BABALEVO amjibu WAKAZI baada ya kumpa tuhuma za Wizi, asema anampeleka Mahakamani kwa kumchafua jina

  Рет қаралды 14,869

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер
@anordgerison8639
@anordgerison8639 4 күн бұрын
Nakukubali baba levo Good luck in your life journey
@AthumaniNyembo
@AthumaniNyembo 5 күн бұрын
Baba Levo ameongea kwa mtiririko na kwa ufasaha na ameeleweka bila mihemko. Ni tofauti na wakazi ambavyo ameandika na kulielezea hili jambo.
@jumamabu3650
@jumamabu3650 4 күн бұрын
Kwa kuongea tu huna mpinzani , huboi wala hupoi😅
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 4 күн бұрын
Safi sana. Tunyosheeee hio mbwa! Wewe ni Yemuga
@shebe2573
@shebe2573 5 күн бұрын
Wanasheria tisa😂😂😂😂
@edmundnkarangu134
@edmundnkarangu134 4 күн бұрын
B Levo ba💪💪💪🙏
@AllyNzisabira
@AllyNzisabira 2 күн бұрын
Safi kabisa B Levo
@MusaNaftari
@MusaNaftari 5 күн бұрын
B levo wewe ni mfano wa kuigwa
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 4 күн бұрын
Kwa muonekano tu Baba levo ni mkorofi sana,,,ila baada kujua akitumia nguvu inakula kwake,,sasa kinachotumika ni akili na pesa aliyobarikiwa,,,huyo popote anasikilizwa,,elewa,popote.
@KesslyTravelZanzibar
@KesslyTravelZanzibar 5 күн бұрын
Safi sana baba levo
@JechaMakameIssa-gs2bl
@JechaMakameIssa-gs2bl 5 күн бұрын
safi sna
@rodsconehenry4249
@rodsconehenry4249 4 күн бұрын
Dah wenzetu raha sana begi tu linapatikana😅😅
@gilliardgodfriend5745
@gilliardgodfriend5745 4 күн бұрын
Ndugu kuna nchi hata ukiacha simu mezani hakuna anaeangaika nayo😊 nilishaacha simu kwa bus na nikaikuta lost and found ni sehemu watu hupeleka vitu walivookota na mwenyewe asipopatikana kwa mda wa mwaka wanaviuza😅
@SalhinaShabani-ht1hg
@SalhinaShabani-ht1hg 3 күн бұрын
Fundi Manyumba.... AMINIA SANA
@nikkimbishiunju2402
@nikkimbishiunju2402 4 күн бұрын
Uongo tu.
@AbeliMembe
@AbeliMembe 4 күн бұрын
💪💪
@GREATESTHITSREPLAYY
@GREATESTHITSREPLAYY 4 күн бұрын
😂😂😂😂Ayaa
@homeofvideos8893
@homeofvideos8893 4 күн бұрын
Wanasheria zaidi ya 51 😂😂😂😂😂 daaah
@Henricovicent
@Henricovicent 4 күн бұрын
😂😂😂😂
@johannesssamsonambogo4125
@johannesssamsonambogo4125 4 күн бұрын
MBONA KABLA YA WAKAZI UJASEMA KAMA BEGI LIPO, WEWE NI MWIZI 😂😂
@jonathanmwanja3994
@jonathanmwanja3994 4 күн бұрын
ASEME AKWAMBIE WEWE
@Xuxu-f7j
@Xuxu-f7j 4 күн бұрын
Sa akwambie wewe anakuhemea au😂😂
@LucasPaulo-hx2sv
@LucasPaulo-hx2sv 4 күн бұрын
Ataje kwn ww unapo fanywa unataja unafanywa mda gn sio kila kitu kiwe wazi
@johannesssamsonambogo4125
@johannesssamsonambogo4125 4 күн бұрын
@@jonathanmwanja3994 Ata wewe mke wake angekwambia
@johannesssamsonambogo4125
@johannesssamsonambogo4125 4 күн бұрын
@@Xuxu-f7j Amwambie Ata Mama ako dem wake wazani kipindi wapo kigoma
@gilliardgodfriend5745
@gilliardgodfriend5745 4 күн бұрын
Baba Levo hiwa anaongea utani na anafanyaga kweli😅😅
@nichoojr.6747
@nichoojr.6747 4 күн бұрын
Masikini NI masikini tu Ata ukitakilika Huwezi Acha asili inavoonekana Broo wewe umepitia Tu Sio zambi Hata hii nchi tukianza kuesabu viongozi waizi hatuwezi maliza Wote kuja kujitetea mtandaoni Broo pole Ila hili limekunasa Asee
@evodiusantony2115
@evodiusantony2115 4 күн бұрын
Balevo
@BlackKing89-l1u
@BlackKing89-l1u 4 күн бұрын
Baba levo usitudanganye..begi huwa linataga kama umecheck in..kama limepotea, kampuni ya ndege wenyewe wanakuletea mpaka airport yako ya mwisho..hata siku moja hawatakwambia usafiri kwenda kuchukua
@rutihindakiuyajibu2918
@rutihindakiuyajibu2918 3 күн бұрын
Amekwambia hajapoteza kwenye ndege.. Maana yake ali check in bila begi. It was lost at the airport
@kdashbig8205
@kdashbig8205 5 күн бұрын
👍👍👍👍👍👍👍
@kijaziwakijayo6833
@kijaziwakijayo6833 3 күн бұрын
Mwizi akijitetea.... .usimpe mwizi nafasi
@nikkimbishiunju2402
@nikkimbishiunju2402 4 күн бұрын
ROSTI ENDI FAUNDI.....Waha bwana!
