Asant mama ang yaan nmechek na hilo dar la njano asant
@jeromechembe22066 жыл бұрын
Utafanya makosa kudhania hivyo. Achana na maisha yake binafsi hebu mhukumu kutokana na anavyofundisha. Ubarikiwe
@elizabethmwandu98996 жыл бұрын
Mmmmmmhuu sera la ndani😀😀😀😀😀😀
@nyanzalakaporo25047 жыл бұрын
haaaaaaaa, asante sana kwa somo zuri
@hidayaluckman92946 жыл бұрын
😂😂😂dela la njanoooo
@khadijaismail6406 жыл бұрын
wanaume mh niwatu wengine hata umpe roho bado hawaridhik
@AliM-di8dz6 жыл бұрын
Ni kweli unachokisema Lkn kumbumbuka, hizo Tabia wamezaliwanazo , pia hata umpe nyama ya mkundu kz bureeeeeeeee.
@jeromechembe22066 жыл бұрын
Hapana usikate tamaa, hebu jaribu tu kuichukua elimu hii na kuijaribisha. Wengi hudhani kuwa UFUNDI wa kitandani peke yake UNATOSHA kuimarisha upendo na ni bahati mbaya Makungwi wengi hufundisha watu hivyo. Haya mambo madogomadogo yanakwaza sana HISIA za mapenzi ambazo ni za muhimu sana kwa wanandoa. Tafadhali USIKATE TAMAA
@dinademona73756 жыл бұрын
Ali M1966 hahahaha
@rufinasamwel14576 жыл бұрын
Ali M1966 😂😂😂uwiih
@lydiaaruba66706 жыл бұрын
Emeona ehh Hawatosheki hata uwabebe mgongoni...
@neemajohn17786 жыл бұрын
Nimecheka
@beatriceantapa59406 жыл бұрын
Nmeyapenda maneno hayo unayosema ya Kweli
@mamadani99806 жыл бұрын
wengine mama hatauwaenzi vipi hawaeliwi
@nasrahhakizimananana22976 жыл бұрын
Hahaha asante mama
@hawaabubakar26196 жыл бұрын
Shukran xana da ila wengine nitabiya yao ya uchafu
@silviasilivia60066 жыл бұрын
Hakuna lolote wanaume hawabebeki kama wewe umebahatika mƴshukuru mungu dada
@mgeniali17685 жыл бұрын
Wajuwa makungwi nkama biashara tuu ata hao walizwa
@mynassormynassor71206 жыл бұрын
Huwa hawana sababu akiamua lake anafanya tu.
@jeromechembe22066 жыл бұрын
Heee, Mpendwa Dada yangu. Mbona umeadimika na kuacha kutoe elimu hii? Umekatishwa tamaa na Maneno mabovu ya MASHBIKI wako? Usikate tamaa kwa kuwa siyo sisi sote tuna maneno haya mabovu. Wengi wetu TUNAKUPENDA sana na KUITHAMINI SANA Kazi yako. Tafadhali endelea kutuelimisha. Nami binafsi ningependa sana nikuone tukutane binafsi. Nifanyeje? Asante sana na nakuombea sana Mungu akupe moyo wa upendo kwetu na kuipenda huduma yako. Pia akuponye kama kuna makwazo au Hali yoyote iliyokutatisha tamaa, iwe kwa sisi Mashabiki Wako au kutokana na tatizo linginelo. Asante sana. Tafadhali niambie naweza kukuonaje.
