SlayQueen Tries To Disrupt Sanitisation!! Kamejua Cha Mtema Kuni!!!

  Рет қаралды 24,720

PASTA SHOW

PASTA SHOW

Күн бұрын

Пікірлер: 280
@chemutaijaneth568
@chemutaijaneth568 Ай бұрын
Our umbea master Stano sanitize Velma vizuri mimba si ya Odero😂😂😂we want problems always
@MwanaidiNguluma
@MwanaidiNguluma Ай бұрын
Mzee mfupi mjinga mpumbavu unauzaje shamba 😢😢bcoz of mpango wa kando sually😢
@KayembaYaya-g7m
@KayembaYaya-g7m Ай бұрын
Unamujua
@jacklinemukuha2621
@jacklinemukuha2621 Ай бұрын
wanjara utalilia chooo shamba hakuna na slayqueen ni simu ya jamiii😂😂😂iyo mimba obvious sio yako kitakuramba baya sana sio ivo unasema ulikuwa umeparara apa ni kufaint direct
@karenmwango8419
@karenmwango8419 Ай бұрын
Waaaaaa! Hii mdomo ya uyu msichana.. tarumbeta exactly...halafu mwanaume ni gunia 😢😢
@popod177
@popod177 Ай бұрын
😂..gunia Tena la mavi...ama alipewa asshole😂
@pamelamudogo5551
@pamelamudogo5551 Ай бұрын
Atajua hajui amepatana nareal sanitiser our umbea master 😅😅😅
@PaulneNjoroge
@PaulneNjoroge Ай бұрын
Peana simu wacha kelele tujuwe hii mapenzi kweli ni 💯/💯😂😂😂😂
@cathrinemwangi3840
@cathrinemwangi3840 Ай бұрын
wanjara kwisha , utajua hujui, sasa c kuparara ni kufaint sasa
@marywangari2555
@marywangari2555 Ай бұрын
These streets reminds me of pastor Mathew that is when I knew stano
@WinfredZakayo-k9o
@WinfredZakayo-k9o Ай бұрын
Ak na kina maxwell... Stano was the show in the east Africa
@LucyNjoro-e1v
@LucyNjoro-e1v Ай бұрын
Kazi safi kwa stano ✌💪ata hiyo bal sio ya hii familia let continue na udaku 😂umbea ni moto mm naitwa stano I don't want peace I want problem, we must get justice ✌💪
@essy2023
@essy2023 Ай бұрын
Siwezi pigania mwanaume hata akuwe nani,akijisikia kusaidia watoto well as good akiona hatasaidia ni sawa😊
@christineandiso1387
@christineandiso1387 Ай бұрын
Yah true😂😂 hiyo nguvu cn 😂😂😂
@Yuca878
@Yuca878 Ай бұрын
Me too hawa vijana wa pharao 😢😢😢
@fulorahisinga2378
@fulorahisinga2378 Ай бұрын
Me 2
@Sharin-e5f
@Sharin-e5f Ай бұрын
Yaani hata Joshua ameanza kupata kitambi😂😂ndio sababu alishindwa kukamata Odero
@MaldrnA
@MaldrnA Ай бұрын
Waambie
@charlesongoro4811
@charlesongoro4811 Ай бұрын
Huyu wanjala ni mzee mjinga sana😂😂😂
@Catemworia
@Catemworia Ай бұрын
Mwisho wa story unakuanga very sweet 😂😂😂
@BettyMusebe-z1z
@BettyMusebe-z1z Ай бұрын
Mluhya in the house😂😂 na uyo precious ni kabila gani
@pamelamudogo5551
@pamelamudogo5551 Ай бұрын
Wamabwoni😅😅
@maryakinyi
@maryakinyi Ай бұрын
Wanajua kuchagua mabwana ya watu​@@pamelamudogo5551
@ruthamisi4492
@ruthamisi4492 Ай бұрын
Mjaluo
@johnorina5952
@johnorina5952 Ай бұрын
Mtu WA kuku
@fulorahisinga2378
@fulorahisinga2378 Ай бұрын
@@pamelamudogo5551 true
@fausto9135
@fausto9135 Ай бұрын
Wanjala mjinga 😂😂 ati mumekuja kuharibu ndoa yangu Mzee fala😢
@treasureforashes3497
@treasureforashes3497 Ай бұрын
Watu ni wachafu huku inje, being single is safe
@FaithNjeri-e4e
@FaithNjeri-e4e Ай бұрын
Kabisaa
@promiseirene1430
@promiseirene1430 Ай бұрын
Ongeza volume
@lenymutisya9714
@lenymutisya9714 Ай бұрын
This man would have done his own investigations because those who told him his wife was cheating, is either they were cheating with her or they wanted her and she refused him or someone in the family out of jealous who wanted the family destroyed.
