTV1 Unachokiongea hukijui!!
@aminatanzanya7475Күн бұрын
Maneno ya Rais wa Burundi yaweke akilini kagame hana nia njema na EAST AFRICA
@Fatima-v9k6fКүн бұрын
From 🇧🇮 kagame anatumika na wa zungu
@X-ray47j23 сағат бұрын
Anatumika na mabeberu kabisa
@dorambaga266711 сағат бұрын
Kagame muhuni
@chantalmulasi56639 сағат бұрын
Asante Burundi 🇧🇮 we love you from Congo 🇨🇩 and 🇬🇧
@ce-08Күн бұрын
Alafu Kuna watu wako bize Kusema Kagame wanamsingizia😂😂😂
@adhabuabdul8269Күн бұрын
Huwa wanashangaza sanaa aisee.. 😂😂😂
@adhabuabdul8269Күн бұрын
Yaaani huwa siwaelewi kabisa.!😂😂
@Noooonat-o5sКүн бұрын
He is used to violence ,People just pretending while they know the truth
@Bagi873Күн бұрын
It just their political way to justify their crimes.
@raymrashКүн бұрын
@@Bagi873Is it true that Kagame is who is?
@Alll.com.mКүн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤nilikuwa nasubiri iyi abari kwa hamu asante sana Kaka Bundala🎉🎉🎉
@akramissa33939 сағат бұрын
Thank you Burundi President, with love from Tanzania
@paschalcharles3617Күн бұрын
Jambo la kufurahisha ni kwamba kuna WATU wa Kongo, Rwanda na Burundi na wote wanatumia lugha ya kiswahili kutoa maoni Yao 🙌
@BizindavyiNicolasКүн бұрын
Hilo linadhihisha kwamba kiswahili ni lugha nyepesi, yeyote anaweza kuongea
@gilbertkalanda9354Күн бұрын
@@BizindavyiNicolasSi jambo jema Hilo?
@DjMswati14 сағат бұрын
@@gilbertkalanda9354 kwanin
@paschalfausitine7108Күн бұрын
Rwanda tusipochukuwa hatua mapema Africa mashariki atakuwa tishio. Nivema kungana tumtoe. Huyu nyoko
@hamzasimbar3465Күн бұрын
Huyo kagome wenu ndio sisi kwa hii incii ya warundi sasa subirini tunasubiri tu mayowe nahapo ndio mtageuka wakimbizi
@Alll.com.mКүн бұрын
We Ni mjinga sana
@aminatanzanya7475Күн бұрын
Mmalizeni bas wengine tufurahi
@RichardRutembesa-ns1knКүн бұрын
@@hamzasimbar3465mnajuwa Kusema tumeshazoea Nyie Fanyeni kweli Sio kubweka tu
@zebedayokatamaduni967623 сағат бұрын
Kagame achukuliwe hatua kali
@Rahma-r1y8 сағат бұрын
Shuja wetu🇧🇮🇧🇮💪💪💪
@ShukuruLazaroКүн бұрын
Wanasema kagame wanamsingizia. Ivi kila mtu akusingizie wewe kagame ana shida
@royalfaith1978Күн бұрын
Empire ya wa hutu yenye kuanzishwa na Kikwete imefeli nyamanzani hamutatumaliza sisi watutsi na sisi tumewumbwa na mungu. Kagame amekwisha kuwa nyimbo ya wenye chuki kwa wa tuttsi wa TZ saba saba mumetuma ila hatukuyisha. Uyu lofa wa Burundi tukimutaka ni dakika moja. Murikuja wote sasa ivi mumeweza????
@millionsofreasons9806Күн бұрын
Huyu ndayishimiye mwenyewe mwaka jana kasema kua anataka kupindua serekali ya Rwanda, Leo analia nini ?! KWa hio mlitegemea kagame asifanye kitu?!
@zebedayokatamaduni9676Күн бұрын
@@royalfaith1978 Kwani Rwanda mna nini nyie bila kuiba mali za drc congo😂😂, Rwanda mna nini?
