Mashaallah Sheikh Allah Akupe afya njema uzidi kutuelimisha nakutufurahisha,Aswaliwi WALID. hapa,Tumswalie MTUMI SWALALLAHU ALAYHI WASALLAM
@salmsalmo931 Жыл бұрын
Mashallah kwa mawaidha mazuri
@RAMLAFARHAN-p9e11 күн бұрын
Allah akuongezee hekima, busara, elimu, fahamu ,kheri , baraka, subira, nuru, imani na amani
@tumajunior60804 жыл бұрын
Jazzakallah khairan Allah akulipe kheri hapa duniani na akhera inshaallah mm pia wanifundisha mengi nikiwa mbali nawe shukran 🤲🤲🤲
@MuhdharMuhammad-qv3zl Жыл бұрын
Shukran sana sheikh Wetu Allah akupe umri mrefu na Maisha mazuri hapa duniani na Kesho akhera ALLAH Akuingize peponi kabla hujafa
@joharindaro30753 жыл бұрын
Asante shekh mwenyezi mungu akupe neema zaidi ya ukiyokuwa nao unanipa nguvu na ramadhani hii kwamawaidha yako
@aviwimanguro48023 жыл бұрын
Wallah naapa nampenda huyu sheikh allah amuhifadhi tukutane jannah sote
@husseinomarnasserrizgallah7589 Жыл бұрын
Ameen thuma ameen
@IbrahimKaranja-qu9yn Жыл бұрын
Amiina
@ismailally4779 Жыл бұрын
Amini
@muddymuzungu4357 Жыл бұрын
Maa Shaa Allah
@MaxamadMaxamad-ii8es7 ай бұрын
Insha Allah
@LatifahSuleiman-r4l11 ай бұрын
Mash Allah sheikh nakupenda kwa ajili ya allah
@uthmanihimbawe52444 жыл бұрын
Allahumma swalli a'laa muhammad
@maulidmlette19533 жыл бұрын
Mashaallah Allah akulipe kheri Duniani na Akhera kutokamana na Ukumbusho. Sh. Walid
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
Shukran sana Shekhe
@nurudinehamimu56584 жыл бұрын
Mashallah Ali Habibi shekhe wangu walid Alla akuripe kiralakheri akujaze ilim zaidi.
@RukiaJahaJaha Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu amlipe fadhila za ke
@ffed1876 Жыл бұрын
MaashaAllah Mola awazidishie kheri na ilmu muzidi kutuzindua ya kheri tuyafate na mabaya kuyaepuka Aamin.
@muddymuzungu4357 Жыл бұрын
Maa Shaa Allah Alhamdulillah Yaa Rabbi🙏🙏🙏🙏 Hii ni zawadi kubwa
@nuruabdullah78143 жыл бұрын
Shukraan sheikh Allah akupe kila la kheri kwa darsa zako nimepata faida nyingi nilokuwa siyajui alhamdulillah napenda sana kuzisikiliza
@columbusdoo5934 жыл бұрын
MashaaAllah TabarakaAllah. Mwenyezi Mungu akupe umri, afya njema uzidi kunufaika wewe ili utunufaishe nasisi. Ameen Ameen Ameen
@omaryswaga91632 жыл бұрын
Alhamndulillah! Maashallah
@MuhdharMuhammad-qv3zl Жыл бұрын
Shukran sana Allah akupe umri mrefu na Maisha mazuri hapa duniani na Kesho akhera
@hyasintajoseph25893 жыл бұрын
Allah akutunze shekh naingalia hii clip kwa mara ya tatu sasa na siichoki darsa zako
@abdullahsaleh92482 жыл бұрын
shukran kwa. ukumbusho Shee lugha Kama nipo ngamian Tanga mashallah
@Malkiawanyuki19 ай бұрын
Alhamdulilah
@AishaismailHalima Жыл бұрын
Shukran Allah akulipe kheiri
@aishaabdullah2334 жыл бұрын
Subhanallah wallah sheikh hapo umesema ukweli wengi wetu tumekua maelfishness na km ww umekua nzuri bas shaytan anatupoteza kwa kusema mbona yy hakupi unampa yy tu subhanallah , Allah tuongeze waja wako na utujaze Iman ndani ya nafsi zetu amiin
@mohdzubeir62274 жыл бұрын
Wewe ndo mrithi khasa wa sheikh Muhammad ayyub mashaallah
Mashaallah Mwenyezi Mungu akujalie mema Inshaallah.
