Our mission is to bring people together,entertain and educate people that's why we create content that does exactly that
Пікірлер: 120
@blackliberty3997Ай бұрын
Tanzania has some legendary knowledge sema tu wanaowahoji hawa malegend ni vitangazaji vya kishoga havitaki hata kumsikiza kinaemhoji...One love from Kenya.
@Brunotarimo10Ай бұрын
Dudu baya anaongea ukweli big Up konk konk konk one love. From Gikombaa Nairobi Kenya msaliwa wa Usseri Rombo kilimanjaro
@SamiaHussein-t5m4 күн бұрын
Good interview 👍
@MaryFwereАй бұрын
Huyu kaka mkimsikiliza anaongea vitu vya maana sana na pia anaongea ukweli mtupu na Siri nyingi za mastaa msikilizeni sana
@Shamaoumichel15 күн бұрын
Nakupenda kaka yangu dudu baya❤❤❤unaongeya kweli
@zulekhasaeed604628 күн бұрын
Nakupogeza dudu baya❤
@TundaEmanuel-ns8kj16 күн бұрын
Wanasafish wadudu😢😢Ila dudu baya 😆😆😆
@TALLUBOY10 күн бұрын
leo nimejifunza kaka dudubaya mgen hakifika nyumban ni bora halale seblen hakijiskia hali mbaya hale ubwa bwa
@AmadiKitwana27 күн бұрын
Upo sawa dudu
@salmameshack4502Ай бұрын
Mtangazaji hovyo kbs hajui kuuliza maneno mengi
@PendoMarco-x3uАй бұрын
Mungu atusaidie sana
@bensonmwananchi7701Ай бұрын
Mtangazaji bado sana.yaan hapo mtangazaj ndo kama anahojiwa...andaa maswali usiunge swal kwenye jibu la muhojiwa
@angelanaftael7965Ай бұрын
Mtangazaji sio professionals
@dn.n4983Ай бұрын
Rais mpe waziri Dudu baya huko vizuri kwa kweli
@MichaelKavavilaАй бұрын
Dudubaya.....chana nywele na udevu.....kuwa kielezo ktk mavazi na semi
@SuzanaSuzanamwangingo-uu4ctАй бұрын
Point
@muzafarsharif9465Ай бұрын
Mtanqazaji ka vile shoga pia
@beatricejohn1659Ай бұрын
Lawama kubwa watupiwe wanaume wengi wanaowaharibu watoto wa watu kuwalawiti mpk wanakuwa mashoga..Wangenyongwa wafe ushoga ungeisha.Mtu awezi kuwa shoga bila hao wanaume mbwa.
@salehkhalfan734529 күн бұрын
Nakubaliana naww kw kweli...mm kiukweli kuna wakt nawachukia zaid Mabasha kuliko hayo mashoga
@SabanaSipemba-v8jАй бұрын
Mtangazaji nahisi unatatizo na ww inabidi ukasafishwe maana sio bure
@EMILIANMNGONGO29 күн бұрын
Interview ya Dudu baba au ya mtangazaji😂😂😂??
@Aziz-p6sАй бұрын
Calfornia moto unawaka vibaya
@dn.n4983Ай бұрын
Hata mimi ningewamaliza wote sio tabia nzuri kabisa
@LiberatusRaphael-be8hiАй бұрын
Rudi shule mtangazaji ujui kumuhoji mtu kbsa mnabishana sanaaa unazngua sanaaaa
@jackmabirangacharles9398Ай бұрын
Dudu Baya Kila kila kitu anajua sijui Mambo ya Zuchu anajua Mambo ya Diamond Anajuwa yaani sasa hajui kupiga Mziki Kawa mchambuzi wa Maisha ya watu
@greydonalds4286Ай бұрын
Ameshakuwa Msemaji wa Taifa😂 Akili inamruka huyu, alipiga hela sana enzi zake... sasa hivi hana kitu akili inaruka. Huoni hata mwonekano wake anazidi kuonekana kama kichaa kamili kadri siku zinavyozidi kwenda?
