Dj Sunil uko vizur sana ila unakuaga na ki style chako cha kutafuta riziki unatuvuta na mov moja kali alafu unatukimbia 😂😂 hutupii mov nyingi unatuvuta inbox kwako tulipie apo sasa ndo una tukosaga wengine kusud mkono mfupi wa kuja inbox ila juu ya yote we MKALI
@AhadiMoses6 күн бұрын
👍
@MohammedAnusaАй бұрын
Sikupigi dj ❤❤❤❤❤😂😂
@rosemahenge90712 ай бұрын
Mimi ndiyo huyo mwana mama niliyepambana miaka 12 mpaka sasa bado sijatoboa😂😂😂
@jessejosephat9492Ай бұрын
Aiseeee chado we ni chado master kweli kuwa makini sana huyo jitu na wenzake wasipate hilo begi mzee kama vipi tulia hapohapo kwenye hicho kituo cha polisi malizane na mr manyonga hapohapo.
@Cheusi_media6 күн бұрын
😅😅😅 LAHAULAAA... Big up familia yetu..🎉🎉
@vyukusengenelly76682 ай бұрын
Safi sana nafrahi kuona ilo libwana njinsi lilikufa😂😂😂😂😂😂😂😂
@macosmeticstradersАй бұрын
Djeiiiiiiiii hiii hatari sana tupe full move usitupe single move naomba plzz pokea maua yko 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@biugwaduАй бұрын
sk8l8zen mm mwenye nimekubali humz8ki naomben like❤❤
@NYIGUJRАй бұрын
JAMANI Hy move cover lake na move yenyewe nayoijua mie sio Hy ASA anaeijua hiyo move jamaa hapo alievaa hizo pingili za chuma chuma mkononi
@zakariasuleiman46322 ай бұрын
Ilo tangazo linalokuja linaziba movie hatuoni
@SaidChilaza2 ай бұрын
Kitu nzuri sana baba lao jamani weweeeeeh❤❤🎉🎉🎉🎉
@RonaldoMbale11 күн бұрын
Tuletee muendelezo wa war bwan mbon imeishia 03
@SaidiSwaleh-ex9nn2 ай бұрын
Nimekua wa kwanza kutoka kenya
@FestoMsombe26 күн бұрын
I love you dj❤❤
@LovelyBrain-re7qg16 күн бұрын
Fesibuku
@EvodiusMjumula-rz5xj2 ай бұрын
Kaz nzur dj
@ZacariasclementeMangule-sv6ri2 ай бұрын
Love you mocambique 🇲🇿🇲🇿❤❤❤
@MabondoMasunga20 күн бұрын
Nakubal dj
@FranceJickson-nk8bn2 ай бұрын
Hiii movie action hainaaaa😂😂
@WilliamSinkolongo2 ай бұрын
Asante sana dj sunili kwakutubuludisha 🙏🙏🙏
@SaleheSalehe-m6vАй бұрын
UK czar mzee
@Joshuapanga-n5lАй бұрын
Una jua sana kk😂🎉🎉
@RichadRichadselemanSeleman2 ай бұрын
Kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
@AmuriYahaya2 ай бұрын
tunaitaji tumalizie (the War) tunaipenda sana
@AbednegoOsoro97Ай бұрын
DJ uko sawa. ❤❤❤
@mrsinia30642 ай бұрын
Kitu kikali kwer cha kwenda 👍
@LovenesDonati-s1l28 күн бұрын
ni move nzuri na sauti nzuri iliyotafsiri
@richardpaul78602 ай бұрын
Mimi wa pili...😅 Likes basi
@Ivannelsonhussen2 ай бұрын
Dj sunily ku namwiziwako umetambua ilo iyo filamu ambayo tumemaniza sisi ya dengar sister kuna dj ambayo anaiposti yeye anaita revenge iyoiyo kabissa
@AssaniMwibe-py3jc2 ай бұрын
Dj WAR imeishiya wapi, tuna taka WAR sisi 💯
@Shen_tz2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤ kazi nzuri dj
@GraceMasungwa-l1dАй бұрын
Uko vizur
@AliImamu2 ай бұрын
Uko poa sunvil shabiki wakonamba zio
@achantyyahya4290Ай бұрын
Tukumbuke Dj Tuna kumiss😢😢😢😢
