Enzi hizo nimerud chuon nimeshatandika mkeka nimeshaleta chakula Wali juu Kuna matandu tuna subiria baba kiredio kimefunikwa kitambaa
@azizaalwi87205 жыл бұрын
I'm a kenyan but will forever cherish old zanzibar music
@saidhamad75044 жыл бұрын
Ur welcome
@ChumanaSusi3 ай бұрын
Hii taarab ahhh wacha tu! inaingia hadi kwa mishipa ya damau yangu na kunilemeza kwa sauti na mpangilia mzuri ajabu. 🇰🇪
@AhmedMzee-j2e Жыл бұрын
Mashallah nyimbo zilikuwa na ujumbe sio hizi za rusha roho
@sakinaabd58987 жыл бұрын
kuweka ahadi au kumaliza ahadi inataka muungwana ambaye anajua nini miadi, jamani si kila mtu ndo anajua hayo kwa sababu uungwana ni vitendo, lakini si sura nzuri wala rangi nzuri. we miss home zanzibar ishaallah tutafika tena.
@SeluSelu-lc8rp3 жыл бұрын
Napenda vya Kale had leo kwakwel vinadum
@bimumaulid11715 жыл бұрын
Ninakumbuka saa nane nimetoka Skuli naenda chuoni kipindi chetu cha Taarabu za Znz WALLAHI ZNZ kwetu subhanallah penda Mimiiii
@rehemamohamed72875 жыл бұрын
Na ubwabwa unanukia
@abdulsuleiman12444 ай бұрын
Daah Wacha tuu
@marhabamarhaba4599 жыл бұрын
Si kikubwa asilani kitu nnachotaka, pendo lako la moyoni wapi unalipeleka aaaaaaaaaahhhhhh
@munneyjaneiro26644 жыл бұрын
2020....Hunipi mimi kwa nini?
@mohammedsaidalsulaimani246010 жыл бұрын
The old Zanzibar Taarab songs were the best Taarab Songs ever.
@cholowao81237 жыл бұрын
Mohammed Said Al Sulaimani
@directoresuleiman69355 жыл бұрын
natamani ningekuwa wa kizazi hiko! music with flavour
@MrKhatibu4 жыл бұрын
Naihurumia kizazi cha 2000s , sihaba tufaidi kidogo mashairi ya wazee wetu, Kiswahili kimepotea sana
@saidmajeba9791 Жыл бұрын
Kina hasara kabisa Na hakijui vitu vizuri,ni fujo tu na kelele
@RukiAlShatry-q2b3 ай бұрын
Liya tu habibty usione haya hizo ndizo taarab
@hajiashhur44066 жыл бұрын
hizi ndizo nyimbo za kuburudisha, hazishi ladha
@sulaiman911311 жыл бұрын
Habibty wetu huyu Asha Simai Keshatangulia lakini atuekea mauwa na nyota moyoni hawa ndo waimbaji tarab ya kweli znz.Wapi leo znzi mekufaaaaaaaa na watazidi kuidandamiza.
@swahilikids2717 жыл бұрын
Suley J Nadia ruins
@shirazyameir24036 жыл бұрын
wallah hatuna lakufanya ila ALLAH atatusaidia wazanzibar suley
@cholloriyamiy22494 жыл бұрын
Aliimba Asha simai.. Ila hio unayosikiliza imerudiwa na Faudhia Abdallah with Nadhii ikhwaan Safaa
@breakfr55492 жыл бұрын
HACHIMIA 🇰🇲 : IWAPI ILE AHADI WEWE ULIONIWEKA
@aliali-zu5jb3 ай бұрын
Hii ndio taarab ya yenye mahadhi ya Zanzibar Safi sana hii
@zeinabbreik35854 жыл бұрын
Hizi ndio nyimbo za taraab asilia zina raha hadi basi
@sakinaabdallah77136 жыл бұрын
I love zanzibar m'y lovely country
@RioIpo2 жыл бұрын
Asante Asha Simai ujumbe muruaaa
@maryamyussuf56747 жыл бұрын
umenigusa moyoni naupenda sn
@zeinabbreik35854 жыл бұрын
Ipo nyimbo inaitwa kiporo aliimba Hiba Ally naomba ututafutiye
@greatiq82345 жыл бұрын
Ni Fauziyyah Abdallah huyo. Allah amrehem. Allah amsameh!
@MrKhatibu4 жыл бұрын
Ameen
@saidhamad75044 жыл бұрын
Aamin
@sabraabdilnasir88263 жыл бұрын
Amiin
@RioIpo2 жыл бұрын
Sio Asha Simai
@robertingramu13 жыл бұрын
Hiyo basi ndiyo inaitwa taarab original(asili). Mtindo na sauti nyororo hiyo pamoja na uchapaji gita ama piano wa weza komoa mapenzi pale yalikuwa yamekwamilia. Mapenzi juu,taarab juu, kenya juu,Watu wapendane na ahadi zitimizwe.Wimbo nzuri sana.
