Asante mwalimu kwa somo zuri sana. Litawasaidia wengi ambao wanapata shida kujua namna ya kuhamia ufunguo wanaoimbia wanakwaya.
@masembomusicforbeginners Жыл бұрын
Amina. barikiwa zaidi
@LawiKalinga-n4e Жыл бұрын
Nimekuelew sana
@masembomusicforbeginners Жыл бұрын
Karibu Sana kaka
@calebmwendwamuthama14773 ай бұрын
Special teaching. Nasikiza nikifanya kazi. Baraka ziwe nawe
@masembomusicforbeginners3 ай бұрын
Barikiwa zaidiii
@GoodluckWency Жыл бұрын
Mungu ni mwema mwalmu unapatikan wap
@masembomusicforbeginners Жыл бұрын
0717462698
@DanielYusuph-0716 ай бұрын
Brother mungu akuinue sana nilikuwa mzito sana kutambua key ya mwimbaji ila sasa mungu ni mwema kupitia wewe nimepata mwanga 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@masembomusicforbeginners6 ай бұрын
Amina Sana Mtumishi
@SamwelMsigwa-qe9dr7 ай бұрын
Asante umetufundisha kitu kikubwa sana 👏
@masembomusicforbeginners7 ай бұрын
Barikiwa Sana
@leonardwaah4370 Жыл бұрын
Somo zuri Sana hili
@masembomusicforbeginners Жыл бұрын
ahsante Sana ndugu
@antonysikuku30874 ай бұрын
Mwalimu uko sawa kabxa nitakufatilia kabxa
@masembomusicforbeginners4 ай бұрын
@@antonysikuku3087 0717462698 nipigie
@barakamartini-j7n10 ай бұрын
Kaka upo vizur mungu akutumie Zaid hasa katika kipindi Cha uamsho❤😊
@masembomusicforbeginners10 ай бұрын
Amina Mtumishi wa Mungu
@davidsimba93559 ай бұрын
Mungu akubariki kupitia mafunzo yako nazidi kukielewa kinanda
@masembomusicforbeginners9 ай бұрын
barikiwa Sana
@elishalaurent2892 Жыл бұрын
Asante sana nimepiga hatua kwenye kitu ambcho kimenitesa sana ❤
@masembomusicforbeginners Жыл бұрын
pole Sana kaka
@MdabuloDispensary6 ай бұрын
Ubarikiwe sanaaa
@masembomusicforbeginners6 ай бұрын
Amina Mtumishi
@MercySuleiman-bp1koАй бұрын
Asante sana ubarikiwe
@masembomusicforbeginnersАй бұрын
@@MercySuleiman-bp1ko amen AMEN
@FrankFrankjoseph4 ай бұрын
Upo vizuri kaka
@masembomusicforbeginners3 ай бұрын
Amen
@justus699510 ай бұрын
Aisee nilichelewa tu kukufaham Una jambo jema aisee
@masembomusicforbeginners10 ай бұрын
karibu Sana rafiki
@nicodemuslwamuzigu58977 ай бұрын
Nimependa sana mafundisho
@masembomusicforbeginners7 ай бұрын
Barikiwa Sana ndugu
@JonasNdinda Жыл бұрын
Mwalimu mzuri sana kabisa
@masembomusicforbeginners Жыл бұрын
ahsante sana kwa kunikubali. share zaidi
@petermomanyi6326 Жыл бұрын
Thanks bro may God bless you
@masembomusicforbeginners Жыл бұрын
thank you too. Always welcome
@isayamlimbila1522 Жыл бұрын
❤
@masembomusicforbeginners Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@danielbrizzy3 ай бұрын
❤❤Asante mwalimu
@masembomusicforbeginners3 ай бұрын
Amen AMEN
@MPUNGAAVALINGANAMPUNGA10 ай бұрын
UBARIKIWE SANA KAKA
@masembomusicforbeginners10 ай бұрын
amina Sana.
