Felix Mwenda uko wapi jamani,twakuhitaji kipaji ulichonacho nacho na sauti Yako inahamasisha kusikiliza, na kufurahia, hakika fani imevamiwa, mwandishi utapoteza wasikilizaji ikiwa utashindwa kutambua nani wapaswa kumpa story yako aisimulie***★shauri YAKO
@Wakiomiss.785 күн бұрын
Huyu nae aliyataka,kwa nini alienda kwa mwanaume mwengine bila ruhusa ya mumewe
@FatumaJumanne-p4d4 күн бұрын
Aljuwa yatakwsha hatosumbuliwa ila kuna mda muhmu kuwa muwaz na kushrksha wakubwa.
@christinahaule-p8i3 күн бұрын
mbn uyo rose ni km siyo rafiki nzuri kwa rafiki yake marafiki siyo watu wa kuwaamini ata siku moja ❤❤❤
@avelinabaluhya28043 күн бұрын
Mh,Alex hana hata aibu,alimblock mwenyewe anaomba namba tena 😂😂😂,halafu anataka mtoto,huyo mtoto anaokotwa kwenye mti,hakuna salamu wala kuongea,shenzi sana,ila kumwambia mume wake ilikuwa ni muhimu sana
@avelinabaluhya28043 күн бұрын
Yaani mtu wiki mbili zakufanya mtihani,hata huruma hakuna mtu kasoma muda wote huo anafukuzwa hivyo tu,daa!😢😢