SIWEMA | LOVE STORY

  Рет қаралды 26,207

LUCAS LUMBASI SIMULIZI

LUCAS LUMBASI SIMULIZI

Күн бұрын

Пікірлер: 99
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 10 ай бұрын
Kuna watu mnawakubalia kuwa nao kwenye mahusiano haraka sana na mpaka mnalala kimapenzi bila hata kutenga muda kidoogo wa kumjua mtu... kilichomkuta siwema naomba mskilize sauti ikiwa chini🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫
@SifaMukundabandi
@SifaMukundabandi 10 ай бұрын
😂😂😂izi simulizi za wakubwa tutakua tunazisikiliza Usiku 😂mcana tusiharibu swaumu zetu
@WwEe-qc7tc
@WwEe-qc7tc 10 ай бұрын
Hapo sawa kabisaaa nakubaliana na wewe kwani wengi hatujui kuwa wengi wanao tujia nakutupenda either kimapenzi au kirafiki kumbe wengine kwetu ni ndoano ama chambo ili wanaufaike kwa kile wanacho kusudia kwetu
@marymlongojoseph
@marymlongojoseph 10 ай бұрын
Hapo umesema​@@SifaMukundabandi
@QUEENJoseph-kh6cb
@QUEENJoseph-kh6cb 10 ай бұрын
Mungu atusaidiye jamani
@WwEe-qc7tc
@WwEe-qc7tc 10 ай бұрын
@@QUEENJoseph-kh6cb Amina Amina Amina hakika MUNGU atukumbuke na aturehemu kwani wengi hatujielewi
@ZenaidaDaniel-r9d
@ZenaidaDaniel-r9d 10 ай бұрын
Sijachelewa kihivo nimewahi😂😂lucas kipenzi sijawahi kuchoka kukusikiliza❤❤❤
@jacklinekeneth450
@jacklinekeneth450 10 ай бұрын
wa 11 sio mbaya 🗣 aya mkuje tumsikilize siwema 🙏 kaka lucas
@charitykadenyi973
@charitykadenyi973 10 ай бұрын
Wa kwanza Leo 🎉
@NdalahwaSiwema
@NdalahwaSiwema 10 ай бұрын
Da siwema somo wangu
@AsiaMdungaHussein
@AsiaMdungaHussein 10 ай бұрын
🎉🎉🎉
@Zainabucharle
@Zainabucharle 10 ай бұрын
Kazi zuli lukas mungu akupe uezo zaidi🎉🎉❤
@KuvunaGonda-l4f
@KuvunaGonda-l4f 10 ай бұрын
Hatakama nimechelewa lkn nimefika acha nikae 🪑
@AsimweErick
@AsimweErick 8 ай бұрын
Daa hii simulizi😭😭😭😭😭😭😭
@ReginaBenjamin-ij2ec
@ReginaBenjamin-ij2ec 10 ай бұрын
Saut yako ni nzuri san kak lucas mungu aibalik kaz ya mikono yako
@vailethvennance4651
@vailethvennance4651 10 ай бұрын
Wakwanza nipeni link zangu
@josephmushi1901
@josephmushi1901 10 ай бұрын
Napenda sana sauti yko 🥰
@mwanaibrahim3288
@mwanaibrahim3288 10 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉Kaka Lucas thanks❤
@SifaMukundabandi
@SifaMukundabandi 10 ай бұрын
Leo was ishirini na tanu jamani Ila sio mbaya
@YusraShadhil
@YusraShadhil 6 ай бұрын
Daah mi si mtu wa comment ila hii ni hatari nimejifunza mnoo Asante kaka lucas hakika umeletwa dunian kwa ajili ya kutufunza haswaa mungu atakulipa inshallah😢😢
@FatumaHamisi-sr6yj
@FatumaHamisi-sr6yj 10 ай бұрын
Hongera kaka Lucas 😍😍😍😍
@FatmahHgfy
@FatmahHgfy 7 ай бұрын
Jamani mtalimbo mamamkwe kauona
@victoriangasa
@victoriangasa 10 ай бұрын
Waooooh ❤❤🎉🎉 tuone siwema kafany nn ndan ya simulizi za kaka lucas lumbasi 😂😂
@Catherinemichael1995
@Catherinemichael1995 10 ай бұрын
Watu wanakaa na sim muda wote 😂😂😂😂😂
@ZenaidaDaniel-r9d
@ZenaidaDaniel-r9d 10 ай бұрын
🤣🤣Yani
@mwanaibrahim3288
@mwanaibrahim3288 10 ай бұрын
😂😂😂
@Edna-w3z
@Edna-w3z 2 ай бұрын
Eeeeeh hatupoi wal hatuboi😂😂
@BeatriceSimaloiSalaton
@BeatriceSimaloiSalaton 10 ай бұрын
Sijachelewa sana ❤❤❤
@AsiaMdungaHussein
@AsiaMdungaHussein 10 ай бұрын
Wa pili🎉🎉🎉🎉
@AgnessLorry
@AgnessLorry 10 ай бұрын
Wa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢🎉🎉
@NasrahhassanNana
@NasrahhassanNana 10 ай бұрын
❤asantee mashabik wa lucas tume rudi tenaa ❤❤❤❤
@Hidahkossimaly
@Hidahkossimaly 10 ай бұрын
Mm ni kama kawaida ni kupitikiwa 😂😂😂😂
@mporipori99
@mporipori99 10 ай бұрын
Kwann mrembo
@TabuKirumbi
@TabuKirumbi 10 ай бұрын
Asante sanaa❤❤❤