@flexibleentertainmentcompany6 жыл бұрын
Asante sana kwa ushauri wako......mwisho wa mafundisho haya nimeweka namba zangu za simu waweza wasiliana nami moja kwa moja..... MC ZIMPOPAPOMPA (GADLYS CHIDUO) - 0715 275 628
@jeromechembe22066 жыл бұрын
Asante sana MC Gadlys Chiduo. imeipata namba yako tutawasiliana mara nikirudi tu Dar. Kwa sasa nimetembelea kwanza huku Songea. Tafadhali endelea KUCHAPA KAZI usivunjwe moyo na maneno ya sisi Watazamaji wako. Asante sana kwa kunijibu haraka hivi kwa kweli
@lilianlilly94046 жыл бұрын
Mende wewe, kikwapa wewe😂😂😂😂 kwa sikio la mkenya kiswahili hicho kinanipa kichekesho
@panchomixer68846 жыл бұрын
toka apaaa we kama ndo tabia yake haachi
@zahrahassan13516 жыл бұрын
Hehee asante mama
@fatumaahmedsalah41016 жыл бұрын
Hata umfanye vipi, mwanaume ni mwanaume tu, Hakuna mwanamke anayemwelewa, matamanio ni mengi hawezi ridhishwa na mke mmoja.
@lulucharles92256 жыл бұрын
We mwenyewe huenda huna ata uyo mume 😂😂
@flexibleentertainmentcompany6 жыл бұрын
Chukua ushauri tu lulu....mengine usiyoyajua kama ulivyosema "huenda huna" achana nayo....ni kweli alishafariki....
@fatmashaib69576 жыл бұрын
Lulu Charles na ndio maana mwenyezi mungu anewaruhusu kuoa wanawake wa 4 aliliona hilo mapemaaa kuwa hawatoshekagi na k hao
@beatriceantapa59406 жыл бұрын
Lulu Charles usiangalie udhaifuuh wake jali Hata kile anachokwambia ni thamani
@jeromechembe22066 жыл бұрын
Pole sana Dada yangu kwa kufiwa na Mume. JAMANI Watazamaji, chonde chonde MSIWASULUBU hawa wanaojitoa kuielimisha jamii kwa Maswali yenye KUWAUMIZA. Ni KWA NINI MNAFANYA HIVI HASA? Kwani mmelazimishwa kusikiliza? Ifikie mahali jamani tujue matumizi MAZURI ya hii mitandao isikusudiwe kuvurumishiana MATUSI tu au MUUMIZANA mioyo. POLE SANA DADA YANGU MPENDWA NA MUNGU ATAKULIPA IJARA KWA HII KAZI YAKO NJEMA. Limenigusa na KUNIHUZUNISHA SANA hili jibu lako la UPOLE. Naona ni kama nimekuuliza mimi swali hili lisilo na maana. Pole sana Dada. 0655879964
@earherkiteyu26656 жыл бұрын
Hahahaaa huhuu
@benamabala72346 жыл бұрын
tenaaaaaa asante kungwi
@akystr17775 жыл бұрын
😂😂😂😂😂et ukwaju
@farajachengula92275 жыл бұрын
Napnd San Mahusiaaa yako
@rosemarysam15266 жыл бұрын
yan sikuelewi hata kidogo hatauwe msafi vip huwez kumzibit mwanaume
@devothamasanyiwa36606 жыл бұрын
asante dada
@ramadhananalola37616 жыл бұрын
Hawapendeki hao
@lailajeremia46506 жыл бұрын
huyo ni kwasababu ni mwizi ndo maana anajipara
@sharonsaleh12256 жыл бұрын
😂😂😂😂pambeeeee
@djtinymrbakola81926 жыл бұрын
sio kwa wanaume wa kibongo ata umpe matako haridhiki
@flexibleentertainmentcompany5 жыл бұрын
Fuatilia hizi siri kumi zote,zitakusaidia
@بدرالشمري-و3خ6 жыл бұрын
Nipenda sana ushauri wako
@fatumamatemu66516 жыл бұрын
بدر الشمري hahahahaha
@nyukibbychiyabby72936 жыл бұрын
Asntee
@janetytimitheo16166 жыл бұрын
Hahahaha mamy dera lanjano mamy wape wapo sana hao
@mgeniali17685 жыл бұрын
Sisi wanawake kikubwa dua wasituletee maradhi basi hilo ndio muimu lakini mengine rong number
@najmagudeh2035 жыл бұрын
Mgeni Ali.kbsa ddaangu
@asminajamhuri72426 жыл бұрын
Mume hata umuweke vp kama ana tamaa atachepuka tu kwani hiyo tabia wamezaliwa nazo
@flexibleentertainmentcompany6 жыл бұрын
Hapana...ukiweza kufanya yote haya ambayo kungwi ameyafundisha,hawezi kuchepuka.......akichepuka basi ujue huyo atakuwa ni mgonjwa tena......sikiliza siri zote kumi,kisha utaelewa kwa nini tunasema hawezi kuchepuka...