@davidmaina2560 Жыл бұрын
Kabisa ❤❤
@masembomusicforbeginners Жыл бұрын
Amen
@gideonhubert15778 ай бұрын
Very useful
@masembomusicforbeginners8 ай бұрын
Thanks a lot
@carolinewayua53034 ай бұрын
Be blessed
@masembomusicforbeginners4 ай бұрын
Amen AMEN
@ericzigabe6945Ай бұрын
Vizuri sana lakini unapiga wimbo zinazokua sawasawa yaani only 2 chords
@masembomusicforbeginnersАй бұрын
@@ericzigabe6945 karibu sana. 0717462698
@eduowino10 ай бұрын
Nice tutorial..
@masembomusicforbeginners9 ай бұрын
Stay connected
@mussashabani-x3n11 ай бұрын
Ahsante
@masembomusicforbeginners11 ай бұрын
karibu sana
@Mr-VOCHAchannel7 ай бұрын
Hapo uhakik a sana kaka
@masembomusicforbeginners7 ай бұрын
ahsante sana
@maselebundala2300 Жыл бұрын
Asante sana
@masembomusicforbeginners Жыл бұрын
ubarikiwe Sana
@maselebundala23003 ай бұрын
Tunaomba somo jinsi ya kupiga rizimu ya beat yeyote Baada ya kupata key yake..!
@rash4dkwilasa962 Жыл бұрын
Je ambao tunapiga key Moja tu zingine hatujui
@masembomusicforbeginners Жыл бұрын
Tumia transpose function. Ukishapata key unatranspose kuja kwenye key yako
@masembomusicforbeginners Жыл бұрын
Lakini huwa nawaambia watu kujua kupiga key Moja tu Ni uzembe Sana. Utateseka kila saa kutranspose
@eduowino10 ай бұрын
😅😅
@eduowino10 ай бұрын
Nimependezwa tu sana..
@JoyceJoyceurio Жыл бұрын
Mwalim kunakitu kinanishinda
@masembomusicforbeginners Жыл бұрын
Chukua namba yangu 0717462698 tuwasiliane
@yusuphmarka5868 Жыл бұрын
Duh ngoja nianze mazoezi
@masembomusicforbeginners Жыл бұрын
Pambana ndugu yangu
@Hamisi-w5h4 ай бұрын
Unapatikana wp
@masembomusicforbeginners3 ай бұрын
Nipigie tuongee 0717462698
@JonasNdinda Жыл бұрын
Uzidi kutufunza
@masembomusicforbeginners Жыл бұрын
share zaidi na wengine wajifunze
@JudicaMollel6 ай бұрын
👏👏
@masembomusicforbeginners6 ай бұрын
🙏🙏🙏
@jacksonsyskl4601 Жыл бұрын
Kupigia c# inakua kugumu kidogo
@masembomusicforbeginners Жыл бұрын
Fanya mazoezi kwa wingi au jifunze ku-transpose
@YohanaMarcoAmosi9 ай бұрын
Naomba key A mwalimu
@masembomusicforbeginners9 ай бұрын
ubarikiwe Sana. tuwasiliane Kwa namba 0717462698
@NehemiahBashahuАй бұрын
Organist, weka namba yako ya cm watu wajiambatanishe na darasa lako kwa sadaka. Sadaka ni mbegu
@masembomusicforbeginnersАй бұрын
@@NehemiahBashahu Amen. +255 717 462 698
@Hamisi-w5h4 ай бұрын
Hi guy naomba no yk ya piano
@Hamisi-w5h4 ай бұрын
I am a Christian
@Hamisi-w5h4 ай бұрын
I am pianist so I need to teach me how to find someone he or she sing the songs plz may God bless u
@masembomusicforbeginners3 ай бұрын
+255 717 462 698
@masembomusicforbeginners3 ай бұрын
God bless you so much
@allyramadhani51015 ай бұрын
Jinsi yakuzipata namba zakatikati
@masembomusicforbeginners4 ай бұрын
Tuwasiliane Kwa namba yangu iliyoko hapo kwenye video