@ZenaidaDaniel-r9d
@ZenaidaDaniel-r9d 10 ай бұрын
🤣🤣 Lucas eti mpododo mbona umesisitiza sana kwenye mpododo🥰🥰🥰
@DorocasNdunge
@DorocasNdunge 10 ай бұрын
Jamani huyu mudi ni mutu am ni jini
@Kellyperry947
@Kellyperry947 10 ай бұрын
ᴸᵉᵒ ˢⁱᵏᵘʷᵃ mbali😅😅😅
@christinahaule-p8i
@christinahaule-p8i 4 ай бұрын
mudi ni mwanaume wa ovyooo sana mapenzi siyo vita jamani mapenzi ni makubariano na upendo kutoka kwa watu wawili wapenda nao atimae wamekutana na baba Kenny muddy ni jini nn mbn anamfatiria siwema kama anamdai mshezi mkubwa uyo kijana ❤❤❤
@ZenaidaDaniel-r9d
@ZenaidaDaniel-r9d 10 ай бұрын
Mudi🏃🏃unakimbia wakat mtarimbo huko wazi🤣🤣ila Lucas nimecheka kama chizi🤪🤪
@mporipori99
@mporipori99 10 ай бұрын
Mtarimbo ni nini zena?
@esterIsabel-y4e
@esterIsabel-y4e 10 ай бұрын
😂😂😂 kila siku wamwisho me naliya sijuw namliliya nani😂
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt 10 ай бұрын
Usilie basi😂😂😂
@gladyes1717
@gladyes1717 10 ай бұрын
Nimevhelewa ila siovile❤❤❤❤
@ShakilaMtamila
@ShakilaMtamila 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂mud kichaa kwer
@faithndenge-cz8pe
@faithndenge-cz8pe 9 ай бұрын
Asante sana nimjifunza
@aminanuranassor660
@aminanuranassor660 10 ай бұрын
Very stor so much ❤❤
@wertqwe8326
@wertqwe8326 10 ай бұрын
Duuuuh zamadhani kka lukasi
@queen_annah7859
@queen_annah7859 10 ай бұрын
Ayaaaaa!🙆‍♀️Nishaarib swaum sasa.
@mporipori99
@mporipori99 10 ай бұрын
Pole mrembo umekojoa kojo au? Uwe unaniita usiku tunasikiliza tukimaliza saaf
@christinahaule-p8i
@christinahaule-p8i 4 ай бұрын
Siwema pepo la ngono ni kitu cha ajabu sana yani mbk mtoto mdogo Kenny jamani ni unatembea na mume wa mtu mbk unajisaau wakati unajua ni baba Kenny na mama Kenny ni maboss zake siwema njia ya kurudi kijijini iyoo naiyona 😂😂😂 mume wa mtu ni sumu maziwa anayo mama Kenny ❤❤❤
@fatimafoaani2263
@fatimafoaani2263 10 ай бұрын
Nice story be blessed ❤❤❤🎉🎉🎉
@ANKOZUBERI881
@ANKOZUBERI881 10 ай бұрын
simulizi za minyanduano napenda kweli 😂😂😂
@victoriaedfonss727
@victoriaedfonss727 10 ай бұрын
Jaman siwema wa nyumban,😢Moro mgeta,🤣nimepata ndugu na nitapata wengi zaid,🤣🤣🤣🤣🤣
@WardatAbubakar
@WardatAbubakar 10 ай бұрын
Sw kaka usjl ☺️
@ZainaAlly
@ZainaAlly 10 ай бұрын
Ostaz chogo anaoa kwaajili ya 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@ZenaidaDaniel-r9d
@ZenaidaDaniel-r9d 10 ай бұрын
🤔🤔ila watu jaman kwahiyo hamlari mchana mnashinda na simu😂😂😂😂
@zenaathumani8144
@zenaathumani8144 10 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏 ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
@Athmanmasini
@Athmanmasini 7 ай бұрын
😂Kweli ila nyie mungu anaumba kuna madem wamejaaliw vidude vitam km siwem kha! 😅Ila nimejifunza kitu pia asante San lukas wetu🎉
@fetreshazKhamisi
@fetreshazKhamisi 10 ай бұрын
Duuh atali uyu middi chizi kweli khaa🇴🇲🇴🇲
@doristanga5987
@doristanga5987 10 ай бұрын
Wow😊
@mariamMilha-st3qu
@mariamMilha-st3qu 3 ай бұрын
Kitukipya awo? Hujawayi kutupa bovu nisikirize kwanza alafu Lukas tumariziye Ariana niombi🎉🎉🎉🎉
@KarlyDylern
@KarlyDylern 10 ай бұрын
Kwan ukiwa wakwanza ndo inakuaje yaan
@scollamwanisisi2739
@scollamwanisisi2739 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂 tujue yeye hazimi data yupo online 24,,
@omerrashed9080
@omerrashed9080 10 ай бұрын
🎉🎉🎉❤❤❤
@MwajumaAli-w3o
@MwajumaAli-w3o 10 ай бұрын
Woooo ❤❤❤❤
@NailatYahayamkova-yu9qu
@NailatYahayamkova-yu9qu 10 ай бұрын
🎉🎉🎉43
@خديجه-و1خ
@خديجه-و1خ 10 ай бұрын
❤❤❤❤
@vailethvennance4651
@vailethvennance4651 10 ай бұрын
