LYRICS Sisi wana wa dunia tukumbuke maneno Aliyosema Bikira Maria Alipowatokea watoto wa Fatima Lucia Francis na Yacinta Alisema tusali, tusali rozari, tupate amani Na tuwaombee, wale wakosefu, wasio na Mwombezi Na wasio mwamini Yesu Mwokozi Wamuamini ili waokoke 1. Mama yetu anahuzunishwa sana Na matendo yetu maovu Anajua adhabu yetu ijayo Hivyo anaona huruma sana 2. Atusihi tuache dhambi kwa dhati Tuache kumkosea Yesu, Tuyatubu makosa yetu yote Ili Bwana atupatie amani 3. Tusitende tena maovu na dhambi Atusihi mama wa Yesu Tusimkasirishe tena Mungu Asijetutupa motoni milele 4. Ibada ya moyo safi wa Maria Tuizingatie daima Tuipokee komunyo takatifu Kila Jumamosi ya kwanza ya mwezi
@charityethan2542 жыл бұрын
I can rewind this song like ten times kabla nitoke kwa nyumba. Beautiful singing Sauti Tamu. May the Lord increase you. Road to 100k subscribers.
@kalitestarlife82082 жыл бұрын
so swweeeet
@fayamina25602 жыл бұрын
just lovely, thank you for the lyrics
@SautiTamu2 жыл бұрын
Asante Fay et al
@lifeaplenty2 жыл бұрын
🤍🤍🤍🙏🏻🙏🏻
@georgekinabo682 ай бұрын
1 October 2024... Kama huu wimbo utakuwa kwenye play list yako mwezi huu tujuane kwa like.
@SautiTamu2 ай бұрын
🙏🙏🙏
@DaudiMatiasWilliam2 ай бұрын
Kama mkatoloki wa ukweli uwezi kupita bila kuwacha like.🫂🫂🫂🫂
@MwitaMagesa-z8tКүн бұрын
15 December 2024 nasikiliza nyimbo tukufu ya bikra maria
@SautiTamuКүн бұрын
Shukrani sana
@AntonyMwenda-s3p2 ай бұрын
It's October month of holy rosary mama tuombee🙏🙏🙏
@josephbanda8768 Жыл бұрын
Great sounds. I'm Catholic too based in Zambia
@SautiTamu Жыл бұрын
Thank you, Welcome to Kenya
@EleonorahMshila4 ай бұрын
Wimbo huu unanigusa mno mpaka najisihi kulia kwa huruma nyingi Mama Bikira Maria alivyojihusisha kwetu sisi wanadamu!! Nampa sifa Mama yetu.. milele. Tusiacha Rosary kabisa.
@SautiTamu4 ай бұрын
🙏🙏🙏
@MuseNyakonga6 ай бұрын
Magnifique !, Très fière d'être catholique
@patrickyanga8028 Жыл бұрын
Alisema tusali,tusali Rosari🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@SautiTamu Жыл бұрын
🙏🏻🙏🏻
@petermwanja835922 күн бұрын
Nice and captivating song, nice angelic voices and powerful message. Very genuine and sweet smiles, especially from the lady with short hair. God bless you all
@RubanguraEdouardАй бұрын
Muntu azidikuwabariki kwanyimbo nzuki mnatujaza gutaha zakumpenda sana Bwana Yesu Kristo muntu awabarikisana.
@SautiTamuАй бұрын
Amina. Ubarikiwe pia
@francoisbayubahe257 Жыл бұрын
naipenda hiyi nyimbo
@SautiTamu Жыл бұрын
Shukrani sana
@daniellembile99882 жыл бұрын
Najivunia kuwa Mkatoliki Kanisa linalomheshimu Mama wa Yesu Bikira Maria Mama wa Mungu utuombee
@SautiTamu2 жыл бұрын
Amina
@stephentossi26262 жыл бұрын
Asante Mzee wetu P. F. Mwarabu kwa tungo nzuri hakika nabarikiwa sana
@SautiTamu2 жыл бұрын
Amina🙏🏻🙏🏻
@JanethFaida8 күн бұрын
Sauti inavutia sana wimbo mzri na unatafajarisha mambo mengi sana ya hapa duniania,
@SautiTamu8 күн бұрын
Shukrani sana Janeth
@ImmaculateKutto-n2c4 ай бұрын
Ee,Mama wetu( Bikira Maria Utuombee kwa mwanao Yesu kristu!🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏❤💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙
@SautiTamu4 ай бұрын
Amina
@evansodima8366 Жыл бұрын
Aki nasikia kwenda mbinguni
@SautiTamu Жыл бұрын
🙏🏻🙏🏻🙏🏻Thank you Evans,
@marygathoni82992 ай бұрын
Vacation ama 😂?
