Spack - Maumivu (Official Music Video)

  Рет қаралды 26,199

Spack (Tz)

Spack (Tz)

Күн бұрын

Пікірлер: 136
@sethmisheckmshani8376
@sethmisheckmshani8376 2 ай бұрын
On behalf of my ancestors, family, friends and my wicked landlord, I would like to certify this song to be the hit here in Zambia,
@evansokoth9925
@evansokoth9925 2 ай бұрын
In Zambia you speak Swahili?
@robertevarist1595
@robertevarist1595 2 ай бұрын
Vya zamani ni dhahabu, tumemiss Sana muziki km huu ahsante bro Spack👍👍👍💪💪🙏🙏🙏
@TALLUBOY
@TALLUBOY Ай бұрын
bado unaonekana young brother
@NgomaSheck
@NgomaSheck Ай бұрын
❤bonge la ngoma👍👍👍👍💕💕nice broo
@NestoryHermence
@NestoryHermence Ай бұрын
Huyu mwamba anaweza sana aiseeeh
@pachelapachella1486
@pachelapachella1486 3 ай бұрын
Msanii wangu wa muda Ote Karud Tena.... ❤
@lovinomwamtambulo6629
@lovinomwamtambulo6629 Ай бұрын
Bonge la ngoma uchungu sana kwa voice kama hii inapotea naumia
@buja_fleva
@buja_fleva 2 ай бұрын
Welcome back Spack Tz Burundi 🇧🇮 tuko pamoja nawewe
@mcsam254
@mcsam254 2 ай бұрын
Nimeamini kweli Ngombe hazeeki Maini…LEGEND Amerud
@MathayoRajabu
@MathayoRajabu 3 ай бұрын
Spack nakuomba achia nyimbo zote za zamani yutube ,kuna ile ulio mshirikisha Mwanafa watoka albam ya ombi langu.
@mulondakiyomarodriguerodri7261
@mulondakiyomarodriguerodri7261 2 ай бұрын
nime kumbuka siku uko kwenye radio uka jibu journaliste iyi ni kichwa ya biashara ya musique courage kaka niko congo Drc goma 🎉🎉
@AffectionateArcticFox-ev4sm
@AffectionateArcticFox-ev4sm 2 ай бұрын
❤❤❤
@MAZINGER7
@MAZINGER7 3 ай бұрын
Mdogo ake na Spack hapa 🔥🙌🏻 hatimaye karud kaka
@ramadhanimnyambika8003
@ramadhanimnyambika8003 2 ай бұрын
Hii ndo bongo flavour yetu sasa
@GelsonMadahas-iz8ub
@GelsonMadahas-iz8ub 2 ай бұрын
Nice melody nyimbo kalii san umeuwa spack 🔥 🔥
@silashemed4849
@silashemed4849 2 ай бұрын
ebanaeee hata sauti haijapotea🎉🎉🎉🎉
@ShizzlePeter
@ShizzlePeter 3 ай бұрын
Bonge la message kwa wasaliti
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 2 ай бұрын
Ngomaa kalii sana🎉🎉🎉
@MathayoRajabu
@MathayoRajabu 3 ай бұрын
Kali sana
@Echo254_
@Echo254_ 2 ай бұрын
💥💥💥💥
@superchainmobile8016
@superchainmobile8016 2 ай бұрын
Sikupingi kaka 🙌
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 3 ай бұрын
Bonge la ngoma
@mapesaomary-ip3vf
@mapesaomary-ip3vf Ай бұрын
Ngoma imesimama sana 🎉
@MarkSeven_Tz
@MarkSeven_Tz 2 ай бұрын
Hua hukosei safiii sanaa
@vatcanphwashua
@vatcanphwashua 3 ай бұрын
KAKA MKUBWA😢😳🤩🔥🔥🔥🏆
@muwezahasani4017
@muwezahasani4017 2 ай бұрын
Much respect 🔥🔥
@allyzahoro1785
@allyzahoro1785 3 ай бұрын
Usiku silali kitanda sitamani ,Tatizo wewe my darling,kosa la kwako unasimngizia shetani🎶🎶🎶😭😭😭
@HusnaJumaa-r5s
@HusnaJumaa-r5s 2 ай бұрын
Kaka unajua asant kwa hili dundoo
@ChimeraSuremani
@ChimeraSuremani 2 ай бұрын
Ubola umeludi mzee wa sauti na mashahili
@kapolanewztv194
@kapolanewztv194 2 ай бұрын
Ya kwetu Kaka Acha Ipepeee❤️
@albadaumumbiri8151
@albadaumumbiri8151 2 ай бұрын
Nyimbo ya moyoni hii pure bongo fleva
@HonestBway
@HonestBway 2 ай бұрын
Saut bado ipo ngoma kal sana ttz ukimya sn endelea kupush tuondoke 🔥🔥
@goldenstallionpictures
@goldenstallionpictures 2 ай бұрын
Wooow my brother hii ndio kitu nilikuwa nasubiri kwa miaka mingi..saluuute sana mwamba.👍👍👍🔥🔥
