SPIKA TULIA AFUNGUKA MAZITO BAADA YA KUTUA NCHINI, AWATAJA WALIOTAKA KUMKWAMISHA KUWA RAIS IPU

  Рет қаралды 59,145

Wasafi Media

Wasafi Media

9 ай бұрын

www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 140
@henrychaula1174
@henrychaula1174 9 ай бұрын
Dr. Tulia, umetuheshimisha sana Watanzania. Hongera sana na Mungu akulinde na akubariki katika kutekeleza majukumu hayo makubwa.
@katewumbotwa4553
@katewumbotwa4553 9 ай бұрын
Hongera sana Mh. Tulia Ackson kwa kuchaguliwa kuwa Spoka wa Bunge la Dunia. Mwenyezi Mungu aendelee kukupa nguvu na ulinzi wake.
@jumamalindo1221
@jumamalindo1221 9 ай бұрын
Huyu mamaa ,ipo siku ataishika dola,,,goodluck ❤,mama yetu wakitanzania #mungu akutangulie kwakila hatua
@richardbegga6679
@richardbegga6679 9 ай бұрын
Dola ya Wapi?😂😂😂
@sixmundleonard2135
@sixmundleonard2135 9 ай бұрын
Dola ya konyo
@jumamalindo1221
@jumamalindo1221 9 ай бұрын
Future president ,miaka ijayoooooo swala la.muda tu
@JovinM2020
@JovinM2020 9 ай бұрын
Hongera sana mh, tulia ama kweli umetueshimisha sisi watanzania mwenyezi mungu akubariki sana sana
@elibarikipeter
@elibarikipeter 9 ай бұрын
Wewe mwenye akili fupi ndio unaona umeheshimishwa lakin wengine hatuheshimishwi na cheo Bali utu na ucha mungu uwe na dabu ndg Mimi hapa sili cheo Cha tulia napambana kivywang na Maisha yang
@herybertsabai6503
@herybertsabai6503 9 ай бұрын
@@elibarikipeter Ata yeye kaeshimishwa na mungu kwasababu ana kibali na mungu je wewe ikoje kwako
@nicholausdom8nic-zv6qx
@nicholausdom8nic-zv6qx 9 ай бұрын
Sifa na utukufu kwa Mungu wetu aishie ambae hashindwi akisema ndio hakuna wa kupinga wakati wa Mungu ni wakati sahihi. Tunamshukuru sana Mungu kwaajili yako all the best umetuheshimisha
@valentinonakua150
@valentinonakua150 8 ай бұрын
Hongera Sana Dr. Tulia Kwa kuitangaza na kuiheshimisha Nchi yetu ya Tanzania
@juliusmartin1839
@juliusmartin1839 9 ай бұрын
Wow! Congratulations our own daughter, am proud of you Dr.Tulia Ackson Mwansasu.
@suleimanabdillah7490
@suleimanabdillah7490 9 ай бұрын
Mwenyezi Mungu humpa amtakaye,Umenifurahisha kwa neno Mungu akiamua kufanya jambo kuwa HUWA! Tulia ametulia,lakini Mungu kampa kichwa,na uzuri kampa na kujiamini,namwona akifata nyendo za kina Asha RoseMigiro,Tibaijuka,Stegomena,Getruda Mongela,Bibi Titi Mohammed miongoni mwa wengi. Tanzania hoyeee,Mama Samia hoyeee.Hongera Mhe Tulia
@user-pe7tn1qp1v
@user-pe7tn1qp1v 8 ай бұрын
Safi sana Dr mungu akubariki sana uko vizuri sana mungu akubariki pamoja na uongozi uongozi wote uliokuunga mkono kwa kula pamoja na mpendwa rais wa jamhuri ya muungano aliye kuruhu kugombea mungu ambariki sana pamoja watanzania wote kwa kupata heshima kubwa sana mungu aibariki Tanzania
@husseinibrahim2929
@husseinibrahim2929 9 ай бұрын
Hongera mh tulia kuwa mtanzania wa kwanza na mwanamke wa kwanza kutoka bara la africa kuwa rais wa mabunge yore duniani 🙏
@user-pe7tn1qp1v
@user-pe7tn1qp1v 8 ай бұрын
Kakika mungu ni mwema sana kwa walio wake tunakumbea sana mungu akubariki akulinde na kukuongoza katika majukumu yako ya uraisi ya bunge duniani mungu azidishie hekima na uwe kiongozi bora amina
@SalmaAs-wl5bn
@SalmaAs-wl5bn 9 ай бұрын
Mungu azidi kukulinda Mh Tulia na kukuepusha na vita vinavyotokana na binadamu kazi iendelee
@user-gk6my9mv4e
@user-gk6my9mv4e 8 ай бұрын
Hongera kwa maoni ya hekima na busara ambayo Mwenyezi Mungu alikuzawadia na kuwa mshindi wa Ubunge wa Bunge la Jumuia ya mabunge ya Dunia.
