►Instagram / stbongotv ►TikTok / stbongotv.tz ►Facebook / stbongotv ►Twitter / stbongotv ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder
Пікірлер: 151
@dariusshukuru849015 күн бұрын
Garby Wee ni Mwamba kwelii Brot Brot nakukubali❤
@LettyLussi5 күн бұрын
Mwijaku kwa harmonize tena😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Kwaiyo lazima kila mtu aseme harmonize
@shedrackboniphace77559 күн бұрын
Mungu aturehem coz shetan yupo serious na anakasi ya jabu Sana👉🏻👉🏻👉🏻Mjue Sana Mungu ili uwe na Amani ndipo mema yatavyokujilia🙏🙏🙏
@TabizaAa6 күн бұрын
kabisa
@LukaJoas13 күн бұрын
Gala B nakukubali sana bro! Ujue hivyo vidada karibia vyote vina maisha magumu sana alaf vinaleta nyodo za kipuuzi! Bila kuwa unabadilisha gia angani hawawezi kuwa na nidhamu na maamuzi.
@Mgmweustz-p9u11 күн бұрын
@@LukaJoas we ndyo unamaisha magumu acha kudharau watu wew
@uwimanaLatifa-q4u9 күн бұрын
Kasema kweli bwana😂😂😂😂😂😂😂
@labunaabouna612215 күн бұрын
Hii style ya mr right kubadili style naipenda sana sana kuliko from 🇭🇰
@geagbtv594915 күн бұрын
Hongera sana galaby umefanya vizuri . Kwa sababu wao wanamuona mr right vizuri ila wao hawataki kuonekana . In shortly wale wote waliotoka mbele wao ndo wanazalau kubwa sana.
@Zahara-l3l15 күн бұрын
warembo Wana msimamo kwakweli jamani😂😂😂😂😂nimewamiss sana 🫶🫶🫶🫶🫶🫶
@ValenciaJacob-o1t9 күн бұрын
Namkubali sana konde wa mchongo
@EvaristeTchinkoma-oi5rq7 күн бұрын
GRB unajuwa jukumu lako quiet clever. Maana warembo wana ona mr Right chini juu nyuma mbele, Kwa iyo nivizuri warembo pia kuonwa nyuma, mbele.❤
@SamsonNzige-np9up3 күн бұрын
Hyo dda siwema mbna kla kpnd namuon shda anakbur san
@flm153015 күн бұрын
😂hawataki kuchaguliwa wameenda kufanyeje watu wanachagua kama nyama unaenda kula ukishiba unafwata ingine😂 hao ni kama machangudoa
@nicholasmiano842415 күн бұрын
Ukweli fulani ndani yake
@PatrickSounda-r2i13 күн бұрын
@@flm1530 hi
@greydonalds428612 күн бұрын
Sio kama machangudoa. Hawa ni machangudoa! Hawana tofauti nq wale wanaojipanga barabarani kusubiri wanaume waje wawanunue wakawatumie. Biashara ya ukahaba imehalalishwa.
@Mrszizo-d7t12 күн бұрын
Kabisa
@restitutapeter-e1v9 күн бұрын
Hawajielew
@jamilazahran457114 күн бұрын
Management need to push some rules for this girls, they do want to see how the guy looks with all information but they don’t respect the show enough to come out🤷🏽♀️ nobody will force you to pick the guy but you should respect that he wanted to see full body, is that a criminal 🤷🏽♀️🤷🏽♀️🤷🏽♀️🤦🏽♀️🤦🏽♀️🤦🏽♀️
@MR.SHADRIGHT14 күн бұрын