@grayceegracie5050
@grayceegracie5050 Ай бұрын
Absolutely 💯 💯
@Bettybioz
@Bettybioz Ай бұрын
MBONA MUSIACHE HUYU MAMA APIGE HUYU MALAYA.MBONA MNAMSHIKA AKI
@monicahnangamishiundu635
@monicahnangamishiundu635 Ай бұрын
Kiburi na mdomo lazma iwatoke
@rolinekathure3021
@rolinekathure3021 Ай бұрын
Goat wifes jifunzeni kugitegemea mtu akikuacha kwao toka uende wewe si ngombe ufungwe hapo maisha ni fupi😅
@BeatriceChogo
@BeatriceChogo Ай бұрын
When I was still young, kuna siku tulikosa sukari na escort ya breakfast, my mum akatupikia chai dufia, lucky enough friend yangu akaingia akikula miwa. Wee, hio ndio tuliamua kwendelea nayo, unauma miwa ukikunywa chai😂
@Semi539
@Semi539 Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@BillaBla-x8y
@BillaBla-x8y Ай бұрын
Story zingine sinakuanga,wee wacha tu nisisema😂😂
@naseeralbishi4726
@naseeralbishi4726 Ай бұрын
Aaahh😂😂
@mercywaturi7764
@mercywaturi7764 Ай бұрын
Wanjala, atA wa nyonga wote
@MercyMwarari
@MercyMwarari Ай бұрын
😅😅😅😂
@joshuaonyi3819
@joshuaonyi3819 Ай бұрын
Aki stano si ungeacha waruke mwaka Kwanza 😂😂😂😂
@beatricebrownie
@beatricebrownie Ай бұрын
Good job Stano ,, Niko standby
@MercyMwarari
@MercyMwarari Ай бұрын
Cjawahi ona mwanaume mjinga kama wanjala yayeee😂😂
@Millicent-q4o
@Millicent-q4o Ай бұрын
Wanaume Waluhya na Wajaluo wengi wao sijui wanarogwa na ma slay queens ama Wana shida Gani surely....wanatuaibisha but tu me l can't fight because of a man never
@edwinonyango1691
@edwinonyango1691 Ай бұрын
Wajaluo wetu wababaz mmezidi cuz nilidhani ni kwa wanjiku wainaina ndio mnapatikana mkitesa goat wives kumbe hku kwa Stano pia wako😮😮 shame on u .
@teresakarugu9932
@teresakarugu9932 Ай бұрын
Wajala huyo anaitwa Dci stano
@annaachola8866
@annaachola8866 Ай бұрын
Huyu wanjala hayuko sawaa😂😂kwa akili ndio mana ansuza shamba anakuja kula na slay queen.
@rosendunge579
@rosendunge579 Ай бұрын
Kijizee wanjala kugongewa na kijitoto chake instantly,pesa za samba ni za road trips while kijizee kinaachwa kwa nyumba kikizungua uzee 😅😅😅😅salala😅😅
@ndettothejuice3094
@ndettothejuice3094 Ай бұрын
Kwa kweli Kuna watu wamekosa nidhamu kabisa.hili lislayqueen hata haliwezi ona makosa ya kuchukua mzee wa wenyewe na wakauza shamba watoto wambaki wakilia surely .kwani wengine mlilelewa wapi na akina nani?