@PriscaMaro-vm4rf
@PriscaMaro-vm4rf 8 ай бұрын
Hongera Sana mweshimiwa spika wetu hongera kwa kibali
@josephatmtweve6534
@josephatmtweve6534 8 ай бұрын
Hongera sana mtumish wa mungu akuzidishe zaidi huyu mungu
@shungumwaisanila7193
@shungumwaisanila7193 9 ай бұрын
Safi sana Mungu akutie nguvu Tanzania 🇹🇿 oyeeeee
@neemakillango4126
@neemakillango4126 8 ай бұрын
Mheshimiwa ,chapa kazi,hongera sana
@ntulimambo463
@ntulimambo463 9 ай бұрын
hongera sana mh Tulia kwa uwakilishi vyema wa watanzania
@alphonsinasamson354
@alphonsinasamson354 8 ай бұрын
Hongera Raisi wa umoja wa wabunge duniani Mh Tulia, umebarikiwa kuliko wa wanawake bungeni duniani kote. Kazi itaendelea Mungu akupe hema na maarifa Sana mama🙏
@bakarimhina6437
@bakarimhina6437 7 ай бұрын
I Believe She is a Leader By Nature.
@mpalemwamakamba
@mpalemwamakamba 8 ай бұрын
Hongera sana mbunge wangu chapa kazi usiogope masudikao wapo toka dunia umeumbwa mungu akupe umri mrefu
@zachariamalley7076
@zachariamalley7076 8 ай бұрын
Hongera San Dkt Mh. Tulia Mungu akutangulie kukuwezesha ktk kazi yako ya urais wa IPU
@bakarimhina6437
@bakarimhina6437 7 ай бұрын
Mheshimiwa Spika Tulia Ackson Mwansasu Mungu Akutangulie Katika Shughuli Zako za Kila Siku,Hotuba Yako Kila Niisikiliza Inanipa Faraja HONGERA.
@alistidiakamugisha
@alistidiakamugisha 9 ай бұрын
Mungu ibariki Tanzania ushindi ni hakika hongera saana
@humbemusa3480
@humbemusa3480 9 ай бұрын
Hongera sana Nilisikiliza hotuba yako nikajua una kitu japo nabii hana heshima kwao. Dunia imekuheshimu iheshimishe Tz na maadili yake pia.Maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@dorisassey8142
@dorisassey8142 8 ай бұрын
🎉🎉hongera Dr Tulia Mungu akulinde mno❤
@ElisanteMtui-sl2gm
@ElisanteMtui-sl2gm 8 ай бұрын
Hongera sana Mh.Tulia Akson Spika wa Bunge la Tanzania, kwa kuwa Rais wa IPU umetuwakilisha vema Tanzania.
@nimrodmareges3131
@nimrodmareges3131 9 ай бұрын
Hongera sana Kwa nafasi kubwa kama hiyo
@BernadethaSimba-qi4dw
@BernadethaSimba-qi4dw 9 ай бұрын
Wewe ni mama wa Dunia sasa tunaomba ukafanye kazi kama mama mwenye huruma na Imani kama mh Samia kakupa kipa Umbele nawe Ufuate hizo nyayo ukumbuke ulikotoka usiwe mfinyu wa fadhira wape nafasi wa Tanzania na Afrika mwisho Dunia Wasamehe waliokosa ili nawe usamehewe mshukuru sana Hayati Magufuli hiyo nafasi aliyokuweka Asante sana
@e6james914
@e6james914 9 ай бұрын
Nimeshangaa wachawi na wenye roho mbaya hawapumziki kweli mtu unaandika Hadi walaka kumponda mtu. Ukisikia kina Hamani ndo Hawaa sasa. Mungu akurinde na mishare yote. Mama Mh. Dr. Tulia
@fumbukashangwe3173
@fumbukashangwe3173 9 ай бұрын
Upo vizuri dk Mungu akusimamie!
