Habari kk mm ni mpya katika kufanya biashara hususani kwenye network marketing , naomba ushaur wako nn nifanye ili kupata matokeo ya haraka na deal na uhuzaji wa smart tv asante
@WantedlifeMarkerting27 күн бұрын
Wasiliana nami 0656781501 whatsapp
@JoyfulKweli8 ай бұрын
Nzuri
@salimmatitu5984 Жыл бұрын
Thanks,the instructions is more value to me
@WantedlifeMarkerting Жыл бұрын
Karibu sana
@TumainiShayo-s3o4 ай бұрын
Unya brother 🎉
@adamhamis55603 ай бұрын
Siku hizi sijui imekuaje,unakuta unaboost vizuri tu lakin wateja hupat hii imekaaje wakuu
@WantedlifeMarkerting3 ай бұрын
Ushindani mkubwa boss... Wekeza nguvu kubwa kwenye content marketing....Au ongeza bajeti
@adamhamis55603 ай бұрын
@@WantedlifeMarkerting pamoja broo
@Dinoezra254 Жыл бұрын
Nataka kujua tu Kama ina kuanga ukweli bro
@WantedlifeMarkerting Жыл бұрын
Ndio... Ukweli
@JumaaAlly-sk7gt5 ай бұрын
Naomba kujua namna ya kutengeneza iyo cadi na kulipia mtaandaoni maana naona kuna sehemu wanasema ingiza namba ya kadi
@WantedlifeMarkerting5 ай бұрын
Wasiliana nami whatsapp 0656781501
@EliaWeddingphotographer10 ай бұрын
👊👊
@francisalmano5801 Жыл бұрын
Facebook ads na Instagram ads ipi ina matokeo. Mazuri
@WantedlifeMarkerting Жыл бұрын
Zote zina matokeo yanayowiana kikubwa ni kuangalia wateja wako unaowalenga wanapenda kutumia mitandao ipi hasa..Mfano Mtu anayeuza Pembejeo za kilimo ana nafasi kubwa ya kufikia wateja wengi kupitia facebook na sio instagram... Na mtu anayeuza vipodozi au perfumes ana nafasi ya kufikia wateja wengi instagram na sio Facebook... Hivyo inategemeana na aina ya biashara lkn pia aina ya wateja unaowalenga
@ChristinaMalisa Жыл бұрын
Ikiwa Mimi Nina bidhaa za afya unanishauri nitumie app gani?
@WantedlifeMarkerting Жыл бұрын
@@ChristinaMalisa tumia insta mara kadhaa.... Kisha facebook mara kadhaa... Na baada ya hapo pima matokeo.. Kutakakokupatia matokeo makubwa endelea kukomaa nako hukohuko
@Milianemy5 ай бұрын
Wakati wanafanyia review tangazo lako,je pesa ya kwenye card itakuwa imeshakatwa au inakatwa baada ya tangazo kuwa approved?
@WantedlifeMarkerting5 ай бұрын
Itakatwa baada ya Tangazo kuanza kutembea kama unatumia Post Paid payment method... Ila kama unatumia pre paid hela itakatwa kabla halijaanza kuwa active
@leedsoldat4189 Жыл бұрын
Siku izi imekuw changamot sana je kuna namna mpya yenye kuleta matokeo mazur
@WantedlifeMarkerting Жыл бұрын
Jifunze kutumia copywriting kwenye Matangazo yako utapata matokeo mazuri
@leedsoldat4189 Жыл бұрын
@@WantedlifeMarkertingAsante nitajifunza
@monicambuva52910 ай бұрын
Copywritting unamaanisha nini mkuu tupe na mfano@@WantedlifeMarkerting
@middlebongo1280 Жыл бұрын
😂😂😂 AI
@issayarashid984511 ай бұрын
Wewe ni mtu wa iringa !??
@WantedlifeMarkerting11 ай бұрын
Ndio
@AllyHamidu3456 ай бұрын
Nahitaji kupata namba zako
@WantedlifeMarkerting6 ай бұрын
0656781501
@JumaaAlly-sk7gt5 ай бұрын
Na je kama nataka tangazo langu lionekane mpaka nchi jirani nafanyaje?
@WantedlifeMarkerting5 ай бұрын
Kwenye kuset audience(location) unaichagua hiyo nchi husika