@gloriakitheka77492 ай бұрын
Tuko wengi tunaskia kwenda mbinguni
@stephentossi26262 жыл бұрын
Mamaangu Maria nakupenda. Tuombee Watanzania tuwe na amani
@SautiTamu2 жыл бұрын
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@nyamasyomaneeno45202 жыл бұрын
Aisee mmenikumbusha mbali, nyimbo zilizotungwa kwa ustadi mkubwa na hisia nzito sana. Mbarikiwe sana, na mzidi kutuletea nyimbo za haina hii. Old is gold, keep the spirit.
@SautiTamu2 жыл бұрын
Thank you so much Nyamasyo
@maryaluoch5572 жыл бұрын
Alisema tusali tusali rosary Mama Maria pray for US mother
@SautiTamu2 жыл бұрын
Amen Thank you Mary
@catherinecatherine78052 жыл бұрын
Sauti tamu nawapenda sana Kwa nyimbo za utulivu
@SautiTamu2 жыл бұрын
Shukrani sana Catherine. Ubarikiwe
@gladysmanyange3790 Жыл бұрын
Hakikatuombene mama maria mama wa kanisa myimbo tamu ya kumsifu mama wa mungu hongela
@SautiTamu Жыл бұрын
Amina. Asante
@idamave104 Жыл бұрын
Nymbo yangu ya moyon, nayi penda sana na Mungu awa barik sana kwa ku wajaza na Roho Mtakatfu kwa kuimba ile nyimbo.
@SautiTamu Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@STELLANZISA6 ай бұрын
Wasio muamini yesu mwokozi wa muamini ili waokoke🙏🙏😊 13/06/2024❤
@teresamoses57325 ай бұрын
Am very much blessed watching live from USA 🎉
@egidiusaudax88632 ай бұрын
huu wimbo umejua kunifariji mm 🙏
@martinmurimi52402 жыл бұрын
Hakika!! Mama yetu hutuombea kwa Mungu kila wakati. Tuendelee kumwita katika kila jambo tutakalo kumbana nalo na ataendelea kutuombea kwa Mungu. Wimbo umeimbwa vizuri. Hongereni wanaSauti Tamu.
@SautiTamu2 жыл бұрын
Shukrani sana Martin, blessings
@selaouma36842 жыл бұрын
very sweet Voices
@timdovecool7202 Жыл бұрын
Kazi nzuri...... Wimbo mtamu.
@SautiTamu Жыл бұрын
Shukrani
@DonatienBelela5 ай бұрын
Good song my God bless you for your nice job
@SautiTamuАй бұрын
Amen
@fidemmamuema41002 жыл бұрын
Carol nakuona, Cate nakucheki, good work to serve God, very sweet voices
@SautiTamu2 жыл бұрын
Thank you Fidemma God bless you
@stephenkatana1270 Жыл бұрын
This song remind us to pray rosary every day .
@SautiTamu Жыл бұрын
Amen
@kennedymwakio50132 жыл бұрын
Asanteni sanaa kwa kutukumbusha usia wa MAMA BIKIRA MARIA
@SautiTamu2 жыл бұрын
🙏🏻🙏🏻🙏🏻 ubarikiwe
@japhethrogasiano-hp3lj4 ай бұрын
Ee Mama Bikira Maria Uniombee kwa Yesu mwanao
@SautiTamu4 ай бұрын
Amina
@SitratonNgowi3 ай бұрын
Nyimbo nzuri sana..... Na wasio muamini Yesu mwokozi wamuamini ili waokoke
@SautiTamu3 ай бұрын
🙏🙏🙏
@KAIGIMTATINA-tk6sn Жыл бұрын
Tumuenzi Kwa kusali rosary
@SautiTamu Жыл бұрын
Amina
@bonifacemutuku54102 жыл бұрын
Sauti zenu hakika ziko sawa,,,huo wimbo mmeuimba vizuri sanaa
@SautiTamu2 жыл бұрын
Shukrani Boniface Ubarikiwe
@augustinekitonga69812 жыл бұрын
Kazi safi jameni .......Rongo University Twawakilisha
@SautiTamu2 жыл бұрын
Shukran Augustine. Ubarikiwe
@pebblestonefamily4852 ай бұрын
Tusali Rosari tupate amani❤❤
@SautiTamuАй бұрын
Amina
@GraceAbel-k9p2 ай бұрын
Mama Maria naomba tuombe mimi na family yangu
@BettyMolengi2 ай бұрын
Cette mélodie me réconforte bcp mm si j'ecoute pas trop swahili. Merci seigneur de m'avoir donné cette grâce d'être tjr catholique. Nulle part ailleurs. ❤❤❤❤❤
@yohanaogom66612 жыл бұрын
Amina Yesu, Maria na Yosefu. Daima na Milele Tuwe kwa Mwanga wenu. Familia Takatifu. Amina.