@SalmaAs-wl5bn
@SalmaAs-wl5bn 9 ай бұрын
Mungu atakusimamia Mh Tulia maadui watashindwa kwa damu ya mwanakondoo maana kupigana kwetu si damu na nyama bali katika falme tulizopewa.
@twalebleboss9687
@twalebleboss9687 9 ай бұрын
HONGERA SANA DADA......#BLESSINGS....✔✔✔✔
@denismsanzya7145
@denismsanzya7145 9 ай бұрын
HONGERA MAMA UMETISHA SANA BAADA YA MAMA ATAKUWA MAMA❤❤❤❤
@noelnoel4916
@noelnoel4916 9 ай бұрын
Hongera sana Doctor Mheshimiwa Tulia Ackson
@franciscamhagama5258
@franciscamhagama5258 8 ай бұрын
Hongera sana kwa kuudhihirisha ulimwengu Afrika,Tz,Mby,kuna hazina,akinamama ,mabinti pia tuna yakujifunza mengi kwako ikiwemo kuenzi uafrika wetu.Mungu akutunze heroin wetu.
@MozesMungai-lm6ip
@MozesMungai-lm6ip 9 ай бұрын
Mama we we nijembe,we we nijibu lawatanzania
@saulimwalyambwile66
@saulimwalyambwile66 9 ай бұрын
Hongera sana mhe Tulia
@TrufainaEliakiraSarakikya
@TrufainaEliakiraSarakikya 9 ай бұрын
Hongera sana
@shabbymakapane
@shabbymakapane 9 ай бұрын
Hongera Sana Dada Yetu TULIA AKSON MWANSASU 🙏🙏🙏 Umeliheshimisha Taifa, Lakini Kuna Bwege nimeliona Limekaa na Wazungu eti Linaipaka Matope Nchi , 🤣🤣🤣 Bwege Sana huyo jamaa ,
@urumtewele9693
@urumtewele9693 8 ай бұрын
Hongera sana ushindi wako ni ushindi wa Tanzania nzima kama usemavyo kivipi? Mtu ukiwa nchi za nje utaenda kuomba nafasi fulani naukapitishwa tuu kwa sifa fulani za nchi au za mtu fulani. WATANZANIA tuilinge hadhi ya nchi yetu.
@edwinekaboyoka2917
@edwinekaboyoka2917 8 ай бұрын
Hongera sana Dr.
@DanielYae-kw6dr
@DanielYae-kw6dr 8 ай бұрын
Hi hongeraa mama
@dr.sarahosima8066
@dr.sarahosima8066 8 ай бұрын
❤Congrats Dr, Keep it up
@johnmtumishi8554
@johnmtumishi8554 9 ай бұрын
Hongera Dr Tulia kwa kuchaguliwa
@jmmassawe9543
@jmmassawe9543 8 ай бұрын
Dear Daktari T.Ackson, I congratulate you upon your election to lead Inter-Parliamentary Union.This is a rare happening but you deserve it! Hongera sana na Mungu akuwezeshe katika majukumu haya mapya!
@dr.sarahosima8066
@dr.sarahosima8066 8 ай бұрын
👏👏👏👏
@dr.sarahosima8066
@dr.sarahosima8066 8 ай бұрын
Apart from Tz, UCT Alumni 🙏🙏🙏is proud of you
@ngomoimduma7479
@ngomoimduma7479 9 ай бұрын
Congrats, Dr Tulia.
@KassimKihambwe-xt2nv
@KassimKihambwe-xt2nv 9 ай бұрын
Hongera sana mh spika tulia akson pia karibu sana rufiji lkw
@andrewmashika3756
@andrewmashika3756 9 ай бұрын
Hongera sana kwa uteuzi huo
@ayububrantaya6624
@ayububrantaya6624 9 ай бұрын
Mungu akusaidie
@marymnyawami9341
@marymnyawami9341 9 ай бұрын
Hongera sana mheshimiwa Tulia
@bonifacegasper9508
@bonifacegasper9508 8 ай бұрын
Kama mnatambua uwepo watumishi mbona mnawatupa magerezani,hakunahaja yakujua uwepo wao,hii nivyeo tu vyamda.mungu atabaki palepale.