@hassanabuchu91927 жыл бұрын
mumo mutinda ppppppppp
@selemanbakar38987 жыл бұрын
Jaazi morden taarabu ,mkuku kwa ngurue
@mayamohd33239 жыл бұрын
Masha Allah, upumzike kwa amani
@snahlicious5 жыл бұрын
iwapi ile ahadi wewe uliyoiweka umeitupa baidi hutaki kuikumbuka au wafanya kusudi nipate kuadhirika kudanganywa mwenzio nnateseka pendo lako nalitaka nipate kufurahika
@sakinaabd589810 жыл бұрын
d ont mind ahadi ni ya muungwana kuna wanosura za kibinaadamu na ilhali ni wanyama kwa hivyo mungu yupo na sote niwaja wake lakini ina bidi wajue kuwa ahadi ni kitu muhimu wanakimbia mvua wanananguka kenye mamo
@aboudousalim15667 жыл бұрын
Wimbo uliniombeya maràdhi
@allymohamed14106 жыл бұрын
Sakina ABD akhsantee
@likedatshorty5 жыл бұрын
Iwapi ile ahadi wewe uliyo iweka? Umeitupa baidi hupendi kuikumbukaa
@saidsaid94637 жыл бұрын
Sikikubwa ni pendo la moyoni safi
@hussenmilao57913 жыл бұрын
Simply is the best, long last.
@amriyyahamad394611 ай бұрын
Nice
@rahimaally64716 жыл бұрын
Hizi ndio taarab za kusikiliza unasikia rahaa
@salehmuhammad67286 жыл бұрын
mbona ndo zangu hizi tangu Pemba.
@ZubedaHamudu-bn3gc7 ай бұрын
Hunipi mm kwa nn
@jumaali64416 жыл бұрын
Sweet song
@MaxSaidTrainer3 жыл бұрын
Au wafanya kusudi
@alisaeedndosi636512 жыл бұрын
Imenikosha moyo nimesuuzika...
@amiabdallah28627 жыл бұрын
love music
@saleheshauri7827 жыл бұрын
oy
@salmanyimbonaipendamohd70026 жыл бұрын
Home sweet home
@halimajuma62343 жыл бұрын
♥️♥️♥️♥️
@rahimasalim10649 жыл бұрын
very nice song
@mashakhamiskh88804 жыл бұрын
nice song
@bas28232 жыл бұрын
VERY FEW FELLOWS HAVE TRUE LOVES! BUT MOST! HAVE FAKE N LIES LOVES! BEC. OF MONEY N THINGS ONLY! CALL IT: MONEY LOVES! NOT REAL N TRUE! LOVES!😫😔
@inshrahnassor87732 жыл бұрын
Pendo lako bado nalitaka nipate kufurahika
@khadijaramadhani2884 жыл бұрын
Itoe yako kauli
@bas28232 жыл бұрын
I LIKE THE SONG VERY MUCH, HAS GOOD MEANINGS OF TRUE LOVES OR FAKES LIES LOVES SO NEED THE ANSWERS!? OF IT!??FOR U! THE 2 LOVERS TO REPLY!👌YES! OR 😫 NOT!
@a.8566 жыл бұрын
Iwapi ile ahadi...🤔
@paulompelwa586612 жыл бұрын
Dis 4 all who lov mwambao msic
@abdyysarai32694 жыл бұрын
Mashallah
@hbbtysaid11637 жыл бұрын
Hehee sisemii
@abdullajuma43117 жыл бұрын
Hbbty Said hii .ahadi iko poa kabisa
@hassankasim822211 жыл бұрын
nice wallah
@juma64312 жыл бұрын
nice
@habibamaandiko9426 жыл бұрын
Nice song
@saleheshauri7827 жыл бұрын
shola napenda
@omarari61135 жыл бұрын
Ahh Asha Simai.. Mungu akurehemu nakumbuka ulipokua ukipita.. Mfenesi mazizi ukiimba Nyimbo hii Njiani
@saidmajeba9791 Жыл бұрын
Hivyo vyombo vikipigwa kwenye taarab asilia,moyo wabgu huhisi niko peponi Sijui ukiwa unaona live inakiaje Raha zilikuwa zamani
@rugeiyasaid89336 жыл бұрын
pendo nalitakaaa
@bas28232 жыл бұрын
YES!? OR NO!? EXCEPT IT!? OR REFUSED IT!? N THAT'S IT!!! (😔)!!! (😄)!!! AND NO! MORE FURTHER DISCUSSIONS!! N THAT'S IT!!! THAT'S IT!!!!!!!!