@HidjaKininga12 сағат бұрын
@@royalfaith1978 mjaribu sasa tuwaoneshe nyie misega ya kitutsi
@djoziljr99997 сағат бұрын
Sasa rwanda msijitie kiburii mbele ya TZ nchi yenu ni kakijiji kadogo sn yani dakika moja tuu inatutosha kukachukua Embu kawaulizeni UGANDA watawapa full story what happened 1978/79 😅@@royalfaith1978
@ELOGERUHIMBASAКүн бұрын
Ndahushimye ni chuma kweli kweli afadhali umeongea Baba ✊🏽✊🏽✊🏽
Congo ingekuwa na Raïs kama NDAISHIMIE michezo tunayoshuhudia Nchini Congo isingekuepo.
@niyorukizaelias8142Күн бұрын
Subirini mtaona mwisho wa mambo atakapo sababisha vurugu yenyewe Burundi maana ni munafiki mkubwa madini yakongo yatamutokea puani hatutamuchelesha kama inavyomukodolea macho congo😂.
@ModrickDominickКүн бұрын
Hongera sana Ndaishimiye
@mrishomohammedi2654Күн бұрын
Wa kwanza leo
@hassanlikwenangu8471Күн бұрын
Kweli kabisa Mr Ndayishimiye
@manirambonainnocent645922 сағат бұрын
We stand with you brave president ndayishimiye
@AliDullaКүн бұрын
Kagame ni wakala wa nchi za ulaya watu wanapiga hela kupitia huo mzozo na kagame ndio wakala wao
@gabrielrugundu8356Күн бұрын
Plan ya mtutsi ni kuitawala Africa mashariki na kati yote. Wakuu wetu wa nchi wanaona kama vile target ni Congo pekee😢😢 no, haipo hivo. Akishaikamata Congo atapata hela nyingi za kupitia madini. Ataliimarisha mno jeshi lake na atahamia kwetu. Viongozi wetu wapo usingizini tu😮😮
@ce-08Күн бұрын
Watu waliokuwa wanaufatilia huu mgogoro toka kitambo au watu wanachimba sana ndiyo wanajua ubaya wa Kagame lakin wanaufatilia baada ya mgogoro kulipuka tena mwaka huu hawawezi elewa zaidi watasema Kagame wanamsingizia lakin Kagame ni mshenz lengo nikujifanya kama Israel pale Mashariki ya Kati kutaka nchi zinazomzunguka ziwe zinamskiliza yeye au aweke utawala anaoutaka yeye SASA viongozi wa Africa Mashariki inatakiwa wake macho na huyu jamaa licha yakutumika ila hata yeye anampango yake
@anosiata8242Күн бұрын
Uko sahihi kabisa plani ya kagame na mseveni wakishakamata kongo ataingia tanzania baada hapo wataingia kenya na kumalizia burundi. Wakumbuke mtoto wa mseveni alichokisema .
@Bagi873Күн бұрын
@@anosiata8242I am so happy to see people who understand the politics that is going on.
@raymrashКүн бұрын
Source ni wapi hii habari?
@RyannkaeКүн бұрын
@@ce-08kweli
@evelynensanga3330Күн бұрын
Yuko sahihi kabisa Ndayishimiye kagame ashimamishwe kabisa 😢
@AhmedyMahmudu6 сағат бұрын
Kabisa bro, kagame hatari sanaa
@kanisiuschumacannireal-zg2ee10 сағат бұрын
Burundi na rwanda ni sawa chumba na sebule, awezi kumsingizia kagame anachosema ni kweli kabisa JUSTICE FOR CONGO ✌️✌️
@TroopKing-p4tКүн бұрын
Kama anataka kutawala bara la Africa ameyakanyaga,kagame
@BUSHASHASWITCHКүн бұрын
Nakupenda rais Wangu 🔥🔥🔥 huyu mwamba wetu Anajuwa nipale tu warundi tunahitaji kuwa kama wao wakati kipindi wao warikuwa wanajijenga sisi huku kwetu kulikuwa machafuko ndomana hapendi viita irudi kwasababu tushaanza kuinuwa inchi yetu kwahali na Mali na musimamizi ni Rais wetu alafu musimamizi Mkuu ni Mungu 🙏🏾🙏🏾❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥
@Onge-shabani1994Күн бұрын
@@BUSHASHASWITCH fanya kazi kaka acha kulalamikia serekali Africa ni bara ambalo bado Lina kuwa pia bado kuna fursa nyingi na maitaji mengi , Africa ni sehemu ambayo mtu mwenye ficra za utajiri anaweza kutengeneza pesa nyingi sana .