@LilianKanana-r5o
@LilianKanana-r5o Ай бұрын
Huyu wanjala anaongea kama stivoo simple boy😂😂
@consolatanechesa3004
@consolatanechesa3004 Ай бұрын
Wazee waluya wameanza tabia ya murima aki nkt😂😂😂😂
@Vymo-lv9cu
@Vymo-lv9cu Ай бұрын
Mzee amevaa trouser ya green ka watchman😂 sikuizi huku kwa Stano kunabamba😅😅
@rosendunge579
@rosendunge579 Ай бұрын
No hii trousers ni ya mortuary attendant 😅😅😅😅
@jetitahkarimi
@jetitahkarimi Ай бұрын
Hahaha 😂😂😂
@rahabkarathe1546
@rahabkarathe1546 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@jacintawachuru1999
@jacintawachuru1999 Ай бұрын
Na slay Queen anasema ameangalia bwana vizuri😂😂green na blue,aje sasa
@gracekamere
@gracekamere Ай бұрын
Walai Kuliko Kwa Dave na true k
@marthawachuka9110
@marthawachuka9110 Ай бұрын
A wise man hawenzi kukubali mrembo atukana mke wa mbuzi,you don't know about tomorrow
@HarrietWawira-s3x
@HarrietWawira-s3x Ай бұрын
Dci Stano Mungu akulinde
@RoseWandia-ry3pg
@RoseWandia-ry3pg Ай бұрын
Lakini stano usiwe ukiluhusu sly queen atusi mama mwenye boma huyu mschana ametusi huyu mama vibaya na siwalika moja
@lailalaila6297
@lailalaila6297 Ай бұрын
Ukikosa mme kwa nyumba njoo kwa pasta show unampata mmeo😂😂😂😂
@rachealwanjiku9752
@rachealwanjiku9752 Ай бұрын
Kabisa 🙏
@grayceegracie5050
@grayceegracie5050 Ай бұрын
Eeeish yawa, kupigania mwanaume nayo ni NO NO NO.... But huyu mama Adhiambo ako na hasira.
@TeresaAkinyiEkambi
@TeresaAkinyiEkambi Ай бұрын
Hata mm nilisema siwezi pigania bibi
@Yuca878
@Yuca878 Ай бұрын
Ukiona mtu ako na mdomo nyangaya yy mike anatuumiza masikio
@Eunyvale
@Eunyvale Ай бұрын
Huyu mwanaume ni mjinga
@Selineestika-r8c
@Selineestika-r8c Ай бұрын
Mungu wangu kwa nini mimi sipati mzee kama hawa naona kwa pasta show😢😢
@rolinekathure3021
@rolinekathure3021 Ай бұрын
Huyo ako na miimba 😅
@hellenkathambi8694
@hellenkathambi8694 Ай бұрын
Wanjala amepewa kamti 😂😂
@senjeschola1921
@senjeschola1921 Ай бұрын
Kugongewa kua gari nikama ni tamu itabidi pia mmi nitafute mpoa mwenye Ako na gari nigongewe kua gari ni feel kama wengine weeeh
@StanzMakau
@StanzMakau Ай бұрын
Walahi wanaume wengine niwajinga kupindukia,,, SMS zinainyesha wazi I,,kimzee kitaachwa tu kitamramba...
@AhonoObeni
@AhonoObeni Ай бұрын
Wanjala amechemushwa haoni kitu
@edwinonyango1691
@edwinonyango1691 Ай бұрын
Stano we need follow up with Festus son to Wanjala on board
@leah606
@leah606 Ай бұрын
Threesam on table 🤣🤣🤣 chiraa itambaee baba na mtoto kwa sylqueen heri baba akufe matanga ni yetu
@makumimwenje
@makumimwenje Ай бұрын
Stano please sometimes tell people to keep quiet,so many noise from slayqueey
@jetitahkarimi
@jetitahkarimi Ай бұрын
Stano congratulations 💐🌹🌹🌹🌹👏👏👏👏👏🌹🌹🌹🌹
@odurucarren4913
@odurucarren4913 Ай бұрын
Mungu saidia watoto Wetu, haki huyu anekosa adabu sana
@MargaretshishWanjiku
@MargaretshishWanjiku Ай бұрын
So tumefika the prophecied tym in the bible 7 women 1 man.. kunoma sana siku izi wanawake mnajiforce kwa wanaume by force. .. never
@okutebettina2509
@okutebettina2509 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 nafutahi vile slayqueens wanacheza wanaume
@HarrietWawira-s3x
@HarrietWawira-s3x Ай бұрын
Kumbe madam Ako na wanaume wengine wanjala utajua mwishowe
@sammykamau4575
@sammykamau4575 11 күн бұрын
After reading her slay queens messages, Wanjala says "nimeshindwa kupumua".
