MURO: TOBAAH!! MATUKIO TATA MECHI YA DERBY | REFA KAKOSEA HAPA ? ATEBA,DEBORAH,AHOUA…

  Рет қаралды 54,044

Data Sports Tv

Data Sports Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 121
@ZakaliaGodeni
@ZakaliaGodeni 15 сағат бұрын
Simba ni timu nzuri sana tuache ushabiki wa upofu sote tumeangalia mpira ukiacha goli tu simba km timu imecheza vizuri sana matokeo ya mpira muda mwingine hua km bahati hatujafungwa kwa hali ya unyonge🦁❤❤❤
@agripamwakapesa386
@agripamwakapesa386 9 сағат бұрын
Subili mechi nyingine
@AshimuMuhammad
@AshimuMuhammad 8 сағат бұрын
We muongo kweli simba wamecheza Mpira Gani sasa wakati walicheza dk 20 za mwanzo tu bas then mechi yote kachukua ynga
@mjanthony4864
@mjanthony4864 6 сағат бұрын
​@@AshimuMuhammad unajua mpira kweli wee jamaaa..
@deogratiusmgute5983
@deogratiusmgute5983 3 сағат бұрын
Mpira ni mipango na tactics unaweza posses 80% na ukafungwa
@AminaTapwale-e5t
@AminaTapwale-e5t 2 сағат бұрын
Kipindi cha pili ulilala ujacheki..simba kuanzia dk25 ndo walicheza kabda ya gori simba walikua wanashambuliwa sana simba no fitness
@amadeucdenis4294
@amadeucdenis4294 7 сағат бұрын
Muro aisee unajua brother kuchambua 🎉
@Robert-ev5hp
@Robert-ev5hp 9 сағат бұрын
Well said Muro
@SirajiZacharia
@SirajiZacharia 3 сағат бұрын
Vijana walichoka kabra ya wazee😂😂
@ambakisyemwanjemba5787
@ambakisyemwanjemba5787 4 сағат бұрын
Tuwaamini wachezaji wazawa maana baada ya wao kuumia timu ilipotea
@JonasManeno-n1l
@JonasManeno-n1l 17 сағат бұрын
Simbaaaaa naiamin sana pamoja nayote tunapoelekea ?watatafutana sanaaa
@musamshema7838
@musamshema7838 17 сағат бұрын
Kwani wakatihuo yanga watakuwa wamesimama?
@georgegregory8414
@georgegregory8414 16 сағат бұрын
Ndiyo maana koyoko siku zote hizi alikuwa amefungiwa mechi, anakuja na mahaba uwanjani hafai mpira wa Tanzania hautakuwa Kwa namna hii
@MussaMarwa-r8g
@MussaMarwa-r8g 16 сағат бұрын
Simba shida yao kumbwa wanatumia san ela nyingi san kuchajili wachechaji wengi wakati Wachukue wachechaji wachache ili wawe w a zuri hila w a napenda kuchajili wachechaji wengi awaweleweki😊
@melissa_garden
@melissa_garden 15 сағат бұрын
Aiseeee Mungu siyo Kayoko yatakwisha tu
@melissa_garden
@melissa_garden 15 сағат бұрын
​@@MussaMarwa-r8gnyie si mnajua pesa zenu nyingi mnapeleka Kwa Marefa
@goldmansun5859
@goldmansun5859 6 сағат бұрын
​@@melissa_gardensimba wa kulilia marefa?😂😂😂😂,hebu angalien mechi zenu zote ,au mmezoea kubebwa siku mkikaziwa mnalia
@NassibAbdalla
@NassibAbdalla 16 сағат бұрын
Kayoko mungu atakulipa kwa kuibeba yanga
@jangwanjaphet9400
@jangwanjaphet9400 15 сағат бұрын
Hajaibeba YANGA hata Mara 1
@issaabdi9129
@issaabdi9129 7 сағат бұрын
Amewasaidia Mara mbili. Ile ya Dube beki alikuwa apewe red card maana alimfanyiavrafu akiwa the last man defender na ya pili goal kipa wenu kumuangusha musonda kumuangusha akifunga.
