Professor Jay anasimulia miaka ya mwanzo ya muziki wake na jinsi ambavyo walifanya kazi katika mazingira magumu na umaskini mkubwa #ChillnaSky
Пікірлер: 82
@theceefamily77643 жыл бұрын
Sns na maximum TV team nawapenda sana,kwani mko on point,wakweli na high Q💪.Napenda Interview ya P'J(mheshimiwa).Mungu awabariki nyote❤️🔥🙏🇰🇪.
@edwardyaa69563 жыл бұрын
Interview ya kikubwa sana tunatazama na family kutoka Bahrain
@albertomolo81473 жыл бұрын
Naona unazifuatilia sana habari za bongo flava bro. Ni Mangi
@SWAHILINATION3 жыл бұрын
Two legends✊🏿 My inspirations Sky for media and Jay for Hiphop. Tanzania we’re truly blessed
@christiancaden12783 жыл бұрын
I realize I'm kinda off topic but do anybody know of a good site to stream newly released series online?
@achillesgabriel68473 жыл бұрын
@Christian Caden I use Flixzone. You can find it by googling :)
@zaneari47303 жыл бұрын
@Christian Caden I would suggest FlixZone. You can find it on google =)
@forrestdarren20393 жыл бұрын
@Christian Caden I watch on flixzone. You can find it by googling :)
@vuvuzelajordankhasindu29634 ай бұрын
The stories are really touching and teaching. Peace.
@castoljmwalyego37783 жыл бұрын
Dah nimeenjoy mnooo,memory ni nzuri sanaaaa,zinaburudisha,zinatukumbusha mbali sana.
@vuvuzelajordankhasindu29634 ай бұрын
I admire this guys, they are so humble. I have been following their interviews. Super proud of you Jay. Peace.
@vuvuzelajordankhasindu29634 ай бұрын
Forever the King. Jay God bless you. Jay wee ni Mwambaaa. Peace.
@georgeburchard48723 жыл бұрын
Magwiji wawili juu ya meza moja! Noma sana
@noxiousmashairi Жыл бұрын
Nairobi Kenya tunamkubali Proff Jeezy
@freddieelice63773 жыл бұрын
Nice interview, daaaah, huwe unakaa na hawa watupe Safari zao, zinavutia Sanaa
@mozeytherealalien56343 жыл бұрын
🇧🇮🇧🇮 love from burundi
@billnemess93693 жыл бұрын
Love from 🇧🇮🇺🇸 professor Jay ndie alinifanya nikaipenda Rap na hip hop kabisa 2006! Nikusaidieje ndo ilinifanya nimujuwe professor Jay! Mpaka sasa naipenda sana ile ngoma sana! I wish Bong hip hop ingerudi kuwa vile!
@zclassicfashionz3 жыл бұрын
Wakubwa kama wakubwa nyieee.... 👊✋
@hamedabashir93 жыл бұрын
Mm nipo omani nawapata vizuri sana sky nakukubar mno hebu weka koment yako nifurai leo👌👌👌☺️
@SimuliziNaSauti3 жыл бұрын
Asante sana Hameda
@amirimohammed2875 Жыл бұрын
✊
@vuvuzelajordankhasindu29634 ай бұрын
Have followed it to the end, very good interview. Indeed Jay aka Nigga Jay is talented. Peace.
@erickmweta82153 жыл бұрын
Bless up kutokea Abu Dhabi @simulizinasauti
@janvierramazani21893 жыл бұрын
Chillna sky na kuwaka naku kubali Sana bro you know how to do interviews all the way from SA I wish to meet you when I come there in dar salama
@niyongendakosamuel46743 жыл бұрын
Moja kubwa kuliko entervieu zote sky
@sagandamalechampullo6593 жыл бұрын
Good Artist
@binarytanzania3 жыл бұрын
Interview Kali mno Sasa ngoja nkaangalie bongo dar es salaam na zali la mental upya
@zclassicfashionz3 жыл бұрын
Yani interviews za Pro Jay uwezi choka kumsikiliza maana yuko vizuri anajua kujieleza na anatiririka kwelkweli.
@vibeanytime87833 жыл бұрын
Nipeni like zangu 1k kama wewe ni team SnS
@davidwalalason76303 жыл бұрын
Bcoz of this interview I have to go for the song bongo daresalam
@stellah38443 жыл бұрын
Safi sanaaa
@salumjumah56483 жыл бұрын
Interview bora sana hii
@afreecastzaxie3 жыл бұрын
namkubali sana jay
@samuelezequiel76123 жыл бұрын
Chilly na sky🔥
@Femksful3 жыл бұрын
Interview nzuri SANA hii!! 💯%!!
@frankkajoba8372 Жыл бұрын
Nature kupakwa powder😂😂😂
@AMwamzola9 ай бұрын
It's was my favorite song on that time
@rashidisaidi8535Ай бұрын
Tunayeiangali 2024 hii intavyuu tujuane
@hamadeddy30463 жыл бұрын
Mtafute na Afande Sele hapo leo namuona Profesa Jizzle
@ThaFunkHouse3 жыл бұрын
Ngomanagwa & Joseph FamLeee
@masungajames42503 жыл бұрын
nakipenda sna hichi kipindi bro vp Adam mchovu anatakiwa aje kwenye hicho kipindi kwamana namkubarii sna
@emmanmollel88863 жыл бұрын
Bonge moja la interview aisee
@ronniebertin3563 Жыл бұрын
Profesa j umeua
@qualitydon77533 жыл бұрын
Always +974 respect sky
@itNeza3 жыл бұрын
Anasema Story za Mwaka nilipo Zaliwa Dhuu ( Legend kabisa Ma 90 huko ) 🙄😁
@zclassicfashionz3 жыл бұрын
Nature 😂😂😂😂😂😂
@panjumitindo11353 жыл бұрын
Bunda Nyumbani Kipindi Iko Ndo Naanza Shule Ila Kuna Bro Wangu Alikuwa Anamsikiliza Sana Nigga Jay Kitambo Sana
@eliassabbath2480 Жыл бұрын
Bnd home
@msalikemedia3 жыл бұрын
Bonge la kipindi 😍
@eliassabbath2480 Жыл бұрын
Bunda nyumbani
@kinani_bwoy3 жыл бұрын
Kama king waburundi big fizzo the Bantu bwoy
@kahawathungu3 жыл бұрын
Professor Jay mcheshi sana. Ndio maana hazeeki
@mejakimaro27733 жыл бұрын
Endelea kuwa darassa kwa vijana wanaokuja kwenye hii tasnia ya utangazaji bro! Hasa jins yakuuliza maswali
@hamimualmas96633 жыл бұрын
Umempa idea yangu sky nlitaka nifanye part two
@breezy93983 жыл бұрын
Mashabiki wa sns naombeni msaada wa ku subscribe channel yang ya you tube 👏👏
@ellymakongo6563 жыл бұрын
Bunda kwetu
@panjumitindo11353 жыл бұрын
Nyumbani
@ellymakongo6563 жыл бұрын
@@panjumitindo1135 sehem gan om boy
@King_Of_Everything3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌
@vibeanytime87833 жыл бұрын
Dah... nimekuwa wa kwanza 🤣🤣
@SimuliziNaSauti3 жыл бұрын
Hongera sana
@shabanimanyank89503 жыл бұрын
@@SimuliziNaSauti mpeni hela sio hongera tuu...
@nurukwilabya27903 жыл бұрын
@@shabanimanyank8950 😆😆😆😆
@AMwamzola9 ай бұрын
Bongo dsm
@rosemofuga63133 жыл бұрын
Siri ya urembo ya bwana huyo ni mama lissa
@omarymbalala62243 жыл бұрын
Utanambia nn
@janetahmed69483 жыл бұрын
Intewiew kali ebu leteni lavalava na zuchu yani wcb tafuteni jamani tujue mengi