I receive this anointing for the blessings to my family
@makenapriscilla95524 ай бұрын
God i will never get tired of asking you to heal me,mum,son Chris ,baba Ali, Otuoma,and Dida. No matter what you are earing us and you are still in you throne.
@jescahlwire81554 ай бұрын
Amen Amen,mungu nibariki na kazi
@dorcasamai4 ай бұрын
MUNGU wangu nitetee kupitia kwa hii madhabao waja nifunguliwe nipate kazi nzuri
@joycemusili65594 ай бұрын
I receive it this powerful Anointing prayer Anointing Daddy in Jesus mighty name Amen🙏🙏🙏
@dorcasamai4 ай бұрын
Amen Amen let this blessings shower upon my life here at dubai
@dorcasamai4 ай бұрын
God open my ways today I need a good job open my doors in Jesus name Amen
@eunicewambui9424 ай бұрын
I receive power via the newlive Altar to do business and to shine in this construction field and my boutique in nyeri in Jesus name.... Nyota ya ufanisi I pray. Amen
@SamSpencer-l8q4 ай бұрын
Pastor mm nataka unibariki nipate pesa kw kila njia nitakapo tumia amen
@catherinesidi73924 ай бұрын
I NEED POWER and blessings maisha imekua ngumu saana kwangu nmechoka na kaz ya utumwa Oman,sina chochote hadi ata nyumba sina,nmechoka na rental hadi pesa zangu zinaishia tu madeni, mungu nkumbuke leo.
@GEORGEOGETOMOMANYI4 ай бұрын
Karibu Canada my Father
@mercylinemakori71244 ай бұрын
Mungu shuka Kwa roho yangu
@loyceakuku60194 ай бұрын
Amen pastor Sarah
@BarongoKeraa4 ай бұрын
Mungu wa madhabahu ya newlife mavueni nitetee naunipinganie kwa kila jambo
@SyphrineMakokha4 ай бұрын
Amen 🙏🙏 naomba kupitia kwa hii madhabau naomba niweze kufaulu katika kazi yangu nikiwa Saudi
@carolinewaswala-xn6xs4 ай бұрын
Mungu wangu sina mbele wala nyuma naomba Yesu wangu unitete nimechoka kuteseka na watoto
@restituta52064 ай бұрын
Nasaidie mme wangu anakuchukia vibaya.naomba useless neno kwa ili akombolewe allowed.hii ni madhabau ya nyumba yangu yoteeee.Amina
@MshighatiJackson4 ай бұрын
Naomba kuanza na Mungu college na nifanikiwe ajabu naomba pia Benna aanipende ninavyompenda awe wangu pekee kupitia madhabahu hii kwa Jina la YESU
@BarongoKeraa4 ай бұрын
God I need power to succeed
@MosesSalawu4 ай бұрын
Believe in Jesus name amen
@evansogutu41674 ай бұрын
MUNGU nifunguliwe milango ya baraka
@BarongoKeraa4 ай бұрын
Ninaomba kubarikiwa kwa kasi yangu
@TatuKarani4 ай бұрын
Pastor naomba umuombee mtoto wangu hataki kusoma naomba umuombee aendelee na masomo
@rose-pk9vv4 ай бұрын
Ameeen
@maryfranz77494 ай бұрын
I Need Power to be promoted at my work
@jacklinekwamboka-h2t4 ай бұрын
Aaaaamen
@GEORGEOGETOMOMANYI4 ай бұрын
Naomba nyota ya ufanisi hapa Canada
@MaryJessly-b2n4 ай бұрын
Amen
@loyceakuku60194 ай бұрын
Hello pastor Sarah
@jacklinekwamboka-h2t4 ай бұрын
True pr
@faimaally73294 ай бұрын
yesu sina mbele wala nyuma naomba unitete
@MaryJessly-b2n4 ай бұрын
Najiunganisha kw haya madhabahu nikakombolewe
@leahkiptalam33304 ай бұрын
Help with good collections ,help me in my job place
@loyceakuku60194 ай бұрын
Naomba mamangu mapepo ya muachilie pastor mapepo yana m comand asikule mara asikunywe maji mara asichuku chochote kutoka kwangu nikimpa chakula ananirudishia kabisa kabisa eti sauti zinamkataza , ni yeye anasikia hizo sauti mwenyewe
@loyceakuku60194 ай бұрын
Ee yani pastor ameshafika Europe? Wow
@maximillabarasa68424 ай бұрын
Mungu wa madhibahu ya newlife naomba salary increase
@SamSpencer-l8q4 ай бұрын
Pastor niombee nitoke kw kifungo ya shetani napia nataka nyota yangu irudii
@maximillabarasa68424 ай бұрын
receive power t succeed in Saudi Arabia
@SyphrineMakokha4 ай бұрын
Naomba kupitia sacrifice yagu natamanio nyota yagu igae katika familia yetu maana Mimi die wa kwanza
@AugustineMuteti-j4g4 ай бұрын
God remember me,I need job and go back to my marriage
@FaridahMukhwana4 ай бұрын
Pastor naomba nyonta yangu nipata kupona fibroid teeth nakazi
@loyceakuku60194 ай бұрын
Pastor naomba utumie boss wangu roho ya kuniruhusu kuendesha gari lake lakini Pastor mbona nitamani kuendesha gari la mtu na mimi ni mwanao wa madhabau haya , naomaba unibariki na maki yangu ikiemo na gari langu nisitamani ya watu naomba na kuamini mungu wa madhabau haya yatanipa utajiri kwa jina la yesu Amen 🙏
@RuthNanjala-fl1ze4 ай бұрын
Pst nmechoka kulia shida c kwa doa c kwetu doa yangu kuna mwanamke amefanya nimedharauliwa kule nimeoleka naomba mungu aniodolea hii aibu na nifanikiwe kwa doa yangu ni saidie wazazi wangu na ndungu zangu
@FaridahMukhwana4 ай бұрын
Pastor yesterday i dreamed about snake but that snake didn't bite me. It means what happened
@loyceakuku60194 ай бұрын
No I'm not happy the way I struggling pastor
@jacklinekwamboka-h2t4 ай бұрын
Tv bado
@jacklinekwamboka-h2t4 ай бұрын
Tv baado
@dorcasamai4 ай бұрын
MUNGU wangu nitetee kupitia kwa hii madhabao waja nifunguliwe nipate kazi nzuri