@JastinCharles-n6w
@JastinCharles-n6w 6 сағат бұрын
Kayoko mungu akulipe sana penart2 za waz
@EnockHamis-q6r
@EnockHamis-q6r 16 сағат бұрын
Ira kayoko daaaaaaaa😭😭😭😭😭😭
@RashidsaidLikanawandu
@RashidsaidLikanawandu 15 сағат бұрын
Refa wa kibongo jau sana
@Asia-p5r
@Asia-p5r 8 сағат бұрын
Mmezoea marefa wenu wa mchongo waliowapa penalty dhid ya dodoma jiji
@kubuleabdul6032
@kubuleabdul6032 15 сағат бұрын
Refa inabidi mumshauri awe fair
@OstenNikolai
@OstenNikolai 8 сағат бұрын
marefa wakibongo machokolaa
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 5 сағат бұрын
Kwanza faulo tulichezewa sisi
@JastinCharles-n6w
@JastinCharles-n6w 6 сағат бұрын
Sawa bado mmetuchezea fault nying sana ila kayoko kuma kabisa
@NassibAbdalla
@NassibAbdalla 16 сағат бұрын
Kayoko katumwa na nani kwani aje atunyime penalti
@mckobatz5861
@mckobatz5861 16 сағат бұрын
Kashamba sana kale kajamaa yaani kanaudhi mnooo sijui ndio hela au ushabiki wake kwa uto maana kila siku kanatukamia sisi na sisi mashabiki hatuwezi kukatia presha kama ambavyo mashabiki wa uto walivyomtia presha Arajiga
@experymassawe3521
@experymassawe3521 16 сағат бұрын
Kayoko bwege Katoka kagoma ndo maana]
@EmmanuelKamaka
@EmmanuelKamaka 8 сағат бұрын
Refa kakosea""""..palepale alipochinjiwa mwananchi huko south.kipa alianzaje kudakampiraunaoenda nje?alimanisha .hapamamboni shegaaaaa
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 5 сағат бұрын
Refa kaharibu mpira sana
@HabibuJabiry
@HabibuJabiry 15 сағат бұрын
Ateba anacheza mwambie baleke akacheze ndondo
@paulmoshi
@paulmoshi 12 сағат бұрын
Mpira ulitoka na kulikuwa na refa wa pembeni dah
@Asia-p5r
@Asia-p5r 8 сағат бұрын
Kaangalie marudio ya mechi hlf uje uncomment tena
@BraysonBiaa
@BraysonBiaa Сағат бұрын
Fungeni midomo kwanza nyie makolo ndo mtaifunga yanga
@DicksonMaganda
@DicksonMaganda 5 сағат бұрын
Mpira ulidunda nje hivyo ilistahili kuwa kona lkn Kayoko alikuwa anachati tu na wachezaji wa yanga kwa kupeana mikono
@mazengojohn2090
@mazengojohn2090 9 сағат бұрын
Kila refa mbaya kwenu hamuoni aibu refa refa
@AljuhaniAllyy-dg4ld
@AljuhaniAllyy-dg4ld 13 сағат бұрын
Yanga wanaweza rafu tu hawana lolote utopolo tu
@greysonkisinda7390
@greysonkisinda7390 8 сағат бұрын
Nyie rafu hamjacheza? Kweli shabiki bumbuwazi hawa
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo 8 сағат бұрын
​​@@greysonkisinda7390Hakika huyu ni shabiki pumbuwazi!
@greysonkisinda7390
@greysonkisinda7390 8 сағат бұрын
@@SylvesterKameo 🤣🤣 leo ndo wanaona hata marefa ,siku ile wamecheza na dodoma wakafanyiwa uhuni dodoma jiji walisema tunalalamika leo zamu yao
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo 4 сағат бұрын
@@greysonkisinda7390 Si Dodoma Jiji tu, hata michezo iliyotangulia wamekuwa wakifunga magoli ya off-side huku yakitetewa na wachambuzi uchwara.
@rajabujohn1373
@rajabujohn1373 16 сағат бұрын
Sasa kwauupande mmojatu Tena wasomba alizamilia kutuamga miza
@allyjuma9661
@allyjuma9661 7 сағат бұрын
Guys msitukane wachambuzi na waamuzi mnakosea sana hizi comments zenu zinasomwa na watu wengi na wenye umri mkubwa kwenu
@franktarimo271
@franktarimo271 4 сағат бұрын
Ubarikiwe sana kwa hekima yako
@georgenyoni9879
@georgenyoni9879 2 сағат бұрын
Kwa maana yake kayoko alifunika penalt
@AlanMbilinyi
@AlanMbilinyi 4 сағат бұрын
Goli la SIMBA,alichomoka KATIKA KUPIGA kichwa AKAPATA goli narefa aliibeba YANGA.