@BUSHASHASWITCHКүн бұрын
@@Onge-shabani1994 Asante ndugu yangu Kwa ushauri Wako namimi Niko kazini kama kawaida Yangu 🙏🏾🔥
@RaymondMahundi21 сағат бұрын
Hongera Sana rais ndayishimiye Kwa msimamo
@AmadyYusuf15 сағат бұрын
Burundi you are brother s
@RichardHarerimana-c7n10 сағат бұрын
Thank u To agree
@rahimzuberi2673Күн бұрын
Huyu kagame ana shida 😅
@BenMamadou-w9eКүн бұрын
Kwa Burundi 🇧🇮 hawezi Maana anawajua hawanaga ujinga
@mugishamadjidi9 сағат бұрын
iyo kweli kabisa
@augustinemainde9 сағат бұрын
Hongera Rais
@ibrahimjuniorKitenge9 сағат бұрын
sahihi kabisa
@charismatiquejerome588823 сағат бұрын
Hiyo ndiyo kweli
@sholomwamba35312 сағат бұрын
Sky big up sana
@moseskulola6913Күн бұрын
Good job ndahiyeshimie
@levygasper743817 сағат бұрын
Safi kwanini viongozi wengine hawaongeyi chochote
@sundaystanley5322Күн бұрын
Namsapoti Rais wa burundi,huyu kagame ashughulikiwe
@markodaniel2662Күн бұрын
Viva CONGO viva Burundi viva Tanzania
@byoseasolokoci7257Күн бұрын
Jamani, mshugulukiye kagame
@banajuliana758Күн бұрын
Yangu macho
@RichardRutembesa-ns1knКүн бұрын
Shughulikia Mama Ako kwanza
@KC-wj7yh18 сағат бұрын
@@RichardRutembesa-ns1knigihe kirageze ngo muze murihisha aho me cite hose kubera kagonyori wanyu This time round, dunia yote imejuwa unyama wa kagame nahawezi kuendelea hivyohivyo Radhima ashugurikowe Ebu check ma helfu ya comment here Mumujulikana
@AmadyYusuf15 сағат бұрын
Last one... is..ndaishimiye... you and Rwanda are one... east Africa union..we are one.... Africa 🌍...we are One.. let us Stand and solves our problems...
@theafricanhauler33968 сағат бұрын
Agreed but the House slave is used by Master to divide us😓
@nduwimanafiston1189Күн бұрын
President wa burundi sio kibalaka wawazungu kama paul kagame but us burundians tumeamua kumushugulikia hadi kieeleweke
@RichardRutembesa-ns1knКүн бұрын
Si kieleweke mbona hamfanyi kitu !! Rwanda ni Danger
@aairraahseif5648Күн бұрын
Kagame ni Kaburu mweusi na nyuma yake wako makaburu weupe hilo liko wazi na halipingiki @@RichardRutembesa-ns1kn
@dianemunezero970520 сағат бұрын
Rwanda ni ❤️🔥❤️🔥❤️🔥@@RichardRutembesa-ns1kn
@emmanueljohn872316 сағат бұрын
Warundi nyie ni wachumba tuu mutapigwa kama ngoma 😅😅chapu tuu tuko bujumbula tuu
@EnockRubeto14 сағат бұрын
Mmepigwa sasa😂goma
@onesterabayo1871Күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤ ..peace in East Africa
@bevingtonjumaa7028Күн бұрын
Well explained
@AmadyYusuf15 сағат бұрын
Ndaishimiye don't forget that it's because rwandies.. it's because of Rwanda that is why.. the world 🌎 is respecting you
@whitelightdoveshowКүн бұрын
I don't care who is right or wrong but as a Burundian ,i will go with ndayishimiye😉
@JeannetteManirambona-o6mКүн бұрын
Mungu wangu
@AmadyYusuf15 сағат бұрын
