Рет қаралды 1,226
MAISHA YA ROHONI NDIO ASILI YETU, TUKIISHI NJE YA HAYO HATUNA MAISHA, KILA KITU KINACHOONEKANA KWA MACHO YA NYAMA KIMEANZIA ROHONI, HIVYO BASI ROHONI NDIPO TUNAPOTAKIWA KUISHI NDIPO TUNAPOTAKIWA KUSHINDA KABLA YA KUDHIHIRIKA KATIKA MWILI.