@NoamieNtumba
@NoamieNtumba 4 сағат бұрын
Hahahaha Simba wana mpira mzr mnooo yanga wamebebwa next time inshallah tutakutana tena
@onesmothimos2635
@onesmothimos2635 7 сағат бұрын
Ebu angalieni vizuri kabla okejepha auja mfikia mpira na ikawa faulo mbona Kuna mchezaji wa yanga kaucheza na mkono mbona amu iongelei
@JoseMwaniswa
@JoseMwaniswa 4 сағат бұрын
😂😂😂 bado hamjasemaa nyie simba kwa yanga bado sana, achen kulia kama ma last born.
@PaschalJumanne-nn3lh
@PaschalJumanne-nn3lh 4 сағат бұрын
Yanga hakunapotimu kunasiyasa kayokonigekuwamwenyekitiwasimba nigemunyosha asigesahau maishayakeyoteyahapaduniani lakinimwenyekitiwetuhanamachungu natimuyetu legal anafanyakaziyakekwa maelekezo inahitajikumuadabishalefa wa jana aliyechezesha simbanayanga
@georgenyoni9879
@georgenyoni9879 2 сағат бұрын
Sub ya kagoma iliwainua yanga kipindi cha pili inshort yanga ilikuwa aichezi first half
@ramadhanihabibu-xp3wd
@ramadhanihabibu-xp3wd 7 сағат бұрын
Chasambi chasambi chasambi anatatizo gani na kocha
@bakarihusen5156
@bakarihusen5156 16 сағат бұрын
Mwambie mama ako akacheze ndondo
@kubuleabdul6032
@kubuleabdul6032 15 сағат бұрын
Muro mbona mmeshindwa kuchambuwa penalty 2 za simba kwenye azam Tv
@Asia-p5r
@Asia-p5r 8 сағат бұрын
Hazikuwa penalty usilazimishe mchanga kuwa sukari
@MADINAKITEMO
@MADINAKITEMO 3 сағат бұрын
Naipenda sana simba yangu
@RayaAli-y9j
@RayaAli-y9j 15 сағат бұрын
Mpra ulitoka
@DIVINEPROMISE-c1n
@DIVINEPROMISE-c1n 9 сағат бұрын
Wachambuzi wachache sana wanaochambua mpira
@miangijunior4358
@miangijunior4358 7 сағат бұрын
Kwanini mchambuzi wa mchongo kashindwa kuzungumzia faulo alizofanyiwa Kibu Denis Vipi amepaka ukakasi kwenye Hilo ilhali matukio mengine ameyazungumzia!!!? Hacheni unafiki."
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 4 сағат бұрын
Simba hakuna kitu na bado ita fungwa tena na ubingwa hampati.💛💚💛💚🔥Yangaaaa Daima Mbeleeee
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 16 сағат бұрын
Sama nini,kayoko na arajiga ni marefa wa yanga huo ndio ukweli
@MLEGULA
@MLEGULA 11 сағат бұрын
Mechi ijayo achezeshe Ahmed Ally na Mangungu
@JamesBwire-j4s
@JamesBwire-j4s 15 сағат бұрын
Mpira ulitoka ilitakiwa iwe kona
@MLEGULA
@MLEGULA 11 сағат бұрын
Mechi ijayo utachezesha ww
@KASSIMSHEHEMBA
@KASSIMSHEHEMBA 14 сағат бұрын
Ipo siku tutakuja kuua mwamuzi Kwa hizi rushwa na njaa zao unakataa penati mbili Yanga wanafunga goli refa unacheka ?
@Asia-p5r
@Asia-p5r 8 сағат бұрын
Ulitaka alie kwan ye ni shabiki?
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo 8 сағат бұрын
Alicheka kwa jinsi Simba walivyohangaika kujifunga!
@nicholauskilosa5336
@nicholauskilosa5336 8 сағат бұрын
Simba itafungwa mara 10 mfululizo
@barikimollel7890
@barikimollel7890 7 сағат бұрын
​@@nicholauskilosa5336Ni kweli Kwa kuwa Maelekezo lazima refa ayafuate
@IbrahimuMollel-d7e
@IbrahimuMollel-d7e 8 сағат бұрын
Marudio inasaidia nn ww
@MADINAKITEMO
@MADINAKITEMO 3 сағат бұрын
Kayoko anatakiwa asomewe halalbadri ili aokote makopo
@mwajumaseifu216
@mwajumaseifu216 8 сағат бұрын
Walipanga kutuumizia wachezaji wetu
@Rahma-t5t
@Rahma-t5t 16 сағат бұрын
kayuko ni kuma
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 5 сағат бұрын
Kayoko anafirwa
@LucianaSintufya
@LucianaSintufya 17 сағат бұрын
Wanawaumiza wachezaji wanaoona kikwazo na refa wao kuma la mama yake
@taseleli9181
@taseleli9181 16 сағат бұрын
Matusi sio sehemu yake pls tuwe waungwana kidogo tusifikie huko kwenye kutusiana.