@SautiTamu2 жыл бұрын
Amina Ubarikiwe
@micahkipkoech58182 жыл бұрын
This song keeps my Catholic faith in check and brings peace in my heart always. Thank you Sauti Tamu
@SautiTamu2 жыл бұрын
Thank you Kipkoech
@gladysmanyange3790 Жыл бұрын
Mama maria tuombee kwa mwanao yesu christo Amen 💖
@SautiTamu Жыл бұрын
Amina
@al-ssadiqbinherri75722 жыл бұрын
Nice bikra maria songs 🙏🙏
@SautiTamu2 жыл бұрын
Shukrani sana Al-ssadiq, ubarikiwe
@al-ssadiqbinherri75722 жыл бұрын
@@SautiTamu you too stay blsd
@EliviaDickson-k4s2 ай бұрын
Huu wimbo unanipa aman eheee mama maria niombee mm mwanao
@veroniquemango11142 жыл бұрын
Mungu ni mukubwa mama Maria uni ombeye kwa mungu kwa sababu wewe ni mama wa kila mutu
@SautiTamu2 жыл бұрын
Amina
@CLIF57582 жыл бұрын
The song reminds me of my Mum. Rest well Mummy. I played it a lot at my mum's funeral. I even sneaked it into her eulogy.
@SautiTamu2 жыл бұрын
Thank you. May she rest in peace
@ajelicakananu11392 жыл бұрын
May your mum rest in eternal peace...
@virginiateodoro8397 Жыл бұрын
👃
@Tsting_yuwes2 жыл бұрын
Listening from Missouri 🇺🇸 🙏🏽🙏🏽❤️
@SautiTamu2 жыл бұрын
Thank you
@gamephilli8622 жыл бұрын
Wowvwow guys this is very nice am missing my church Catholic
@SautiTamu2 жыл бұрын
Thank you Blessings to you
@fidelenzambimana69802 жыл бұрын
BIKIRA MARIYA AWABARIKI NDUGU WAIMBAJI. NAMIMBIA MARIA PAMONA NANYI MUTOKA ITALY.NAWAGUMBATIA
@SautiTamu2 жыл бұрын
Amina. Nawe ubarikiwe pia
@denisjohn4458 Жыл бұрын
Its October again. The month of the Rosary!
@SautiTamu Жыл бұрын
Thank you🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@damonmckenya45902 жыл бұрын
3.10.2022- UKUNDA. Nimeusikia wimbo huu Kwa mara ya Kwanza na nimeupenda Sana🙏Tusali tupate amani.
@SautiTamu2 жыл бұрын
Amina Shukrani saba Damon MC. Ubarikiwe
@_resonance2 жыл бұрын
Ninashiriki nanyi in Canada 🇨🇦
@SautiTamu2 жыл бұрын
Shukrani Resonance, ubarikiwe
@lifeaplenty2 жыл бұрын
Super video quality, 🔥🔥🔥
@SautiTamu2 жыл бұрын
Thanks aplenty
@lifeaplenty2 жыл бұрын
@@SautiTamu welcome and keep this amazing work alive
@SautiTamu2 жыл бұрын
Asantee
@SabinaOhindiАй бұрын
Mim ndio inanigusa saaaana kwa maombenzi yake kwafalmilia yangu mungu nakuweka mlinzi wa familia
@aloyceNchimbi-my1bx7 ай бұрын
Aiseee Nafarijika na huu wimbo jamani
@SautiTamu7 ай бұрын
Shukrani sana
@MCMweno8 ай бұрын
My favourite Marian song... Followed by "Pamoja na Malaika"❤
@NiyongaboIsaacflarantinhe3 ай бұрын
❤hii ndo nyimba yakuburisha manafsi yetu❤❤
@indiremoses89792 жыл бұрын
Ahaa kazi nzuri❣️
@SautiTamu2 жыл бұрын
Shukrani Moses Ubarikiwe
@nicolemvoetabi5113 ай бұрын
Je ne comprends pas mais c’est une très belle mélodie en l’honneur de notre mère du ciel.que la gloire soit rendue à son fils pour les siècles sans fin.prions sans cesse.
