Mungu angekua mwana damu kama mimi, ningekua na mtokea ndani ya nyumba nakuchapa viboko mpaka akili iwe maali pake. Ila yeye ni mwenye reema na anaacha mtu achague mema ao ma baya ,kukiwa malikia wa ubembe na mbingu zao wafulero nao wana weza kusema huyu mungu wakupendelea hivi ? Tutaenda wapi? Wa mushi nao vip, na vip nao wa marecani? Wahidi, wa jampon, hao wapendwa ni watu wazima ila yesu alisema lazima kue watu wa namna hii.