Tap to unmute

SIRI za ndoa za SIRI

  Рет қаралды 12,820

Kalamutz

Kalamutz

Күн бұрын

Пікірлер: 21
@MariamuSalum-bb9ov
@MariamuSalum-bb9ov 3 ай бұрын
Kazzz kazzz anayeogopwa ni mungu tu mengine ni kupunguza kelele❤❤❤
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 3 ай бұрын
Kwel Wallah Huwa inatokea wana Waoana sheikh sio kuoa Wengine ,, Hupeana hata Mimba Tuu,, wakija jua kaka na dada na kuachana hawawezi wana endelea hivo Hivo
@a.856
@a.856 3 ай бұрын
Jazaka Allah khayran
@rahyaAlly-ho5tk
@rahyaAlly-ho5tk 3 ай бұрын
Ki ufupi ndoa za Sirii zina madhara zaidi kuliko manufaa...watu kama wanamuogopa Allah kwelikweli waachane nazo.
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 3 ай бұрын
Sio uadilifu ni uoga sheikh, waume sasa ndo waolewa na wake zao! Hawana sauti hawana maana kabisa
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 3 ай бұрын
Usikubali kufanywa bangi.
@arrumayswaasway1001
@arrumayswaasway1001 3 ай бұрын
IPO shida
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 3 ай бұрын
Akifa kwa mke wasiri atazikwa! Na kuhusu mirathi Sio lazima,hata kama anajulikana anaweza asirithi pia
@AshaIddy-kn5lk
@AshaIddy-kn5lk 3 ай бұрын
Jamani hilo ni tatizo kubwa sana ktk ndoa nyingi sana. Nimeshuhudia Mume ameoa kwa siri Mchana anamalizia mambo yote ya tendo la ndoa kwa Bi. Mdogo, akirudi kwa Bi. Mkubwa analala kama gogo. Viongozi wa Dini toeni mafunzo kwa wanandoa.
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 3 ай бұрын
@@AshaIddy-kn5lk hiyo ameitaka mwenyewe mke mkubwa wacha kimrambe! Ametengeneza mazingira mpaka mume akaowe siri, ukimchimbia shimo mwenzio watumbukia mwenyewe!hayo ndo yanawafaa wake wakubwa na bado mpaka waitwii sheria ya Allah, wamekuwa wafuasi wa shetani kumpinga Allah Subuhanah wataallah
@belga3143
@belga3143 3 ай бұрын
Muke wa siri akibeba mimba aje aitwe muzinifu n’a iko kwa ndoa. Mbona hawayasemi ayo
@asilahassan9965
@asilahassan9965 3 ай бұрын
Shukran
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 3 ай бұрын
Sasa yote hayo ni nani wakulaumiwa! Mume au mke wasiri au huyo Mke mkubwa anae ogopewa kuliko Mwenyezi Mungu!wapeni darsa wake wakubwa wanatunyima sie waume haqi zetu! Hasa waume walio tawaliwa na mke, aibu ktk hili masheikh na maustadhat kemeeni hili jambo
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 3 ай бұрын
Kwa maana hiyo nanyi masheikh mwathubutu kuongelea habari hii kwa njia hii kana kwamba mwawaogopa hata ninyi wake zenu Sio? wake kuwazuia waume kuoa Zahir na waowe siri kisa ati wake zao hawapendi uke wenza? 🤔🤔Mwatufundisha nini ktk hizi ndoa? Mnawapa kibri wazidi kuwadhulumu waume haqi zao za kuoa dhahir?na waoe siri! Mnachangia dhulma hamjui au?Kemeeni hili jambo, muwaonye wake kudhulumu haqi za mume, kwani yeye nani zaidi ya Allah alie ruhusu hizi ndoa?
@alrahbialrahbi277
@alrahbialrahbi277 3 ай бұрын
Nae kakubali kwa siri.
@ZUWENADELLOW
@ZUWENADELLOW 3 ай бұрын
😭😭😭
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 3 ай бұрын
Ndio pengine ndo anamlisha huyo mume na mke mkubwa je?sindo wake wakubwa wayataka!atajiona yeye ndo mke hasa!kumbe hajui yeye na mumewe wameolewa na kulishwa na huyo Mke wa Siri,familia nzima yalishwa unamke mwenza🤣🤣huo ndo ujinga wao, kwanini umkataze mume kuoa?wengine hawana choyo mtalishwa na wake wasiri
@makamwasina2090
@makamwasina2090 18 күн бұрын
Mmh...huko ni kutumika tu ovyo ....
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 18 күн бұрын
@@makamwasina2090 ipi ni bora kwako ikiwa unalo kupenda kama mwanamke na hulipati zaidi ni mume mwenye mke?wako wanawake wanajitengezea pepo yao kupitia mikono yao, dunia hii tunapita tu, ghururi teeeele
@ShuaibuMsofe
@ShuaibuMsofe 3 ай бұрын
Shukran
Ndoa ni Mtihani Ndoa ni Safari - Ukht Fatma Mdidi
23:53
Kalamutz
Рет қаралды 1,6 М.
Mwanamke Jifunze kunyamaza - Ukht Fatma Mdidi
1:05:20
Kalamutz
Рет қаралды 10 М.
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
Fanya hivi kama Mama Mkwe ni mwiba kwenye Ndoa yako
3:38
ALIKIBA weds Aminah Rikesh, The Wedding Vows in Mombasa Kenya
11:08
JEE NDOA YA SIRI NI HALALI ? SHEIKH IZUDINI
17:04
arkas online tv
Рет қаралды 1,3 М.
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН