Dady chief apstle Asante sana kumbe kuomba bila kupata mafundisho ni sawa na bure ,dad nimechelew kukujua lkn labda pia huo ndo wakati wa mungu.❤️❤️🙏🙏
@sharonnasambu67533 жыл бұрын
Yaani nimekuelewa mchungajii na nimejua wapy am wrong ckua jua haya Asante.... Nashukuru mungu kwa hii neema nimejifunzaa kwa kwely.
@petercastro7764 жыл бұрын
Amen,I receive this message in Jesus name barikiwa Sana
@saramtei43712 жыл бұрын
Amen
@gracekwila56744 жыл бұрын
Daaah hili somo ni balaa yani liko deep sana... Kumbe sadaka inasiri kubwa hivi... Nimejifunza vitu humu nimepata nguvu kubwa sana i wish kila mtu aliangalie hili somo Asante sana mtume somo zuri sana
@deborahdelly45323 жыл бұрын
Nimejifunza kitu somo zuri sana ubarikiwe zaidi Mtumishi wa Mungu
@chrismwesiga23344 жыл бұрын
Yahaani wewe kaka,cjui kwann ckukujua zamani,hila nahata sasa nshukuruungu.madhabau imekula ukoo wangu hila namsshukuru mungu ameingilia kati mauti imemezwa.
@roberthafavour7841Ай бұрын
Amen amen
@deboranyerere24893 жыл бұрын
Nami napokea ktika jina la yesu mie na family yangu
@agathasalema14553 жыл бұрын
Amen Chief .. Nimeelewa na ntaifanyia kazi
@felestinekwamboka28732 жыл бұрын
Be blessed nimejifunza vitu mingi kuhusu sadaka ameeen 🙏🙏🙏
@jacquelineallemann6044 жыл бұрын
Amen 🙏 nimejifuza asante man of GOD nimeelewa Siri ya madhabahu🙏
@user-cg1wb3jj2n2 жыл бұрын
Ameeeeen 🙏🙏🙏🙏
@highnesseverest36193 жыл бұрын
Ameen Pastor ahsante sana
@hildpaul78232 жыл бұрын
Ni kweki kabisaaa nimetoa sana but now days wamenikosa in Jesus name
@pastormartins68343 жыл бұрын
We're blccd our apostle.... For preaching definite will be free.....
@alvinemajani63954 жыл бұрын
Nimeelewa kabisa,, nashukuru kwa mafundisho yako Apostle Chief Mtalemwa,ata kama yamepita yanapamba
@farajamkuchu84585 жыл бұрын
Asante sana Apostle nimepokea neema hii ya MADHABAHU
@happayeustace56674 жыл бұрын
Hili somo limenifungua sana baba asante
@saadahmahfudh57905 жыл бұрын
Mafunzo muhimu,asante,barikiwa
@samsmu38064 жыл бұрын
Barikiwa Mtumishi kwa SoMo nzuri la mazabahu.
@esthercharles22103 жыл бұрын
AMEN!AMEN!AMEN!!!!
@clairemuchai6233 жыл бұрын
Thanks
@kabulakinanda50024 жыл бұрын
Halaka halaka nakupenda bule MUNGUa akubaliki
@saramalila44413 жыл бұрын
Ee mungu ulie hai fungua ufahamu wangu wa ndani kupitia SoMo hili pia ubarikiwe mtumishi
@justinajoseph395 жыл бұрын
Asante Kwa somo Chief,, nimejifunza.
@romaniombay36425 жыл бұрын
Asante mungu kwa nabii wako
@chrismwesiga23344 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi,nipo Arusha,ninashukuru kwa hili somo,madhabau imekula ndugu zangu wengi,hila namshukuru Mungu alinipa haya mafunuo,nikatengeneza nasasa mauti imekoma,unafundisha vizuri,unaeleweka,mwenya masikio na asikie neno roho anayabia makanisa.
@mikemrosso56794 жыл бұрын
You're too much man of God....
@jokshannubuntu25803 жыл бұрын
❤️🇧🇮
@ireneasina79463 жыл бұрын
Asante
@susanmugure60983 жыл бұрын
Pls servant of God what will I do pls I want to speak with you
Madhabahu ya makaburi.!! Baba alipata kuapa na kuonyesha na kuweka alama eneo angelizikwa pindi mauti ikimkuta,.na hata kuzihifadhi mbao nzuri za Sanduku lake. Aliwaambia watoto wake, Ukoo wake, na hata kijiji, na hata watumishi wachungaji wa kanisa lake kkkt. Baadhi walipinga na maamuzi yake yalitekelezwa nusu nusu. Nini kitakachotokea kwa ukatili na ukatili huo wakati marehemu ameshalala tofauti na maagizo yake kwa uzao wake, mtumishi PASTOR MUTALEMWA? ASANTE SAAANA BABA. NITAPOKEA USHAURI WAKO.