Ndaishimiye... Paul kagame he is your brother...in the holy world 🌎....in east Africa region..if you are looking for your blood brother from the blood line... it's Paul kagame.. it's rwandies... thefore pull up your stocks... join Paul kagame to protect east Africa region and Africa 🌍
@husseinkonz5192Күн бұрын
Hii ndio shda kagame kukaa miaka ming madarakan hujiona wanaweza kufanya lolote hata kama ni jambo baya
@Uchukhan_Күн бұрын
Kwa kira mruanda kaagame yuko sahiii
@KamanaMangolwa-xe8deКүн бұрын
@@Uchukhan_amna kitu kama icho ngoja tuone mwisho wake
@mzeezidane406021 сағат бұрын
Asante sana mr president
@thelonewolf4429Күн бұрын
Ukiona ivi juwa kuna anguko kubwa linakuja kwa dictector fulani anaeishi kwa kunywa damu asa za wa congo. Mwisho wake umewadia
@sundaystanley5322Күн бұрын
Kabisa,siku zote nimekuwa nikisema kagame ataondolewa rwanda kwa kumuua kabisa
@RichardRutembesa-ns1knКүн бұрын
@@sundaystanley5322Nyie ni mbwa Koko mnamoka tu!! Simjaribu kumtoa !! Rwanda sio nchi wakuchezea tunajua sehemu tulitoka !! Nyie mbweke mumokeee !! Tuko tayari kwa lolote!!
@MariamIbrahim-h7p21 сағат бұрын
Ndomaana nakupenda sanaaa presente wnguuuuuuuuii
@ElijahMw-k1c15 сағат бұрын
🔥🔥
@WilsonJeshiКүн бұрын
Our President 🇧🇮🇧🇮
@EricanoAmuriКүн бұрын
Tusipo mukambili kagame ata fika ata TZ na kenya Yeye anataka atawale African zima 😢
@marthanyamurama4129Күн бұрын
He is King 👑 mutajuwa soon 🔜 😇
@ginimbifamily3995Күн бұрын
@@marthanyamurama4129 King huko kwenu Rwanda..mnaroho mbaya sana nyie 😂😂😂...watusi wanaroho ya kinyama alaf wanapenda kumiliki
@marthanyamurama4129Күн бұрын
@ utajijuwa sisi tuko sawa na Mungu anatupenda hamutatufanya kitu hata kidogo 😎
@frankmpangwa3456Күн бұрын
Jichanganyeni na kagame wenu muiguse tz mtachapwa na hamtakaa muisahau tz .
@mustafamsati9599Күн бұрын
King huku bongo amebaki ni king kiba tu kagame ajalibu kutia ugokowake kwenyempaka wowote wa tz aone madini tunayo na harambi hata vumbi
@christinewomanoffaith5479Күн бұрын
Aisee pk no tatizo I think ss mwisho wake unaanza
@صالحالصوافي-غ5و14 сағат бұрын
Yeye mwenyewe yamemshida ataweza ya kagame😢
@MaheerMohammed-q1h16 сағат бұрын
Let's go kagame.
@EricNdayikengurukiye-i9pКүн бұрын
❤❤❤🇧🇮🇧🇮
@HamzaMbasha-xs2kyКүн бұрын
Ruto na yeye kampigia Rais wa Ufaransa Kuna mwingine naye kaenda kukemea Cheki chuma hicho kinatoa mambo wazi..
@ManoOsvaldo16 сағат бұрын
Ukweli
@AmadyYusuf15 сағат бұрын
Paul kagame he is the president of rwandies and Africa union....ndaishimiye...wewe hujui...hata.. chochote
@zerochanneltanzania3797Күн бұрын
Muda wake umefika… michezo ya juvenile isije ikajirudia…he has to go down!!!
@florencebudoya3814Күн бұрын
Hutu vs Tutsi.
@mikeniyokwizera3619Күн бұрын
🇿🇲🇿🇲🇧🇮🇧🇮🇧🇮1️⃣💯💯💯💯
@Isabellependo6389Күн бұрын
Wa Rundi njo wasawa Yao wananyooshanaga sana
@asanisemuna5017Күн бұрын
Huu ndo ukweli halisi rais wa burundi 🇧🇮 azingatiwe
@mustafarashid248413 сағат бұрын
Tz hawaeleweki mara wako SADC mara EAC,na wamefeli kustopisha vita.
@OlivierBIKORIMANA-n4mКүн бұрын
Président wa Rwanda anataama mbaya
@JoeZeno-q1bКүн бұрын
Kabisa, Kagame anatumika vibaya
@RichardRutembesa-ns1knКүн бұрын
@@JoeZeno-q1banatumikia nyie au Sisi!! Jiangalie ni nchi zenu
@JoeZeno-q1bКүн бұрын
@@RichardRutembesa-ns1kn Kagame ni Kibara wa Marekani na ufaransa
@irakozegracia18312 сағат бұрын
Mon président
@TommyFox-e1e17 сағат бұрын
Raisi Ndayishimie anasema ukweli sana√
@AmadyYusuf15 сағат бұрын
Let them talk... unless you east Africa region.. may be you have interest in this war..
@enockRocky-p2y23 сағат бұрын
Mnamuchukia kagame lakini hakuna kitu mtafanya huyu ni hasira kubwa ya wanajeshi wake karibu 200 wamekufia congo
@christianwilfred81922 сағат бұрын
Jifunze kiswahili hakuna neno la kiswahili wamekufia
@IbrahimAmaniAl-HusaynКүн бұрын
Paul Kagame ni kibaraka mkubwa wa Nato na US. Nchi ya Rwanda inajengwa na Mali kutoka DRC je ikiwa wewe utakubali ushenzi uendelee!? M23 ni Jeshi la Rwanda wawatoe na sio hivyo nitarudi jeshini mpaka kieleweke.
@RichardRutembesa-ns1knКүн бұрын
Una bweka au unamoka kenge we
@IbrahimAmaniAl-HusaynКүн бұрын
@@RichardRutembesa-ns1kn Kunitukana haiwezi kukusaidia chochote , nijibu kwa hoja kama huwezi , kojoa ukalale
@matikowambura765715 сағат бұрын
Kwani na Uganda mnaiacha wapi
@rahimsadru-ct4ot13 сағат бұрын
Huyu rais anaogopa kupinduliwa na wakimbiz Wa kiburund,,,na wala sio anaipenda Sana congo
@abuhamissi908210 сағат бұрын
Shida haujaelewa maudhuwi. Hiyo ndio shida. Taarifa ya habari inapotolewa. Jaribu kuitekeleza. Ndio utaelewa content.
@dfixmoblab6 сағат бұрын
Scramble everywhere unaikumbuka nyimbo ya lulu?
@LameckNgabo-g3t8 сағат бұрын
Na hii vita sio mchezo watanzania msilale mkifikiria eti hii vita itaidhia congo na burundi wakimalizana Na burundi itakao fwata ni Tanzania maana huu nimpango wakonao kwa myaka mingi sana
@MariamIbrahim-h7p21 сағат бұрын
Kweliii baba
@michaeljulius3905Күн бұрын
Uko sahihi bosi
@michelinemapendo6652Күн бұрын
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏Mungu teteya waliyowako baba inataochaaa
@shinwakilimbi435912 сағат бұрын
M 23 watakwenda mpaka taanzania
@melch3097Күн бұрын
Mseveni na kagame wana mpango kuitawala eastafrica, ndio maana kuna nchi zimeingizwa eastafrica bila kuja madhara yake
@SamirBSam23 сағат бұрын
facts
@brother_majesty12 сағат бұрын
KAMA HAWAJIELEWI...WACHA WATAWALIWE
@AmadyYusuf15 сағат бұрын
M23 are good.. they are not killing people... m23 they are not.. killing humans.... m23 are Congolese... they even went further they said they want peace....if a leader of m33 has raised 🤚🙌... hands he wants peace... let tshikedi arrange the meeting 🤝..to meet him
@fostinrotich323819 сағат бұрын
Hamuwezi Rwanda not sure if you your???
@issalyanali4119Күн бұрын
Urusi alipewa vikwazo milioni moja na laki tatu ,,,mwaka jana huyu mbwaa kagame east Africa wampe vikwazo milion 5,,,
@barakachitalilo5625Күн бұрын
Rais anayevamia nchi nyingine Kwa kutumia vikundi vya wahasi, huo ni ujambazi. Ni vyema akashughurikiwa haraka