@fatmashaib69576 жыл бұрын
Asikuambie mtu wanaume wameumbwa hawatsheki kabisaa na mwanamke mmoja hata umfanyie nini kizuri kuwa msafi panua sana katikaa wee mpaka kiuno kinauma ila kuchepuka lazima kisha atakuambia shetani kanipitia
@jeromechembe22066 жыл бұрын
Haya ndiyo makosa ya kimawazo ya wanawake wengi wa Kiafrika. Huidharau elimu na kujikatia tu tamaa. Kumbe Mungu huwatumia watu kama ninyi ili KUWAPONYA wasioelewa kinacholeta matatizo kwenye ndoa zao. Ngoja nijaribu kumuelimisha dada yangu
@jeromechembe22066 жыл бұрын
Dada Fatma Shaib. Usijikatie tamaa kihivyo. Jitahidi KUSIKILIZA na KUYATENDA haya anayofundisha huyu Dada yetu yanaweza kuwa MSAADA sana kwako. Natumaini HUJACHELEWA kuyafanyia kazi ingawa yawezekana ukawa mmefika mbali sana kimwenendo lakini Mungu aweza kuibadilisha hali na mambo yakawa safi. Hebu na TUJIFUNZE KUIKAMATA ELIMU tumapokuwa tunapewa. Asante sana na POLE sana kwa kukata kwako tamaa. Wanaume ni kweli TUNABADILIKA kabisa tunapoyaona mabadiliko kwa wake zetu. Usikate tamaa tafadhali
@meshackmasanja21936 жыл бұрын
Tabia Haina dawa mwanaume Kama mchepukaji hata umjali vp haachi
Gloria Christian Shirima ume on a he woiiiiiiiiii aende zake.......
@mgeniali17685 жыл бұрын
😂😂
@happympilipili65636 жыл бұрын
mwimgine Dada hatoi hata hiyo hela utafanyaje
@raziahassan90096 жыл бұрын
Hilo dela LA njano
@jeromechembe22066 жыл бұрын
Umeomba wakati mbaya au hana. 666Ukosefu wa hekima kwenye Mapenzi un athari nyingi na husababisha hata UFUKARA
@pilimashausi9305 жыл бұрын
mapaka mapepe haya ukimpa mkundu akitoka atachepuka tena na mwanamke wa ovyo na mke ni mrembo kiuno unamkatia mpaka anasaza lkn simu hazibanduki wakiwa na pesa wanawashwa sana
@flexibleentertainmentcompany5 жыл бұрын
Ukifwatilia hizi siri nilizokupa hutoona achepuke tena,fuata siri hizi na kuwa mvumilivu tu atabadirika,usitake kushindana nae
@gracejonathan62586 жыл бұрын
Wewe Dada usitudanganye hayo yote tunayafanya sana mwanaume bwana hata kama unampa VP kuchepuka ni tabia zao tu wahabebeki hao
@tumajuma69176 жыл бұрын
Shukran
@suzanafabian66596 жыл бұрын
sio kwa wanaume tanzania
@jeromechembe22066 жыл бұрын
Usikate tamaa. Wanaume wa Tanzania tu wzuri sana tatizo kulikosekana tu elimu ya KUTU-HANDLE. Hebu ifanyie kazi elimu hii pasi kukata tamaa uone itakuwaje
@husnamlela17436 жыл бұрын
Hahahahaha asante sana kwa somo la Leo Dada daah nazidi kujifunza kitu aisee
@lydiaaruba66706 жыл бұрын
Wengine hawapendeki hata uoge mara tano kwa siku mwaname ni yule yule bana!!