@charlesongoro4811
@charlesongoro4811 Ай бұрын
Atoe phone📱 awache upuuzi😂😂😂problems after problems😂😂😂
@jacklinemukuha2621
@jacklinemukuha2621 Ай бұрын
nmesema tu wanjara atajionea
@nekesahnoel5643
@nekesahnoel5643 Ай бұрын
Wanjala SI wanjara
@grayceegracie5050
@grayceegracie5050 Ай бұрын
Hahaha 😆 😂 😆 Stano unachoma. Eti mimba ya mzee ina bounce 😅😅😅
@divinahmachuka1859
@divinahmachuka1859 Ай бұрын
Na watch sasita usiku😅😅😅😅😅 ombea three some explain so that to understand well 😅😅😅😅😅
@AnnNjoroge-xn8ml
@AnnNjoroge-xn8ml Ай бұрын
Wanjala huyu anaitwa dci stano😅😅😅
@aminabirik5764
@aminabirik5764 Ай бұрын
Makelele mingi loud speaker📢
@ANNASTACIAMWENDE-bo7dw
@ANNASTACIAMWENDE-bo7dw Ай бұрын
Mzee umechezwa na ur Son,,,,,utajua ujui,,,,rudisha Mkeo
@judithmunyiri9514
@judithmunyiri9514 Ай бұрын
Mapenzi yameisha😂😂😂😂
@Pena-k-x2n
@Pena-k-x2n Ай бұрын
Mzee shenzi kabisa pesa kwisha, shamba imeanda.
@esthernjonjo6858
@esthernjonjo6858 Ай бұрын
Wa luhya na kupepeleza wanaume,,ati sikuachi,,for what?
@rachaelosiche121
@rachaelosiche121 Ай бұрын
Honestly observing huyu Adhis lazima anaonja kakitu sina lawyer lakini😂😂😂😂
@marywangari2555
@marywangari2555 Ай бұрын
Kamūtī imeisha nguvu Leo. I'm surprised that hii ujinga ya kuuza shamba bando iko
@Millicent-q4o
@Millicent-q4o Ай бұрын
Wanjala ni mwanaume mjinga tu sanaaa,,,,anarudisha simu ati chukua beb huyu anatuharibia nyumba na Ako na Phestus surely
@nzanzex7831
@nzanzex7831 Ай бұрын
Ukiona anakataa na simu jua kuna kitu.
@Emily-xk4jc
@Emily-xk4jc Ай бұрын
Uyu kathee ni ng'ombe tena ni zaidi ya ng'ombe
@RoseWachiuri-ft8mt
@RoseWachiuri-ft8mt Ай бұрын
So goat akisingiziwa ana cheat mzee anaamini.....slay queen akishikwa red handed mzee haamini.....wonders!
@teresakarugu9932
@teresakarugu9932 Ай бұрын
Three sum hajui wajala 😂😂😂😂
@charlesongoro4811
@charlesongoro4811 Ай бұрын
Stano you didn't sanitize Velma vizuri jana😢
@eznermomanyi814
@eznermomanyi814 Ай бұрын
Wanjala anachovya honey pot also his son dines from same pot😂😂😂😂😂😂😂😂ghai
@HarrietWawira-s3x
@HarrietWawira-s3x Ай бұрын
Wanjala utauawa na Hawaa.side hen ushangae pesa ya shamba inapeleka wanaume road trip
@IsabellaLwile
@IsabellaLwile Ай бұрын
Joshua si uachilie huyu mama alime huyu mzee kdogo 😂😂😂ni nini wewe
@fidelisnganga1759
@fidelisnganga1759 Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@PurityMusyoka-h5z
@PurityMusyoka-h5z Ай бұрын
Sasa uyu mama anapigania nn surely kama mtoi anasomeshwa?mtu amekukataa alaf unampigania
@judithmunyiri9514
@judithmunyiri9514 Ай бұрын
Single is the house 😂😂😂
@nancymoraa6491
@nancymoraa6491 Ай бұрын
I don't want peace 😂😂😂😂
@elimukariuki4791
@elimukariuki4791 Ай бұрын
Kumbe velma ni call box ya kutumiwa na kila mtu😅😅
@veronicamutheu5253
@veronicamutheu5253 Ай бұрын
😂😂😂
@susansuna6450
@susansuna6450 Ай бұрын
Wanjala anashindwa kupumua😂😂😂😂
@Pena-k-x2n
@Pena-k-x2n Ай бұрын
Call him
@CarolineWAnja-o4f
@CarolineWAnja-o4f Күн бұрын
Wanaumé nini mbaya seriously mkule shida badaye anaendea watoto wadogo adabu ana
@edwinyoga1590
@edwinyoga1590 Ай бұрын
mbona wanasmile wakijifanya wanachapana????