@lusiansulle8152 жыл бұрын
Mzuriiii sanaaaaaa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@SautiTamu2 жыл бұрын
Shukrani
@annnanyama55062 жыл бұрын
I always sing the song everyday with my mum before praying the holy rosary...much love to you sauti tamu melodies ❤️❤️
@SautiTamu2 жыл бұрын
Thanks so much Ann
@HARISONKIPCHIRCHIR-lb8rx Жыл бұрын
The song is nice. Let's pray rosary everyday
@SautiTamu Жыл бұрын
Amen
@AbrahamTioko Жыл бұрын
Nice song💪💪❤️👍
@SautiTamu Жыл бұрын
Thank you 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@lavenderpotish83462 жыл бұрын
Awesome I do like the choir
@SautiTamu2 жыл бұрын
Thank you so much Lavender
@jordanlanga38532 жыл бұрын
Aksanti na kunikumbusha mengi sana
@SautiTamu2 жыл бұрын
Shukrani Jordan Ubarikiwe
@mjkinuthia3862 жыл бұрын
A sweet, melodious and soothing way to remind us of our Lady's message to the three children at Fatima. She emphasized on very central truths & devotions of the Catholic faith, namely: Trinity, Eucharist, Penance, Rosary and Sacrifices for the conversion of sinners. Asanteni sana Sauti Tamu. *Our Lady of Fatima, pray for us!* 🙏🙏🙏
@SautiTamu2 жыл бұрын
Thank you so much MJ
@markmainaonundu64422 жыл бұрын
Very True MJ and to add on she emphasised on the 3 theological virtues of Faith,Hope & Love which are the basis of Christian prayer
@SautiTamu2 жыл бұрын
Thank you Markmaina
@mjkinuthia3862 жыл бұрын
@@markmainaonundu6442 Indeed 🙏🏽🙏🏽
@enockmabulls2 жыл бұрын
Your doing good always mbarikiwe sana🙏🙏🙏
@SautiTamu2 жыл бұрын
Thank you Enock Blessings to you
@elizabethachuk7759 Жыл бұрын
Wimbo nzuri sana,naskiza kuoka America 🇺🇸 ♥️
@SautiTamu Жыл бұрын
Asante sana
@margaretkioko48912 жыл бұрын
Wow!!!you guys r blessed!!!!nawapenda tu Sana,sauti nazo ni tamu na c utani🤔🤔🤔
@SautiTamu2 жыл бұрын
Thank you so much Margaret, God bless you
@patrickjohn27052 жыл бұрын
Listening from Kitui
@SautiTamu2 жыл бұрын
Thank you Patrick
@ongeijethone38433 ай бұрын
I like sauti tamu coz dey can post the lyrics 👌👌
@benedictmuiruri63742 жыл бұрын
Thanks guys your song do south ma ❤️,,
@SautiTamu2 жыл бұрын
Amen God bless you too
@nirenganyajackson6802 жыл бұрын
Asante sana my dear 😘😘😘😘
@SautiTamu2 жыл бұрын
Welcome
@RodrigueByamungu2 ай бұрын
❤❤❤ Mwezi mutukufu wa Maria ❤❤❤
@josephinembithe25072 жыл бұрын
Congratulations sauti tamu
@SautiTamu2 жыл бұрын
Thank you Josephine, be blessed
@HONEDWINCHEBETBARAKA10 ай бұрын
I love you
@pasilisajerono74092 жыл бұрын
Nice song congratulations.
@SautiTamu2 жыл бұрын
Thank you Pasilisa God bless you
@stephenmugendi61295 ай бұрын
Roho mtakatifu wa Mungu nifariji
@risperkwambokaaminga7752 жыл бұрын
Alisema tuzari tuzari Rosari tumpate amani na tuwaombee wale wakosefu wasio na mwombezi ....wimbo mtamu zaidi barikiwa sauti nzuri 🙏🙏🙏
@SautiTamu2 жыл бұрын
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@mambounfiltered Жыл бұрын
Reminds me of good old days in St. Pauls Minor Seminary. Menh I miss those days.