Kondeboy wa mchongo 😂😂😂jeuri😅😅
@LovenessWaibe14 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉mwijaku umeongea point sana yaan kimtu kinaiga na wakati hata hafanani hamo jamaniii
@EdwarJackson3 күн бұрын
Nakubali mr right
@Vigilancewambughamwaisaka12 күн бұрын
Yes iko kenya,kitale
@LeylaSaria11 күн бұрын
Mwanaume mwenyew sas 😂😂et anajishaua kbsa na yey😅
@meedyshow880712 күн бұрын
Nice gala b hakuna kubembeleza U T I izo 😢
@SalomGahi11 күн бұрын
Gara b were ni king umenifurahisha
@MR.SHADRIGHT14 күн бұрын
Garabi anahekima 🎉🎉🎉🎉kwl
@Oman-k4j15 күн бұрын
Lulu hem jisitir baada ya uhai kuna kufa ee mja weee
@ajuwazaglodim764512 күн бұрын
Yuko sahihi, Kitale is a town in Kenya
@FrançoisButoto15 күн бұрын
Safi sn🎉🎉🎉
@JosephinaMsagala-m1l12 күн бұрын
😂😂😂 gara B ,bhna eti tutampata kajala ,
10 күн бұрын
Gala B wewe ni mwamba bro 💪🙏
@frankofficial5315 күн бұрын
Wow i'm the farst person to watch and comment from Kenya mnipe like jamani
@STBONGOTV15 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥
@lavidaloca_25510 күн бұрын
Si mlisema kenya mnajua kiingereza, farst maana yake nn sasa!?😢
@fidelitekarigirwamuyangwa97315 күн бұрын
Safi garabi hawajuwi kazi
@Ym_classic_tzКүн бұрын
Eti siwaoni😢😢😢😢
@AUTVEVO25811 күн бұрын
Sijapenda sana gisi ao warmbo wamekata jamaa 😢😢😢😢
@dr.elimikatv19196 күн бұрын
Merry atafika mbali she is a real women ako na uwezo wa kujisahihisha af mtiifu kiasi ila hao walioshuka wote ni mashangazi hamna mke wa kudumu hata miaka mitano
@OmegaMatela10 күн бұрын
😅😅😅waremboo wanamsimamooo jamanii😢😢
@barakanyobeye68074 күн бұрын
Katisha sanaa
@félixxjoséruto2 сағат бұрын
Naishi mitume bro..duka lako liko wapi
@AmosShija-w2o14 күн бұрын
Bora kamekataliwa kana sifa mno😂😂😂😂
@UpendoEliya-i7l12 күн бұрын
Vichangudoa tuu hivyo vimeshajiuza vimechoka.😂😂😂😂😂😂 Vitoke mbele
@FrançoisButoto15 күн бұрын
Merci beaucoup 14:13 ❤❤❤🎉
@SalomGahi11 күн бұрын
Mwijaku mwijaku kiboko yaooo
@EmelyneManizana15 күн бұрын
Mr Right wa leo shida kabisaaa 😅😅😅
@JustineMhagama9 күн бұрын
Hii ya leo nimependa shuka chini😂😂😂😂
@MR.SHADRIGHT14 күн бұрын
Hawa madem wa podiums dharau😅😅😅😅
@FaustineJanes-x3p8 күн бұрын
Uti ni noma xan
@AmmullyMonica7 күн бұрын
Natamani angekuwepo dr Kumbuka😂wangechambwa hao wadada hadi wajisikie vibaya😂
@MwitaMarwa-s6u10 күн бұрын
machangudoa walio changamka😂
@gracemugozi8436Күн бұрын
Nimependa msimamo wa viongozi umenyoka
@nzeyimanaabdallah13112 күн бұрын
Gara B mwanaume na nusu bro🫡
@bukurufreddy2815 күн бұрын
Nimecheka leo😅😅😅😅
@Bether-w3i10 күн бұрын
Warembo wko vzr sana kwakweli I.
