kwa yoyote anae angalia video hii , nipende kukutia moyo kwa kukuambia , mwanzo ni mdogo , ila kuna mahala Mungu anakupeleka , hapa ilikuwa 2019 Iringa chuo cha tumaini , nikiimba , sitabaki kama nilivyo . barikiwa
Пікірлер: 8
@naomiulendo53113 күн бұрын
Aiseeee Nimekosa hata cha kuandika but nikiangalia videos zako had machoz yananitoka MUNGU akubariki sana kaka yangu I wish hata siku nikuone coz umekua ni mtu ambaye nikisikiliza the way Una imba nafarijika sana nimeanza kukufwatilia toka unitalent nakuomba kama umepata huu ujumbe usisite kuujibu MUNGU akubariki😭😭😭😭🙏
@MinisterNICKSONMALEKAN-bw4dv2 ай бұрын
Ahh kaka kitambo sana ulikuwa kapole kwel ila Mungu mwema saan anatutoa mbali