@RidhwaniHaniv
@RidhwaniHaniv 3 ай бұрын
❤ great return, great song
@mhinajerome5964
@mhinajerome5964 2 ай бұрын
Oyaaaa mwamba nakubari ngoma kali sana tuendelee kumsaport mwana
@NatuRayde-zy8nl
@NatuRayde-zy8nl Ай бұрын
Asante sn kwa kutupa muzik mzur🥰
@JBmkaliClassicTz
@JBmkaliClassicTz 3 ай бұрын
Nice song my brother
@ShabaniAlly-oz9te
@ShabaniAlly-oz9te 2 ай бұрын
Nipe lipoti kaka kitambo sjakuona all the best bro🎉
@JOMUSICOFFICIAL552
@JOMUSICOFFICIAL552 3 ай бұрын
We gooo
@BlacksonIsmael-m8u
@BlacksonIsmael-m8u 2 ай бұрын
Dah afadhali nilimis sana hii ladha long time
@mustapherabdul7118
@mustapherabdul7118 3 ай бұрын
Tulikumic kwenye game bro ❤❤
@mohamedhamisi9766
@mohamedhamisi9766 2 ай бұрын
Kazi nzuri sana mwanangu
@sunguraally2456
@sunguraally2456 2 ай бұрын
Nakubali broo, oya safi sana aisee
@NikolausMnanka
@NikolausMnanka Ай бұрын
Spak kitambo sn kaka 2mekumiss sn bado upo vizur
@JacksonMalimaMuhusi
@JacksonMalimaMuhusi 2 ай бұрын
Duhhh ulikuwa wapi mwamba haya maumvu hayafikii ulivyotuacha wapweke lakn bado tuko wote❤❤❤
@Kimweri_tz
@Kimweri_tz 2 ай бұрын
Superb
@davidbonaventure1
@davidbonaventure1 3 ай бұрын
kakaaaaaa I'm waiting for it
@kadomukumba9890
@kadomukumba9890 2 ай бұрын
Nakukubali legenda... bro Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲
@shebbylovemsafi903
@shebbylovemsafi903 2 ай бұрын
Awee speak 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦❤❤❤
@peaceone6756
@peaceone6756 2 ай бұрын
it's good song my brother congratulations 👊
@bboyclassictz4097
@bboyclassictz4097 3 ай бұрын
Chuma kweli kweli 🎉🎉
@dainizotz
@dainizotz 3 ай бұрын
kazi kari mhimu kutopoa tunakumix sana🎉
@RemmyTizzo
@RemmyTizzo 3 ай бұрын
Ngoma kali sana broh
@franciscotemba6929
@franciscotemba6929 2 ай бұрын
one of ma best singer always
@HanifaHamisi-k9o
@HanifaHamisi-k9o 3 ай бұрын
Kakaake ❤❤❤
@evansokoth9925
@evansokoth9925 2 ай бұрын
Thanks for coming back (Ahsante sana kwa kurudi mtu wangu) my best, looking forward for more❤
@hassanmwasiwa296
@hassanmwasiwa296 2 ай бұрын
Nakubali Mr.spack wewe ndio namba moja kwenye wasanii wenye sauti na good melody haujui kufake bigup mzee baba tummies uwepo wako kwenye game
@fanulibopezzuto336
@fanulibopezzuto336 2 ай бұрын
Vipi Q Jay
@NuruWadady-ik2dt
@NuruWadady-ik2dt 2 ай бұрын
Bado tunakudai mashabiki zako
@HemedyMahupa
@HemedyMahupa 3 ай бұрын
🔥🔥🔥
@issataslima9846
@issataslima9846 2 ай бұрын
Safi saana mkuu kazana bado tupo tunao amini hivi
@mohammedmbelwa
@mohammedmbelwa 3 ай бұрын
Msambaa mdigo hapo kwenye midevu tu ndo shida date ten on ma way
@islam-w1n
@islam-w1n 2 ай бұрын
Hongera kaka
@Mtamaduni14
@Mtamaduni14 3 ай бұрын
Welcome back Spack much love from kenya
@alhajiFashions7563
@alhajiFashions7563 2 ай бұрын
My favourite artist
@directoreagle26rongc
@directoreagle26rongc 2 ай бұрын
Hakika imenigusa sana na imenikumbusha mbali sana... Much respect ma blood bro🤝🦅
@ibrahstar7590
@ibrahstar7590 2 ай бұрын
Una kipaji kikubwa SANA kaka mkubwa.
@BohariTz
@BohariTz 3 ай бұрын
🔥🔥
@pachelapachella1486
@pachelapachella1486 3 ай бұрын
Atimae nimeipat😂😂😂😂😂😂
@bakarimakame4694
@bakarimakame4694 2 ай бұрын
Kkk pambana unaweza
@njapukaadhra9550
@njapukaadhra9550 2 ай бұрын
Goma kali Sana
@victorburser1717
@victorburser1717 2 ай бұрын
Kanhoma kakali aseeee hii come back imekua yakishindo asee
@RabbyTz-k6l
@RabbyTz-k6l 2 ай бұрын
umechelewa kuludi my brother ila tuendelee kupambana coz we ni zaidi ya tunda nakuamini sana
@zawaditenatz5108
@zawaditenatz5108 2 ай бұрын
Nomaa
@JBmkaliClassicTz
@JBmkaliClassicTz 3 ай бұрын
Nimeisubir hii kaka
@Jimmydaudift
@Jimmydaudift 2 ай бұрын
Yamoto sanaa tuna penda km hivyo upo ndani yamuda
@PidfourYoungTz
@PidfourYoungTz 2 ай бұрын
Hii imeenda karibu tena kaka
@KhalifaMwinyi
@KhalifaMwinyi 2 ай бұрын
❤❤❤❤let's support him🎉🎉🎉🎉
@LawrenceMugambi-p8v
@LawrenceMugambi-p8v 2 ай бұрын
Nice song sparki,I used to listen to you back in school.
@GodfreyAGonello-k1t
@GodfreyAGonello-k1t 3 ай бұрын
Nimekubali kazi
@raf2543
@raf2543 2 ай бұрын
❤❤❤ Welcome back
@OscarDaniel-s4s
@OscarDaniel-s4s 2 ай бұрын
Saudades desse cantor
@mpundempunde1722
@mpundempunde1722 2 ай бұрын
Pure Bongo fleva
@saidmadimba6098
@saidmadimba6098 2 ай бұрын
Congratulations for song
@HusseinChai-n4g
@HusseinChai-n4g 3 ай бұрын
Safiiii sanaa kaka spack ngomaa kali radha halisi ya bongo fleva muziki huu itausambaza kitaa kwenye ofisi yangu safi ndugu yangu ulipotea sanaa nipe ripoti
@JohnUruban
@JohnUruban 2 ай бұрын
Usikae kimya Tena unakipaji kaka Kuna muda Tanga tulijivunia uwepo wenu
@YusrahGembe
@YusrahGembe 3 ай бұрын
Nice❤Bro
@pachelapachella1486
@pachelapachella1486 3 ай бұрын
Tukao mmiss Spack Tujuane Kwa Comment Na imoji Za 🔥🔥🔥🔥🔥
@baoussenesombair8007
@baoussenesombair8007 Ай бұрын
🎉 vamos
@emmanueldaud8371
@emmanueldaud8371 2 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯✊
@jumazahoro3537
@jumazahoro3537 2 ай бұрын
Kituuuuuuu
@JumaaJuma-bw5sx
@JumaaJuma-bw5sx 2 ай бұрын
Nyimbo nzuri lakn kuna kitu kimemis. Nadhani colabo yenu na tunda ilifanya kila kitu kwenye mziki wako
@HarunKitinusa-g6y
@HarunKitinusa-g6y 2 ай бұрын
Jamaa ni muimbaji mzuri tokea enzi hizo sema mziki wa sasa ushaharibiwa tayar Hana namna Tena
@JumaIddi-o6f
@JumaIddi-o6f Ай бұрын
Saut ya dhahabu hii jaman
@sasquaremusic3140
@sasquaremusic3140 2 ай бұрын
Bonge moja la ngoma,#maumivu ngoma kali sana my singer modle.achia vitu bro tupo kwa ajili yako tunashare link kwa wingi kwa magroup ya Whatsapp
@KuluthumIsmaili
@KuluthumIsmaili 2 ай бұрын
Come back broo ....Tupandishie nyimbo zako zote mashabiki zako bado tupo❤
@sixmelody4349
@sixmelody4349 2 ай бұрын
Hit song 2024_ 2025 nakubali sana bro
@Fogaster1
@Fogaster1 2 ай бұрын
safi
@HanifaHamisi-k9o
@HanifaHamisi-k9o 3 ай бұрын
❤❤
@starnewstv6745
@starnewstv6745 2 ай бұрын
Spark
@AnjelMwaluka
@AnjelMwaluka 2 ай бұрын
We'll comeback bro toa ngoma ss tutasapot
@JumaJaguar
@JumaJaguar 2 ай бұрын
Spack 🔥
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
Ndaro X G boy ft Kontawa_Nimpe Nini (official video)
4:07
Ndaro Tz
Рет қаралды 1,1 МЛН
Godfrey Mteule Likizo Official Music Video 4K
4:32
Official Godfrey Mteule
Рет қаралды 444 М.
Силата на името I Нора Пенева
27:18
Новото познание
Рет қаралды 81 М.
Israel Mbonyi - Tugumane
13:22
Israel Mbonyi
Рет қаралды 6 МЛН
ТОП 9 ЗАБРАВЕНИ ПОП-ФОЛК ПЕВЦИ
32:17
Todor Azov
Рет қаралды 81 М.
Barnaba - Itakuwaje (Official Music Video)
3:47
BarnabaClassic
Рет қаралды 204 М.