@bcozhenry2698Ай бұрын
Dunia hii uwe na akili tu utajua mengi, Sasa ukiwa kilaza na ubongo umo kwenye fuvu kama kiporo tu uwashangaa tu wenye ubongo wenye akili
@Aziz-p6sАй бұрын
Unataka akuchsmbue
@shadyahamad3724Ай бұрын
Umeonaa kaka kama mange kimambi kila kitu anajuwa yeye 🙄
@getajo115328 күн бұрын
Ukiwa na akili ya Panzi huwezi kumwelewa..
@SonitajoseDonita-tm5exАй бұрын
Mtangazaji jifunze kuuliza Na kuacha mdau akimwaga nondo
@fbtrades_001Ай бұрын
kwa sababu yanaroga😂😂🙌
@MapigoTV-tzАй бұрын
Jamani ivi uyu mtangazaji bado tu anafanya interview na Dudu baya?? Ni ovyo sana kama umeisoma gonga like 👍
@zamberimturi5593Ай бұрын
Wewe utakuw ni shoga kama unachukua interview kma hzi za ddu baya
@madaiincubationcenter4947Ай бұрын
@@zamberimturi5593tunajua vichaa wengi huku mtandaoni Sasa anachopinga ni kitu gani km sio kweli yeye mwenyewe shoga huyu, Dudu Baya anapendwa na media kwa kutoa ukweli
@madaiincubationcenter4947Ай бұрын
Upeo wako uneshaathirika huelewi Baya Wala jema Bora usiwe unatoka maoni ukizania uko sahihi kumbe jamii inakutambua kuwa ww ni akina agrey wanaoendelea kusukumwa
@SeifYusuf-jf7bnАй бұрын
Acha Dharau Wewe Mbona Dudu Anaongea Point tu Ni Wewe Tu Hujamuelewa Labda.
@MapigoTV-tzАй бұрын
@ si maanishi Dudu Baya I mean mtangazaji wa habari ni ovyo sana
@simbawateranga7020Ай бұрын
DUDU B AMEKONDA AMEBAKI KICHWA TU
@anoldamkumba3208Ай бұрын
Huyo mtangazaji inaonekana huu mchezo anaupenda.Kwanini muendelee habari za Agrey ?! Hebu mwacheni amemrudia Mungu.Utajisikiaje ukisambazwa uchafu wako uliopita??? Agrey endelea kuvumilia wakunenayo.Simamia dhamira yako.
@petrolconrad4250Ай бұрын
Ashakula safari zake
@TaucyMasuod-md8tv21 күн бұрын
mtangazaji nimemuelewa nadakia dakia ili dudu baya asikaribu yaani matusi.
@MariamMohamed-bw8xf29 күн бұрын
Mungu wangu 😢😢😢😢
@NuruMfaumeАй бұрын
Mtangazaji unaongea sana kuliko mhojiwa!
