Wimbo mzuri nikiwa mtoto adi sasa.... please do (Nawakumbuka Mashujaa)
@SalvatoryMloka-j5w15 күн бұрын
Kwakweli nyimbo za Muungano Christian Choir zinanibariki Sana.
@muunganochristianchoir_Tz15 күн бұрын
Amina.
@SalvatoryMloka-j5w14 күн бұрын
Ombi langu jitahidini kutuwekea nyimbo za Audio za zamani hasa ile Album ya nyimbo za maombolezo ya Natembea Mimi ni marehemu ile Album naipenda Sana hasa wimbo wa siku zangu zikitimia nitayarudia mavumbi, mbarikiwe saaana.