@lydialoth68236 жыл бұрын
😆😆
@jescajulius80236 жыл бұрын
wanaume kuchepuka ni asili yao hata ufanyeje
@jeromechembe22066 жыл бұрын
Lakini kwa mafundisho kama haya ukiyatendea kazi inaweza KUPUNGUZA sana tabia hiyo. Usijikatie tamaa
@omaryshamte21836 жыл бұрын
kuchepuka wamezaliwa nayo
@neemantui91546 жыл бұрын
mi kuhus mwanaume ata sipew ushaur maana wanaume hata umbebe usik kucha haelew
@zuurizy28386 жыл бұрын
umeona eeeeeeee
@jescajulius80236 жыл бұрын
Neema ntui 😀😀😀😀😀hao huwa hawaridhiki
@jeromechembe22066 жыл бұрын
Hapana usikate tamaa, hebu jaribu tu kuichukua elimu hii na kuijaribisha. Wengi hudhani kuwa UFUNDI wa kitandani peke yake UNATOSHA kuimarisha upendo na ni bahati mbaya Makungwi wengi hufundisha watu hivyo. Haya mambo madogomadogo yanakwaza sana HISIA za mapenzi ambazo ni za muhimu sana kwa wanandoa. Tafadhali USIKATE TAMAA Dada Neema
@jeromechembe22066 жыл бұрын
Hapana. Wanaume hubadilika wewe kajaribu tu kuitendea kazi semina hii
@jeromechembe22066 жыл бұрын
Usikate tamaa tafadhali. Kajaribu tu kuyatendea kazi maneno haya utaona mabadiliko kwa Mwanaume wako. Kumbuka kuwa A6NAKUPENDA sana ndiyo maana LIKUCHAGUA wewe Beautiful Queen wake aliyewashinda wote aliyewaona kabla yako. Hebu amini tu na Mungu atakusaidia. Asante
@jimmyelias60776 жыл бұрын
mmmh, usiseme ivyo mwanaume hta umpe nn kaz buleee
@janethlengeju38206 жыл бұрын
ni kweli kabisa uchafu unachangia.
@jamilasaidmohamed43346 жыл бұрын
cku iz bora utulie tu fanya muhim kwa mumeo ucendekeze mapenzi wanaume hawawwzeki mhm tuwafanyie yanayostak bc
@lucysamwel26466 жыл бұрын
Jimmy Elias mmmmmmmmh misikubali na huyu kungwi wanaume wote ni wa babaa mmoja
@sarawaziri40926 жыл бұрын
Labda awe ameokoka ile kitimilifu,hivi hivi utalia na mwewe
@alikhamis20135 жыл бұрын
Hahahaaa tupo
@neemanivako57396 жыл бұрын
hakuna chochote wanaume hawabebeki
@naomivales32666 жыл бұрын
sante my
@lizybabyjohn24306 жыл бұрын
Sasa we mwanaume uko mbali naye miaka 3 anaitwaje kuchepuka kwa mfano mwanaume hata umpe nini kuchepuka lazima acha kutudanganyaa
@jeromechembe22066 жыл бұрын
Nakushauri tu kwamba USIIDHARAU elimu nzuri kama hii. Yawezekana UMEKATA TU TAMAA lakini hebu yatendee kazi mafundisho haya uone itakuwaje. Asante sana
@jacksonjoseph8666 жыл бұрын
Lizybaby John
@salmamohamed17696 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@khadijababumatano85626 жыл бұрын
Hahaha santhaaa
@sharkkid50276 жыл бұрын
Huoniuongo lamdawakokatuliaunampa nyuma
@selemanijuma58746 жыл бұрын
Waambie hao ambao
@fatimaabdalaabdala28856 жыл бұрын
dadá mwanaume apendeki atá upe nini lamda katulia wako na sio wote