Рет қаралды 356,794
Shukrani kwa Mungu kwa uwepo wa hiki kifanyikacho duniani japo kwenye maisha kuna mambo mengi yanayohusisha watu wengi ndani yake ila kuna muda unaweza ukajihisi mpweke katikati ya kundi la watu,Hisia Za Moyoni ni wimbo unaolezea mengi. Tazama , comment, share na bilakusahau subscribe account yangu kuendelea kufuatilia mengi kutoka kwangu.
Asante.
Download link: www.mdundo.com/a/972
Facebook : Songa (official page)
Twitter : @NiiteSonga (Official page)
Instagram : @NiiteSonga (Official page)