@frankmsai7461
@frankmsai7461 5 күн бұрын
Uyo wakaz yeyekaziyake nikosoa watu mbwa uyo
@EdwardGeorge-t1u
@EdwardGeorge-t1u 4 күн бұрын
Jinsi tu anavyoongea kwel kaiba beg limeibiwa utuluk sim inasoma dar
@africanQueeny-u7o
@africanQueeny-u7o 5 күн бұрын
😂😂😂😂😂 jamaa ana maneno mbn ujapoteza simu tuoneshe hiyo report au Email, ww rudisha pesa za watu maneno meng ya nini
@jemaarsen6996
@jemaarsen6996 5 күн бұрын
Basi tupe utaratibu gharama zinakuaje sio kumpinga mtu kwa comment kutafuta response
@AgnessNesphory
@AgnessNesphory 4 күн бұрын
Jaman begi airport lazima ulipate camera kila kona na likiwa imepotea china lazim kesho yake walilete mapema sana tena kwa garama zao muhongo bwana wewe ayo mambo yalikuwa zaman sana sasa ivi upoteze begi mmmmmmmm
@JaneKabyemela-y5u
@JaneKabyemela-y5u 5 күн бұрын
Mpe mfano hakitoka hapo akome
@Kibabe2024
@Kibabe2024 4 күн бұрын
hauna kumpeleka mahakamani tayari wewe umeshasema
@HasanKisome
@HasanKisome 4 күн бұрын
Hili Chawa Matako ya Nyoka Halina Lolote Jinga La Kutupwa Kesi Ya Kupigwa Na Harmonize Lili Inadi Zaidi Ya Hivi Lakini Mbona Halisemi Iliishia Wapi? Machawa kama Hili Ni Machoko
@anordgerison8639
@anordgerison8639 4 күн бұрын
Mbwa wewe ..?? Achana na Baba levo Kama hujui kesi ya harmonize ilivo isha kaa kimya
@riziksaleh9930
@riziksaleh9930 4 күн бұрын
Bora.mfunge.huyo.simpendi
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 4 күн бұрын
Huyu jamaa story yake imekaa ki wizi wizi na UTAPELI mcheza kamari huwa ni mwizi sku zote
@nelsonbisi6499
@nelsonbisi6499 4 күн бұрын
Try to have a limit of your mouth especially on attacking a someone without evidence
@nikkimbishiunju2402
@nikkimbishiunju2402 4 күн бұрын
Mwizi ni mwizi tu,muha wa Temeke!
@adiaygo8546
@adiaygo8546 5 күн бұрын
Maelezo hayajitoshelezi😅
@EmmanuelMwenya-w2p
@EmmanuelMwenya-w2p 5 күн бұрын
Babako anaeza ongea kama ivo
@adiaygo8546
@adiaygo8546 5 күн бұрын
@EmmanuelMwenya-w2p we hanithi kivuje 💯🌈 Mimi babako mzazi muulize vizuri Mamako
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 4 күн бұрын
Huyu jamaa tapeli yani story zake za uongo mtupu MWIZI
@ArtworkArtwork-t8p
@ArtworkArtwork-t8p 5 күн бұрын
Kwani hicho kikao kinahusu nn?
@JechaMakameIssa-gs2bl
@JechaMakameIssa-gs2bl 5 күн бұрын
ww ukiona kikao kama hcho juwa Baba levo anaingia mkataba na kampuni sisi tunamuona mropokaji ila unapiga hela kila itwayo siku juwa hvo
@DennisFandi
@DennisFandi 5 күн бұрын
Kikao wakati anachukua ubarozi anaingiza vibunda
@Henricovicent
@Henricovicent 4 күн бұрын
😅😅😅😅
@SundayMbatia-hr8qp
@SundayMbatia-hr8qp 5 күн бұрын
Kiki iyo
@Kibabe2024
@Kibabe2024 4 күн бұрын
Wewe mwizi kumbe kweli
@mubuyafrancis3979
@mubuyafrancis3979 5 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@MohammedMaulana-m2t
@MohammedMaulana-m2t 5 күн бұрын
Wewe mwizi inaonekana ulikuwa unataka kulifuata begi kimyakimya bilawakazi ku kuliongelea
@agreymbwilo5874
@agreymbwilo5874 5 күн бұрын
Kwaio ilibd aje kukuambia?
