Amina Mchungaji somo la leo limenibariki napokea kufunguliwa kwa rahana hii ukooo😢😢😢
@michelinaakope76110 ай бұрын
Amen naamini njiwe la kwangu leo limefingirishwa.
@FabianoSelemani10 ай бұрын
Amina pastor
@gladysnyaboke648110 ай бұрын
Amen.
@mildredwanyonyi10 ай бұрын
Amen 🙏 pastor mm natoka Nairobi niombee nimelost watoto wangu wawili mmoja alitoka nyumbani mwezi wa 9 mwingine mwezi December ni wanafunzi Abigael na Alex please pastor waweke kwa maombi mungu awarudishe waendelee na masomo hao ndio watoto wakwanza
@LISPHERMORAA-g2b10 ай бұрын
Pastor hakika nimeguswa na mahuburi yako,kama Mimi mwenyewe ziko vema kwetu penye nilizaliwa Kuna shida kubwa upande wa mama ,na Kuna nyumba mama alikuwa anajengewa imekwama Kwa muda wa miaka mitatu.Naomba pastor uweke family yetuKwa moambi,natoka Kenya sehemu inaitwa nyamira county.