@vyukusengenelly76682 ай бұрын
Sasa icho ki bwana misikipendi maana kinaua watu wasio kua naatia kwanini hawamuuwi palisha kosa wakumuua😢😢😢😢😢😢😢😢
@rozamarcelle12412 ай бұрын
❤❤❤❤❤💪💪💯🥀🥀🥀
@Jastne-j1x2 ай бұрын
Dj sunily uwa nakupenda jmn Acha kbsa
@OmanPhone-c5vАй бұрын
Nakkubar bro ❤❤
@shimulamax1975Ай бұрын
Chadooooo masters
@Cheusi_media6 күн бұрын
Welcome my Family 🎉🎉
@JasonSamuel-sd2ke2 ай бұрын
Mim wa kwanza leo😊😊😊
@SurprisedCoyote-vk4ui2 ай бұрын
😅😅😅😢Tatizo la huyu dj anaanzisha move nzuri lkn hamalizi anaishia njian bora kuacha
@SalhinaFikiri-c3oАй бұрын
hellow
@ShaniaSuleimaniАй бұрын
Asante dj sundry una tuburudisha
@BahatiEca2 ай бұрын
❤❤
@MustafaAmatekaMustafaAmateka2 ай бұрын
Babababababababa uko good Dj
@ToyiJeanboscoАй бұрын
Dj sunily uko vizur kwa movie unatupatia
@dicksonevarist16302 ай бұрын
Tutafutie season ya destened to love you🙏🙏🙏
@mwanawetumwatumwa30002 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@MjeniKasdi2 ай бұрын
dj,mwendelezo
@justineAnyabwileАй бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@bernadbenАй бұрын
Sio pw😂😂
@justineAnyabwileАй бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ISMAIL_THE_BARBERАй бұрын
Nimefurahi kuona hii Channel yako DJ Unajuwa Sana
@PauloAmos-k2fАй бұрын
Safi Sana
@tawhidatawhida73442 ай бұрын
Dk tuletee muendelez wa WAR
@DeogratiasiMarandu2 ай бұрын
DJ kazi nzuri ila Kuna mahali unazingua lete mwendelezo Wa god of war episode ya 11
@tonnybarbers69712 ай бұрын
Nakubali... Love voice tulia kw mitambo broo we ndie kippko ya wote @Dj suniry
@XhebbyMandevu-u1hАй бұрын
🎉🎉🎉🎉
@ZaharanMkomwa-v2tАй бұрын
Mov iko poa san
@godriverbishangabaisha40982 ай бұрын
❤❤❤🎉🎉
@OmanOman-hj7tv2 ай бұрын
Kumbe humu siku hizi kuna kuwahi namba na hamsemi
@Aisha-f2gАй бұрын
😂😂😂😂😂😂 mi pia sielewi
@AZIZIhituАй бұрын
Mm ni mdau wak cn
@DullahRobot-yf7xu2 ай бұрын
Ume Tisha cna .
@RakmaRakma-o9b2 ай бұрын
🙏🙏❤️❤️🇧🇮
@tonnybarbers69712 ай бұрын
Halafu Suniry tumalizie War Broo mbn mlituacha njia panda hivyo 😢hio sipoa kaka
@Jastne-j1x2 ай бұрын
Tuletee bc ngoma nyingn mkubwa hii nimeipenda
@AsmaaUgama2 ай бұрын
sasa dj ndonn kit kikali akina muenderezo jmn vipande avina movie matangaz tu shd nn
@JamalSumailАй бұрын
Mob vp
@Glory-d8d2 ай бұрын
Nimecheka kwa nguvu watu wakajua natekenywa
@Ivannelsonhussen2 ай бұрын
DJ sunil wewe auna lamana kwasasa
@NgomanzitoNyanga24 күн бұрын
Awe
@AllyKiza2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂❤
@JamesNyandwiАй бұрын
Nice movie please can you like me
@SaidoLamaАй бұрын
Sasa wewe namu jukuu nuna undugu???
@MsetiIginga-z1t2 ай бұрын
Kwani mi nikia wa tatu nitakua nimekosea
@SaidoLamaАй бұрын
Dj Sunil wewe nikongwe kuseala lakutafusilia film zaki chin sione gisi yakukusapoti wewe nisimba
@JosphatSinkala-i9lАй бұрын
Wadau naomba mwenye movie ya kijapani vs mchina ya the fighters anisaidie kuzipata