@AlfaCharles-e8h
@AlfaCharles-e8h 16 сағат бұрын
Matus sio sehemu ya ushabik, af ni mwanamke ww tambua acha hzo
@LucyVictor-c9c
@LucyVictor-c9c 6 сағат бұрын
Tatizo mnaongea sana.....hakuna mtu aliyeumizwa kwa kusudi....mpira umepigwa mwengi sana...kuni zimevunjwa sana pande zote......ila quality imeamua......bahati ilikuwa upande wetu tu,...maana waezaji wetu wengi hawakupata muda mwingi wa kupumzika after FIFA break, na wengi alikuwa na majeraha, na wengi wamecheziwa faulo za hatari sana kuliko upande wa pili.....Goli ni gili halali kabisa hakuna mpira uliotoka nje,...kubalini tu mmepoteza mbele ya timu bora, mwamuzi hajapendelea upande wowote, haha tofauti na Elisasi....coz Yanga wanasema simba alistahili Red cad lakin ikafinywa....na Simba anasema kanyimwa penalty lkn ikafinywa....yote kwa yote michezo yote mliocheza like kuu kabla ya kukutana na Yanga jana, ulikuwa na makosa mengi sana ya Waamuzi,..tena simba Alibebwa kwa asilimia kubwa kulinganisha na timu nyingene zote alizocheza nazo,.. Majoli ya Ofside na bado mlifurahi sana...Leo mnalalamika Kayoko mbaya.....kubalini tu Simba mbele ya yanga bado....wamewafunga mara 4 mfululizo na marefa 4 tofauti,...tatizo ni nyinyi wenyewe sio marefa.
@AlfaCharles-e8h
@AlfaCharles-e8h 6 сағат бұрын
@@LucyVictor-c9c wamekusikia
@LucyVictor-c9c
@LucyVictor-c9c 2 сағат бұрын
@@AlfaCharles-e8h Sawa mkuu
@RushenVicta
@RushenVicta 8 сағат бұрын
simba amnakitu kaka
@sylivanusbernard3325
@sylivanusbernard3325 7 сағат бұрын
Hamna kitu??wewe ndio una kitu?
@MLEGULA
@MLEGULA 11 сағат бұрын
Simbwa ni timu ndogo sana, halafu punguzeni mdomo
@EmmanuelMandela-f7k
@EmmanuelMandela-f7k 7 сағат бұрын
Kama nidongo niambie mchezajiwako Alie ifunga goli jana
@PendoMatemba-ql1ng
@PendoMatemba-ql1ng 5 сағат бұрын
​@@EmmanuelMandela-f7kkuna muda wawe wa kweli tu Akuna walichofanya jana wamshukuru kijili tu hicho ndicho wanapaswa kushukuru
@sarahmichael-on8vi
@sarahmichael-on8vi 16 сағат бұрын
kayoko ni kuma la mama akee
@ramadhanihabibu-xp3wd
@ramadhanihabibu-xp3wd 6 сағат бұрын
Camara sasa apumzishwe kidogo kama mechi kumi hivi atafakari maana sifa zimemlevya
@AbubakarSufian-z4w
@AbubakarSufian-z4w 6 сағат бұрын
No brother çamara bado ana important kubwa sana
@fargakoigip6029
@fargakoigip6029 8 сағат бұрын
Mbona hamuisemi offside ya Dube kipindi cha kwanza nyie wachambuzi mnaongozwa na editing za Azam TV ...ilikua sinoffside na goli lingeweza kupatikana
@FrankMwisuwa
@FrankMwisuwa 16 сағат бұрын
Mtasema yote 😂😂😂😅😅mmepigwa
@mckobatz5861
@mckobatz5861 15 сағат бұрын
Na kale karefa kenu ka Kayoko
@PendoMatemba-ql1ng
@PendoMatemba-ql1ng 5 сағат бұрын
​@@mckobatz5861Akuna mlichotupiga mshukuruni kijili tu hilo ndilo la kushukuru
@yesayalori4276
@yesayalori4276 5 сағат бұрын
Mpira baada ya kamara kukamata ulidunda njee ya uwanja. Hapo ndiyo VAR inahitajika
@RosePetro-ck8pt
@RosePetro-ck8pt 5 сағат бұрын
Ujasema bado,simba haina uwezo wakushindana namabingwa hawa,waulize mamelod