@ubunifulifestyle3492
@ubunifulifestyle3492 4 күн бұрын
Usimjibu huyo hana analolijua, hajawahi panda ndege maana hajui chochote​@@agreymbwilo5874
@kulwahamza3150
@kulwahamza3150 5 күн бұрын
😅😅
@BenMudy
@BenMudy 4 күн бұрын
Kwa maelezo yako mbona kama ulii....ba
@Kiyama-g8f
@Kiyama-g8f 5 күн бұрын
WEWE MAPUA HUNA POINT NA WAKAZI NI MSOMI HUMUWEZI WEWE WALA DOMO;KAA KIMYA;ACHA KIKI ZA KIJINGA
@dunkchainz7237
@dunkchainz7237 5 күн бұрын
Huyu alisema boss wa Silent ocean ndio kamlipia aende vacation uturuki… leo anasema anafuata begi usikute kweli MWIZI 😂
@FahadAbubakari-y3f
@FahadAbubakari-y3f 5 күн бұрын
Hawa watu kabla ya kua maarufu ni wezi tu huyo mtu alomwamwambia wakazi kua kaibiwa hawezi kua mjinga ukweli ni mwingi kuliko.uongo Sema kwa kua wavijijini wengi wanaowaonaga Hawa kina levo wapo special ndo watashangaa
@strong8534
@strong8534 4 күн бұрын
Sasa tatizo liko wapi?? Ama maskio yako ni kama majani ya mgomba tu hayana kazi nyingine. Begi lilipotea uturuki wakati anatoka USA.
@dunkchainz7237
@dunkchainz7237 4 күн бұрын
@@strong8534 shida umekurupuka huelewi nilichokisema… katika hiyo press alisema Salaah (boss wa silent ocean) aliwaahidi yeye na Mwijaku kua atakaeshinda tunzo ya muhamasishaji bora basi atampeleka uturuki kipindi cha sikukuu kwa maana angeshinda Mwijaku basi yeye asingekwenda… leo anabadilisha maneno aliyosema mwenyewe na kudai ameomba visa ili akafuate bag sasa kama hujui moja ya sifa ya mwizi ni kutokua na consistency katika mazungumzo yake
@dunkchainz7237
@dunkchainz7237 4 күн бұрын
@@FahadAbubakari-y3f umeongea ukweli ndugu tena hawa watu maarufu huwa wanatumia gharama kubwa kuonekana wana maisha mazuri au kipato kikubwa tofauti na uhalisia ndomana wanaweza hata kujihusisha na wizi au utapeli
@FahadAbubakari-y3f
@FahadAbubakari-y3f 4 күн бұрын
@dunkchainz7237 bongo ujue hususan hii mitandao mashabiki wengi ni ndugu zetu ambao mbele kweusi ndo maana hao wanaoitwa mastaa wanavyoimbwa hata hao kina bakharesa wanaonekana hawana kitu ila hao wasanii ndo matajiri wa mjini wamefanikiwa mnoo kuaminisha wasonaupeo kuona Hawa mabwana ni mabilionea we angalia Hawa watu kutwa wanaomba hela na kusifia watu ila Kuna ndugu yangu wa kijijini anakwambia jamaa katoboa huyu
@shakeuabuu8851
@shakeuabuu8851 4 күн бұрын
Mdokozi ww
@MousaSelemani
@MousaSelemani 5 күн бұрын
Uongo ukipoteza begi sehemu yo yote garama yaku ipata aiwezi Kuwa upande wako
@alkhudhertarek976
@alkhudhertarek976 5 күн бұрын
Umepoteza lini begi ww komo
@EmmanuelMwenya-w2p
@EmmanuelMwenya-w2p 5 күн бұрын
Sa kitu upoteze mwenyewe garama ulipiwe we ushai safari ama unaishia chitoholi
@MousaSelemani
@MousaSelemani 5 күн бұрын
@EmmanuelMwenya-w2p umesha Wai kusafiri kwenda ulaya?? Begi yako umelipiya aikwenda Bure na airport yo yote ulaya inachukuwa garama yako yote
@MousaSelemani
@MousaSelemani 5 күн бұрын
@EmmanuelMwenya-w2p mimi niliacha begi langu Australia walileta paka Moroco
@ProJays
@ProJays 5 күн бұрын
Kweli ata mim nilipoteza n wakaleta wenywe​@@MousaSelemani
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
SIO BEGI LANGU
10:25
Joti TV
Рет қаралды 144 М.