Jamani huyu siwema havhoki mbona anafululuza ivyo du anatia fora
@ZenaidaDaniel-r9d
@ZenaidaDaniel-r9d 10 ай бұрын
🤔🤔mudi,mudi,mudi 🤣🤣🤣🤣
@AmbaMelly
@AmbaMelly 10 ай бұрын
👍
@Sss-b9w6f
@Sss-b9w6f 10 ай бұрын
Mashaal ❤❤🎉🎉🎉😢😂270
@ftimaramadan4748
@ftimaramadan4748 10 ай бұрын
😊
@SaeedhSaeedh-f6i
@SaeedhSaeedh-f6i 10 ай бұрын
Anamuchekea yeye mudi aje huku ngemupa dawa wmyake maana heeehee angeifanya tochi hiyo basitola yake pumbavu
@IreneJiress-qh8xj
@IreneJiress-qh8xj 10 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@Edna-w3z
@Edna-w3z 2 ай бұрын
Hy siwema nae nimaraya tyuu Kila mwanaume anae kuja anamkubalia
@josephmushi1901
@josephmushi1901 10 ай бұрын
Napend sana sauti yko Lucas 💖
@AsiyaMangaza54-qr1kk
@AsiyaMangaza54-qr1kk 10 ай бұрын
🙏🙏🙏🇨🇩🇨🇩
@queenkiria17
@queenkiria17 10 ай бұрын
Wapili
@dashuushu6883
@dashuushu6883 10 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@Conso-m5o
@Conso-m5o 10 ай бұрын
😂😂😂😂
@ElizaSada
@ElizaSada 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
@leah5307
@leah5307 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@chrismdawi3524
@chrismdawi3524 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@FloraMlay-bx8ff
@FloraMlay-bx8ff 9 ай бұрын
Jmn huyu dada kila mmoja anampanulia2😢😅😅
@marthasonia5005
@marthasonia5005 10 ай бұрын
😢😢😢🫣
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 10 ай бұрын
Ramadhan ime anza baadhi kama hizi hatusikilizi 😢
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 10 ай бұрын
Ndo maana nikaamua kuitoa mapema ili nimalizanenayo
@AminaMusa-tf6ko
@AminaMusa-tf6ko 10 ай бұрын
Umefanya vizur kaka
@AdamSabugo-sr4ds
@AdamSabugo-sr4ds 10 ай бұрын
Jmn siwema naye ila tamu sauti tyu ya lucasi jmn uuwiiiiiiii mm kila cku silala namwaza lucasi tu dah cjui kanipa nn yy sema hajui tu ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@dashuushu6883
@dashuushu6883 10 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@MaryMary-kq3nh
@MaryMary-kq3nh 3 ай бұрын
🎉🎉🎉❤❤❤
@SalhiaSaid-i1h
@SalhiaSaid-i1h 10 ай бұрын
❤❤❤
@candidekaneza8587
@candidekaneza8587 10 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@HaluwaMosi
@HaluwaMosi 10 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@zuhramwavyoni8400
@zuhramwavyoni8400 Ай бұрын
❤❤❤
@zuhramwavyoni8400
@zuhramwavyoni8400 Ай бұрын
❤❤❤
SITOSAHAU NILIVYOPATA MIMBA YA JINI NDOTONI | SIMULIZI YA KUSISIMUA
1:27:31
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 7 М.
Paula | Simulizi fupi ya kweli na yenye mafunzo | Love story
2:39:22
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 52 М.
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
NEELY | NILIMPENDA MWANAUME ALIEMUUA DADAANGU | SHORT STORY
2:58:05
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 14 М.
BINTI ANGEL - SIMULIZI MPYA YA MAPENZI
2:50:01
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 61 М.
CIYONA | SIMULIZI FUPI TAMU | LOVE STORY
2:13:13
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 24 М.
MUME WANGU JAMANI
1:47:13
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 68 М.
SAYUNI | SIMULIZI MPYA | KISA CHA KWELI
2:23:22
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 24 М.
NILIISHI DUNIA YA PEKE YANGU - PART 02
1:51:20
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 24 М.
BINTI NDELEZA : SIMULIZI FUPI YA SAUTI.
3:46:30
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 22 М.
HUSNA
2:41:41
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 29 М.
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН