Imani na nguvu za mungu umueka mtu huru,asante sana babu kidume cha kijiji pamoja na mjukuu wako Rita.
@helghibrealfanelatifoalfan6111 Жыл бұрын
Me Biba e a Asma são melhores actores,sou moçambicano de cabo delgado,mas sou fã desses tanzanianos, ou melhor,sou fã desses actores tanzanianos, meus parabéns.
@wickliffebulemi31638 ай бұрын
Asante Kwa kuokoka mzee kindume
@mwashambakipanga45282 жыл бұрын
Mariam unaweza udugu Wang mungu akubariki katika kazi yako
@jumakavula.8962 жыл бұрын
Kuna mafunzo meng sana ndan ya filam hii, hongeren sana.
@aminamuyinga23133 жыл бұрын
Daar asanten kwa move nzur mungu awasaidie
@neymamtatiro68793 жыл бұрын
Mazingira yak pow so ile bit ndiy inabow I'll mpo vizuri
@biommy67003 жыл бұрын
Pwahahaaa Ati ndizi na maparachichi aah wee Mzee weee nimecheka yangu yote
@m.mmarckus62983 жыл бұрын
Kaaaaaaa babu noma eti nimalizie naww
@chidifroo78692 жыл бұрын
Muko godi kabisa dah na mm ninaweza kupata nafasi ya kujiunga na kikundi hicho Mana na mm najuwa kuigiza
@suleimanibrahimndoro80993 жыл бұрын
Nimempenda sana huyu binti Asma na binti Ngoma
@hovsback14053 жыл бұрын
Movie smart sana napenda kufatilia hii team inavyo act,, wanaact vizuri sana na kimaisha halisia ya sasa. Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@braisonmangula72702 жыл бұрын
Ry5y
@ayushjhay43612 жыл бұрын
ndizi na maparachichi😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮 jaman huyu bàbu100%
@rahmar35643 жыл бұрын
Tena akome akomaeeh kweli🤣🤣🤣🤣🤣aende kwa mama yake😁😁😁
@wickliffebulemi31638 ай бұрын
Kwa ni huyu mzee ana madawa ya kushawishi wasichana simuelewi
@chidifroo78692 жыл бұрын
Na mm naomben nafasi ya kuigiza
@rahmar35643 жыл бұрын
😂😂😂😂Asifunge məkanda ama zipu duuuh 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kime umana duuh🤭🤭🤭🤭
@FaydhaAlly59 Жыл бұрын
Yaan movie zote saut tatizo mnanini lakin
@jyohana00592 жыл бұрын
Munaigiza fresh lakini maelezo malefu mno Hadi tunachoka kusubilia
@alexkelvin16902 жыл бұрын
Ila movie Kama hizi huwa sipendi mnavyokata sauti
@mwanamisirama18362 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 babuu umevunja rekodi aky
@samwelnyamhanga22653 жыл бұрын
Ninacho kishangaa kuna maneno mengine hayasikiki nasikia biti 2
@FadhilikifuntaFadhilikifunta Жыл бұрын
Muve Zur San + Lushoto hiy
@valestwolo7776 Жыл бұрын
Sina uhakika ila kama huku sio kwetu sambaani lushoto ni bahat sana kunu naghamba ni lushoto du hata muemee
@mohamedpesambili94604 ай бұрын
Yeah iyo ni Lushoto
@zalhahmustaph72192 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣et ndiz na marachichi
@zalhahmustaph72192 жыл бұрын
Mtu na babu yake wakutan
@alexkelvin16902 жыл бұрын
MUNGU aibariki kazi ya mikono yenu.
@hamisiahmed-x9l Жыл бұрын
Sasa move gani hii inaanza hata sauti haipo nn mbaya na nyinyi kila mara ndoo hivoshida haswa ni nn?
@omarmkali36103 жыл бұрын
Mko vzuri aise
@williamyouze43963 жыл бұрын
NATAMANI KUJUA HAYA MAZINGIRA NI WAPI
@williamyouze43963 жыл бұрын
Ni pazuri sanaaa
@irenejoseph59253 жыл бұрын
je naweza pata kiwanja huko lushoto?
@hamisiahmed-x9l Жыл бұрын
Hata mmezidi ayiii kila mara ni sauti hakuna hamjui SS tuna follow move??
@ashasoud58902 жыл бұрын
Mov zenu nimzuri hata mazinhira yake ya kijijini ikop
@mtabiriwanyotasheikhadinan25743 жыл бұрын
Mazingira ya lushoto vijijini
@fikirijuma95303 жыл бұрын
Mhhhh
@petermagumba4440 Жыл бұрын
Waigizaji Msipende kuiga vitu ambavyo haviendani na hitajio la Tamthilia....Nini Maana ya kuto sauti.....wenzenu hufanya kwa kipande kifupi sana cha sekunde...na mana yake utaipata mbele....nyie heeee...??!!!!!