SISI SOTE NI MAITI WATARAJIWA HIVYO TUJIANDAE SHEKH MAZINGE KWA NIABA YA WAHADHIRI MSIBA SH ZUBERI

  Рет қаралды 100,127

Saimu gwao Online tv

Saimu gwao Online tv

Күн бұрын

saimugwao ni chanel inayojihusisha na habari zinazohusiana na uislam na matukio yote yenye faida kwa jamii tunapatikana tik tok face book instagramu jina saimu gwao

Пікірлер: 66
@samanthaali873
@samanthaali873 5 жыл бұрын
Masha Allah Sheikh mazinge tumekumic kws Dawaa mola akuwekee
@fatmarashim6353
@fatmarashim6353 5 жыл бұрын
Mashallah ustadh mazinge Allah akujalie Afya na umri mrefu Aamiin inshaallah
@shabanimusa9613
@shabanimusa9613 5 жыл бұрын
mashalla
@hemedsalim8837
@hemedsalim8837 5 жыл бұрын
amin
@Rolemodel_wa_taifa
@Rolemodel_wa_taifa 4 жыл бұрын
Amina
@ishaq9925
@ishaq9925 5 жыл бұрын
انا لله وأنا إليه راجعون allah amrehem ustadhi mazinge watu wako tumekumiss sana allah akupe afya njema
@jumakhamis226
@jumakhamis226 5 жыл бұрын
Ustadhi mazinge allah akujaalie umri mrefu
@faizabaishe5172
@faizabaishe5172 5 жыл бұрын
Inna waina ilehi rajiuni mungu amrehemu na amtanganye na wema poleni Sana T,Z, Ameen Ameen Yarabi
@eliasayasini1466
@eliasayasini1466 5 жыл бұрын
Allah ukujalie kheli nyingi na baraka zake Mazinge na wahadhiri wengine
@aseelaaseela4913
@aseelaaseela4913 5 жыл бұрын
ALLAH akupe umri mrefu shekhe napend san unavowafanya wa2 wanakuja kwenye DINI yetu ya kiislaam
@mwanaimaabdallah7825
@mwanaimaabdallah7825 5 жыл бұрын
اللهم إرحم موتانا وموتى المسلمين واجعل قبورهم روضة من رياض الجنة ولا تجعله حفرة من حفر النار اللهم امين يارب العالمين
@hanifajuma342
@hanifajuma342 5 жыл бұрын
UST mazinge nikaa bila kuona ukifanya daawa.
@sharkysharkyhassan8964
@sharkysharkyhassan8964 4 жыл бұрын
اللهم اغغر له ورحمه وعافيه وعفعنه واكرم نزله ووسع مدخله واكرم نزله وغسله بلماء ولبرد وثلج يا عزيز يا غفار ويا تواب برحمتك يا ارحم الراحمين
@faridabakari8511
@faridabakari8511 5 жыл бұрын
Allah akuongoze ustdh mazinge tume kutaman kwa vdio mpia mpiya INSHALLAH ALLAH akuwezeshe na akufanyie wepesi na sisi sote . Ameen
@zainabuhmbabazi4928
@zainabuhmbabazi4928 5 жыл бұрын
Mazing Jazakallah khayr fidunia wal Akhera
@petromachanga29
@petromachanga29 5 жыл бұрын
Wana mungu suluhana wataala tena hafanani na kitu chochote
@mwamutasuleiman2722
@mwamutasuleiman2722 5 жыл бұрын
A aleykum. Wallah babu mazinge twakumiss huku kenya
@blacknature7637
@blacknature7637 5 жыл бұрын
Ust mazinge tuna kupenda Sana hebu tuletee mpia mpia
@alimohammed6868
@alimohammed6868 5 жыл бұрын
Masha Allah mazinge.na Allah atuifadhi sote waja wake in sha Allah
@salmaothman153
@salmaothman153 5 жыл бұрын
Mashaa aallah mashaa aallah raha sana
@salmaothman153
@salmaothman153 5 жыл бұрын
Inalilah wainalilah rajiumu 🙏🙏🙏🙏
@jumakhamis226
@jumakhamis226 5 жыл бұрын
اللهم اغفرله وسكنه في الجنة شيخ زبار
@salmaoman6347
@salmaoman6347 5 жыл бұрын
Love u sana kipenz che2
@athumanhassan9360
@athumanhassan9360 5 жыл бұрын
Allah Akbar
@doublesofficial5585
@doublesofficial5585 5 жыл бұрын
Allah awabaariq inshaallah
@mira-gq3qg
@mira-gq3qg 5 жыл бұрын
Allah akulipe pepo
@حليمهال-غ1ظ
@حليمهال-غ1ظ 5 жыл бұрын
Mimi nataka kuolewa na mazinge jamani. Nitampataje.
@yassinradjab321
@yassinradjab321 5 жыл бұрын
Usijali
@حليمهال-غ1ظ
@حليمهال-غ1ظ 5 жыл бұрын
@@yassinradjab321 ningemjua alipo. Ningeenda nimuombe mkewake tuwe sote. Hahaha
@shekhmussakadogoo7329
@shekhmussakadogoo7329 5 жыл бұрын
Hahahaha
@hashtagdarling4738
@hashtagdarling4738 5 жыл бұрын
Ameen Ameen Ameen🙌
@caiselchief7322
@caiselchief7322 5 жыл бұрын
Innalillah wa innalillah rajiuun
@kameeskameex7372
@kameeskameex7372 5 жыл бұрын
Ameen
@NurdinKishik
@NurdinKishik 5 жыл бұрын
yaallaah
@faizabaishe5172
@faizabaishe5172 5 жыл бұрын
Alhamdulilah
@eliasayasini1466
@eliasayasini1466 5 жыл бұрын
Kabisa shekhe
@jumasalimo6360
@jumasalimo6360 5 жыл бұрын
allhahu maghufirahu warhamahu
@fatumaramadhanmashaallahal9966
@fatumaramadhanmashaallahal9966 5 жыл бұрын
Allahu yarhamuhu
@abubakariramadhani1372
@abubakariramadhani1372 5 жыл бұрын
takibri allaah
@mira-gq3qg
@mira-gq3qg 5 жыл бұрын
Mashallah
@missfa4650
@missfa4650 5 жыл бұрын
mashallah
@zenassylvester125
@zenassylvester125 5 жыл бұрын
Inaitwa acha wafu wazike wafu wao
@eliasaharuna4506
@eliasaharuna4506 5 жыл бұрын
amani kwako skehe mazige
@dicksonlesijila7350
@dicksonlesijila7350 5 жыл бұрын
Mazinge mdogo wako hamisi yuko wapi Siku hizi
@nasrikhamis8188
@nasrikhamis8188 5 жыл бұрын
Ammina
@zenassylvester125
@zenassylvester125 5 жыл бұрын
Maiti haombewi msamaha kwa Mungu kwa maana kila mtu amepewa nafasi ya kutafuta njia ya Mungu ingali uko hai, Nashangaa waislam kila kukicha kuwatakia Rehema waliokufa mara muhammad mara nani cjui haitosaidia kitu
@bayaanhumud4328
@bayaanhumud4328 5 жыл бұрын
Clack Bonny ww kafir nini usikae kuropokwa ropokwa tuu hali ya kua Huna unachokijua
@blacknature7637
@blacknature7637 5 жыл бұрын
Ingia Kwanza uislam Kisha ndo useme hayo madhali sio muislam usiseme kitu hayo yako Ni mawaidha ya kikafiri
@zenassylvester125
@zenassylvester125 5 жыл бұрын
@@blacknature7637 siwezi kua kafiri kwa kuja Kuabudu jiwe
@blacknature7637
@blacknature7637 5 жыл бұрын
@@zenassylvester125 😀😀😀😀 kweli ujinga mzigo Bora tulia hukohuko