@jumamalindo1221
@jumamalindo1221 9 ай бұрын
Piga kazi mama yangu,,,wanaomfananisha huyu mama na sugu wanatatizoo kubwa ❤
@malamlaaj9852
@malamlaaj9852 9 ай бұрын
Uko vizuri mdada. Piga KAZI.
@charlesmpemba9387
@charlesmpemba9387 9 ай бұрын
Umekatazwa kumtaja magufuli aliyekuteua kuwa mbunge .mungu anakuona
@yusuphmerekwa6455
@yusuphmerekwa6455 9 ай бұрын
Hongera sana mteule wa mungu wa mbinguni.
@mariaawet6499
@mariaawet6499 9 ай бұрын
Mungu awabariki.wazaxi.wako
@samoramussa5336
@samoramussa5336 9 ай бұрын
Muacheni Mungu anamambo yakufanya.
@user-pk9nk7ch5f
@user-pk9nk7ch5f 8 ай бұрын
Nakukubari sans.spika wangu.
@evelynelemashon.6811
@evelynelemashon.6811 8 ай бұрын
❤❤super women hongeraaa
@eliamwankenja7087
@eliamwankenja7087 9 ай бұрын
Mungu akupe Nguvu mamaafrica
@AbdulmalikFedrick-ct7nb
@AbdulmalikFedrick-ct7nb 9 ай бұрын
Ongela sipika wangu Alha akufanyie wepesi kwenye uongozi wako
@grationgabriel4904
@grationgabriel4904 8 ай бұрын
good orientations
@rachelmunuo5044
@rachelmunuo5044 9 ай бұрын
Hogera sanaaaaaaaa❤
@edmundphilemon3054
@edmundphilemon3054 9 ай бұрын
Hongera Sana
@user-tm1vn7fd4f
@user-tm1vn7fd4f 8 ай бұрын
Wengine wanakuombea kushindwa wameishia jera hongera mwanangu
@kokutonanshubemuki
@kokutonanshubemuki 9 ай бұрын
Hongera sana Tulia
@yonamsemo6634
@yonamsemo6634 9 ай бұрын
❤❤
@user-kv7sc4mk2b
@user-kv7sc4mk2b 9 ай бұрын
❤❤❤❤
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 9 ай бұрын
Hongera sana dokta tuliya umeongeya vizuri wewe mwana falsafa nakutabiriya makubwa mbeleni mola akusimamiye
@pomboma94mwakayuya68
@pomboma94mwakayuya68 9 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@faustinluambano2958
@faustinluambano2958 9 ай бұрын
Ulitegemea wote tukushangilie ?
@msangitunnu1733
@msangitunnu1733 8 ай бұрын
Duuh ASHAROSE MIGIRO ULIONA MBALI😊😊
@ahimidiwenoel3947
@ahimidiwenoel3947 8 ай бұрын
from tukuyu to the world wide daah! uyu mnyakyusa anaupiga mwingi
@user-tg7vq3ty8p
@user-tg7vq3ty8p 9 ай бұрын
Kama Mzee mstaafu wa utumishi wa umma nikupongeze binti yangu kwa mafanikio uliyoyapata binafsi na namna ulivyoliheshimisha taifa letu la Tanzania.
@midundotechtz6843
@midundotechtz6843 9 ай бұрын
Umepambania sana mkataba hongera sana unastahili haya
@zariadunia6328
@zariadunia6328 9 ай бұрын
Wasamehe mh mungu atakabiliana nao ndo mana kakabiliana nao
@jumamalindo1221
@jumamalindo1221 9 ай бұрын
❤ ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@AbdulmalikFedrick-ct7nb
@AbdulmalikFedrick-ct7nb 9 ай бұрын
Ongela sipika wangu Ongela mama Samia
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 9 ай бұрын
Mashekh hawapo naona hukuwaona mana umetaja viongozi na maaskofu tu sikuskiya Mashekh .ila sawa labda umesahau ama hawapo ndo mana hukuwatqja
@GeraldBahegwa-rn3vb
@GeraldBahegwa-rn3vb 9 ай бұрын
Ana sifa za udikteta tulia.
@milley7185
@milley7185 9 ай бұрын
Mh kikwete ni hatarii sana huyo anajua kulengaa anawapa sana nafasi wakina mama waongozeee kwa samia halikadhalika
@MozesMungai-lm6ip
@MozesMungai-lm6ip 9 ай бұрын
Mama tulia msaada wwanyonge nawasiyo jiweza yote Kwa MUNGU yanawezekana,huyu atafika mabali!