@rayahamisi11815 күн бұрын
Wanaume wanevaa eleni msikate tamaa ipo siku mtavaa pedi😂😂😂
@MaryanMaryam-lc1et10 күн бұрын
Kwakwel😂😂
@jameskiokote7 күн бұрын
hahahhahah kama kweli vile
@avinkajuna70811 күн бұрын
Sasa wadada wenyewe viburi alafu wanataka kuolewa😂😂😂😂
@khasanaryhamady396810 күн бұрын
ww kama wanataka mume wakaubaliane na kila kitu kwa msakata cha uvunguni shart unamee kwan wamekuja kfanya nn apo waendelee kudanga
@Janeth-q7l14 күн бұрын
Uyo jamaa analinga sana . 2
@Smilemaker_KE7 күн бұрын
Huyo n mwongo hana duka huko kenya😅
@ALYLUHUNDE12 күн бұрын
Mwijaku mwenyewe ni mwanamke tu
@lakutsakizamedia51445 күн бұрын
Daah hii show ina challenge mbaya
@kakururubambula727015 күн бұрын
Hapo kuna mdada anaitwa kyka daaa umeniua hatar
@hilalkhalfan14522 күн бұрын
YAANI WANAWAKE MNAJIDHALILISHA HIVI KWELI😂😂😂, KAMA ANACHAGUW NYANYA SOKONI😂😂😂😂, HAYA NDIO WANAWAKE MLIPOTAKA MFIKISHWE SASA NA MTAKOMA ZAID KILA SIKU ZIKIENDELEA, NDIO HAKI ZENU HIZO SASA YA MWANAMME MMOJA ANAKUBERUZENI KISHA ANAKUAMBIA HUFAI 😂😂😂, HIVI WANAWAKE HUWA HAMNAGA AIBU?!!!😂😂😂
@verowilly582211 күн бұрын
tatizo wanawake hawapendi hivo..mkak mambo mengi mikofia miwani yani muonekano mbayaaaa😂😂
@MzirayDunga7 күн бұрын
Hii imekaaa sawa😂😂wao wanapata nafax yakukuona vizur Alf ww unawaona uso tu
@SharifaHaruna-f3g11 күн бұрын
ahahhahahah miez mitatu kaondoka na pia hiyo hiyo ndan ya miezi mitatu x wake kaolewa pia na mtoto juuu ahahahhahahah
@AllenSemkiwa3 күн бұрын
Hao waliyo baki wameonyesha heshima ya wanawake Tanzania
@goodluckrkterry776711 күн бұрын
😂😂wanajikuta ma kwini pumbavu zao wanaharibu shoo wamekaidi wamekuzalau
@VailethMushi-d3o11 күн бұрын
We doctor gani na unatibu nini? Kuwa unavaa nguo basi!!
@hilalkhalfan14522 күн бұрын
Makwini au wazalilishwaji 😂😂😂. Mwanamke kama unachagua nyanya sokoni lingine linaachwa au hawa wanawake WENZENU wana roho za ngurue hawana aibuuuuuu😂😂😂, mie hua nawafananisha na wanyama tu type ya wanawake hawa.
@Aphrodite_11228 күн бұрын
Mwijaku NdumilaKuwili😂😂 Mazafaka
@Yournextex1234 күн бұрын
Huyu kaka kama kanywa jembe plus Kajeuriiii
@lakutsakizamedia51445 күн бұрын
Yah ni Kweli Trans nzoia county na Kitale ndio mji
@yasiniselemani86722 күн бұрын
Hawa wadada wanakiburi nani atawaowa sasa wanajitangaza halafu wanaringa tena
@dr.elimikatv19196 күн бұрын
Japokua jamaa alikosea lkni utii na heshima ya mwanamke ndo ndoa yake hao wanaotaka wajiendeshe kma vidume mtaachika mpaka uzeeni, ndo maana nchi za wenzetu ndoa ni kipengele kigumu nahis hzi ndoa za jinsia moja pia zimechangiwa na usawa wa kijinsia 50 to 50
@ONGOTOVERONICAHKWAMBOKA12 күн бұрын
Wee lulu huyo jamaa anasema kweli kitale kwetu
@ONGOTOVERONICAHKWAMBOKA12 күн бұрын
Mimi mkenya napajua huko ako sawa kabisaa 🫡
@HalimaSwaleh-i9oКүн бұрын
𝐌𝐡𝐡𝐡 𝐡𝐮𝐲𝐮 𝐦𝐫𝐨𝐧𝐠𝐨
@nishaabdula50156 күн бұрын
Lkn mnataka wenyewe kuzalilika mnafata nn hp
@emmanuelmayunga151812 күн бұрын
Sasa si mnajiuza kwanini hamtaki kutoka mbele,,kwenda hapo tu CV ishashuka
@harunayusufu322614 күн бұрын
Kaka napenda sana maamuzi yako gara b ww nimwamba
@HijjaanamsaidOneman7 күн бұрын
Sa wamekuja kifanya nn kama hawataki kuonekana jamaa yupo Sawa huez chagua MTU anaonekan kichwa
@LettyLussi5 күн бұрын
Eti kichwa😂😂
@mosessimiyu69548 күн бұрын
Hilo duka linaitwaje Niko hizi sehemu ya kitale mitume
@GeorgeWamalwa-z2y8 күн бұрын
Kitale ndio mji mkuu wa Tranzoia County. Mitume ni baadhi ya miji midogo za tranzoia county
@agnatusbonephace11838 күн бұрын
Ivi kwanin hao wadada hawato story zao za maisha kama mr light, Maana wengne wameflash sana au wana watoto uko ubibini