SPIKA TULIA ALIVYOLETA FURAHA MSIBANI KWA NDUGULILE - ANUKUU BIBLIA KUHUSU KIFO...

  Рет қаралды 43,962

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 46
@AminaAwadhi-f5m
@AminaAwadhi-f5m Ай бұрын
Utu dada yupo simple lkn ni genius kinoma yaan hachoshi kumsikiliza
@JACOBNDASHUKA
@JACOBNDASHUKA Ай бұрын
Nimependa maneno mazuri sana yenye kutupa faraja hongera sana mh.spika mungu akulinde
@LeakeyKanyamaha
@LeakeyKanyamaha Ай бұрын
Nakupenda sana hekima yako Mheshimiwa sipika
@JoelinaPareso
@JoelinaPareso Ай бұрын
Dahhhhhhhhhhhhhhh!! Maneno yako imejaa hekima!! Ubarikiwe Sana mheshimiwa spika wetu.
@annahmakabara3049
@annahmakabara3049 Ай бұрын
❤Tulia una deserve Kuwa kiongozi
@enezaeliakyoo2086
@enezaeliakyoo2086 Ай бұрын
Spika umeongea vizuri sana mwisho wa ubaya ni aibu
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 Ай бұрын
Nimependa Maneno mazur sana ,spika T❤
@martinmkoma-zl1iv
@martinmkoma-zl1iv 29 күн бұрын
Nampenda Sana Tulia yupo simple Sana
@muhammednassor3569
@muhammednassor3569 Ай бұрын
Mashaallah Good Speech Ihope to be Muslim u mama
@StanleyKameme
@StanleyKameme Ай бұрын
Mheshimiwa Spika usitafute Askofu wa kukuzika ,kataa mabaya tenda mema utamuona Mungu!
@aliciamwalimu582
@aliciamwalimu582 Ай бұрын
Mimi hizo quotation za biblia,ufunuo na garatia congrats madam
@sekelagatusekelege9325
@sekelagatusekelege9325 Ай бұрын
Hongera sn,kumbe kwny biblia pia umo!!!Safi sana
@KilimoMichael
@KilimoMichael Ай бұрын
Unamaneno mazuri ubarikiwe kwa kulijua neno la Mungu asante gwakukajha
@ShabanMohamed-ix3of
@ShabanMohamed-ix3of Ай бұрын
Namwelewaga sana huyu dada
@AndrewPoet-sk5gy
@AndrewPoet-sk5gy 28 күн бұрын
Good speech
@AmenMushi-j2j
@AmenMushi-j2j Ай бұрын
Wakati ni sasa kuokoka Yesu ndiyo njia kweli na uzima
@jacquelinemwakasala9563
@jacquelinemwakasala9563 Ай бұрын
Hilo nalo neno ubarikiwe mtumishi
@marybanyakile434
@marybanyakile434 29 күн бұрын
Big up my sister!
@ELBERTMKIZA
@ELBERTMKIZA Ай бұрын
Mama spika mungu akulinde upo vizuri sana
@HappyLamceklima-gj7pj
@HappyLamceklima-gj7pj Ай бұрын
Amina!!
@DeborahMgedzi
@DeborahMgedzi Ай бұрын
Asante Kwa Neno.
@aliciamwalimu582
@aliciamwalimu582 Ай бұрын
Speech nzr❤
@AnnaFelix-p1z
@AnnaFelix-p1z Ай бұрын
Mnavyo uwa nanyi mtauwawa acheni mauwaji
@happymushi4493
@happymushi4493 Ай бұрын
Yaani uendelee kubaki ili iweje tu jaman..
@KibibiShetui-r9g
@KibibiShetui-r9g Ай бұрын
Badilikeni jama turudi kwenye haki dunia si yetu.
@MagrethJaphet-zs1el
@MagrethJaphet-zs1el Ай бұрын
Ubatikiwe
@RoseKimishabhalemi
@RoseKimishabhalemi Ай бұрын
Tulia uko vizuri ila bandari lilikuchafua
@shadrackfimbo1726
@shadrackfimbo1726 Ай бұрын
Fact
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 Ай бұрын
Zaidi ya yote hapa duniani ni kumcha Bwana ndilo fungu kuu: Muhubiri:12:1 Zaburi:90:9-12
@oyay2821
@oyay2821 Ай бұрын
Hata kwenye mazishi wanamsifu raisi. Makubwa haya
@jamalkishangu
@jamalkishangu Ай бұрын
Tulia ameona bora atupe jiwe gizani. Kisha anaomba Mungu awe mwisho wa foleni.
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 Ай бұрын
Mama una Speech wewe khaa..Big up sana
@JewsJews-c8w
@JewsJews-c8w Ай бұрын
Tumetoka kariakoo tumehamia kwenye hili
@StephenLetta
@StephenLetta Ай бұрын
Unaletaje furaha msibani? Msibani panahitajika kuwapa watu faraja. Faraja gani waliipata waliofiwa na mpendwa unapoomba uchelewe kufa? Yupo depressed kuna kitu hakipo sawa. Amemzodoa Halima Mdee na kumpamba Ràisi akijïagilia mwenyewe.
@NeemaMaiko-j7x
@NeemaMaiko-j7x Ай бұрын
Apumxike kwa amani
@modestamashoke9038
@modestamashoke9038 Ай бұрын
Tubuni Yesu yupo mlangoni
@jacquelinemwakasala9563
@jacquelinemwakasala9563 Ай бұрын
Amen mtumishi .asifiwe sana Yesu yu karibu kuja
@Asha-s9u8p
@Asha-s9u8p Ай бұрын
Amen
@WinnyMwacha
@WinnyMwacha Ай бұрын
Wanapenda siasa kweli! Yani ni kujibizana tuu misibani, woii
@ToivoJase
@ToivoJase Ай бұрын
Muogopeni ALLAH ,nyie viongozi wa hiyo nchi
@EdwardMghuna-rg8rx
@EdwardMghuna-rg8rx Ай бұрын
Spika Mungu akupe urais wa tz kwanza 2030
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 Ай бұрын
Atakuja tu kiongozi wa dini unaeitaka usiwe na haraka bro maana tatizo lenu baadhi yenu ni udini na sio Uongozi bora
@JosefuSwai
@JosefuSwai Ай бұрын
Yani hata kumsikiliza nikupoteza muda
@Lordrich-m7y
@Lordrich-m7y Ай бұрын
Spika upewe maua yako umetulia sana kwenye speech kwa kwel upo vzur..unaongea kwa kujiamini na utulivu sana
@namwingachiole3575
@namwingachiole3575 Ай бұрын
No
@JosefuSwai
@JosefuSwai Ай бұрын
Kama mtu vile nimepoteza bando langu kukusikiliza
Жездуха 41-серия
36:26
Million Show
Рет қаралды 5 МЛН
STEVE NA NDARO WALIVO VURUGA NDOA UTACHEKA
16:04
Ndaro Tz
Рет қаралды 856 М.