@mussakamando2678
@mussakamando2678 5 жыл бұрын
Muhammad alikufa kweli maana alikuwa ni binadamu. Lakini cha ajabu Mungu wenu alikufa....akakaa kaburini siku tatu. Sasa katika hizo siku tatu alizokufa Mungu sijui dunia iliongozwa na nani yarabi. Pia sijui alipokufa roho yake aliipokea nani huko mbinguni. Daaa. Maajabu hayatakuja isha duniani.
@zaynsalma3466
@zaynsalma3466 5 жыл бұрын
Shehe Reke bisha Kauli Yako W islam haufundish kutetana Eti wangine Wanakuj Misibani wachafu Sio Vizur hivo bwana 😏😏
@sheikhibrahimabdullahikeny1509
@sheikhibrahimabdullahikeny1509 5 жыл бұрын
usiwe mkali vile na Maneno makali, alikuwa anajaribu kufanya Dhihaka/joke's
@zaynsalma3466
@zaynsalma3466 5 жыл бұрын
@@sheikhibrahimabdullahikeny1509 Hakun Utani misiban Ao Muskitin Utani ni mahak Pngin na sio kweny nyumb tukufu kama hio
@abdullahrashid6297
@abdullahrashid6297 5 жыл бұрын
Hao ni marafiki wakubwa utani kwao kama jadi Yao nimewahi kuwaona wanavyotaniana ndio Maana wanajuwa wako kimnya hakijaaribika kitu ajamtoa nishai wako sawa kabisa
@blacknature7637
@blacknature7637 5 жыл бұрын
Hayo Ni mafundisha uislamu Ni usafi
@youssufusaidi4318
@youssufusaidi4318 5 жыл бұрын
Zayn Salma sasa Dada kwamaneno yote warisema lenye umesikia ni hilo tu
@bayaanhumud4328
@bayaanhumud4328 5 жыл бұрын
msafi wa nguo mchafu wa nafsi
@blacknature7637
@blacknature7637 5 жыл бұрын
Muogope mungu hakuna kiumbe mkamilifu
@omaryshafii50
@omaryshafii50 5 жыл бұрын
Hebu tueleze sheghe kuhusu huyo mazinge mbona wamuongelea hivyo!? Sisi hatujui!
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 3 жыл бұрын
Mungu akurehemu
@bayaanhumud4328
@bayaanhumud4328 5 жыл бұрын
Ndo mbakaji huyu au
@hilalshaikhan9406
@hilalshaikhan9406 5 жыл бұрын
HAWA NDUGU ZETU HAWAAMINI HAYO WAO DUA TU
Mazinge   Utabiri wa Yesu
8:50
YesuHakufa
Рет қаралды 91 М.
HAIWEZEKANI DUNIA IWE MOJA DINI ZIKAWA NYINGI ..DINI NI MOJA TU..UST, MAZINGE
28:35
Why no RONALDO?! 🤔⚽️
00:28
Celine Dept
Рет қаралды 94 МЛН
HABIB MAZINGE   UISLAM KATIKA VITABU VYA KALE 2
30:47
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 444 М.
HISTORIA YA SHEIKH WALID NA WALII WA MUNGU
5:57
Mkwacha Tv
Рет қаралды 3,3 М.
URUSI KUILIPUA IKULU NA BUNGE UKRAINE KWA KOMBORA LA ORESHNIK
4:20
THE WORLD NEWS
Рет қаралды 10 М.
Pastor akiri Yesu alikua mwislam lakini muyahudi...tizama
24:47
KENYA DAWAH TV
Рет қаралды 171 М.
HABIB MAZINGE | SAID KINYOGORI | USABATO (2)
1:01:42
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 292 М.
Wakristo mnawaoa mama zenu   Mazinge
18:11
Malundi online Tv
Рет қаралды 565 М.