Naipenda sana hip-hop kiukweli inanipa mzuka sana 🎉🎉🎉🎉❤
@HamzaMbasha4 ай бұрын
Weusi hawawezi hicho kitu Wanajua watapigwa za uso
@kevo_da_clever4 ай бұрын
Weusi hawawezi game ya kudis
@macumianitha36384 ай бұрын
Hip hop
@KingGeoffreyMoviesReview4 ай бұрын
Shida ya weusi sio wambea alafu hawapendi beef ukizingatia itifaki izingatiwe Mr DC mkali joh wamoto g oyeyaaai na Lord oiii hata macho weuuuuuuuu❤
@saidikhamis97474 ай бұрын
WEUSI SIKU HIZI WAMEKUWA WEUPE TU. WAMECHUJA SANA SIO KAMA ZAMANI.
@NkenguburundiKenny-xn8of4 ай бұрын
Labda mashoga😂😂😂
@japhsam_simulator4 ай бұрын
ROSTAM ni wabaya weusi ni WEUPE TU
@rulimbiyesaid59074 ай бұрын
Stamina amna kitu apo stereo kawachana kwenye tiktaka rostam hawajajibu chochote, af leo et anasema ukichana tunachanana amna lolote apo stamina muoga, hawez battle na johmakin ndo hamuwez kabisa, ila too bad johmqkin ata ignore hatajibu
@UniqueFurnitures333 ай бұрын
Mabwege ilo dongo ligeuzeni kwenda kikosi kazi kama kweli nyie niwanaume walisha wadis sana hamkuwajibu mnadis watu ambao hata hawajawahi kuwaongelea acheni usengenyaji
@Nasbu-tb6cs4 ай бұрын
Apo wamekutana pipa na mfuniko Hao rostan wenyew viazi C wanajikutaga wanajua kuchanana Sa mbn wakiguswaga na watu WA badi awawajibu? Stamina anajua battle gan uyo
@kibwamoko87674 ай бұрын
sahihi 100%
@bensonkambelembele20644 ай бұрын
Mi ningepewa nafas ya kuondowa marapa ningeanza na hao
@bensonkambelembele20644 ай бұрын
Labda wachanane na viwembe sio michano ya hip hop uyo mwenyewe anaongea akati kwa dizasta alishindwa sasa kwa hao maniga ndo ataweza kwelii.....🖕🖕 that is FUCK