Song : Rhoda Singer : Ngouma Lokito Album : Morenita
Пікірлер: 124
@BenjaminMilimu20 күн бұрын
Nilipitia kwa dirisha ushiku kwa sababu ya huu Mziki ambao ulikuwa kitulizo cha Roho.
@ousman7927 Жыл бұрын
Longassa ya bongo l'un des meilleurs guitariste de son epoque et les soukous stars en générale étaient des légendes
@limbalimuyendekwa5108 Жыл бұрын
The songs which will stand the taste of time and never lose quality
@Nacy-vt5yb5 ай бұрын
Hata mimi hii song nakumbuka nikiwa miaka tisa napenda lingara sana nyimbo zamani ni tamu sana
@shyfettymtunda4619Ай бұрын
2025🎉🇹🇿 Huu wimbo ulikuwa habari ya mjini miaka hiyo!😂 Wimbo unaniletea kumbukumbu nzuri kabisa za utoto wangu!
@MsevenSaudisaidi5 ай бұрын
Watoto wa 2000 wakae mbari sana na hinyimbo
@JohnbarasaWafula5 ай бұрын
Niliacha nyama jikoni ikaungua Niki cheza hii Ngoma SEMA kuchapwa
@stanlaurent51212 ай бұрын
😂😂😂😂
@danielphilipo9088Ай бұрын
Enzi hizo hakika nyimbo za zamani zilikuwa 🔥
@martinchege3623Ай бұрын
This was fire works then I dropped out of high school in 1996 to concentrate on this particular song.
@jumatelatifo1668Ай бұрын
Me recordo nos tempos de 2000 em Moçambique 🇲🇿 na província de Cabo Delgado, Distrito de Ancuabe na aldeia de Macaia minha terra natal . O templo passou e muita coisa mudou inclusive as pessoas também....
@barakamlowe33286 ай бұрын
Wewe dadaeeee wacha weeee ngomaaa kali miaka hiyo nachunga ng'ombe daah
@danielphilipo9088Ай бұрын
Hahahaha
@mussayombo23112 ай бұрын
Wimbo mzuri sana,unanikumbusha Enzi hizo!
@EmanuelHoloti6 ай бұрын
Nakumbuka enzi za kanda na radio za double deck
@stanlaurent51212 ай бұрын
Hapa ni Legendaries tu ndo tunakuelewa
@amosmulala2 ай бұрын
😊
@bonifacejuma-l9l3 ай бұрын
Wale wa 90s only mukowapi kwa radio carcet weeee
@pharoah-ahmose60757 ай бұрын
Every Congolese musicians owe Kenya big time 😂😂
@nobleideas28382 ай бұрын
Music was their salvation. Many survived because of their talent
@mshael76573 ай бұрын
Kitambo sana mtaani Dandora ilikuwa safi, vipepeo na dede kila mahali
@HamoudMahamud3 ай бұрын
😂😂😂 upo sawa mkuu mimi mwenyewe nilikuwa nipo dalasa la saba,wallah nikisikia hiyi kitu,ubongo unakuwa haufanyi kazi,na nikiangalia bibi yangu alikuwa mtallam wa kupika pombe kali ngongo na kindi mbege duuh,noma sana,wajukuu mnakaa jukwaani kuanza kunyamka 😂😂😂
@mshael76573 ай бұрын
@@HamoudMahamud ilishamiri inanikumbusha anga na mazingira Safi, Dandora haikuwa jaa la taka
@mainaomar21702 ай бұрын
@@HamoudMahamud😅😅
@danielphilipo9088Ай бұрын
Kweli wewe wa kitambo hadi dede unawajua😂😂😂
@stephenoddiaga3271Ай бұрын
My days in college many years ago. Long live African Music.
@jackmaithya24 күн бұрын
Hii ilifanya tukalala saa sita tukidance wakati wa Christmas ezi hizo.
@bukendeogango794114 күн бұрын
Wewe unasema saa sita na mimi hata sahii saa nane sijalala😂😂😂
@hassangwimo18614 ай бұрын
Mimi Bado ninazo hapa Ngoma hizo bila punguzo. Redio ni Sony out reverse. Kanda au tap ndiyo ilikuwa habari ya mjini. Karibuni nainjoy pekee yangu wengine hawana tena.😅😅
@sadikiel2553 ай бұрын
Video cassette yake unayo? Hizi za KZbin ubora mdogo
@mainaomar21702 ай бұрын
😂😂😂@@sadikiel255
@FerdinardKazungu-n2mАй бұрын
This Saladana disso SOLO guitar is awesome ❤❤
@RuttoRules-nu9px12 күн бұрын
Guitarists-Lokasa ya mmbongo;Ngouma longito;Felipe(Saladin) Ferreira
@MuhammadHemedi-o1v2 ай бұрын
Hii ngoma inaniliwaza saaana tu
@ALEXMULONZYA-o8b5 ай бұрын
I really love their combination of. Instructions and excellent vocalists.
@kennethotsieno-qt6wi5 ай бұрын
Solo guitar salad ridhim guitar lokasa yambongo bass guitar ngoma lokito waaa 1994 invites presents malika acheni hii musikii
@muziraandrew91256 ай бұрын
Grew up listening to this, Uganda fort Portal
@jkbfadhili5682 Жыл бұрын
I love this song ! Mama Rhoda
@josephokatsa14242 ай бұрын
Inashika kushika wee!!
@TatuMatiko7 ай бұрын
Yondo jamani nakumbuka nilikuwa nasoma darasa la sita nakumbuka mbali sana
@SamuelOndara-sr5bn6 ай бұрын
Very nice music ❤❤❤❤❤
@apolloolang3 ай бұрын
This songs reminds me wah mid 90s.
@erickoketch124929 күн бұрын
It was fantastic
@PhilipSamanayo-wl2tk24 күн бұрын
Hii naipenda sana
@DANIELNGANYI22 күн бұрын
moto kama pasi
@mosesotieno185 ай бұрын
There was no jokes with music pure entertainment
@SenyFofana-fe1wc3 ай бұрын
J'adore ça c'est très magnifique
@NeemaJackson-g2u7 ай бұрын
Mambo yalikuwa moto sana
@chesterchaphuka82676 ай бұрын
All time great. I love Africa.
@roselusenaka75485 ай бұрын
Remind me of my late hubby.
@simba198220007 ай бұрын
Reunion please 🔥🔥🔥
@EstericoNdisha4 ай бұрын
Best music ever
@ronnymusalia80985 күн бұрын
Wee memories..
@EsauKaunda3 ай бұрын
sana mambo safi
@geofreymamboleo7091 Жыл бұрын
KENYA A COUNTRY WITH MOST BEAUTIFUL WOMEN WELL MENTIONED
@mainaomar21702 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉 3:18 q is ezos up 👆 in the 3:42 in 😊😂🎉😢
@RashidMohamed-i7y2 ай бұрын
Kitambo sana
@mustafamusa92303 ай бұрын
Vgood ❤🎉
@princelarry806811 ай бұрын
Just in love with Saladin fereira
@MariaShija-vy2sdАй бұрын
Nampenda cn shimita lokasa balukanda bokilo nguma nk wewe je