@MrishoMussa-h6eАй бұрын
Dudu baya nyoa nywele
@gfydfdf886929 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@athanasmasmami53899 күн бұрын
😂😂😂😂nywele zake kama kichaa yan ana kabisa personal hygiene 🤣
@petermanonga2467Ай бұрын
Konki konki master
@noahmwaipopo9142Ай бұрын
Tatizo la Aggrey ni tatizo la kipepo halina tofauti na tatizo la ulevi wa kupindukia hivyo hata huyo Dudu anapaswa kuombewa asimseme mwenzake wakati hata yeye ana tatizo lake kubwa
@alexandrucarmen3185Ай бұрын
Bora pombe kuliko iyo laana😮
@priscakanjanja525624 күн бұрын
Naomba nikujibu dudu baya haywire pombe what sigara mimi ni shahidi wa hilo
@coolson2925Ай бұрын
we mtangazaji ,,jirekebishe unaongea sana kuliko unaemuhoji unaharibu sana ,unadakia dakia sana na kuingilia mazungumzo....be proffesional
@Mina.15Ай бұрын
😂😂😂😂
@priscakanjanja525624 күн бұрын
Dudu baya akili kubwa Mama yetu samia mfikirie kijana wako yuko vizuri sana
@TundaEmanuel-ns8kj16 күн бұрын
Dudu bay nawe nyoa Hayo manywele mbona umli Bado unanondo kali 😮
@Farhat-e5g25 күн бұрын
Nilana tu wameshalania jmni tumuogope mungu
@youngboy6462Ай бұрын
Aslay 😂
@buzanation1040Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣et wanapumua km nn🙌🏻🙌🏻Dudu zuri
@kristinatanashАй бұрын
Alivyochakaa kama katoka shimoni
@matridamwalyoyo1735Ай бұрын
Kabisa
@Bilioneabichwa33129 күн бұрын
Hiyo minywele mbona hatar sana
@LatifaIddy-lk5ek28 күн бұрын
😂🤣🤣eti asley
@OmanOman-bx5duАй бұрын
Mbon kk unyoi izo nywere
@pascalinamwalley392429 күн бұрын
Cha msingi anaongea pointi muonekane tumuachie Mwenyewe
@ModextaModexta-on7mi24 күн бұрын
😢😢
@NAMANGABOE24 күн бұрын
Dudu ndio inafanya awa jamaa wanakuwa mashoga na Bado mnamuoji dudu
@EsterJames-x4s14 күн бұрын
Kivipi??tueleweshe, mi naona yuko sawa
@LidyaSilaa25 күн бұрын
Dudubaya gombea hata ubunge una akili sana ww kaka watu hawajui tu😊
@jitulakaleboymastr647728 күн бұрын
Dudu baya anaongea kweli ila sema ana busar nizee la ovo 😅😅😅
@WilliamaSamsonАй бұрын
Ujumbe umefika konk 3
@Reginajohnson-198814 күн бұрын
Akuna wadudu watutu ile ni roho ya Giza inayosababisha mwanaume awe msenge au mwanamke awe masagaji! Ndio mana Anatakiwa kuongeza sana Gray anaitaji maombi sana yule bado sanaaa kubadilika ataongelea mambo ya Kiroho ila kubadilika bado mpaka ile Roho itolewe na kutoka Hilo pepo Anatakiwa mtumishi alioshiba sio uko anapokwenda
@amlikejames646Ай бұрын
Majina yanaumba jmn dudu baya Kawa mdudu kweli 😂😂
@genesisonlinetvАй бұрын
😂😂😂😂😂
@NikrahAyubu29 күн бұрын
😂😂😂😂
@vickieeddie223024 күн бұрын
Yaani wasukuma hawawezi tumia tafsida kabisaa😅😅
@GSengo27 күн бұрын
ndugu - Mtangazaji unahojiwa wewe au wewe unahoji, kaa kimya tumsikilize mwenye hoja.
@TzCongoАй бұрын
😂nakanjani 😢
@Aziz-p6sАй бұрын
Nasoma comment za mashoga humu ni matusi tu😂
@AwardHakimuАй бұрын
Wamechukia inaonekana ni wengi sana
@maryamsuleiman634024 күн бұрын
Nikweli waliofanyiwa haya ndio chanzo chakuathirika bila kutaka kwahawa tunaowaona mitaani ,nayanaanza majumbani mwetu kweli ,nakuwachanganya wtt wakubwa nawadogo nimtihani pia ,nawaliozoea nilazima wataendelea kuharibu wenginetu
@afropanorama4730Ай бұрын
media pia zinachangia kuwafanya mashoga wajione wana nafasi kwenye jamii wakati ni mizigo isiyo na faida
@Kuminamoja1995Ай бұрын
Shoga ni shoga ila muandishi unazingua acha konki azugumze kwanza
@Peterchila-un2lxАй бұрын
Daresalam Kuna nuka vinyesiii vya mashoga
@paschalsafari9747Ай бұрын
Duuuh😂
@Peterchila-un2lxАй бұрын
@paschalsafari9747 unaguna Nini kenge wewe au nawewe kinyesi chako na mavi yako yananuka
@Moses-g8g28 күн бұрын
Akikonda we inakuhusu nn acha ukuda
@matridamwalyoyo1735Ай бұрын
Mbn dudu anazeeka vibaya
@BobErick-er6qmАй бұрын
Ni maradhi kua mwelewa.
@Catherine-mh8swАй бұрын
@@BobErick-er6qmanaumwa nini
@elsiekendi1792Ай бұрын
N msick
@Aziz-p6sАй бұрын
Kwani yeye ni raisi mstaafu
@paschalsafari9747Ай бұрын
Duuuuh 😂😂😂😂
@angellamwanri841429 күн бұрын
Upo dar hujui kuna Waziri WA mambo ya jamii... pumbavu
@mussakimaro5588Ай бұрын
We mtangazi uliza ujibiwe utulize mshono unaongea ongea ovyo hlf uliza maswali ya msingi
@ernestsinje970029 күн бұрын
Hizo nywele Dudubaya????
@newgarden8036Ай бұрын
Mnamshambulia bure mtangazsji.
@mwalimulee249324 күн бұрын
Uliza halafu mpe Muda..sasa hiki kitangazaji kinaongea yeye tu
@beatricejohn1659Ай бұрын
Dudu baya anaongea ukweli kabisa.Wasiomzelewa huenda ndio hufanya hivyo.
@linogracephord9785Ай бұрын
Msukuma chana nywele!
@bahatishabani139228 күн бұрын
😂😂😂😂😂kalale na ubwabwa uliobaki😂😂
@rahabnkya8276Ай бұрын
Tandika jikoni, ulale na panya, na sio chumbani kwa watoto😊😊😊😊, michezo miiingi ya kuiga eti wazazi daaa. 😊 Nabii lutu Na mduara! Dar kinyesi sinzya eti, ni mitaro jamani, DUDUBAYA ni msanii haswaaa.😅
@Aziz-p6sАй бұрын
Aglei ndo nani
@hamisially-c4x28 күн бұрын
Mtangazaji hajujuy dudubaya nimtu mkubwa kwaiyo kumhoji dudubaya UNATAKIWA uwe naakili kubwa Sasa apo mtu wa darasa lasaba anamhoji mtu wa chuo kikuu mwandishi hewa
@SaraSara-i1lАй бұрын
Mtangazaji bure
@BrunooMwnantela29 күн бұрын
Nyoa nywele kaka yaan zimekaa kama kichaka 😂😂
@ZaituniYasini-e2gАй бұрын
Konki mbona uchani nywele
@magesawambura304129 күн бұрын
Huyo dudubaya ni nani? Kila kitu anahojiwa yeye acheni ungese ninyi wanahabari qmme.
@alienjohn284429 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 et sinza inanuka mavi
@JoalAlma-ci1hi29 күн бұрын
WATU WENHI WANAWEZA KUWA AWAMUELEW DUDUBAYA LAKIN SELIKALI IIMPE KITENGO CHCHTE KWENYE SECTA YA MAMBO YA JINSIA MAAN UYU JAMAA TANZANAI NIMOJA KATI YA WATU WANAUPINGA NA KUUCHUKIA USHOGA
Dudu baya amechakaa sana. Sijui tatizo ni nini? Amekonda sana na nuru ya uso imepotea kbs. Bro! Ni nini shida?🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️
@agnettakamugisha498427 күн бұрын
Wabongo mnajitaji elimu kali. Mnaongea uhongo. Once gay, always gay. Msidanganyane hapa. Watu wanazaliwa hivyo.
@Allyhujjat29 күн бұрын
Ujinga mtupu uyu mtangazaji na uyu anaehojiwa woote ni wa ovyo sana prof kabudi na mwana Fa fanyenui maamuzi ya kuzibiti watu kama hawa wanapotosha jamii
@JacksonKivuyo-b1vАй бұрын
Hivi mnasema achane nywele ni staily yake kaamuwa hivyo🤔