@umelamedia
@umelamedia 9 ай бұрын
Heko Dr Tulia
@ibrahimkabisi689
@ibrahimkabisi689 9 ай бұрын
Hongera Sana Dkt TULIA ❤ MY NEXT WOMAN PRESDENT
@faidajuma6599
@faidajuma6599 9 ай бұрын
Kazi inaenderea
@richardbegga6679
@richardbegga6679 9 ай бұрын
Mm nilitaka Ushindwe tu 😂😂😂 sema Ulipata Mshindani dhaifu kutoka huko Somalia ila nilitaka Ufeli ili siku nyingine ujue kutenda haki kwa Watanzania wote
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 9 ай бұрын
Huyo dokta silah lazima umtafte mama tuliya 😂
@khadijayusuph2634
@khadijayusuph2634 9 ай бұрын
Kwa hyo ulipigiwa kampeni na Raisi🤔🤔🤔🤔
@danielmiren4107
@danielmiren4107 8 ай бұрын
Hongera Sana mhe tulia hakika umeonesha heshima kubwa mno ktk nchi hii na tuko nyuma yako ktk kazi hii mpya mungu akubariki pamoja na watanzania wote tuko pamoja
@user-rq3ic3mt2j
@user-rq3ic3mt2j 9 ай бұрын
Hongo na rushwa vitainuliwa ili mwana wa mungu mtoa hukumu apate kutoa haki
@omaribrahim1959
@omaribrahim1959 9 ай бұрын
Nahofia kaa akiloz mayahudi isiwe kapewa cheo hicho li aje ahalalishe ndoa za jinsia moja
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 9 ай бұрын
Tupo nyuma yako asa mimi ata sumu nitakubywa mtu akikuzinguwa mama
@laurencematare3143
@laurencematare3143 8 ай бұрын
Ila Tanzania ina akili nyingi sana
@RaphaelMachinda-ih5we
@RaphaelMachinda-ih5we 9 ай бұрын
Huwezifanya vizur ukiwa umekumbatia covd 19
@tambazamsolwa3544
@tambazamsolwa3544 9 ай бұрын
Majina yote Yana numbers in the end those are knows bots 😅
@mwakondoyakub2444
@mwakondoyakub2444 9 ай бұрын
Kila la kheri
@brendangabriel1643
@brendangabriel1643 9 ай бұрын
Ulichopata ni cheo tu, sio tabia wala uongozi ulionao. Jitathmini ni kwa nn hupendeki nyumbani? Zilitumika nguvu nyingi na gharama kubwa mno kushinda.
@fumbukashangwe3173
@fumbukashangwe3173 9 ай бұрын
Acha wivu wa kike!
@EvelyiniPhaustine
@EvelyiniPhaustine 7 ай бұрын
Unalópoka vby ww
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn 8 ай бұрын
Hatukutaki umetuuzia bandari kwa mwarabu kwa mkataba mama wa marabu umilele
@raphaelgasper5463
@raphaelgasper5463 9 ай бұрын
Tulia umeTULIA Tuli.
@MozesMungai-lm6ip
@MozesMungai-lm6ip 9 ай бұрын
MWENYE ENZI MUNGU aendelee kumtetea!
@tambazamsolwa3544
@tambazamsolwa3544 9 ай бұрын
Is it only me or hizo comments zote zinaonekana kabisa ni made up names ya chawas 😂😢
@bahatiiddibahatiiddi-be5nj
@bahatiiddibahatiiddi-be5nj 9 ай бұрын
Wengine walisema hata bunge limekushinda sasa piga kazi kwahatua zako na wale wanaosimama nawewe
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 78 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 4,2 МЛН
NAPE ATINGA IKULU/AMUOMBA MSAMAHA RAIS MAGUFULI.
2:58
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 64 М.
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Success Path Network
Рет қаралды 379 М.
🔴Taarifa ya Habari ya Saa Mbili Usiku, 28 Julai 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 893
LIVE : RAIS DKT. JOHN P. MAGUFULI AKIWA NJIANI KURUDI DAR ES SALAAM
5:25
A Z ANAYEDAIWA KUMUUA MPENZI WAKE GOBA  NDUGU WABAKI NJIAPANDA
13:08
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42