@geoffreymasiege
@geoffreymasiege Ай бұрын
Absolutely, slay Queen is a complete gold digger indeed. Wanjala must wake up, he is ashamed of confronting the gold digger right before his original wife.
@MargaretWangui-v2i
@MargaretWangui-v2i Ай бұрын
Stanoo leta huyo kijana we want problem
@VallerieKegode-lt3dc
@VallerieKegode-lt3dc Ай бұрын
Acha wanjala asomewe message “imtoke"
@jacintawachuru1999
@jacintawachuru1999 Ай бұрын
😂😂😂mzaee hajui threesome ni Nini...amegongewa Mali yake vilivyo kwa gari😂😂😂
@AnnNyambura-d3q
@AnnNyambura-d3q Ай бұрын
Mwanaume, mjinga wa mwisho
@zainabmakokha
@zainabmakokha Ай бұрын
Mzee una gongewa na sio mlango😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂
@NyambuNyambu-zn9bh
@NyambuNyambu-zn9bh Ай бұрын
Hahahaha 😂😂 Ety Mimi simede
@Neem867
@Neem867 Ай бұрын
Uyu mzee angevaa kofia ya yellow akue tasker baridi
@nasykanjawakanyoni1421
@nasykanjawakanyoni1421 Ай бұрын
Kasongooo eeeeeiiiiiiiiiiiii😂😂😂😂🎉🎉😂🎉😂🎉😂
@KameshStar-v4j
@KameshStar-v4j Ай бұрын
Soma rigaraeeeeeeeè😅😅😅😅
@leleykimeli
@leleykimeli Ай бұрын
Mzee yuko na akili chafu kama sura yake tu,fala😢😢
@MargaretSiema
@MargaretSiema Ай бұрын
Good one
@GladysJemutai-f8j
@GladysJemutai-f8j Ай бұрын
Huyu amegorokewa hajielewi
@kevincarlos-ss1hl
@kevincarlos-ss1hl Ай бұрын
Mzee kaunda na anasema anadate 😂😂kwa ni jeshi la ukovu
@Monicah-qe5su
@Monicah-qe5su 27 күн бұрын
Lakini kusema ukweli huyu mama anakaaa kukunywa busaa
@LeahEdwin-n6c
@LeahEdwin-n6c Ай бұрын
Ila huyu malaya ana kelele kama kichaaa
@KayembaYaya-g7m
@KayembaYaya-g7m Ай бұрын
Wanjala ajakoma mbado
@happinessnyaboke4940
@happinessnyaboke4940 Ай бұрын
😂😅😅mzeee alipata malaya akaanguka nayo 😅😅na dem yupi n her right senses anaezaje enda 3some na ako comfortable 😮😮😮mzee anagongewa mbaya😅😅
@mwendenaomi33
@mwendenaomi33 Ай бұрын
Mzeee alipewa sambu adi akuaza shamba 😂😂😂sambu iko na nguvu kweli
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
STIVO SIMPLE BOY TALKS ABOUT HIS BEEF WITH OGA OBINNA,KASONGO VIBES
12:27
Ep 179  She Wants 6 Rounds I Can Only Do 1 Round 😭
14:34
JOZI BIOSKOP
Рет қаралды 54 М.
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН