"SIMUOGOPI TUNDU LISSU ,NIKISHINDWA NITAHAMA CHAMA ,NITAKUWA MSHAURI" MBOWE ATOA TAMKO HADHARANI

  Рет қаралды 9,163

Uhondo TV

Uhondo TV

Күн бұрын

Пікірлер
@mwendexhaninu4757
@mwendexhaninu4757 3 сағат бұрын
Ukisema mbowe alipambania uhai wa lisu mungu je hakupambania hacheni kudanganya watu jaman lisu ndo mzma
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 Сағат бұрын
Humuogopi Lissu lakini yupo Mungu atakuumbua unafiki wako
@chenyakwihela1637
@chenyakwihela1637 4 сағат бұрын
Bila kuumtaja magufuli hamnaga hoja ovyo sana mlevi weweee
@jacksonrabson6439
@jacksonrabson6439 7 минут бұрын
R.I.P JPM OUR LOVELY PRESENT UTAZIDI KUISHI MIONYONI MWETU. HAWAWEZI MALIZA POLOJOZAO BILA KUKUTAJA MWAMBA ULIYENYOSHA MANENO HATA AMBAO HUTUJASOMA TUKAJUA NINI MAANA YA KIONGOZI JINALAKO LITAISHI MILELE
@melkizedck
@melkizedck 2 сағат бұрын
Mbowe! Kama kweli unataka chama kisonge mbele zaidi nakushauri NG'ATUKA. lkn uking'ang'ania CHADEMA ITAKUFA.
@christianlutego1288
@christianlutego1288 5 сағат бұрын
Kumbe Kuna mafahari wawili, Magufuri Rest in peace
@ValerianiPaskali
@ValerianiPaskali 5 сағат бұрын
Big up mbowe nakupenda sana ulivyo sitahama chama hata kifo kije maana wewe umetusimamia katika maadili mema jinsi ulivyo nakuomba ubaki hapo uwe mwenyekiti
@AbdulWaheedAlRawahi
@AbdulWaheedAlRawahi 39 минут бұрын
Mboowee bora ung’atuke uwaachie wengine. Tundu Lisssu akishika uwenyekiti chama kitakua imara zaidi
@DavidBisse
@DavidBisse 5 сағат бұрын
Ee mwenyezi Mungu uliponya Tundu lissu ktk mauti hivyo hivyo mpe ushindi tena wakishindo zidi ya nkurunziza mbowe.
@OS-pf6op
@OS-pf6op 3 сағат бұрын
Huna jipya, chama kimeshadumaa (miaka karibu 20) na mnakipa nafasi ACT kiwe chama kikuu cha upinzani!
@anosiata8242
@anosiata8242 3 сағат бұрын
Tunataka lissu
@babusadala5732
@babusadala5732 Сағат бұрын
Upo sahihi kabisa ila hebu Fanya kama kung,atuka hivi muachie lisu naye tumuone ....😊
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj 4 сағат бұрын
Mm binafsi namkubali MBOWE kuliko lisu japo natambua mchango wake na anaumuhimu katika chama
@bernardoartist8770
@bernardoartist8770 5 сағат бұрын
Tunamtaka Lissu
@lusajomwakajoka4955
@lusajomwakajoka4955 2 сағат бұрын
SASA WEWE ULIMUOGOPA JOHN MWENZIO HAKUOGOP AD ALPIGW RISAS BT STILL ALIKEMEA WW HUKUMBUKI HOTEL ZAKO ALISEMAJ
@JustusNteghay
@JustusNteghay 3 сағат бұрын
Mbowe anatakiwa apumzike.Lkn Lissu hana uwezo.Kinakwenda kuporomoka.
@elishuaisaya4176
@elishuaisaya4176 Сағат бұрын
Mbowe nitakuwa sikufatilii tena mpaka mungu arudi kuna viongoz nikiiwaona tu yu tubu nazima data
@aganomuma
@aganomuma 2 сағат бұрын
Acheni ccm iongoze Taifa kama Leo mbowe ameshindwa kumuachia lisu akuna demokrasia . Me Leo nimeamini yanayosemwa juu Yako.
@danielpaul4108
@danielpaul4108 5 сағат бұрын