@bentybenty23432 жыл бұрын
Masha ALLAH Tabarakallah
@ZainabIssa-u3i Жыл бұрын
Ajabu ajabu ya mola wetu hana baba hana mama hakuzaa ,hakuzaa wala hakuzaliwa ndio yeye peke ake Hana mfano wa kitu wala kufana na mtu ameumbaa mbigu saba mola na ardhi akaitanda ameotesha na mitii akaumba uhai na umauti ndio yeye peke ake . Subhanallah wallah
@maulidihasani3466 Жыл бұрын
Mungu akuhifadhi
@ibrahimsleiman44554 жыл бұрын
Shukran Kwa Ukumbusho
@salmamaliki-4845 Жыл бұрын
Sheikh allaah akulipe tunafaidika
@vich2mussa9973 жыл бұрын
Mungu amlinde shekh laki hawa wanao comet upuuzi unajuwa maana eebwanaAeee
@fatumahamis92064 жыл бұрын
Sheikh Walid lahu kheir
@FatmaSaidi-ix5fx4 ай бұрын
Asalamu alaykum shekhe kwakweli nina shukuru sana kutokana nahizi sura zinanipa amani Allah akuzidishie mema mazuri
@athumansaid796 Жыл бұрын
Mashallhaaa sheghe wangu nakupenda saana nipo mkoani ila nakuja dar kwaajili ya kuja kusali msikitin kwako ishaallhaaa
@salhalutalo Жыл бұрын
Ukimjua mungu hakwachi .kweli kabosa usemayo shkhe
@calicabqaricalicabqari65984 жыл бұрын
جزآك ألله خير شيخ وليد الهادي
@millenniumoiltanzanialimit1265 Жыл бұрын
Alhamdulillah
@victorcheruiyotkirui-ny8lc Жыл бұрын
Mashallah Sheikh jana nimekua hapa madina nimeswali hapo gaba
@anisacabdi65794 жыл бұрын
MASHAALAH
@sifawandi3 жыл бұрын
Al hamd llah
@asiasa42593 жыл бұрын
Sheikh walidi umenikosha sana kusikia wasandawe
@itsTubwa Жыл бұрын
Mashallah.Thanks Sheikh
@abdallahncabukoroka3202 Жыл бұрын
Daar nampenda huyu sheikh kwajiri ya Allah
@misbahukhalifa32163 жыл бұрын
جزاكم الله خيرا وبارك الله فيكم الأستاذ الحبيب وليد
@zubeda-le4xr3 жыл бұрын
Mashall mashall mashall mashall
@mwanaashambogo351 Жыл бұрын
Jazzaqalaah llikhair,,shekh mwenyez mungu akuhifadhi
@mrishoharuna13114 жыл бұрын
Naomba yeyote anifahamishe mda gani jumanne sheikh huwa anaanza darsa
@DarsaTV.4 жыл бұрын
Baada ya alasiri
@omyguy30664 жыл бұрын
Jumanne pekee au kila siku?
@DarsaTV.4 жыл бұрын
@@omyguy3066 jUMAANE SHEKHE
@mohdzubeir62274 жыл бұрын
Mimi naona sheikh
@FatmaSaidi-ix5fx4 ай бұрын
Hillo unalosema hapo hakuna anae wezakumsaidia mwenzie mwenyezi mungu atufanyie wepesi tuweze kushikamana
@tumajunior60804 жыл бұрын
Ustadh Walid naomba uniombee dua tumbo langu lanisumbua lajaa gesi ladunga mimba sipati haja kubwa plz nasaidie kwa dua
@hassanfarouq9224 жыл бұрын
Kuna mtu instgram anaitwa @hashlongalonga nenda mfate
@buizo403 жыл бұрын
waidha sa alaka ibadi anni fa inni qarib ujibu da-wata ddai idha daani
@hassanseleman18063 жыл бұрын
SAwa
@tatuaamuuinyi96333 ай бұрын
Ahahaha.ngoja niache tabia ya kulalamika😮😮
@omyguy30664 жыл бұрын
Shekhe mkubwa kama walid na darsa zake zilivyo moto, kisha ummati uliokaa kumskiza haufiki hata watu arobaini? Watanzania muna mchezo sana. Yaa rabbi mjaalie shekhe huyu sheikh walid ahamie mombasa kenya.
@abdallahismael39934 жыл бұрын
Hujaaaa ila kwa kipindi hiki
@bundalahamza89023 жыл бұрын
ALLAH ambariki
@abubakarmustwafa86622 жыл бұрын
Hata Mtume Muhammad Swallalahu Aleyh Wasalam,sio wote walimtambua na kumfuata,Mungu atuhifadhi na kutujaalia Tawfiq ya kheri hizi
@Rama_Mwaguya-254.2 жыл бұрын
Amin, tumlete kwa ndege nitampokea airport hapa Changamwe nikimsubiri kwa gari.
@thedriver.michael.3975 Жыл бұрын
Shehe jiangalie usije ukaitwa barzanji kwa unavyoikosoa iyo lugha ya hakuzaa wala hauzaliwa wateambia kitabu kikubwa kimeshindwa kusema hakuzawa jiangalie waliotafsri ni wabobezi wa lugha pia kama barzanji 😮😮😮munaqasha
@MesalimRashid Жыл бұрын
Mm naipenda walfajir sana nayo faida yake nn???????
@marashimujtaba13 жыл бұрын
Kwanini huyu Sheikh hamtaji nani Imamu aliyokuwa anasalisha hio msikiti wa Quba na kusoma hio sura ya Qoul huwa Allah . Alikuwa Imam Ali (a.s) Ibn Abi Talib . Na sababu aliyekuwa aksoma Sura hio Bwana Mtume alipopepewa malalamiko akasema kuwa ingekuwa kuna sura bora zaidi ya hio basi angeisoma. Hizo zote mbinu zinazofanyia inatokana na hawa Masheikh hawataki kuitukuza jia la Imam Ali (a.s) .lakini angekuwa sahaba mwengine angemtaja kama aliyomtaja baada ya hadithi ilifwata aliyekuwa akiinsimbuliwa. Peope inatokana kupenda Nyumba ya Bwana Mtume . Na Imam Ali (a.s) ni mmoja katika hao Ahulubayt . .
@ismailally31703 жыл бұрын
Njoo umtaje ww
@عليجبار-ن3ي3 жыл бұрын
Tuwapongeze mashekh wetu kwa kazi nzuri wanayofanya,sio kuwaponda nasababu zisizosingi
@ismailally31703 жыл бұрын
Ww unaonekana unakibri njoo umtaje ww
@ala1608 Жыл бұрын
Wew ni mushia
@allyshaban5444 Жыл бұрын
wakati mwingine nawaza sipati majibu kwani SAYYDNA ALLYY QARAMATLAHWAJHA ana tatizo gani na kwann hawataki kumtaja?
@mohdzubeir62274 жыл бұрын
Llll
@achanifumos10933 жыл бұрын
Darsa nzuri illa namuomba huyu shaikh wangu atengeneze lugha kwa anapomtaja Mtume..yaani awache kusema EE BWANA EE..bali aseme maswahaba wakiamiliana na Mtume wanamuita YAA RASULALLAH...sio ee bwana ee....##SIJUI ANANIELEWA?????