@PendoMatemba-ql1ng
@PendoMatemba-ql1ng 5 сағат бұрын
​@@RosePetro-ck8ptAkuna mlichofanya mshukuruni kijili kwa kuwapa goli yani sijaona jipya kwenu
@SaddamBudi
@SaddamBudi 16 сағат бұрын
Simba bado san
@YamoraDidi
@YamoraDidi 16 сағат бұрын
Mpira wetu umekua wa pekee sana ILa safar ya ubingwa kwa Simba siioni
@EnockMbuna
@EnockMbuna 16 сағат бұрын
Mapema Sana kusema ivoo
@AlfredDeodatus
@AlfredDeodatus 16 сағат бұрын
Nyinyi simba ni wabovu tu ateba akacheze ndondo
@godfreyapolnary5856
@godfreyapolnary5856 15 сағат бұрын
Kwani kwa yanga nani kafunga
@MuyaHussein-v2r
@MuyaHussein-v2r 15 сағат бұрын
Nenda kacheze mwenyewe kama unaweza
@MuyaHussein-v2r
@MuyaHussein-v2r 15 сағат бұрын
Msenge ww
@AdamRashidi-n9g
@AdamRashidi-n9g 8 сағат бұрын
Mbovu mama kuma weeer
@Rahma-t5t
@Rahma-t5t 16 сағат бұрын
nitamuombea dua afe
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo 8 сағат бұрын
Kumbuka dua ni msumeno inakata kotekote. Ukimwombea mwenzako mazuri au mabaya mnagawana nusu kwa nusu! 0:04
@LucyVictor-c9c
@LucyVictor-c9c 6 сағат бұрын
Acheni kufanya mzaha na Sala ( DUA).....huu ni mpira tu.....Jiulize wewe unastahili kuishi mpaka sasa kwa ulivyowafanyia watu katika maisha yako!???kama na wao wakiomba dua ufe je utatoka salama!!??? by the way Mungu wetu ni mwaminifu sana...anafanya atakcho yeye na si tutakacho sisi..... la sivyo tusingekuwa hai muda huu sote mimi na wewe.....coz kuna watu tumewakosea bakubwa sana na huwezi jua alichukua maamuzi gani juu yetu. Kwa hiyo....weka akiba ya maneno siku nyingine.(USINENE UKAMALA).
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo 4 сағат бұрын
@@LucyVictor-c9c Umenena kwa uvuvio wa Roho wa Bwana!
@LucyVictor-c9c
@LucyVictor-c9c 2 сағат бұрын
@@SylvesterKameo Asante sana
@DottoJohn-ku9fq
@DottoJohn-ku9fq 5 сағат бұрын
Kayoko kuma ya mama yake
@AlfredDeodatus
@AlfredDeodatus 16 сағат бұрын
Nyinyi simba ni wabovu tu ateba akacheze ndondo
@ballackmasungura6753
@ballackmasungura6753 16 сағат бұрын
Uyu mchambuzi yenyewe nisimba uwezi sikia akiongelea timu nyingine zaidi yasimba akuna uchambuzi wakitaalam ukitaka uchambuzi wampira ni mmoja tu bwanuke
@AljuhaniAllyy-dg4ld
@AljuhaniAllyy-dg4ld 13 сағат бұрын
Kuma la mama yako ndio libovu
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo 8 сағат бұрын
Ushabiki wa matusi ni wa nini? Ukimtukania mwenzako matusi ya nguoni usisahau ya kwamba hata wewe umezaliwa na mama!
@ramadhanihabibu-xp3wd
@ramadhanihabibu-xp3wd 6 сағат бұрын
Mchambuzi ni Simba na wewe ni yanga Kuna kosa hapo​@@ballackmasungura6753
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 10 МЛН
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,5 МЛН
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 23 МЛН
SIMBA ULAYA KWA HASIRA AMVAA KAYOKO HATUTAKI MAREFA WA TANZANIA
9:09
Ngwale Sports HD
Рет қаралды 86 М.
...MAPYA YAIBUKA KWA MPANZU, AKIWASHAMENEJA WAKE ACHARUKA .
9:50
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 10 МЛН