Daaaah Mbowe unaakili sana wewe mchaga, big up sana
@JeniferPiter-wo3ve
@JeniferPiter-wo3ve 2 сағат бұрын
Muachie lissu
@Electri-ambi
@Electri-ambi 5 сағат бұрын
Magufuli kaingiaje hapa ndio huwa sielewi wanataka nni
@jamesmasome359
@jamesmasome359 4 сағат бұрын
Jamaa hawa wapumbavu tasilimu.....
@jumakhamis226
@jumakhamis226 3 сағат бұрын
Kabisaa ​@@jamesmasome359
@bashayabenjamin-ot7xi
@bashayabenjamin-ot7xi 3 сағат бұрын
Hovyo kabisa
@elishuaisaya4176
@elishuaisaya4176 Сағат бұрын
Huyu jamaa hamna kitu leo ndonmeelewa huyu jamaa kawakosea sana watanzania wale wenye mapenzi mema na nchi yao
@ChristopherKitheka
@ChristopherKitheka 2 сағат бұрын
Huwa hakuna binadam( mtu) mkamilifu....hata Yesu alikuwa na wanafumzi 12...mchagueni. Tundu Lissu. ...kama hataweza mtaona...kazi yake...
@emmanuellyatuu4103
@emmanuellyatuu4103 5 минут бұрын
Kama Magufuli, kweli, alikuwa na dhamira ya kuua, basi hata wewe FAM umeshawahi kuwa na dhamira ya kuua😅
@SalmaAthuman-hp3en
@SalmaAthuman-hp3en 5 сағат бұрын
Hovyooo
@Peterchipemba
@Peterchipemba Сағат бұрын
Mbinu ikiwa na mda mrefu vitani,,adui huwa anaizoea
@AmanHaonga-y9b
@AmanHaonga-y9b 5 сағат бұрын
😂😂😂Vita ya panzi furaha kwa kunguru.
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn 3 сағат бұрын
Mboye una sera
@bashayabenjamin-ot7xi
@bashayabenjamin-ot7xi 3 сағат бұрын
Hachana na Magufuli ongea hoja zako
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 5 сағат бұрын
Ushatupa sintofaham wadau tulopenda chadema kwamba ww ni dictector
@GuidoLadislaus
@GuidoLadislaus 6 сағат бұрын
Wewe ndio ccm part 2 hufai kuitwaa kiongozi
@OLCHOKUTLEMAA
@OLCHOKUTLEMAA 3 сағат бұрын
Mseveni wa chadema na mwenyekiti wa milele
@josephlugome3838
@josephlugome3838 13 минут бұрын
Pumbavu hili lingejua angeacha tu basii
@mwitadaniel5180
@mwitadaniel5180 2 сағат бұрын
Andikeni ukweli
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 6 сағат бұрын
Mpeni mbowe chama pamoja ameongoza muda mrefu , vinginevyo chase ma itakufa. Lissu akishindwa urais atakimbia Ubeljiji anawaachia CHADEMA.
@AthanaseKiyoja
@AthanaseKiyoja 4 сағат бұрын
Wanachadema,msifikiri kubadilisha kiongozi kwenye vyama vyetu hivi vya siasa ni sawa na kubadilisha nguo ya ndani ( chupi) huko majumbani.Hivi kweli pamoja na ushahidi kuwa wengi wrnu mna utahira, nawamba kwa hili azimeni akili kwa wenye akili zao.Yaani mtu na akili.zako unashindwa kuona tofauti ya Mbowe na Lissu ?
@aganomuma
@aganomuma 2 сағат бұрын
Sasa akifariki itakuaje?
@SALUMCHEMA-t2e
@SALUMCHEMA-t2e 6 сағат бұрын
Katiba.miaka.5.wewe21.nabadounataka.tofauti.ikowap.kati.chadema.na.ccm.tuambie
@ErickyKatunzi
@ErickyKatunzi 6 сағат бұрын
Mbowe hafai,we unasema walioachia waliachia na miaka,67,68,swali ni je wao walichukua uongozi wakiwa na umri Gani?halafu wewe ulichukua uongozi ukiwa na umri Gani.?,na umetawala kwa muda Gani.?
@vicentelias491
@vicentelias491 Сағат бұрын
bobu makani,mzee mtei walikaa miaka 5 mitano yeye anataka 20 + kwani wengine hawana uwezo what ifa akifa.leo maana yake chadema imekufa yeye kama asingepewa nafasi nani angemjua ?
@stevenghambi3471
@stevenghambi3471 4 сағат бұрын
Awe lisu awe mbowe yeyote tunamuunga mkono
@rashidjuma1969
@rashidjuma1969 5 сағат бұрын
Yani njaa ni kitu hatari sana Tanzania
@YohanaMboma-vz3sl
@YohanaMboma-vz3sl 5 сағат бұрын
Chama kinajivua gamba hii sio shida ni demokrasia tu sio ugonvi. Najua Wanachama hamjazoea kuona siasa za ushindani
@Kanyawela
@Kanyawela 4 сағат бұрын
Mbowe Kwani ukipumzika kuna shida gani ukawa mjumbe wa Maisha?
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 3 сағат бұрын
Kumbe jamaa ni mzee
@ManzabaySalim
@ManzabaySalim 3 сағат бұрын
Meowe wewe unatumika na ccm
@SuleimanAlj-r8u
@SuleimanAlj-r8u 3 сағат бұрын
Nitamchagua asiekunywa POMBE
@ODENILWILA
@ODENILWILA 5 сағат бұрын
Wewe mbowe achia wenzio daa
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 6 сағат бұрын
LISSU hana fadhila wa shukurani,mbowe alipamania uhai wake kwa hali na mali!!leo anataka kumuondoa kwa nguvu mbowe!!rsisi samia suluhu hasani,kamtendea wema,lakini malipo anayopata toka kwa lissu,ni matusi tena ya nguoni!!na mengine ya kumdhalilisha rsisi eti aliyuma hongo kwake,akakataa!!
@RashidRamadhan-fe7fb
@RashidRamadhan-fe7fb 5 сағат бұрын
iko hivi kwenye maisha kuna watu wanataka kukuuwa wakikukosa wanakupa pele. na wakikuuwa wanakuja msibani. wew hujui waovu mbinu zao
@HanifaBruno-lv1qf
@HanifaBruno-lv1qf 5 сағат бұрын
Nyie msigombane chama kitateketea
@ShomariAthumani
@ShomariAthumani 5 сағат бұрын
Unajua viongozi munatuchanganya nirikua c f ripumba na sharif Hamad wakanichanganya nakuja huku chadema na ko munaanza mizozo au nyinyi nyote c c m kwanini munatuyumbisha
@elishuaisaya4176
@elishuaisaya4176 Сағат бұрын
Kaka pole Sana awamu hii ikiwezekana chadema itadumaa mno ccm hoyeee
@ClassicUsed-jg6ri
@ClassicUsed-jg6ri 5 сағат бұрын
WAKENYA NI WAPUMBAVU
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 6 сағат бұрын
Lissu hakiwezi Hicho CHAMA Mmsidanganyike na lissu mwenye hasra na visasi
@deluxermahyono5290
@deluxermahyono5290 6 сағат бұрын
Kwahy ukinizuru nikuache tu !?
@alencleophace2182
@alencleophace2182 5 сағат бұрын
Its true
@herbertmachele3343
@herbertmachele3343 4 сағат бұрын
Hivi magufuli alikua chadema nn maana hamuachi kumtaja yani ugomvi wenu bado mnamtaja utafika mahali kabla ya haja kubwa Mtamtaja punguzeni Kiki.
@PeterJonathan-c8k
@PeterJonathan-c8k 5 сағат бұрын
Mugabe ktk ubora wake, wachaga kwa pesa!
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 5 сағат бұрын
Tushakwambia pumzika
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН